ILA JAMANI WATANGANYIĶA TUNATAWALIWA KIENYEJI SANA JAMANI.WANANCHI TUAMKE KUTETEA UTAIFA WETU VINGINEVYO NCHI INAUZWA JAMANÌ na NCHI INA HALIMBAYA KIUCHUMI,, KISIASA na KIJAMII "
@@salimmalaka256 Acha Kuchukulia Kwamba Watu Wote Wana tabia Za Kishenzi Pasipokuwajua, CCM Wametufikisha Pabaya Sana Haijawahi kutokea Kwahiyo Ni Wakati Wao Kuachia Na Kukaa Pembeni Kabla Mabaya Hayajatokea "
Kumbe tukisema kwamba Watanganyika wengi wamefanywa wajinga kuhusu kujua ukweli wa muungano huwa hatubahatishi. Hivi unaweza ukatutajia kirefu cha Tanzania, na ilikuwaje jina la Tanzania likapatikana? Jibu swali bwege we.
Hakuna mahali alinukuliwa Lissu akidai wazanzibari siyo watanzania, sijui hayo uliyapata wapi? Wazanzibari hawataki kuficha uasili wao, wanajivunia na kujitambulisha kwa uasili wao. Hawataki kuwa mbumbumbu walioisalimisha na kuifuta historia yao. Badala ya kuwabeza wanastahili kuigwa na kupongezwa!
Siyo kitu cha ajabu mwanza kabla wewe hukuzaliwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiingia Dar es salam kwa passport. Na yuko alokuwa mshenzi mmoja wa Zanzibar ndio alosema wa Bara waingie Zanzibar bila ya passport na wengi walikuwa hawajataka jambo hilo.
Yaani Umeenda kwa wananchi kusikiliza shida zao, na wamekutuma, wamekuchagua uwawakilishe hoja zenyewe Ndio Kama hizo ,hata mpangilio wa kuongea huna ,hii nchi ni ngumu Sana.
Ubaguzi mnao. Kweli wazanzibari. Leo umefanyiwa wewe unaona uchungu. Mnayotufanyia huku hamuoni kama ubaguzi. Shilingi Ina pande mbili mweshimiwa. Leo shilingi imekugeukia umeumia😂😂
Huku Tanganyika wazanzibali wapo wachache sana kama polisi wataanza wao,sisi tutawagawana wasisahau hilo.tutafanya kama Nigeria kujibu ubaguzi waliofanya South Africa tunawakumbusha
Mimi mwenyewe siwapendi wa znz kwa kuuzaa bandari zetu bara mmeanza ubaguzi na mwanzirishi wa ubaguzi ni Mh samia na limote yake ya msoga tutamzomea samia wakati wa kampeni zake
Hii ni dharau na ni kejeli ya kiwango ati na yeye ana fikra ya kuja kututawala watanganyika. Aah halafu waheshimiwa wetu wa bara wanashangilia.aah sijui afya ya akili wanayo kweli.
Kweli Wabaguzi kwa ajili ya Nchi yetu si Mukaungane na Machogo wezenu Kenya Uganda Congo Burundi nyie Wa Tanganyika sisi Wa Zanzibari na Timu yetu ya Taifa Zanzibar Heroes
Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi

Zanazibar, Tanzania , Tanganyika iko wapi apo hatutaki muongano imetosha apo bc kila mtu achukue ubao wake ishaAllah vunjika shetani muongano toka na uwende Zako
Yaani huyu mbunge imekuaje anaongea lsfudhi ya kibara kamavile haja zaliwa na ku kukulia Pemba. Au ndio wale ambao makaazi yao yapo Bara ila jimbo liko Pemba 😅😅😅
ZANZIBAR ipo na itaendelea kuwepo hofu Tanzania kuwepo miaka 60 ijayo coz Tanzania imeundwa ili kusudi kuidhibiti Zanzibar na wazanzibari wameamka sasa
Yote ni tanzani ni sawa nitakavotoka mwanza kwenda dar sa passport ya nni na nchi ni moja ye mwenyewe apo alipo hana paspoti afu yupo bara mpuuzi kwel,,, ukitaka urais gombea tukupe kura acha upuuzi
Nadhani ni vizuri sana tukitengana coz Tanganyika tuna kila kitù sioni maana ya kuungana, wazanzibar wakae na zanzibar Yao na Tanganyika tukae Tanganyika yetu ltakuwa poa sana
Haiwezikua mtanganyika na mzanzibar sawa numbingly na ardhi watanganyikaniwashenzi nushenziwaowameufikishahadi zanzibar wiziwalevimalaya zanzisasakunanukakwasababuyawatanganyika
Juzi nolimsikia Mh Warioba. Nilimuelewa sana. Ukweli kuna changamoto za Muungano ambazo kila upande unalalamika. Ila Tanganyika ndo imeonewa zaidi. Kwa vitu vingi tu. Inafaa kukaa chini na kuziondoa changamoto hizi.
