Mkate wa Sinia/Kumimina in Kiswahili

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 02. 2016
  • Mahitaji:
    Mchele vikombe 2 (roweka usiku kucha au kiasi masaa 6)
    Tui la nazi zito kikombe 1 1/2
    Ute wa yai 1 au vijiko 2 vikubwa
    Sukari kikombe kasoro robo 3/4 ( unaweza kuzidisha au kupunguza)
    Hamira vijiko 2 vidogo
    Kwa vipimo vya mugs:
    Mchele mug 2
    Tui la nazi mug 1 na nusu ( 1 1/2)
    Hamira vujiko 3 vidogo
    Sukari Mug kasoro
    Ute wa mayai 2
    Choma moto 400F/200C
    Halafu shusha 350F/180C
  • Jak na to + styl

Komentáře • 824

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Před 18 dny

    Shukrani sana aunt, kiukweli siku yakeo nina furaha sana ,kwanza mchana nimepika pikau tamu sana,jioni nioafanya mkate wa sinia aisee mkate umekuwa mlaini mashaallah, Mungu kuzidishie❤❤❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 17 dny

      Shukran Sana an mini pia nimefurahi kuona positive comment, Allah Barek

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 Před 17 dny

      @@aromaofzanzibar Amin Aunt yangu mwenye upendo wa dhati😘

  • @rozaali3241
    @rozaali3241 Před 7 lety +1

    mashaallah 👍... shukran wa jazaki allahu khairan.

  • @ashaadeh4131
    @ashaadeh4131 Před 6 lety +1

    I love your recipes.nimejifunza mengi

  • @nilufermukadam299
    @nilufermukadam299 Před 7 lety +3

    Salaamz. Maa shaa Allah looks lovely yum yum😍 surely gonna try out soon inshaallah.

  • @mkewaasuu932
    @mkewaasuu932 Před 8 lety +1

    Maasha,allahThat,s looks yammiest

  • @yasminsalim6603
    @yasminsalim6603 Před 6 lety +1

    Tried it and it turned out amazing mashallah. Thank u so much keep up the great job.

  • @hanifaali7922
    @hanifaali7922 Před 6 lety

    mashaallah Allah akuzidishie mkate nimeupenda

  • @zitalobo116
    @zitalobo116 Před 7 lety +1

    I can't wait to try In shaa Allah

  • @salmarage7048
    @salmarage7048 Před 8 lety +1

    Jazakallah kheir for sharing this with everyone.

  • @mariamjuma4589
    @mariamjuma4589 Před 7 lety +5

    Asante mpenz nmeona kweli ndio hvi hivi tu mungu akubarik nmeangalia kwa umakini sana Asante kwa mapishi mazuri

  • @gladnessmakyao4191
    @gladnessmakyao4191 Před 6 lety +3

    I tried it and come out so so nice and yummy and so soft! Thank you dada😚

  • @rubnagadafi8367
    @rubnagadafi8367 Před 7 lety +1

    maashalah😘

  • @sabrasaid5712
    @sabrasaid5712 Před 7 lety +1

    MASHA ALLAH, mungu akuzidishie kila la kheri.. AMEEN.. I real enjoy ur video very much.

  • @doreengama2808
    @doreengama2808 Před 6 lety +1

    Very fruitful video. 😘😘😘😘😘

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 Před 5 lety

    Asante sana ubarikiwe mumy kwa mapishi bora

  • @brendasasi4388
    @brendasasi4388 Před 6 lety

    Asante, nimejaribu kwa mara ya kwanza umetoka mzuri sana.

  • @latfakingwaba2583
    @latfakingwaba2583 Před 5 lety +3

    Asante kwa somo zuri Allah akupe moyo zaid wa kutujuza Inshaallah

  • @mriamsamy3129
    @mriamsamy3129 Před 7 lety +1

    asante dada kwa mafunzo hongera.

