BUNGE LAMPARUA MO DEWJI , SERIKALI KUMNYANG'ANYA VIWANDA NA MASHAMBA YA CHAI NCHINI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 05. 2024
  • BUNGE LAMPARUA MO DEWJI , SERIKALI KUMNYANG'ANYA VIWANDA NA MASHAMBA YA CHAI NCHINI
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Komentáře • 173

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Před 29 dny +11

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @abdulazizitwalib5859
      @abdulazizitwalib5859 Před 27 dny

      Usijidangaje ndugu . Yesu ni mtume wa Mungu na alitumwa kwajili ya Wayahudi tuu . Na sio kwetu sisi tunatakiwa Kumuamini Muhammad kama mtume wa Mungu na uislamu ndio Dini ya kweli .

    • @mcgeemwamba9303
      @mcgeemwamba9303 Před 9 dny

      Usiseme tena (ulithi) tamka (urithi)

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 Před měsícem +14

    Msikilizeni mwekezaji anasemaje pengine Kuna tatizo mahali. Serikali ikipewa kz ya kuendesha kiwanda itakuw ovyo zaidi.

  • @YusuphNkondo
    @YusuphNkondo Před měsícem +14

    Hongera Mh.Mnzava kwa kuwasimamia wakulima,endelea kuapambana kwa ajili ya wanting.Mungu akusimamie.

  • @user-cy5nz6lh3u
    @user-cy5nz6lh3u Před měsícem +5

    Tunaye spika wa bunge mwenye utu na uwezo mkubwa wa kuchata mambo kwa haraka sana. Tanzania tunawatu wenye uwezo mkubwa sana Mfano mzuri ni Mh. Dr. Tulia, nimependa sana kuona mwanasheria akiweza kufanya cost benefity analysis ya mambo yanayohusu kilimo cha chai na kutoa ushauri wenye mashiko kwa serekali. Hongera sana Dr. Tulia

  • @user-pk9cz5kz3e
    @user-pk9cz5kz3e Před měsícem +10

    We kiongozi mpumbavu sijui auna elimu ngoja tukupe elimu kidogo mwalimu Nyerere aliacha viwanda vingapi na mo anaviwanda vingapi. Nyi CCM wauni na mshukuluni mwenda zake Bunge la vichaa

    • @mcgeemwamba9303
      @mcgeemwamba9303 Před 9 dny

      Wahuni na si (wauni)

    • @mcgeemwamba9303
      @mcgeemwamba9303 Před 9 dny

      Mshukuruni na si (mshukulun) wewe ndiyo muhuni Sasa Kwa kua unachafua Lugha yetu ya kiswahili

  • @babajaden3525
    @babajaden3525 Před měsícem +16

    Umeme wa magumashi mnategemea nini? Kodi rundo na serikali hatujui nani anaiendesha

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose Před měsícem +9

    Kumbe hakuna sheria inayo simamia ya kumlinda mzalishaji' mbaka Raisi aamue?

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Před měsícem +24

    Issue ya Ku deal na Hawa wafanyabiashara inahitaji subra Saana, Ila MO na Wenzie wakumbuke utajiri wao wameupatia Tz, kwahiyo nao waonyeshe jitihada zozote mana Serikali haina Nia ya kuwapokonya, hapo ndio Kuna umuhimu wa kuwezeshana wazawa, Hawa wana uwezo wa kuhama Nchi, Ndo mana nawakubali saana Nigeria, angalia list ya Matajiri wao ujifunze kitu, sisi ukiinuka tu TRA wanakurudisha Kwa makusudi bila hata ya elimu Kwa mlipa kodi, kama yule Mtanzania alie jipiga risasi.

  • @IsmailJafari-pe1dv
    @IsmailJafari-pe1dv Před měsícem +3

    serikali ye2 ya tanzania niwezi2 allah atawalani wote wnao ongoza tanzania hiii ameen,

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Před měsícem +21

    Moo siyo tatizo bali tatizo ni serkali, wafanyabiashara kama moo wanashirikiana na uongozi wa serkali kwenye upigaji, mfano baada ya kusikia kuna fursa ya ruzuku ya mbolea kwa moo ameingia na kwenye mbolea na siku pesa za serkali zikiondolewa hautamuona tena kwenye mbolea

    • @emanuelpetro9591
      @emanuelpetro9591 Před měsícem +5

      Nikuongezee kitu mkuu,Mo anauza mbolea zenye kiwango na ufanisi mdogo mno

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Před měsícem +7

    Sector ya chai Tanzania Iko chini sana.