Umeanza kuelewa ila endelea kufanya research ujue nani anaeonewa zaid zengo sisi tunaupenda muungano ila vitu vingi tunaumizwa sie leo imekua mtu wa Kenya akija na mzigo kutoka kwao kuingia tanga halipi we njo undue TV upitishe apo wanataka pesa ulipie ushuru
Mi natamani hoja hii ifanyiwe kazi, wabara waridi bara ili wazanzibar viwanja vya kujenga wapate, and vice versa wazanzibari warudi kwao halafu tuone kama kile kisiwa kitawatosha. Lakini pia tutawauzia chakula kama tunavyowauzia Kenya na kwingineko nione kama hamtakula......yenu.
@LUBAINAMOHDRAJAB kila watu wajitegemee, maana sisi tunaoumia hata hatusemi, ila wao wanaotunyonya kelele juu baada ya kushiba kiporo cha ugali wa mtama.😅😅😅
Muungano utakapozingatia matakwa ya wananchi kama walivyojieleza katika rasimu zote za katiba, kwa kutaka serikali 3, ndio utakuwa mwisho wa mtifuano wa wabunge wazanzibari na watanganyika. Huo ni mwanzo tu wa muungano wa Lazima serikali 2.
Huyu asikilizwe vizuri huenda ana hoja za msingi kama tunaingia Zanzibar Kwa passport basi lije suala la vibali Kazi, kila upande uombe vibali vyote vya makazi na Kazi, na si ruhusa kumiliki ardhi upande wowote hadi Uwe mzawa
Ndio Muheshimiwa usipokee taarifa, Kwani hapo Mwanzo hakuwepo Mh Nyerere na Mh Mkapa mbona huku Zanzibar hatukusema kuwa tumetawaliwa, Hapa hakuna mjadala, panatikiwa zile kero za Muungano zitatuliwe. Hizi ndo kero Zenyewe.
Muungano mnaungangania wa nini au mna manufaa gani kwa huo Muungano. Ipitishwe referrendum wakati wa uchaguzi mkuu, ili tujue kama Muungano uendelee au uvunjike
KWASABABU NYERERE ALIKUWA MLAFI NA ULAFI WAKE ALIFIKIRI ATAIFANYA ZANZIBARI NI JIMBO LAKE NDIO MAANA BARA MKAINGIZWA MKENGE 😂😂😂. TAMAA MBAYA ZA MWALIMU WENU MJINGA NDIO WAZANZIBARI BARI TUNAPATA FURSA YA KUUZA BANDARI ZENU KWA WARABU WETU NA MBUGA ZENU ZA WANYAMA MPAKA TUMALIZE. HATA WABARA MKIPATA UHURU UJUE ZANZIBARI TUSHAWALA KISHUNDU 😂😂😂
Wazanzibari ni wabaguzi kwanini hata kipindi chauchaguzi ukiwa kitambulisho cha Zanzibar ila ukigundulika ni mtanganyika unawekwa ndani? Na kwanini asilimali zetu tunawakatia fungu ila wao hawajawai jaman mfikirie apo viongozi na mlitatue
Yeye Anasema Apokei Sio Mtanzania Sasa Yupo Apo Bungeni Kama Nani Amevamia Bunge Au Amefika Vipi Apo Mana Mbunge Wa Apo Ndani Ni Mbunge Wa Tanzania Akutakiwa Aendelee Kujieleza Uyo
Mwenyewe kasema yeye ni mzanzibar nyie mnamlazimisha awe mtanzania, kwakua nyie hajitambui kuukana utanganyika wenu,lisu hana mpinzani kwenye hoja yake,tumpe maua yake lisu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mbunge ana akiri kwer mbona watanzania hawachukii maraic wote kuwa wa zanzibar huyu mpumbavu nn huyu nimependa sanaaaa wabunge wa ccm walivyo na mcmamo vzr sanaaaa mm nilijua watamuunga mkono na ujinga wake kumbe wamemkataa mpuuzi huyu
Achen ujinga nyiee hii nchi ina amani kulko nchi nyngne yyote ndio kitu tunachotkiwa kujivunia iv mushafkiria kuh vitukuu vyenu hao wabunge wengne wavurugaji tu..ss n wamoja❤Ilove u Tanzania
Ivi huu muungano nyie wabunge wa ccm mmeung'ang'ania wa nini Huyo mwenzenu kashasema yeye ni mzanzibar, Sasa kama pana mzanzibar kwenye bunge la muungano kwanini mbunge wa mtu wa bara hawezi kuwa mbunge wa zanzibar??..?..?????