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 Před 2 lety

    mashaAllah mkate mzuri ute wayai unaweka hapo hapo

  • @ahmedfaraj3771
    @ahmedfaraj3771 Před 7 lety +1

    MashaAllah Aunty u r so inspiring.

  • @asiyamuscat-oman2283
    @asiyamuscat-oman2283 Před 6 lety +3

    Thanks Habibty. Looks yummy

  • @ummkhuluudaboud2723
    @ummkhuluudaboud2723 Před 8 lety

    mashaallh allha akujaze kila lakheri

  • @lailahaillallah4020
    @lailahaillallah4020 Před 6 lety +1

    Mashallwah

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Před 4 lety

    Mie nkiupika unakua juu mkavu kumbe lazma uupake siagi au mafuta ili uwe mlaini. Nmekupata.thanks ma love🥰

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016

    nice nime jifunza

  • @panjusu
    @panjusu Před 8 lety

    asante sana, mkate imetoka superb

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 8 lety +1

      +suki panju Thank you dear for your feed back, nimefurahi sana

  • @mupenzishamavu948
    @mupenzishamavu948 Před 8 lety +1

    Asante kwa iyo kazi abayo unafanya Allah akubariki

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 8 lety +1

      +mupenzi shamavu ahsante kwako for your support, karibu tena

  • @gastrogubi6144
    @gastrogubi6144 Před 4 lety

    The only cook I trust with her recipe,they never ever fail me,tabarakaAllah bint zanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      Thank you so much! 😘😘

    • @Noorally24
      @Noorally24 Před rokem

      @@aromaofzanzibar s,akm ilikuwa nauliza mpnz mchele wowote tu unaweza kutumia

  • @rou7alrou784
    @rou7alrou784 Před 6 lety +1

    My favourite, all time recipe. Tried without the egg in another recipe and tried it with egg in your recipe i think it works well with an egg (kiini cha yai). Just how i wanted. JazakAllah

  • @kichunahashim9394
    @kichunahashim9394 Před 7 lety +1

    masha Allah wavutia

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 Před 8 lety +1

    thnx my love .... have a nc vacation ishallah..... I'll be waiting for dat lectures.....

  • @salmmasalmma1591
    @salmmasalmma1591 Před 6 lety

    Mm nataka vipimo mashaallah vyakula vyako vizuri

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      Salmma Salmma Vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @princeahmed5795
    @princeahmed5795 Před 3 lety

    Looking so yummy

  • @josephinenm7932
    @josephinenm7932 Před 7 lety

    beautiful! so glad i stumbled into your video. making chapati your way tonight. love from Kenya. asante sana na kiswahili chako nakitamani sana.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety +1

      Thank you, hope you like them. Kiwahili umekitamani, yaani sina comment ;) shukran

  • @salhasaidsalhasaid8346

    Masha allah umetoka mzuri. Naomba kujua umetumia mchele sina gani

  • @aishaharoub7994
    @aishaharoub7994 Před 7 lety +1

    shukran sister mashaaallah

  • @sophianyoni7997
    @sophianyoni7997 Před 8 lety +1

    siku zote nilikua natoa jiwe.. naamin ntatoa 😘😘😘 kwa sasa

  • @missyabdull142
    @missyabdull142 Před 7 lety +1

    asante dada kwa upishi wako mzuri

  • @salhajuma2250
    @salhajuma2250 Před 4 lety

    Mashallaah I tried it and came out so sponge and nice 👌👌

  • @xaummusa5593
    @xaummusa5593 Před 6 lety +1

    Shukran Allahu barik

  • @shadyamohamed6313
    @shadyamohamed6313 Před 5 lety +2

    Mashaallaaaaah thank you auntyyyy.. Best result ever..dats y i always love and confident to follow up your recipes.. Exactly the way i love, exactly the taste i like n exactly the smoothness (as a sponge)i love.. May Allah bless you n guide you..Ameen