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před měsícem +4

    Leave Mo alone nyinyi fisi? Mmejaa wivu, mnataka kumegewa mbwa koko nyie!

  • @pendatv1675
    @pendatv1675 Před měsícem +1

    Tanzania naona bunge la wananchi
    Kwetu kuna bunge la wanasiasa
    Hongera sanaa

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 Před měsícem +9

    Nyote maccm. Wizi, Unyanyasaji, Unyonyaji ndio malengo yenu

  • @innomatixworldwide5003
    @innomatixworldwide5003 Před měsícem +5

    Kwani mo si alishasema anataka aachane navyo nyie mkawa mnamlazimisha aendelee

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před měsícem +2

    Bashe oyeeee!

  • @judicatendengerio-ndossi1583

    Hongera Mh. Speaker.

  • @user-up3kx4ju7m
    @user-up3kx4ju7m Před 21 dnem

    Kumekuchaaaa polen. Viongizi

  • @ReganRingo
    @ReganRingo Před 4 dny

    Safiii

  • @mdimifrank
    @mdimifrank Před 8 dny

    Tatizo kubwa ni maokosa yaliyofanywa na Serikali. Baada ya Ubinafsishaji, Serikali iliiondolea PSRC Majukumu ya Ufualitiaji wa
    Mashirika yaliyobinafsishwa. Wizara mama zikapewa majukumu hayo. Hazikuwa sehemu ya mikataba.

  • @BonaventuraLusaulwa
    @BonaventuraLusaulwa Před měsícem +1

    mama anaakili sana

  • @makibadatela7865
    @makibadatela7865 Před měsícem +3

    Mwekezaji huyo Ni Wenu na ni Kada wa Chama chenu hapo mnavuna mlicho panda, Mengine ni Hadithi tu na maigizo tu, Mjamaa mbabaishaji akiwa mfanyabiashara au Mjonyaji huwa anazaliwa Fisadi.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Před měsícem +6

    Labda huenda kodi zinawashinda

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj Před 26 dny

      Huendaa ikawaa hv hakunaa mtuu anawwzaa kuachaa kazii inayomlipaaa

  • @michaelbarasa3716
    @michaelbarasa3716 Před měsícem

    Watching with keen interest. A practical approach to compliance towards ESG principles, with an objective to Forster absolute compliance to avoid clashing with lead statutory SH institutions and financial facilities. Absolute ethics also necessary. Good luck everyone😏

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před měsícem

    Good speaker, Bashe anataka chai iharibike

  • @Oleruda
    @Oleruda Před měsícem +1

    Napongeza bunge mko vizuri

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 Před měsícem +2

    Thubutu....hakuna kigogo yeyote anaeguswa hapa nchini.Bashe anajikanganya bure kwa sababu analijua suala hili muda mrefu lkn hathubutu "kumshika sharubu simba".

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Před měsícem +9

    Kwa nini afunge kiwanda kama kinafaida?

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj Před 26 dny +1

      Ndoujiulizeee sasaa wenyewew wanatujalii sisi wakulimaa tuu vip kuhsu muwekezaji hawajali

  • @DamianJustine-hs6dk
    @DamianJustine-hs6dk Před 21 dnem

    🎉🎉🎉

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 Před měsícem

    Safi Mh.Speaker

  • @GAZARAZSPORTS2123
    @GAZARAZSPORTS2123 Před 19 dny

    tukimaliza kukunyang'a mashamba na viwanda vya chai,kisha tutunamalizia na simba yetu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Před 29 dny +1

    Ndio tatizo lakutegemea matajiri ispokua humjui usumbufu wanaoupata watu wa viwanda matatizo mengi tre ni adhabu tosha kwakila mfanya biashara

  • @user-zy5vg9ub5e
    @user-zy5vg9ub5e Před 25 dny

    Mh kazi kweli

  • @abdulazizitwalib5859
    @abdulazizitwalib5859 Před 27 dny +1

    KICHWA CHA HABARI KINAONGEA MENGINE . NA WABUNGE WANAJADILI TOFAUTI NA ULICHOANDIKA ADMINI

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s Před měsícem

    Mo ni mfanya biashara serikal hamna sapport kwao

  • @NchambiMaduhu
    @NchambiMaduhu Před měsícem +4

    Mo anasaidia sana wafanyabiashara wadogo tupo na MO

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Před měsícem +1

      Anakusaidia wewe kaka

    • @hattusilli2225
      @hattusilli2225 Před měsícem

      Mshauri bas , watu wanaitaji mazao ya chai . Nicotine muhimu kupatikana asubuhi .