Lisu ni mkweli sana
ILA JAMANI WATANGANYIĶA TUNATAWALIWA KIENYEJI SANA JAMANI.WANANCHI TUAMKE KUTETEA UTAIFA WETU VINGINEVYO NCHI INAUZWA JAMANÌ na NCHI INA HALIMBAYA KIUCHUMI,, KISIASA na KIJAMII "
Ww mvutu kweli itauzwa na Nan?
inauzwa na CCM Wenzio Wasiolitakia mema Taifa Letu Rushwa na Ufisadi Huoni Vimetapakaa kila kona au ??"
Suala hili mlaumuni julius nyerere alieikataa Tanganyika kuwa na serikali yake@@JacksonFrances
@@JacksonFrances KWANI HAO MAFISADI NI CCM PEKE YAO??? WEWE UKIPATA UPENYO WA KUIBA UTAIBA NA RUSHWA UTAPOKEA USIJIFANYE MALAIKA.
@@salimmalaka256 Acha Kuchukulia Kwamba Watu Wote Wana tabia Za Kishenzi Pasipokuwajua,
CCM Wametufikisha Pabaya Sana Haijawahi kutokea Kwahiyo Ni Wakati Wao Kuachia Na Kukaa Pembeni Kabla Mabaya Hayajatokea "
Kumbe TUNDU LISU yuko sahihi kabisa kusema kuwa Wazanzibar sio Watanzania.
Kumbe tukisema kwamba Watanganyika wengi wamefanywa wajinga kuhusu kujua ukweli wa muungano huwa hatubahatishi.
Hivi unaweza ukatutajia kirefu cha Tanzania, na ilikuwaje jina la Tanzania likapatikana?
Jibu swali bwege we.
Hakuna mahali alinukuliwa Lissu akidai wazanzibari siyo watanzania, sijui hayo uliyapata wapi? Wazanzibari hawataki kuficha uasili wao, wanajivunia na kujitambulisha kwa uasili wao. Hawataki kuwa mbumbumbu walioisalimisha na kuifuta historia yao. Badala ya kuwabeza wanastahili kuigwa na kupongezwa!
Elezea wanzibari ni watanzania ila watanzania si wanzanzibar
Si kweli wazanzibari ni watamzania lakini wwabara huwa mnafanya ishu kutibagua
@@omaryjumas6327 Wa Zanzibari sio Wa Tanganyika kwani kabla ya 1964 kulikua nchi inaitwa Tanzania?
Zanzibar tukipata wabunge kama hawa kumi tu bungeni muungano ungevunjika 😂😂😂😂😂😂😂😂
Watafuteni 😂😂😂
Hakika lisu na mbowe naona wako sahihi kabisa na ss watanganyika tudai uhuru wetu
Yani ww ndio mwenye akili nyingi ktk watu 100 niliowasikiliza ni kweli coz u haven't government so struggle ur cntry.. am srry umoja ni nguvu..
Bora mudai uwo Uhuru wenu wazanzibar angalau tunywe maji hatuna Raha kwA nyie nahaya yote kayataka karume kuitoa nchi kw warabu kuipeleka kw wanyAmwez
Wabunge wakishiba posho zetu wanaanza kuongea wanachojickia na sisi tunaendelea kuwatafutia kwa jasho ...
Mbona likija swala la muungano
Mtu wa Bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar! Ila Wazanzibar wanamiliki ardhi Bara! Mbona huo ni ubaguzi wa wazi tu!?