  • @elizabethodindo2593
    @elizabethodindo2593 Před 7 lety +1

    shukran sana kwa funzo lako

  • @princessyvetteevedollyisma2586

    Wow nilitamani sana kujuwa kupika mkatee huu shukran sana

  • @habibachannel9662
    @habibachannel9662 Před 7 lety +1

    MashAllah shukran

  • @Raya-zm9wv
    @Raya-zm9wv Před 7 lety +1

    lnshaalla shukran habibty

  • @fatmamohammed1173
    @fatmamohammed1173 Před 8 lety

    Asante sana ntajaribu leo in Sha Allah

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 Před 7 lety +1

    Masha Allah

  • @mwanaidialimwayoyo1423

    Wow,ilov it

  • @annalema5272
    @annalema5272 Před 7 lety

    Shukrani mumy,Mungu akupe umri mrefu.love you my sister

  • @auriliamushi4092
    @auriliamushi4092 Před 5 lety

    Nimependa Sana mapishi y'all chapati, vitumbua 👌

  • @mamujymaulid8554
    @mamujymaulid8554 Před 7 lety +1

    Ma sha Allah..

  • @sophianyoni7997
    @sophianyoni7997 Před 8 lety +1

    mummy nimejaribu kwa mara ya kwanza nimetoa mkate lain na mtamu balaaa.. nakushukuru sana mana niliwah muuliza mtu anafanyaje hakunijibu kbs ... thanks mummy my hubby kaupenda sana ... kesho nitest chapati

  • @khadijakhamis1253
    @khadijakhamis1253 Před 8 lety

    Nimeujaribu lol very nice Allah batik ...

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 Před 4 lety

    Ahsant Alla akubarik

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 Před 8 lety

    thnx a lot my..... yanii naenjoy ninapokuwa najifunz kupika toka kwakoo..... Mungu akupe kila lililo la khery kwa kujitolea kwako.

  • @fatihiasalim8753
    @fatihiasalim8753 Před 4 lety

    Thanks hbbty for ure video,mashallah mashallah u're the best wajina

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      Shukran dear

    • @Noorally24
      @Noorally24 Před rokem

      @@aromaofzanzibar mchele wowote best unaweza ukatumia, ilikuwa ntk kufhmu maana kuna mtu kaniambia mpk mchele w VIP eti

  • @jikoninaAsya
    @jikoninaAsya Před 8 lety +2

    assalaam aleykum .shukran for the recipe i tried n all was good n today im making that again.

  • @roseamandus1065
    @roseamandus1065 Před 6 lety +1

    Nimependa sana

  • @hythamalmaamiry9355
    @hythamalmaamiry9355 Před 7 lety +2

    mashallah
    mm naomba utufunze kupika kashata za karanga

  • @aishaathuman6461
    @aishaathuman6461 Před 5 lety

    Jamani sasa hv nitajua kupika

  • @hemmyabeid5856
    @hemmyabeid5856 Před 7 lety +1

    Mashallah

  • @zassyhushy4640
    @zassyhushy4640 Před 7 lety +1

    Aslm alkm. Nimejaribu tena leo mkate wa sinia, Wallahi umetoka vizuri, shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety +1

      Yeeah! Mashallah, mambo si hayo , nashkuru kwa kunijulisha

    • @samahalmamariya6171
      @samahalmamariya6171 Před 4 lety

      Ma sha.Allah mzuri lakini vipimo sijakufahamu ungetupa kwa vikombe

  • @khadijahahmed8716
    @khadijahahmed8716 Před 7 lety

    mashallah mapishi mazuri sana.Allah akuzidishie kipaji chako.ningependa kuuliza haya mikate ya sinia tambi na mayai kubake kwake ni kama cake yaani moto wa chini tu ama ni vp.shukraan