    • @255kessy5
      @255kessy5 Před měsícem

      Uchawa Hadi kwenye chai😂😂😂

    • @255kessy5
      @255kessy5 Před měsícem

      No amekasirika baada ya kubanwa kwenye sukari baada ya kuleta tafrani iliyopelekea Bei kupanda Sasa anataka kuonesha umuhimu wake hili sio sawa kwasababu anatumia nafasi yake vibaya

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 Před měsícem +2

    Anafanya hivyohivyo kwenye timu ya mpira ya Simba , ni bonge la tapeli lile
    Simba inaliwa nayo wekeni takukuru

  • @NchambiMaduhu
    @NchambiMaduhu Před měsícem +3

    Mo hana neno

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Před měsícem +2

    Chai ikatwe

  • @YusuphNkondo
    @YusuphNkondo Před měsícem +2

    Tumpe sapoti mwamba Mh.Waziri Bashe awashughulikie hawa wawekezaji makanjanja.

  • @kateadam8204
    @kateadam8204 Před 12 dny

    huyo tapeli hata simba anatutapeli keenge huyo😊😂😂😂

  • @mansixwilliamofficial5496

    Ndo maana hata Simba sports club inasua sua,kumbe tajiri kafirisika😂😂😂😂😂😂😂

  • @hanafitotoya7762
    @hanafitotoya7762 Před měsícem

    Good mh mzava nilikua sijakufahamu uzuri kaka kumbe unawajali watu wako kwahili lachai nakupa 5

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 Před 22 dny

    Huyu ndiye spika wetu tunaemfahamu angekuwepo Yanga ilipoalikwa bungeni wananchi wange e njoy.😂

  • @user-up3kx4ju7m
    @user-up3kx4ju7m Před 21 dnem

    Kumekuchaaaa

  • @user-gw7fu9pu7d
    @user-gw7fu9pu7d Před 21 dnem

    Mtauwa uchumi wa Tanzania... If you don't respect the strong business mens

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 Před 20 dny

    Mambo yenu yamewashinda kila kitu kinachosimamiwa na serikali ni hovyo viwanda vya Moe mtaviweza? Afya hovyo, Elimu hovyo, miundombinu hovyo mashirika yote ya serikali yamejaa rushwa mtupu mtaweza haya mengine kama sio roho mbaya?😢

  • @devidmgono-wq1lf
    @devidmgono-wq1lf Před měsícem +2

    SIO VIZUR

  • @malcolmkisanga7607
    @malcolmkisanga7607 Před měsícem +1

    hayo mashamba mo amesha sema wazi hataki kuendelea nayo serikali yenyewe ndo ilimwomba asifunge kwa kuhofia watu kupoteza ajira. lkn tuheshim mamlaka

  • @kordunmollel
    @kordunmollel Před měsícem

    Una akili sana speaker wa bunge

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 Před měsícem +1

    maneno haijenge msingi watanzania ni mafundi wa maneno

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Před měsícem +1

    Hao ndio wabunge tunao wahitaji sio mtu kazi kulala bungeni na kula posho

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE Před 25 dny

    Mmmmmmh hadi inatia huruma,kumbe kila kitu kimesha binafsishwa.

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 Před 17 dny

    Lengo wanataka kuiua Simba mazima.

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Před měsícem +2

    Moo ni kada wa ccm .Ccm ni mabingwa. wa.kushindwa,sema mmeanza kumalizana. wenyewe,maana ccm walifunga sukita

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l Před měsícem

    Wezi hawa hawana uchungu na maisha ya watu.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Před měsícem +6

    Wahindi janja janja sana.

