Hi Lovies kama hauna hand mixer unaweza kutumia mchapo tu wakawaida muhimu ufate kila nilichosema kama una new technique share na sisi tujifunze shukran na nawapenda sana 🥰 Video zangu za biashara hizi hapa⬇️ czcams.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html Please Subscribe and share #roadto50k
Masha Allah ,pish n zur na nimelipenda pia ,,ila mm nilikuwa naomba unielekez jinc ya kutengenez iyo ising sugar n vitu gan labda vinahitajika ili kuitengeneza .
Ukieka sukari zikiwa moto nibora ila hakikisha zinaliwa zote zinaisha ama sugar itayeyuka si unajua mambo ya sukari na pia zikipoa simbaya ukieka sukari
I love your recipes bt hii umenikoroga dear vikombe viwili unga alafu ukasema 500g nkapima tu unga 500g skutumia vikombe bt hapo kwa sukari unsema kikombe kimona sasa nashindwa ni vipi 🤦
Hi Lovies
kama hauna hand mixer unaweza kutumia mchapo tu wakawaida muhimu ufate kila nilichosema kama una new technique share na sisi tujifunze shukran na nawapenda sana 🥰
Video zangu za biashara hizi hapa⬇️ czcams.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
Please Subscribe and share #roadto50k
Unaweza dear uchanganye vizuri
Naomba vipimo vya baking powder dadangu na unga
@@hadijarama2774 kipenzi ukiwatch video kila kitu nimetaja
Tizama Video hii Love Story 👇 XXXX
czcams.com/video/oUMutSyv3Cc/video.html
@@hadijarama2774 Tizama Video hii Love Story 👇 XXXX
czcams.com/video/oUMutSyv3Cc/video.html
Wimbo harram habibty tia quran upate barka dunia tunaishi kwa mda mfupi mamy
She won’t be able kutuelezea recipe if Qur’an is on, when its on we have to listen no talking,
Wow great recipe dear...... loved it ❤️❤️
Recipe simple na mzuri Sanaa. Delicious 😋😋
Thanks
Mashaa Allah. Nimefanya kwa Eid. Wow zilikuwa nzuri sana.
Shukran mpenzi hayo ndio mambo yakutry yaani unapata kitu murua kabisaaa
Asalam alaykum lovie this recipe ndio natoka kumaliza kuifanya wallah thank you so much habibty ❤❤😊 Allah barik
Looks so tasty! Yum yum! I love fresh donuts!
Thanks sis
Nakupenda bure Dada Hadija Shebani kwa mapishi tu uko vizuri
MashaAllah easy recipe aki
Thanks and all the best🥰🥰
Perfect MashaAllah
Thanks you for sharing. So nice 💖
Welcome
MA'SHA'ALLAH today I wil make donutes thou I know bt I like to watch Ur recepies
We call this a real support darling I love you❤️
Great recipe
Wow i love this. Thnx
Most Welcome dear
Thank you for the recipe I will try it.
Most Welcome
ada ya idi. mashallah sante kwa recipe
Tabarakallah my daughter thanks for coming
WOW ❤it's was an easy recipe which was soft and delicious 😋.thank you for the recipe
most welcome dear
This is a must try recipe
Thanks
Mashallah, I love donuts
Tabarakallah mm pia sanaa
Mashallah ajab mashallah
Mashallah I know how to make doughnuts but I'll try your recipe
All the best love
Mashaallah shukran sana habbty nimejifunza vizuri afya na umri akujaalie Allah Barka Allah fi ❤
Allahuma ameen shukran babees
Maa sha ALLAH
Tabarakallah
MashaAllah zaonekana nzuri
InshaAllah nitajaribu hii recipe
utapenda sana love
MashaaAllah yummy💕
Shukran ❤️
mashaAllah mashaAllah.nafanya vya idd shukraan habibty.
Tabarakallah mrejesho muhimu
Nice
Hi from a new subscriber.. love the recipe
Hi thanks soo much
Shukran🙏
Afwan😍😍
Has good taste
Woww hio nimependa
Asante sana
Hoyaaa MashaAllah. Mambo mazuri huku. Niko kwenye Saum mate yanitoka 😋. Shukran kwa kushare. Lv u babe❤️
Love you too my babeee and afwan🥰🥰Upikie jamaa eid InshaaAllah
MashaAllah...
Tabarakallah 😍
Habibty Allah akulipe kheir....nimefanya ilikuw nzur saaan 😋😋
Allahuma ameen nimefurahi sana
mashaallah
Excellent sister
Thank you soo much
Mashallha.asha.nijaribu
Ok love
Beautiful very beautiful 🌹👍🌹
Thanks
Mashaallah
Tabarakallah
Me listening the melody❤ by the way...uko vzr dada dija....penda ww from Tanzania
penda ww pia love
Soo cute 🥰
Thanks soo much
Nitam sana mm juz nimeinjoi
MashaaAllah Shukran mpenzi
Mashallah tuko pamoja lazima najaribu
Shukran ❤️
Hunger mmashallah
Tabarakallah
Msallah
asante Sana dadangu barakallah
Afwan🤲🤲
Nziri
MashaaAllah dadaa hizi nkifanya za bz ntatoa
Zalipa vizuri sana nitafanya soon za biashara
Asante
Karibu sana dear
MashaAllah
Tabarakallah
Mashallah
Tabarakallah
Mash allah kama unaejua mimi ni mmoja wapo lazima ziwepo hizo donat za ki kwetu Shukran sana
Nakupenda sana ❤❤❤
Hizi ndio za kiasili mpenzi pia upande wangu na nakupenda pia..ramadhan inawapelekaje na family?