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety

      Alkm salaam shukran, ku bake ni kama keki lazima moto wa juu na chini ,

  • @witnessmoshi8667
    @witnessmoshi8667 Před 4 lety

    Napenda Sana mpishi yako dad

  • @chefserengetimigrationcamp8596

    looks very nice bread

  • @zuuniece6635
    @zuuniece6635 Před 8 lety

    mashaallah asante kwa kutujuza

  • @tunnykhalifa8900
    @tunnykhalifa8900 Před 6 lety

    Ahsante sana

  • @zainabubakari5963
    @zainabubakari5963 Před 4 lety

    Asante dada mungu akubariki

  • @khamisisuleiman4315
    @khamisisuleiman4315 Před 8 lety +1

    masahaallah

  • @niajz9254
    @niajz9254 Před 7 lety

    Asante dada, your gifted

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 Před 3 lety

    Ahsante sana. Usitie madole kwenye chakula bhana!

  • @preciouspallangyo3605
    @preciouspallangyo3605 Před 6 lety

    Asante kwa somo zuri,,naomba maelekezo jinsi ya kutumia jiko LA mkaa mpnz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      Ahsante dear, mie nipo Marekani, sina jiko la mkaa huku

  • @fadnanoor5121
    @fadnanoor5121 Před 2 lety +1

    Mashacala

  • @asyaebrahim4390
    @asyaebrahim4390 Před 7 lety +1

    mashallah

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 Před 7 lety +2

    am goona try it today inshaallah

  • @habibtysalim2304
    @habibtysalim2304 Před 4 lety

    Mashaallah allah akubar

  • @latifahjamal7244
    @latifahjamal7244 Před 8 lety

    mashaAllah nice

  • @maralsaally4253
    @maralsaally4253 Před 4 lety

    M doing this today In shaa Allah

  • @zainabubakari4156
    @zainabubakari4156 Před 2 lety

    Mash Allah

  • @lonelyparent
    @lonelyparent Před rokem

    Umefanya mzito sana ndio sababu hauna vitundu sana

  • @khalidosman
    @khalidosman Před 5 lety +1

    Sallams Dada. Thank you so much for your videos they are very well put together. I soaked the rice last night and am going to attempt to make the bread that i love so much. Please note that the cardamom has been left out of your ingredients list on both the Kiswahili and English version. Will update you on how the bread turned out. Thanks again.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Thank you, I will update it. Hope your bread cake out well

    • @khalidosman
      @khalidosman Před 5 lety

      Sallams Dada my cake came out a little heavy without much holes in it. I dont know if my hamira has lost its power..also the top had a few deep cracks i dont know if you can help solve this solution..The taste was yummy and quiet a few slices have been eaten. Not bad for my first attempt. Any tips on how to perfect it would help me greatly. Asante in advance.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Sorry to hear about your bread but I think you did good if its your first time, it could be the rice not blended well and thats why the bread is dense.

  • @fatmabaya850
    @fatmabaya850 Před 6 lety

    Shukran dadaa mungu akujaalie kila la kher

  • @alwishariff663
    @alwishariff663 Před 6 lety

    shukran kwa maelezo haya

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 Před 8 lety +1

    pia mamy nipo very interesting na kujifunza kupika cake za birthday, wedding etc..... naomba mamy utuandalie video inayohusiana na decorations za cake ya birthday and wedding.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 8 lety +1

      Shukran sister, if you check my earlier videos I had some cakes. Right now am on vacation but Inshallah I plan to go back to cakes and cake decorating when I get back home in Aug, stay tuned check me out on instagram kwa jina la fathiya.ismail or its all about good food

    • @jescacosta5768
      @jescacosta5768 Před 5 lety

      nimempenda hongera sana

  • @aaliyatoussoufa3758
    @aaliyatoussoufa3758 Před 7 lety +1

    it's look like a comorian cake and its name is the same: mkatre a sinia. waw there is no differences betwen comorian and swahili. your language really seems like ours.