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x Před měsícem

      Wanatumiwa na viongozi. Kama anavotumiwa mange kimambi

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Před měsícem +1

    Aibu kubwa sana. Chapa mtu kiboko.

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 Před měsícem

    Jamani Kama munachukua Halafu munatafuta muwekesha mwingine? Mie nipo interest kuwekesha nyumbani

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 Před měsícem

    Ah

  • @mohamedgau490
    @mohamedgau490 Před měsícem

    Mh. Waziri chukua hatua ili kuokoa uchumi wa nchi, ajira za wafanyakazi mashambani huko na kipato cha wakulima.
    Sio chai tu hata Mkonge pia, hali siyo nzuri.
    Sina uhakika na hiyo timu uliyounda kama itakuwa na jipya.

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Před měsícem

    Huyu wa waziri naye mbabaishaji sana na mpigaji kama wengine

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 Před měsícem +1

    Sasa kama ni chai si wanywe

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna Před měsícem

    tatizo la hii nchi kodi ni nyingi sana yani kila kona ni kodi alafu unakuta kwenye kiwanda manager mwizi dereva mwizi mafundi wa magari wezi yani kila sehem ni shida tu ndio mana viwanda inakua ngumu kuviendesha serekari ipunguze kodi kwanza sio kumlaumu tu mudy

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před měsícem

    Sasa jamani nyie wabunge kuinama.hivo.mkotoa.hoja si.mtapinda.migongo

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 Před měsícem

    Mo dewji kapata utajiri kwa kuwanyonya wakulima, huyu katuibia sana ni time serikali imshughulikie

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Před měsícem

    Waziri huku Njombe huyu mwekezaji mwongo tu!!

  • @AsaelBayaga
    @AsaelBayaga Před 28 dny

    Ww mwenyewe hujui kuandika badala ya kuandika HAUNA unaandika AUNA hiyo ni elimu ya wapi?

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 Před měsícem +2

    Mo ni mbabaishaji. Alihodhi hayo mashamba awali kumuwezesha kupata mikopo kirahisi. Ukiangalia hata ubora wa bidhaa za Mo ni mbovu.

  • @user-gd3qz5pe6x
    @user-gd3qz5pe6x Před měsícem

    Kumbe na huku daa Mara alisema

  • @plumbingtanzaniaplumber7570

    Muwekezaji asipowekewa mikataba migumu kumbe ni jeuli sana wanatupiga hela alafu wanatudharau huyo anyanganywe tu

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 Před měsícem +2

    Huyu Bashe mwanangonjera tu; sukari tu imemshinda kushusha bei 3200 tunanunua.

    • @azmam53
      @azmam53 Před měsícem

      Kwani sukari ilipo panda ikiuzwa 3200?
      Au umepoteza kumbukumbu?

    • @rashidyyusuph4386
      @rashidyyusuph4386 Před měsícem +1

      Kwhy 3200 ajafanya kitu?

    • @maggiechristopher8817
      @maggiechristopher8817 Před měsícem

      Hakuna waziri kanjanja kama Bashe, endeleeni kusikiliza maneno yake

  • @jumamsigwa2896
    @jumamsigwa2896 Před měsícem

    tatizo kama hilo na luponde liko mshahala wafaynakazi Miezia m🎉 itatu hawajapata

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Před měsícem

    Wizara hii kwa Bashe ni kubwa, haiwezi

  • @DaudiJulius
    @DaudiJulius Před měsícem

    Mi naona bora ata moo kuliko uozo wa serikali yetu ya ccm

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur Před měsícem

    Nyinyi kama serikali nunuweni sasa huyo ni mtu binafsi utamurazimisha

  • @realskywalker4509
    @realskywalker4509 Před měsícem

    Huyu mama ana akili sana

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Před měsícem

    Tuhitaji hao wabunge nimbunge imara anajitambua na anaijua kaziyake pia nampongeza spika acheni bungeni kuongelea itikadi ongeleeni matatizo wenye viwanda wapunguzieni kodi kodi kubwa

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o Před měsícem +2

    Mbona sukari haijashuka bei acheni utoto na usenge

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 Před měsícem

      Toa hoja sio matusi. Kuwa mstaarabu. Kama huna hoja kaa kimya.