Siyo kitu cha ajabu mwanza kabla wewe hukuzaliwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiingia Dar es salam kwa passport. Na yuko alokuwa mshenzi mmoja wa Zanzibar ndio alosema wa Bara waingie Zanzibar bila ya passport na wengi walikuwa hawajataka jambo hilo.
Yaani Umeenda kwa wananchi kusikiliza shida zao, na wamekutuma, wamekuchagua uwawakilishe hoja zenyewe Ndio Kama hizo ,hata mpangilio wa kuongea huna ,hii nchi ni ngumu Sana.
Siyo Nchi mmoja ni Nchi mbili. Wacheni ubaguzi.
Tatizo lipo ila wanapotezea kwa kuwa wanapenda sana pesa kuliko ubinaadamu wa binaadamu.
Ubaguzi mnao. Kweli wazanzibari. Leo umefanyiwa wewe unaona uchungu. Mnayotufanyia huku hamuoni kama ubaguzi. Shilingi Ina pande mbili mweshimiwa. Leo shilingi imekugeukia umeumia😂😂
Viongozi walioko madarakani wanajifanya hawaoni tatizo kwa sababu ya maslahi binafsi.Halafu wanaanza kuwalaumu Akina Lissu kwa kivuli Cha ubaguzi...
Huku Tanganyika wazanzibali wapo wachache sana kama polisi wataanza wao,sisi tutawagawana wasisahau hilo.tutafanya kama Nigeria kujibu ubaguzi waliofanya South Africa tunawakumbusha
Passport muhim....
Tunadai Tanganyika yeti! Wazanzibari wasitutanie
Safi Sanaa mbungunge w konde
Mimi mwenyewe siwapendi wa znz kwa kuuzaa bandari zetu bara mmeanza ubaguzi na mwanzirishi wa ubaguzi ni Mh samia na limote yake ya msoga tutamzomea samia wakati wa kampeni zake
Safii mbunge
Hamwishi na hizo taarifa. Mwecheni akamilishe.
Nikwli mbunge asnt mungu akulinde na watanganyika wanasema kwl
Ikiwezekana waufute tu muungano tmechoka wazanzibar kwa maneno ya watu wabara
Hii ni dharau na ni kejeli ya kiwango ati na yeye ana fikra ya kuja kututawala watanganyika. Aah halafu waheshimiwa wetu wa bara wanashangilia.aah sijui afya ya akili wanayo kweli.
Kuna shida kubwa kwenye huu muungano, Kuna kesho na kesho hiyo Kuna watakaokaa na kuangalia maslahi ya muungano kwa pande zote mbili
Tanzania ina mazombi sio watu
Kwanini
Muungano usivunjike lakin passport muhim
Wazanzibari wabaguzi sana
Ulikuja Zanzibar ukabaguliwa
Nyinyi wtnganyika munongoza kwakubaguliwa duniani 😂😂😂wzungu wbguzi wkenya wbguzi wznzbar wbguzi ondokeni duniani bc
SAFI SANA, KILA MMOJA ASHIKE NJIA YAKE. UKOLONI UMESHAPITWA NA WAKATI. TWATAKA NCHI YETU
Hata tukiwa wabaguzi.......ni heri kwetu na nyie bakini na utanzania wenu
Kweli Wabaguzi kwa ajili ya Nchi yetu si Mukaungane na Machogo wezenu Kenya Uganda Congo Burundi nyie Wa Tanganyika sisi Wa Zanzibari na Timu yetu ya Taifa Zanzibar Heroes
Huna lote limekuganda hilo Passport ni lazima ipo zamani
Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi
Co passport ht mkitaka 2gawane fresh 2 cc 2nataka nn kwenu marais wt wawil wazanzibar na cc ha2semi nyinyi wazanzibar mnajitambua kwer mm naona samia na mwinyi akir zao zingekuwa km nyinyi ingekuwa vurugu mechi
Zanazibar, Tanzania , Tanganyika iko wapi apo hatutaki muongano imetosha apo bc kila mtu achukue ubao wake ishaAllah vunjika shetani muongano toka na uwende Zako
Sisi wazanzibar hatutaki Muungano hauna faida na sisi, tatizo lenu mkiitwa watanganyika ndo mnasema mnabaguliwa
