AJIFANYA POLISI, AVAMIA MAHOJIANO, AWAKALISHA CHINI WOTE MTANGAZAJI NA WANAHOJIWA
Vložit
- čas přidán 25. 07. 2022
- AJIFANYA POLISI, AVAMIA MAHOJIANO, AWAKALISHA CHINI WOTE MTANGAZAJI NA WANAHOJIWA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Kama Kuna aliyee cheka kupita mm like zake hapaa🤣🤣😂😂😂🤣🤣
Afande ova ova tunakalibia tunachua kila mtu hpo tunaendanao kituon aliyemwona mama akiaga na kula kona kali gnga like twende sawa
Great creativity ...In real life situations ukikutana nazo na ukiamini, u naweza surprise your self 😅😅😅
Oeee!! Mm nenda Mskitinii mwadhini Ushaadhiniwa🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa kaua aliposema tunakuja tunabeba wote waliopo eneo la tukio pale mpaka mjumbe mwenyewe alitaka kusepa😂😂 mpaka mashuhuda nao waliposiki msije kutulaumu wamepotea
Napenda sana uti ya huyo askari.. always doing good kama usalama ivh alivo hahaha mnyama sana
Mjumbe ameonyeshaa upendo sana kwa watu wake...mjumbe wa Shima namba 14....nimempenda sana sana aisee ...na alikuwa real ..anastahili kupewa nafasi kama elimu yake inaruhusu....so far kipindi ni kizuri sana ...kinafundisha
Huyo askari anae sikika kwenye radio call msumbuf over nyingi
Hhhhhhh
🤣🤣🤣
Nembo ya mtaa #Africa is watching...fanya kipindi nchi zingine ,Kenya Uganda ,Malawi na south africa
Aidia kaiba Nigeria Kwan aujui iki kipind kuwa kipo adi Nigeria?
Kuiba aidia ninja siyo ishu ila nani ataenda international
@@Said_Abdul we unazijui TV za Nigeria kuwa ndo Tv zinatazamwa Sana Africa? Ukienda Apo Tanzania unajua kuwa Ni TV gani inafatiliwa Sana kuwa na vipindi safi?
Mama mwenye batiki alvyoaga😂😂😂😂😂
Akaona ya Nini mie ya niniii
Kawaaga kwa kupungaa kabisaa😂😂😂😂
🔥❤🔥
Wa kwanza ku comment nipeni like zangu
Anaomba msamaha kwa kutembea juani 😂😂😂😂😂 mzenji wa watu 😃😃😃😃
HAWA JAMAA UNAOWAIMBISHA UTAKUJA KUWATOWA MAVI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah hii Tz imezidi sana uhuru
jmaa yupp yupo tu yan ata aelewi yupo dunian kufanya nini
Napenda sanaa ichi kipindi hua nacheka paka nalia
Nembo ya mtaa akili zake anazijuwa mwenyewe 😅😅😅😅
😅😅😅 watu wanaogopa sana jeshi la polisi tz
Hii iko nouma sanya good creativity😍
Huyu hvi ni kweli afaa aje Kenya afanye mambo haya na huyujamaa amevaa flana nyeusi ajifanya Askari aje alete mambo haya kama hawatatiwa discipline ..Sema hao hawajui ryts zao. Sema Tu..natamani waje Kenya WA haswa na afande wao watolewe bundle ndo wajue Kenya hakuna ujinga
Utanaswa ya Kenya
Lakini c Mombasa 001 county hatuna usenge huo ...kila mahali Pana mipaka yake. Ukileta huu shoga zuna lakufata ...ufala huu Mombasa wasijaribu kabisa nishakujibu sasa vizuri
Iv wale wa NASWA sio wakeny mbona wakeny nao maboya tyu
Wale wa naswa na, kaa rada ni wa tz eti.we mwenyewe hujielewi.
Awoo wake ya uku bongo tunawakandaa dairy
Huyo afande anaeongea kwenye simu katisha San Over Over hahah dah
Naludia Tena kucoment jamani sijawaii cheka ivii mwenzenuu mm kweri bongo nyosoooo😂😂🤣🤣😂😂😂
Yani Bongo kuna baadhi ya watu Maboya sanaa...🤣🤣🤣🤣🤣
tukija tunazoa wote mama akaona isiwe shida 😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Duuuh nimecheka kwa sauti 🔥🔥🔥🤣🤣
😂😂😂 jamani kwetu leo bonge la msanii
Best scenes......of the year.,.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😀😀
🤞🏾
🤣🤣 Uwiiiiiiiii kwakeli nimecheka saaaaaana na mjumbe number 24 ndio kaniuwa mbavu kabisaaaaa😂😂
Bongo nyoso 💪🏽🙏🏼
😃😃😃😃😃😃 Mtakuja kuwauwa watu kwa presha
umetisha kaka
Eti km Kuna watu wasio husika tunabeba woteeee 😃😃😃😃 Kuna mama kakimbia
🤣🤣🤣hatrii sanaa
😁😁
Aaaah mm lazima nikimbie
ya leo ina chekesha mpemba anataka kulia na uyo polisi wa simu anajua sana😂🤣🤣
Nimempenda mjumbe...ana spiritual
Sanya Utakuja kutuuwa na Cheko 😂😂 Kama kawaida wote ambao wako karibu wote tunabeba😂😂😂😂😂😂
Poti kazinguaa eti “naomba chuchumaa” (dakika9:01-03) 😂😂😂😂
😂😂😂
@@hammynassor3028 sindio poti anaomba eti 😂😂😂😂
Nembo ya mtaa 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂 huyo Dogo aliyekimbia ni Mimi kabisa
mama is very responsible,,, kudos
Dar kila siku wanaingia maboya sijui wasukuma bana😂😂
tukome wewe 😂😂😂
Kila kitu wasukuma khaa
Hata mkoani maboya kutoka dar wengi Sana...