    • @abdultsndega3411
      @abdultsndega3411 Před měsícem

      Nakuunga mkono Kuna watu hawajui Hilo sababu ya mabando ya wiki tu.​@@mwalimumstaafu8529

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf Před měsícem

    Anyanganywe haraka Sana

  • @user-cp1ff4bm3k
    @user-cp1ff4bm3k Před měsícem

    Pia mimi ningeomba huyo mohamedy ahojiwe just ya sualala kutangaza mkopo online kwa njia ya mtandao wa fasbuk

  • @suleimanharoub9252
    @suleimanharoub9252 Před měsícem

    Waziri Hussein Bashe piga kazi juhudi zake na bidii zako tunaziona Mungu yupo nawewe

  • @pascalpembamoto6968
    @pascalpembamoto6968 Před měsícem

    Mo kazidiwa msadieni anapokwama.

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 Před měsícem

    Yani kiufupi TU ni kuwa Moo Hana mpango na hivyo viwanda ,hakuna wa kuviendesha make ni hasara tupu

  • @user-yc4xc5wt1m
    @user-yc4xc5wt1m Před 26 dny

    Kolosho.hazitakiwi

  • @user-zo8ep4rz3l
    @user-zo8ep4rz3l Před měsícem

    Mheshimiwa Speaker serikali iwajibike ilivyo haha investors engine wanataka kuichonganisha serikali na wsnanchi

  • @mdachibakari7317
    @mdachibakari7317 Před měsícem

    Hao ndo matajiri wa kihindi

  • @user-ot5us9mz9w
    @user-ot5us9mz9w Před měsícem

    Hakuna mbunge hapa anaenejana karibu na uchaguzi

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 Před měsícem

    Jiangslieni wenyewe kabla ya kumnyooshea kidole Mo

  • @leylascherer3111
    @leylascherer3111 Před měsícem

    Kilakitu mo 😂 jamani hii tanzania 😢wapewa waekezaji wengine chai mandazi mkonge kilakitu ni yeye Simba yeye too much is poisonous.thank you for waking up.

  • @sokastreet
    @sokastreet Před měsícem

    Huyu mama speaker kuna muda anaongeaga vtu vya maana

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Před měsícem +5

    Naomba kila siku kw Mungu Mama samia ampe nafasi ya uwaziri mkuu makonda nchi itapendeza tusaidie mama hata uchaguzi ujao tumpate makonda awe waziri mkuu

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 Před měsícem

    Spika ni HODARI SN

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Před měsícem

    Mbona mkanganyiko,nilikuwa basshe ni ccm,kumbe chadema ?Suit ya mbowe

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Před měsícem

    Nyinyi serikali ni wezi wa kuchukua nguvu za wananchi na mali ya nchi huru na kuwapa watu binafsi.
    Ni wasaliti .
    Tunahitaji kiongozi mzalendo kama mwalimu nyerere ili tuendelee na maendeleo ya jumla soyo ya ubinafsishwaji kwa watu wenu au wao .

  • @user-ws2uw5rd8i
    @user-ws2uw5rd8i Před měsícem +1

    Huyo waziri ni jamaa yake mo 😢Hana jipya mbali na mashamba mutex amefunga afritex amefunga huyo ni mbabaishaji ni magufuli tuu aliemjua angekuwepo angekwisha ondoka

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 Před měsícem

      unajua history ya mutex je unajua ilivunjika lin au unakurupuka

    • @froma3732
      @froma3732 Před měsícem

      Kwa min Magufuli hakumuondowa na alikuwepo miaka 5

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 Před 21 dnem

    Sawa mnyang'anyeni haraka roho zenu zitulie

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před měsícem

    MO kaajiri watanzania wangapi? Acheni upumbavu wenu umo ndani

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Před měsícem

    WABUNGE HAKUNA WANACHOZALISHA ZAIDI YA KULA HAYO MAPESA YA WALIPAKODI...MWACHENI MOOO NA NYINYI MUWEKEZE SIO POROJOOOOO TUUUU WALA HAKUNA CHA MAANA...

  • @user-lk3qz7fz5o
    @user-lk3qz7fz5o Před měsícem

    Ivi Hawa jamaa mbona hawaletagi hoja ya kunyongo na kutaifisha wezii ambao wanaendelea kuiba