Yaani huyu mbunge imekuaje anaongea lsfudhi ya kibara kamavile haja zaliwa na ku kukulia Pemba. Au ndio wale ambao makaazi yao yapo Bara ila jimbo liko Pemba 😅😅😅
TUNATAKA WAJE PEMBA KWA PARSPOT HAWA WANYAMWEZI😂😂😂
Huyu hamtamuona tena bunge lijalo 2025~2030 bye bye. Chezea come weyeeee
Takataka hawa htasijuwi wanaingiaje kwenye bunge la Tanganyika na hawana faida yoyote zaidi ya wao wanakula kura kodi zetu bure
ZANZIBAR ipo na itaendelea kuwepo hofu Tanzania kuwepo miaka 60 ijayo coz Tanzania imeundwa ili kusudi kuidhibiti Zanzibar na wazanzibari wameamka sasa
Mimi sio Mzanzibar ila nakubali hili Muungano huu upo kwa ajiri ya kutawala Zanzibar
Yote ni tanzani ni sawa nitakavotoka mwanza kwenda dar sa passport ya nni na nchi ni moja ye mwenyewe apo alipo hana paspoti afu yupo bara mpuuzi kwel,,, ukitaka urais gombea tukupe kura acha upuuzi
Mpuuz babaako
Safi sana , naunga mkono wazanzibar tunataka passport yetu , hatutaki kuwa na machogo
Nadhani ni vizuri sana tukitengana coz Tanganyika tuna kila kitù sioni maana ya kuungana, wazanzibar wakae na zanzibar Yao na Tanganyika tukae Tanganyika yetu ltakuwa poa sana
Akili hunaa
Haiwezikua mtanganyika na mzanzibar sawa numbingly na ardhi watanganyikaniwashenzi nushenziwaowameufikishahadi zanzibar wiziwalevimalaya zanzisasakunanukakwasababuyawatanganyika
Mashallah
Siku hizi sina haja ya kuangalia au kwenda kubana movie, nasubiri kipindi cha bunge kikinipita nafungua CZcams natafuta episode mpya ya Bunge.😂😂😂.
Juzi nolimsikia Mh Warioba. Nilimuelewa sana. Ukweli kuna changamoto za Muungano ambazo kila upande unalalamika. Ila Tanganyika ndo imeonewa zaidi. Kwa vitu vingi tu. Inafaa kukaa chini na kuziondoa changamoto hizi.
Umeanza kuelewa ila endelea kufanya research ujue nani anaeonewa zaid zengo sisi tunaupenda muungano ila vitu vingi tunaumizwa sie leo imekua mtu wa Kenya akija na mzigo kutoka kwao kuingia tanga halipi we njo undue TV upitishe apo wanataka pesa ulipie ushuru
Muhimu Hata huu muungano hatuutaki tena sote kila upande iwe kivyake lakin ccm ndio wanalazimisha tufanane
KWANINI TUNAUNGANA PARSPOT?. WANYAMWEZI MJE NA PARSPOT ZENU PEMBA😂😂😂
Mi natamani hoja hii ifanyiwe kazi, wabara waridi bara ili wazanzibar viwanja vya kujenga wapate, and vice versa wazanzibari warudi kwao halafu tuone kama kile kisiwa kitawatosha. Lakini pia tutawauzia chakula kama tunavyowauzia Kenya na kwingineko nione kama hamtakula......yenu.
@LUBAINAMOHDRAJAB kila watu wajitegemee, maana sisi tunaoumia hata hatusemi, ila wao wanaotunyonya kelele juu baada ya kushiba kiporo cha ugali wa mtama.😅😅😅
Uyu sio mbunge uyo msengetu
Hivi kumbe wa Zanzibar ndiyo wanachangia hivi?
Ww mbunge Malaya wa Tanganyika Kwa nn msingie na passport sisi hatumutaki huku Zanzibar watanganyika kumamazenu manyamwezi
Dooooh hao wanaoishi visiwani hawataki muungano muungano uvunjwe tuu watanganyika tubaki kwetu na wao warudi kwao na walipr Kodi ya makazi kama wageni
Hiyo Mbunge kaka kwamba yeye sio Mtanzania,Sasa anatafuta Nini kwenye bunge letu?
