Mashallah,! shukran Sana kwa kutufundisha..Allah akuzidishie barka . Ila nauliza hicho kipimo Cha kikombe unachotumia kupuma maji , sukari na unga ni size hiyo hiyo moja?
Dada angu samahan naomba unijibu eti nimenunua Sona milk ya dukan na nimetumia kidogo nimebakisha inafaa au Ile ni aitakiwi kubakia itaalibika alafu chengine naitumia bila kuichemsha ni sawa pia
Mashallah mie naenda wew unavo pika ninge tamani nikujue nikikuiga. Unavo pika nakupatia
mashallah mazuri yameanza hayo...Allah atujaalie ni wenye kuipata ramadhan In shaa Allah
Ameen❤
Amiiin
Naomba nijibu dear kwann nikipika Huwa zinapasuka na kuruka sana? Kiasi kwamba zinaruka na mafuta unaweza ungua,nakosra wapi???
Asalamu Aleikum mashallah mungu akuzidishie ujuzi zaidi nauli hii zafaran ina maana gami katika chakula naomba nijulishe plyz nakupenda sana
Mashallah tabarak Rahman thanks dear 🥰🥰🥰🇴🇲🌹
Shukran habibty receipe rahisi sanaaa I'll try this
Very nice mashaAlla
ماشا۶الله ماشا۶الله ماشا۶الله تبارک رحمان
MashaAllah. Thank you habibty for sharing. I will try these Kaimatis for Ramadhan. ❤
In sha Allah dear. Will be waiting for your feedback ❤
MashaAllah 🥰🥰🥰
Mashaallh ❤
Masha Allah
Very good idea ❤👌
A alaikum shukraan sana nimejaribu kupika kama hivo zimekuja vizur sana miaka mingi nazipika kaziji shukraan wa jazaka llah lkheir
Mashaallah dadate upo vizuri kwa mapishi
Ni nzur San mashaallh
Mashaallah
MashaAllah, Jazaaka Allah.
😊❤
Assalam alaykum ❤MashaAllah
Shukraan sanaa nimepika kama hivo jana 👌
وعليكم السلام ورحمه الله وبركاته ♥️
Mansha'Allah tabarak rahman
🥰❤❤
Ramadhan Mubarak
Allah akuhifadhi habibty
I like the piping bag idea 👌
Asante sana tena sana mungu à bariki kazi za mikono yako
Ameen💕
mashaallah mazrui
Nzuri sana
Mimi iyi shira nilitamani nielewe ku itengeneza nimejaribu siku nyingi nika shindwa leo nimeona nime elewa Asante dada unatafsiri nzuri sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤
Mashallah nzuri sana
Asante💕
Thanks habibty for this recipe, av always wanted to know how to make these kaimati.. May Allah bless you abundantly
Ameen❤🥰
Maa Shaa Allah 🤤🤤🤤
❤❤
Asante sana
Mashallah,! shukran Sana kwa kutufundisha..Allah akuzidishie barka . Ila nauliza hicho kipimo Cha kikombe unachotumia kupuma maji , sukari na unga ni size hiyo hiyo moja?
MashaaAllah na kahawa ..mfano ikibaki shira waeza ihifadhi ukatumia mda mwengine
Ndio unaweza
@@Mapishirahisi Shukran habibty
❤❤❤❤❤
Nzur
Nitajaribu
Ungetoa n namb habibty 🥰
Dada angu samahan naomba unijibu eti nimenunua Sona milk ya dukan na nimetumia kidogo nimebakisha inafaa au Ile ni aitakiwi kubakia itaalibika alafu chengine naitumia bila kuichemsha ni sawa pia
Very nice, but I don't use custard powder, if you can tell me how does it help in kalmati, the custard piwder
Makes it crunchy and also good taste but you can skip or use Corn flour instead
🤤🤤
this is so nice....if you don't have saffron what else can you use?and is custard a must
You can skip saffron. And for the custard you can skip it too or use corn flour instead
Maji baridi au warm
Y i cant gv it a like
Mashallah 😍😍kma hauna castard naweza tumia nn??
Tumia corn flour dear 😊
Will they dry and form the white sugary crust? And what is the custard powder doing to Kaimati.. Is it optional?
No they won't dry. Custard makes it crunchy and gives it good taste. You can substitute the custard with corn flour or just leave it
@@Mapishirahisi
I tried them today so yummy and cripsy. Can we have another recipe for dry kaimati please.
I'm actually editing the video right now😆. The video will be up tomorrow morning ❤
@@Mapishirahisi
Thanks. Saum maqbul.
Aa sasa hizi ndio kaimati za shira mashalla kuna watu waonyesha kaimati ukiziona kama mengo (nzito sukari yake nzito ) haipikwi ina onyeshwa moto
MashaﹰAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni nini safarini umeweka sikuelewa maana safarani ni haswa plz
Mimi pia sikuelewa
Kama huna zafaran waeza tia rangi ya chakula
Dad nifudishe..chapati za kusukuma
Recipe ya chapati tayari tuko nayo hapa youtube dear
Kama sin
Mashaallah