BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/ SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA02
Vložit
- čas přidán 14. 04. 2023
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#baharia #southafrica #safari
Jamaa ana luga flani hv ya mtaani kisela sana alafu anafanana na zembwela wa wasafi tv
Atakuwa mzaramo
Salute sana,umenikumbusha mambo mengi sana
Lovely
Mwanangu Mzee WA Lau Mzee Wa Colletion Ma Home Boy Tmk
Wao wakiswali kiarabu mi Naswali kiswahili😭😆😂🤣🤣🤣🤣🙌🏾....
Anyway jamaa ni bonge la Storyteller✍🏾💯
Hapo kwenye kiingereza uongo baharia huku Portuguese tu
unaweka video fupi fupi bro
Nimecheka iyo ya msikitini 😅😅
Mwendelezo...
Introduction ndefu sana mkuu,punguza kiasi
hiyo nimesha sulubika hapo tete mbele ya daraja lao kubwa lile chini umepita mto wa zambezia noma sn siku 18 tumetembea kwa mguu
Jamaa anavutia story
Mwana yyko real sana
Ndio maana sipendi safari za wengi ukiwa peke yako ngumu sana kukustukia
We jamaa rusha mizigo yote humu Wana tuangalie, unachukua muda mrefu sana kupost
😅😅nyerere vp😂😂
Video yako aieleweki inanza wapi ukiweka clip inayonza vizuri unapungukiwa wapi
Mbona sijawasikia baharia mchaga hi swali yangu
Dupa mtafute umuhoji baharia anaitwa bashiri, global TV wamemfanyia interview hovyo hovyo ana madini ya maana
Mabaharia mtakubari vipi mfungiwe kwanje gungewaka moto Simmejitoa sadaka 😄🇹🇿🇬🇷⚓
Tatizo huahamuandiki pat ngapi ilonikosa
Nimecheka kama fala
Intro...ndefu inaboa
Tatzo mtangazaji unaongea sana kuliko bahari...una boa
Mnapenda kuwapangaia watu cha kufanya, kipindi kakidizain yeye lakin mnataka muwe waamuzi nyie daah.
Hii story iweke in series iishe utamu wa story mwendelezo