POLISI FEKI AVAMIA KIPINDI, AWAKALISHA WOTE CHINI - "WANATAKA KUTUPELEKA POLISI" | HIVI NI KWELI...
Vložit
- čas přidán 31. 01. 2022
- NEMBO ya Mtaa, Mo Town Sanya, ameuanza rasmi mwaka 2022 kwa season mpya kabisa ya Hivi ni Kweli. Leo tupo na Afande Musa (Polisi Feki) ambaye amevamia interview zote za Nembo ya Mtaa ila kilichowakuta waliokuwa wakihojiwa sasa utacheka....
POLISI FEKI AVAMIA KIPINDI, AWAKALISHA WOTE CHINI - "WANATAKA KUTUPELEKA POLISI" | HIVI NI KWELI...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Daaah nimechekaa balaaa hiii ya leo kaliii sanya kweli mbunifu sana
Inafundisha sana. Hapo jamaa alitakiwa nae aonyeshwe kitambulisho cha huyo askari. Epuka kutapeliwa
Mo town dah!!! Aiseee Leo nimecheka sana yani dah! Bro 🙌🤣🤣🤣
Motown Anajua macho penda 2022 hawezi waangusha Pamoja sana tu enjoy na pindi la kijanja ndani ya TV ya kijanja #WasafiTv
No bhana daaah nacheka uku naona huruma sanya usifanye ivo 😭🤣
Oyaaa mo town jamaa wa pili mmeniua mbavu zangu 🤣🤣
Wa kwanza leo nipeni likes nifurahi jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haki nimecheka sanaa huyu jamaaa diamond amuongezee mshahara sio kwa kutuchekesha kiasi hichi #wasafi #diamond
Daaaaaaa first I thought it's reall mo town banaa nimefikiria washikwaa nimejihisi vibaya kumbeeeee mtaa banaaa una mengi hiii moto bro😂😂😂😂😂😘😘💯frm 🇰🇪
2022 💥 💕 💥 sanya 🤣🤣🤣 umetuwalisha vizuri wapenzi wa radio 📻 yetu na vipindi vyote vya wasafi tv...1👋👋👋👌
Daah.! Jama amenitiya uruma kabs love from 🇧🇮
21:31 Kimsingi anaolewa kimsingi kitu kimoja kimsingi kwamba ni mwamba mwamba kwasababu ni mnene Sana😂😂😂
Love from Mozambique 🇲🇿 nimekuwa nimekumiss sana mo town
Nicheki
czcams.com/video/C5s1AejRKzk/video.html
Yah maning eu tambem sou de 🇲🇿
@@djneldizzyholimpovicente1782 gostei muito de ti ver aqui força
Ifike muda nao police punguzeni njaa🙌
Dogo: kaka nisaidie...
Kaka:Nikusaidie nn sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekuwa naisubir kinoma😂 love from Mozambique 🇲🇿
Labda buza
😂😂😂 mozambique
@@khamissufian8545 🇲🇿😂😂😂😂
Mi mwenyewe nimeisubiri Sana kwakweli😂😂😂
Iki kipindi kinachekeshaa ilaa ukifikilia kwa mbali na uhalisia ndo uone njins gan raiaa wengi tunaonewa na askari bila kosa la msing ..kwa sabab askal wetu ni waonevu .. Mtu uwez ataa uliziaa kitambulisho
Mo town sanyaaaaaa ma g.... Sema hyo poti mmpeni msasa kidogo anapapara sana...he needs to bring the reality...yeye kakomaa na radio call tu..