Wanamkopi sana Roma mkatoriki
Huo ni ubaguzi mzee mwwnzangu wapemba acheni siasa musiikaange mbuyu mukaja walisha wengine
Lakini kweli sisi wazanzibar tunawabagua sana wanyamwezi tunawalimisha tuu halafu hatukubali watoto wetu kuolewa na wanyamwez
Muungano utakapozingatia matakwa ya wananchi kama walivyojieleza katika rasimu zote za katiba, kwa kutaka serikali 3, ndio utakuwa mwisho wa mtifuano wa wabunge wazanzibari na watanganyika. Huo ni mwanzo tu wa muungano wa Lazima serikali 2.
C mvunje tu vizanzibar vibaguz sana
Huyu asikilizwe vizuri huenda ana hoja za msingi kama tunaingia Zanzibar Kwa passport basi lije suala la vibali Kazi, kila upande uombe vibali vyote vya makazi na Kazi, na si ruhusa kumiliki ardhi upande wowote hadi Uwe mzawa
Hivi tukisema kila watu warudi kwao; Zanzibar patatosha?
Mbona mzanzibar anaweza miliki ardhi bara lakini mbara hawezi miliki zanzibar?
Sisi Wazanzibari Muungano sio kipa umbele chetu.
Sisi Wazanzibari tunataka mamlaka kamili.
Ndio Muheshimiwa usipokee taarifa, Kwani hapo Mwanzo hakuwepo Mh Nyerere na Mh Mkapa mbona huku Zanzibar hatukusema kuwa tumetawaliwa, Hapa hakuna mjadala, panatikiwa zile kero za Muungano zitatuliwe. Hizi ndo kero Zenyewe.
Muungano mnaungangania wa nini au mna manufaa gani kwa huo Muungano. Ipitishwe referrendum wakati wa uchaguzi mkuu, ili tujue kama Muungano uendelee au uvunjike
Hiyo ndio demokrasia ya kweli na Uhuru wa maoni
Ni kweli sijui Nyerere alikua na nia Gani mpaka anatuajia bomu kubwa namna hii ambaye Leo tunafarakana
KWASABABU NYERERE ALIKUWA MLAFI NA ULAFI WAKE ALIFIKIRI ATAIFANYA ZANZIBARI NI JIMBO LAKE NDIO MAANA BARA MKAINGIZWA MKENGE 😂😂😂. TAMAA MBAYA ZA MWALIMU WENU MJINGA NDIO WAZANZIBARI BARI TUNAPATA FURSA YA KUUZA BANDARI ZENU KWA WARABU WETU NA MBUGA ZENU ZA WANYAMA MPAKA TUMALIZE. HATA WABARA MKIPATA UHURU UJUE ZANZIBARI TUSHAWALA KISHUNDU 😂😂😂
Wazanzibari ni wabaguzi kwanini hata kipindi chauchaguzi ukiwa kitambulisho cha Zanzibar ila ukigundulika ni mtanganyika unawekwa ndani? Na kwanini asilimali zetu tunawakatia fungu ila wao hawajawai jaman mfikirie apo viongozi na mlitatue
Yeye anataka serikali 3, ya Muungano na serikali ya Zanzibar na Tanganyika. Pia anahangaika na Uzanzibari ambao hawezi kumsadidia.
Sisi Muhimu kwetu ni Zanzibar yenye Mamlaka kamili sio Tanzania tunajua Tanzania ni Tanganyika ni kivuli tu cha kuikalilia Zanzibar
Kwa nn serikari 3 inakigugumizi??
Mwanzo mbn umekubali kuwa ni mzanzibari mbn unajikataa
Dada umetisha sana juu ya passport
Acheni ubaguzi wazanzibar
sisi ni wazanzibar.
Sio watanzania.
Wala sio watanganyika.
Ndouwo ubaguzi tunao ambiwa
Nyie ndio mna tubagua sisi
Ccm ndo uwelewa wao umeishia hapo
Paspoti muhimu bwanaaa
Hakuna chataarifa muuacheni aseme ukwl
Siyo mtanganyika we
Naona wazanzibari wanasema wanadhulumiwa
Nataka kujua wanafhuliwa wapi
Mheshimiwa presha yako iko juu sana fanya mazoezi broo.
