Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 12. 2023
  • Unga Vikombe 3
    sukari vijiko 5 vya chakula
    chumvi 1/2kijiko cha chai
    iliki 1kijiko cha chai
    hamira 1/2 kijiko cha chakula
    baking Powder 1 kijiko cha chai
    maziwa mgando vijiko 5 chakula
    mafuta ya kupikia vijiko 4 chakula
    maji vikombe 2 ( unaweza ongeza 1/2 isipotosha)

Komentáře • 22