Yaan leo mmejua kunivunja mbavu mbavu aisei ni firee... hongera bro endelea na ubunifu wko
😂😂🤣🤣
Ski hii ya Leo haijanifurahisha coz mumesumbua wazee WA watu sio poa hii ya Leo rekebisheni vzr
Mo Town Sanya nembo ya mtaa hivi ni kweli au??🇹🇿❤️🚶🚶
Mzee wa kitambaa mmemzingua kinoma🤣😂😂😂
Kinoma yaan
Sana yani nimecheka alafu baadae nikamuonea huruma 😂😂😂😂😂😂
Ila sikumoja mtakuja kumfanyia mjeda mambo haya lazima Bongo mtaiyona imebadilikarangi
Xio mjeda tu ata mbunge anafanyiwa ivy
My fave show frm wasaf tv
Daa kaka kipindi kizuri nakipenda lakini kaka chenye mmefanyia mzee wa nguo si haki jameni angalieni umri si kweli kabisa na sihaki kumtendea hivo witching from kenya kazi yako safi brother nakuaminia ila hii nayo kakangu sipoa
Anapewaga cha kupozea 😂😂😂
Ila Wasafi bana, Mo town una dhambi sana
Mmezinguaa sanyaa mzee kama uyo unamkalishaje chini bhana umezingua leo
Nmecheka Sana😅😅😅... Hongera mo keep it up creativity 100%
Mumezingua Leo sjapenda
Iki kipsnde za uyu uncle muliemfunga
Kitambaa UH SIYO USTAALABU
🤣😂🤣😂
Sure wamemkosea sana
@@maishayetufilm ni kipindi iko sio live session, ukiona mpaka imeruka ujue jamaa karidhia
Mmenichekesha sana hamnaga kazi mbovu
Daah nimeipenda sn mo town unahuruma sn nimependa sn umemuelewa yule jamaa maelezo yake alivyosema hajala
Jamani yule mwenye kitambaa jamaniiii🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣
Najua la Dar lilivyo kali😂😂
Week motown uanzingua Sanaa nimecheka yule kibonge wa mwisho kaishiwa pozi kabisa dah..lakin uwe unawatia japo ya soda bab umewapandisha presha sanaaa
Halfu wa bongo jamani tupunguzeni uwoga....tujifunze sana sheria inasema vp..half mo town kazaaaa banaaa...umemcheka mzee wa watu alivombwala..😂
my favorite tv show
Njaa na kutokujua sheria ni tatizo kwa askari wetu
Keep up with your work brother pamoza Sana Motown SONYA
Daa price,nimekamatwa na askar,eti wanaleta difenda waje wanipeleke police 😂😂 Astaghfirullah laadhwim 🤣
Wasaf mnajitahid sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila mtafanya watu wazimie kwa presha kaka wa watu anaongea na sim huku ana tetemeka jamani
Yaani nacheka lakini tena naingiwa na huruma
Mzee wa tcha tcha tcha tcha konde kashndwa kutoa maneno hahahah
Maskini nimemuonea huruma uyu baba wanguo😭
Next level
Mzee kalaa speed kwenye Kona🤣🤣🇿🇲🇹🇿
Jaman Moh haufai unawafanya watu watoke mbio😂😂😂😂
Daaah nmefurahii kinoma pindii namba moja wasafii asehe
Yani huyo mzee wakuhesabu atawapeleka kwa mganga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maskini wew mo town Sanya jmn, nimesikia uchungu huyo kaka wa T shart ya brue alivyokuwa anaongea na cm😂😂😂😂
Nimejisikia huruma mlichomfanyia huyo mzee na kitambaa kichwani tabia mbaya aisee acheni nimekwazikaa 😩😩wenzenu hata kama ni games waga at the end of the day wanaambiwa it was a joke 😔😔
Wajinga niweng xana kama kitu auelew acha kuangalia cozy ujalazimixhwa uxhamba nimzigo
ndio mjini boy wewe ungekubali kufungwa kitambaa awa maboya
Ukisikia naomb tuongee ujue imeish iyoo 😂😂😂😂
Machoz yananitoka jinsi watu wa hali ya chini tunavyo onewa
Kweli
Ndy ujitaid xaxa kua MTU wa chini
Mie nahisi inafundisha kitu
@@saidyharounkassita5093 🤣🤣🤣🤣🤣
Watanzania tujifunze kujua vitu muhm vya kuomba pindi police akitaka kukukamata lzma akuonyeshe kitambulisho chake N kituo chk cha kazi Ila Mo Leo kaua 😂😂🙌
Daaah nomaaaa sana mkuu
Hivi ikitokea siku mnafanya huo ujinga halafu mtu ana faint anakufa mnasimama WAPI,. Kuna utani mwingine sio poa
Toa ujinga apa
Wewe Motown Utakuja Kupigwa Kaka😂😂😂😂😂
Idea poa sana ,mwisho mtoe shule unless ni kosa la uzalililishaji sababu mnaowarecord wanafamily zinawaangalia
Noma sana
Dogo: braza nisaidie
Jamaa : nikusaidie nn sasa😠
😂😂😂😂😂
😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
Nyie punguzen mpumbavu mna mchuchumalisha mtu na nguo zake anauza zinagusa chin zina chafuka ndo kwa iyo elfu kumi yenu mlio mpa au punguzen utan kwa watu msio wajua mtu akija kuwafia kwa presha mta msaidiaje
Huyo Mwenye kitambaa wakuhesabu mpaka 50, nimecheka kijinga 🤣
I love you mo town sanya
Ila @motown sanya peponi utapasikia tu..😄😄
Watanzania wengi hawajui haki zao. Wanakamatwa kienyeji na wanakubali haha Jamaa hata hajaonyeshwa kitambulisho dah.