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  Před 8 lety +8

    You are welcome, thanks for yr support

    • @Binti1801
      @Binti1801 Před 4 lety +1

      Asante kwa hii recipe, nimejaribu ila chini uliungua sana na kati ukawa mtepe🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️ sijui nimefeli wapi, guide me please. Pia km nikitaka ku adjust moto wa oven ili usiungue ni vyema ni adjust to how much please? Ntashukuru kupata jibu, I real want to do it properly. Thanks a lot for your time❤🙏

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety +1

      @@Binti1801 Sorry darling it sounds kama moto ulikua mkali sana. I started with 400F/204C for 10 mins and then 350F/176 for about 30 mins

    • @Binti1801
      @Binti1801 Před 4 lety

      @@aromaofzanzibar yeah that what I set to, natumia jiko la gas so may be ndio maana imekua too hot. 🤦‍♂️

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      @@Binti1801 May be so or perhaps the pan is too light.

    • @Binti1801
      @Binti1801 Před 4 lety

      @@aromaofzanzibar may be, ntajaribu tena, hadi kieleweke😅😅😅😅 thanks for all your hard work. Niulize uko wapi au kama una restraurant?

  • @saluasalha8502
    @saluasalha8502 Před 7 lety +1

    and asante kuchukuwa mda kunijibu

  • @nellymusa5210
    @nellymusa5210 Před 6 lety +5

    nakupenda Sana my Dada nimejifunza mengi Sana kupitia kwako,nashukuru Sana nimejua kupika hatar,Mpaka mume wangu ananiuliza mmmh mbona siku hizi napika vitu vitam Sana.lav u so much

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety +2

      Ahsante sana na hongera kwa jitahada zako dear, mwanamke kuwa na ujuzi ni kitu kizuri na muhimu sana x love you too dear

  • @aminambaraka4157
    @aminambaraka4157 Před 2 lety

    Assalam alaykm warahmatullah
    Moto ni juu na chini ama

  • @beijajamal8634
    @beijajamal8634 Před 7 lety

    ok dada nimeelewa shukran jazeera

  • @biommy6700
    @biommy6700 Před 3 lety

    Yani uwaga nakuelewa mamy hatari, penda sanaa wewe mwalimu wangu

  • @zahramohamed9519
    @zahramohamed9519 Před 7 lety +1

    Thanks sister

  • @edotensei4904
    @edotensei4904 Před 5 lety

    safi sana

  • @salmandege3961
    @salmandege3961 Před 3 lety

    Ma shaa Allah...mi nataka wa kupika kw jiko la makaa

  • @ahmedfaraj3771
    @ahmedfaraj3771 Před 7 lety +1

    Ok Thank u so much

  • @usnamusa5315
    @usnamusa5315 Před 4 lety

    Nitajaribu InshaAllah

  • @beijajamal8634
    @beijajamal8634 Před 7 lety

    nice recipe unaeza nionesha jinsi ya kupika mkate wa tambi na tambi za kukaanga

  • @carolynelululuflenge7598

    Asante mwali nimefurahia sana nilimiss mkate wa kumimina nipo Tanga for vacation mama akaleta kwa ajili ya chai nikaenjoy sana. Nataka kujaribu kupika nimependa recipe yako. Japo sijaelewa mchele kiasi gani, hamira sukari n.k.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 8 lety

      Shukran, vipimo vyote nimeandika hapo just scroll down kwenye hiyo heading ya video utaona

    • @njeshkymani9656
      @njeshkymani9656 Před 2 lety

      @@aromaofzanzibar Hamira vijiko 2/3 u have both plus you missed the cardamom measurements ty.Making this right now…

  • @arasa904
    @arasa904 Před 6 lety +1

    Ndio naona huku nyumbani wao wamekariri mapembe zaidi kwaiyo cjawahi kujaribu kwa aina nyngn ya mchele ila nitajaribu

  • @pudensianmhally9595
    @pudensianmhally9595 Před 7 lety +1

    nice