@@HadijaSheban alhamdulilah ramadhani yatukimbia dear
Sisi tupo vizur alhmdulilah
kweli ramadhan huwa inakimbia sana ila Alhamdullillah
Asante tamu
karibu
Manshallah
Tabarakallah
Easy to make and nice
Thanks dear
Vp khaliak
Asalam alaikum waramat lay wabarakat vp khaliak dada yangu kwa jina naitwa khadidja nimeped upishi wako
Mapishi
Mum yammy
Thankss🥰
@@HadijaSheban recipe ya biriani vipi unatuletea lini
Looks yummy 😋 😍 😊 😀 😜 thanks for sharing your good recipe 😀 👍 😋 😊
Most Welcome
Masha Allah ,pish n zur na nimelipenda pia ,,ila mm nilikuwa naomba unielekez jinc ya kutengenez iyo ising sugar n vitu gan labda vinahitajika ili kuitengeneza .
Chukua sikari weka kwa blender ya vitu vikavu blend mm siweki vitu
Mambo ya uswaazy sio,😋
Eeeeeh ndio haya mambo yenyewe
@@HadijaSheban
Nakubali siz
Hi kun video ingne ulitumia amira, naomb niandikie ingredients kwa kiasi
Woow
Thanks
Nimependa donasi zako ❤
asante sana kipenzi
Hio kitu ya white umeziwekea ni nini? They look so soft and yummy. Wacha sasa tutengeneze zetu🤗👌
Sugar nimesaga sis
😋😋😋😋😋😋😋😋
I like pendasana
Sante sanaa
Aslm alykum nimependa sn lkn kama hutumii blue band unaeza kueka nn
𝑴𝒎𝒎𝒉 𝒕𝒂𝒎𝒖𝒖𝒖.
Mafunzo bora dadangu
Shukran mpenzi
Ungekua mwalimu, wanafunzi wangepita sana somo la upishi. Unaeleza kwa kina.
Shukran sana bro nimefurahiiii sanaaaa
Wanikumbusha donasi za pate na shela.👌❤️ MashaAllah
Tabarakallah mpenzi
Huweki hamira
Huweki love
Yani mate yanishuka uku🤤 me mbili zinanitosha 😂
Takupa tatu kaka
Nazipenda Dana donat
mimi pia
Mm nauliza vp unaweza kutumia saml badala ya siag
Prestige/butter/blueband sijawai tumia samli kwahizi
Assalam aleykum dadaa?Je unaweza kutumia BICARBONATE of SODA?
Waaleykhm mussalam no
Hey Haloo dida mm nimependa hii.
Hey shukran sana usisahau kushare
Hi dear hata mm pia nimependa
@@fatumagilo9712 shukran sana dear
🤗🤗🤗😘😋😘
❤❤❤
Measuring cup nne ndio nusu kilo(500g) na si mbili kama ulivyosema katika recipe hii ya donasi
Ok
Hiv haiwekwi amira?
Samahani donat huweki Amira
Ndio dear hizi sio za hamira
@@HadijaShebankwani huwezi oka au hazitakuwa nzuri
Nipikie keki kutumia jiko la makaa nione kama itatoka poa coz sina machine
InshaaAllah soon nawaletea 😍😍
Asalam aleykum naomba vipimo vya biashara kuanzia kilo moja ya unga.
Waalykhm mussalam ongeza hivi mara mbili au tatu yake
Vp mayai hayana kiwango maalim??
nikama hivyo nlivyosema
eti hapo kutia sukar mpk zipoe au hvohvo zimoto?
Ukieka sukari zikiwa moto nibora ila hakikisha zinaliwa zote zinaisha ama sugar itayeyuka si unajua mambo ya sukari na pia zikipoa simbaya ukieka sukari
Hvi huwez kukandia na mafuta au siag mdda
hizi sio hizo love
Au weki amira?
Siweki
Pishi limenivutia sana
Asante sana kipenzi
Nauliza huwezi tumia maziwa ya kawaida.badala ya maziwa ya unga
Maziwa ya unga yana faida yake kipenzi try yakawaida pia simabaya
Kipimo ya butte
Nimetaja deae
Nimetaja deae
Kama huna mixer huwezi tumia brender?
Mpenzi tumia mchapo tu kama hauna tumia blender
@@HadijaSheban asante
I love your recipes bt hii umenikoroga dear vikombe viwili unga alafu ukasema 500g nkapima tu unga 500g skutumia vikombe bt hapo kwa sukari unsema kikombe kimona sasa nashindwa ni vipi 🤦
Sababu kikombe changu 500g ni zaidi ya vikombe 3
kikombe changu kimoja ni 250g
Kama sina butter nitatia nini blue band ama🙄🤣
Eeeh mpenzi weka ile yakwetu yakupima
@@HadijaSheban Naeza tumia exe mandazi
@@MaggieG276 hio hapana mimi nilitumia zilikua ngumu sana sijui shida ilikua ipi but taifa selfrising best supermarket zipoo
@@HadijaSheban Okay.Thank you
@@HadijaSheban maziwa kama sina
Maa sha ALLAH
Tabarakallah ❤️
mashaallah
Mashallah
Tabarakallah
MashaAllah
Tabarakallah
MashaAllah
Tabarakallah