Nomaaaa snaaaa
Mo town mim nataman ninge kutana na hilo pndi live wala usinge niokota but pa1 sana tuna enjoy kinoma.
Best Episode Brother 😄😄😄🔥🔥🔥
Uko vizuri mo town
Jamn moo umichekesha sana mpenzi daaa 🙌🙌🙌🙌
Moo town sanya. Tisha sanaaaa!
safi sana kwa ubunifu
hehee yani nimechka sanaa much love frm 254
Hawa sio mimi,mimi ni mpita njia tu😅😅 huyu jaman kajua kunchekesha et kimsingi kwamba kimsingi🤣🤣🤣SANYA mpaka amecheka
😀😀😆😀😆😀kicheko kma tapishii alizuilikii😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu aliefugwa kitambaa jamani ametia huruma kha
🤣🤣🤣🤣
I love it sema mwenye nguo ameziweka chini that's bad
Yaan sijapenda kabisa mlivyomdhalilisha baba angu nitaenda mwambia amichukulie hatua
😂😂😂😂
@@ayubleo wanichekaeee
Ni mzee wako nn
Jeshiiii!!!🔥🔥🔥🔥🔥
Happy new year, mwanzo mpya, heheheeeeeeee
Mo town sanya nomaaaa
Hivi ni kweli baadhi walikuwa wakipata nafasi wanakimbia kiasi hicho??!🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Iyi kali saaana mzeee
Mmeua kinyama yani mmetisha🔥
Alafu mnamchelewesha mwenzenu mtu mpaka anataka kulia
Motown Sanya nakukubali chaliwangu mzeee kakata mchichicha kinomaaaa aseeee Moja mbili
Mwisho WA kipjndi mmngekua mnawaita na kuwaomba radhi km mmeharibu Mali zao mnawalipa na kuwapotezea muda kma gag'g
Cc ni ma entertainer 😂😂🤣🤣dah
Naitaji kujifunza kiswahili mnisaidie
dah cjapenda kwa yule mzee mliyemfunga kitambaa nmejisikia vibaya kiukweli 🤔🤔😔😔
😅🤣🤣🤣🤣
Kakata hadi mia 2😂😂
Watanzania wengi niwaoga
mo town sanya mbinguni utafika umechoka sana asee😀😀😀😀🤣🤣🤣
Nnavo kufatilia huwezi nipata nakujua vizur mo town Sanya
Duh nkafikiria ni kweli hahaha waa montown ni firee
Da! aisee😂😂😂😂😂😂😂😂 izo ova zimenifanya nicheke sana
Samahani afande Mimi tokea Asubuh sijakula 😂😂😂
Noma
Unavyo fanya si frsh hata kdg daa jamaa anatia huruma yaani Mungu yupo inshallah
Dah nomaaa
😆😆😆😆🤣🤣🤣munataka .kijana wa watu agongwe na gari sio kwa mbio hizo
Mko vzr kwa idea noma😆
hahaha that was magically isht ,😁😁😁
Safi sana,ila ingependeza zaidi kama mwisho mngekuwa mnatoa elimu za haki ya mtu kwenye situations kama hizo,ili kipindi kivutie zaidi au?
Kweli kabisa litafanyiwa kazi
Nembo ya mtaa 🔥🔥🔥