Kalewa posho
Yeye Anasema Apokei Sio Mtanzania Sasa Yupo Apo Bungeni Kama Nani Amevamia Bunge Au Amefika Vipi Apo Mana Mbunge Wa Apo Ndani Ni Mbunge Wa Tanzania Akutakiwa Aendelee Kujieleza Uyo
Kweliii
Tuachane muungano wa nn kama watu awataki wa nn kuwang'ang'ania
Mwenyewe kasema yeye ni mzanzibar nyie mnamlazimisha awe mtanzania, kwakua nyie hajitambui kuukana utanganyika wenu,lisu hana mpinzani kwenye hoja yake,tumpe maua yake lisu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sorry lkn,KM ANAKATAA UTANZANIA(HAFAI KUA KIONGOZI)AU KM ANAKATAA MFUMO WA UTANZANIA ULIVYO(HAJAKOSEA)INSHAA ALLA KHEIR
Mimi mzazibar, kiukweli Wazanzibar wabaguzi sana! Mungu awahifadhi, wanachuki na watu wa bara for no reason!
Hatuna Imani na wanyamwezi
Reason no kuwa wazanzibari wanahujumiwa na watanganyika na watanganyika wamepora haki za wazanzibari na haki ya nchi yao.
Muuongo wewe Si mzanzibari Chuki yetu tunataka nchi yetu kwani mtu kudai chake ndio hua Chuki
Muongo wewe si mzanzibar wewe mbongo nyoso unaechangia kutunyang'anya haki zetu pumbavu yako
Mzanzibar gan weye
Kwani mwinyi alikuwa mtanganyika
Hatutaki ubaguzi
Huyu mbunge ana akiri kwer mbona watanzania hawachukii maraic wote kuwa wa zanzibar huyu mpumbavu nn huyu nimependa sanaaaa wabunge wa ccm walivyo na mcmamo vzr sanaaaa mm nilijua watamuunga mkono na ujinga wake kumbe wamemkataa mpuuzi huyu
Dada hapo apewe mauwa yake
Naomb kujua kushika shilingi anamaanisha nn?
Huyu mbunge mjinga sana
Achen ujinga nyiee hii nchi ina amani kulko nchi nyngne yyote ndio kitu tunachotkiwa kujivunia iv mushafkiria kuh vitukuu vyenu hao wabunge wengne wavurugaji tu..ss n wamoja❤Ilove u Tanzania
Kwanini munachelewesha kuvunja?
Ivi huu muungano nyie wabunge wa ccm mmeung'ang'ania wa nini
Huyo mwenzenu kashasema yeye ni mzanzibar,
Sasa kama pana mzanzibar kwenye bunge la muungano kwanini mbunge wa mtu wa bara hawezi kuwa mbunge wa zanzibar??..?..?????
Watanganyika wanatung'ang'ania wazanzibar sijui kwanini
alitakiwa atolewe nje ya bunge
Sio ktu kimoja nyinyi mnazaa ovyo halafu halafu mnaowana
KITAELEWEKA TU
Mbona viti Bungeni viko wazi sanaaa.
Matako yenu Sasa kwani Samia nimtanganyika?
Tanganyika sis mazuzu 😅😅😅😅 wale wako na rais wao kwanin hatuna rais wa watanganyika😅😅😅
Msipoachana na sera ya uwekezaji mtaliangamiza taifa kwasababu ni aibu kutuletea wawekezaji na wabia watuletee ufanisi kwakisingizio wtz hawana
Sasa si nchi mbili mbona watu wa bara hawanunui ardhi zanzibar,, na wa zanzibar wamenunua huku bara😢😢😢wako tele ila watu wa wanaroho ngumu sana
Co roho ngumu wazanzibar ni acri yao waarabu kwahyo wana roho mbaya hawa
Allani mjuzi wawa juzi awaongoze vyema
Hivi kikotoo kwa Wabunge kinasemaje?
Me ni Mtanganyika kwanzia leo
Sijuwi kama mnaelewa?
Wazanzibar ndo wabaguz Sana koo mm Zanzibar siipend kabisayan bora muungano uvunjike tu
Hakuna kitu ninachokichukia ktk maisha yang km watanganyika mana ni matapel wezi washenz Wana Killa aina ya ushenz
Mbunge huraaaa 💪👏👏👏
Zama za giza ziliisha kitambo, it is just the matter of time
passport iwepo ndio leo znz imeoza watu waingia tuu umalaya pombe wizi
Uhuru niwenu Nyinyi qatanganyika
Huyu mbunge nikuma kweli