We mwenyewe boya
Much love 💕 from Kenya
Hahhahah huyu jamaa anaejifanya Askari ananifurahisha sna kama police kwelii
Kali sana hii
Hahaa ubunif mzur sanaaaaa ilike it
CREATIVE
M join clam kwenye pindi lako sanya
Nilicho gundua Dar es salaam kila siku wanakuja makolo kutoka mikoani ,mf hao wote walio hojiwa hawana hata krisimasi 1 mjini
🤣🤣🤣🤣🤣
Mnamjua msanii MPY anaitwa #Deenize jamani
nimekuchikia sanaa ww mortown manina wwww iv kwer mtu leo nasema naenda swali namzingua ivo
M pesa tz 👏👏👏💯👍
Heheheheheheheee hehehehe hii noma maan mpaka afande anachek
Leo ndio nimejua baadhi ya watanzania ni mang’ombe 😂😂🤣🤣🤣
Imekaa kibamba live hivi
IsijekukukuTAa
Hahahaha jamaa mic 🎤 kaona km bangi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂u guys are crazy
Ww Sanya msenge sana
Ahhhhaahh nimechekaA kisoloooo😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oya Sanya hizi dhambi utakuja kujibu wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo wa kwanza mnyaturu 😁😁
haaaaaaaaaaa kenge sana mo sanya
Sanya hii umetisha mzee
Over over over over ya nyoko😂😂😂😂😂etty kama kawaida yetu wote tunaowakuta eneo la tukio tunabeba wote watakutwa kituoni over 😂😂😂 bongo sihami😂😂😂😂
😂
Me mwenywe pia niende wapi ss
🤗
Mama wa dera na hao jamaa wamelala mbele 😂😂tunakuja kuchukua wote waliopo eneo la tukio over Over afande
Ametoka haraka uyo mama 😂😂😂😂😂😂😂
km ni nusu bs nusu yke ndo nimetembea jua kali🤣🤣🤣🤣
Atareee sana
Motown upo vzr lakini tatizo lako moja kama utajrekebisha kusuka au na ww unaliwa jicho?😂🤣🤣?
Wanaokuepo kwenye eneo la tukio tunakuja kubeba over🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sanya😍😍
Jamaa kakimbia kinoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah ila tz bhana raha sana🤣🤣🤣🤣🤣
💪💪💪
Aliye Ona Yule Mama Alivyo Sikia Kuwa Tutakeye Mkuta yeyote Tunamchukua Mama Katoka nduki huku akiongea Mwenyewe
Una ahidia broo
Yani nimecheka sana jama anakataa mahike 🤣🤣🤣🤣🤣
Wadau mda wa ibada jumaa! Ni siku kubwa na msimfanye mtu achelewe msikit na aingie nyumba ya ibada akiwa na hofu
Dah huyu mwamba hua ananifurahisha sana
Dah... Vituko sanaa🤣🤣🤣🤣
We mkali sanya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamaaa Alie kimbia kanichekesha sana wote wanao ojiwa waoga hao vijana wamenichekesha 😂😂😂😂😂😂😂 wamechukulia niukweli🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀🤣
Gonga beat😂😂😂 balaaa huyo jamaa ana chekesha akiji ona sijui ata jixikiaje
Kwahiyo yohana hata hamjamjulisha kinachoendelea
Nakubali dingoo
Oya ii kali sana
Mwenye dera kaona isiwe tabu sanya we ni noumaaaaaaaaaa sana
Ndio mana juz kijana wangu mrema aliwavimbia askari wakamsweka lupango ukiwanyonge unachekwa🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣apo chacha
Askari kavaa malapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Montana kwa kijikausha 😅😅😅😅😅😅
Kali hiii
Dah maskin mpemba
Kijana anawaambia anaenda Msikitini nyinyi bado munaendelea na utani wenu. Mumekosea hapo.
wamenikera Sana
Wewe ni mnafki ametumia muda gani kuwa nae na amemuacha aende wewe unasema kamzuia imani za kukalili hizo jinga wewe unataka uonekane wewe ndio unaijua sana dini chz wewe
@@saidasimba9979 una stress sikulaumu. Allah akusamehe na mimi pia nimekusameh. Alhamdulillah nimeisoma vizuri elimu ya dini na bado naendelea kuisoma, najua nilichokiandika.
😀😀😀
Sjaipenda
Hizo mbio za huyo jamaaaa🤣🤣🤣🤣
MKO vzr yaan mnachekesha vibaya
Jamaa Askar feki kuskia kipemba tu kacheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ooyaa, toka APO tuna shuti😂😂😂
Naipenda Tanzania yangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Polisi wako vizuri ila mama mjumbe kazi anaiweza ila mwenyeji sss