Hongera Dr.Bashiru kwa mchango wako mzuri kwa Taifa, wewe ni hazina iliyojificha! Inayonyimwa nafasi katika Taifa hili kwa sasa, ila ipo siku Mungu atakupatia kibali tena! Wahuni mafisadi wamekunyima nafasi ila Mungu anakuandalia nafasi nyingine siku za usoni! Asante.
Umeongea vzr sana Dkt Bashiru, kwakweli hapo kwenye kupanda vyeo ni mtihani inakatisha tamaa... Utumishi waangalie tuweze kuwa wa kimataifa... kuandika machapisho ni kazi kubwa sana tupewe motisha
Ukiritimba tu unasumbua ,wangewezesha vyuo vikuu kujiendesha ,kisha serikali ikatenga asilimia ya fungu I support stahiki za raslimali watu ikiwepo kugharmia publications nk zitatolewa kwa wakati mambo yangekua poa sana ,
Dr Bashiru Ally Kakurwa, -he is genius real, kikundi cha wahuni hawampendi si sababu is a bad person he is smart and intelligent I pray to the almighty God, individuals like Bashiru to take a tenure one day.
Haloooo....Bashiru, Polepole , Majaliwa, Ukichombeza na Bwana Ndugai, uje uweke vijana kina Mtatiro, Msando, Tulia, Msukuma, Boteko, KABUDI, LEMA NA MAKONDA😂😂😂😂😂😂😂Nchi itakwenda mwendo wa FERARI V12 Miaka 5 Twaweza ongoza EAST AFRICA kwa Maendeleo na Tutaishi kama Wafalme, NI MAONI YANGU TUU❤❤❤❤
Jamani sisi ni binadamu. Tuna madhaifu na tunakosea. Huyu Dr. Ni Hazina, Mama Samia akunjue roho kibinadamu hata kama kuna alichowakosea, ampe Wizara ya Elimu huyu Baba. Atamsaidia mpk atamwekea historia katika maisha yake ya uongozi. Aaache kubeba hiyo mizigo ambayo inemchomesha Kwa wananchi. This guy is an Important asset in this country.
@@ingozescopion Wala Haijalishi Nadhani ukishakua Mbunge una haki ya kuwa Waziri bila kujali umeteuliwa au umepigiwa kura. Kabudi amekuwa Waziri kipnd Cha Magu akiwa Mbunge wa kuteuliwa, Ummy Mwalmu, Angela Kairuki. Na manaibu Waziri kibaoo
@@senziashwaibu3219 Watu kama Dr Bashiru watafaa zaidi kwenye mifumo mizuri inayozingatia uwezo au weledi badala ya kuzingatia uchawa,kujipendeleza kama njia kuu ya mtu kupewa nafasi ya kuongoza
Bashiru Kaka wew ni mkweli daima wew nikiongozi mkubwa mh Magufuli alikuona mapema alikuwa anakuandaa lkn haya ni maisha tu tutafika siku moja utakuwa kiongozi imara zaidi
Mmmh, tupe mkakati wako uliokuwa umeuandaa wakati ukiwa Mkuu wa Utumishi kuhusu kuwapandisha vyeo watumishi waliokuwa hawajapandishwa/badilishwa vyeo baada ya kupata sifa kwa muda wa miaka 6 ya kuanzia 2016-21?
Hongereni sana Wabunge wetu kwa mjadala wa kuboresha elimu yetu hasa Vyuo vikuu. Naomba msifumbie macho tabia ya Wahadhiri kusumbua watoto wetu na hasa wakike kwenye swala la mapenzi japo kuna kisingizio kwamba wanaosoma chuo kikuu ni watu wazima.
Mko kwenye ajira mnajitetea wenyewe wanaohitimu ambao hawana b wala che hamnampango nao hii nchi kweli amakweli mwenye nacho huongezewa ambae hana hata kile alicho nacho hunyangany
Mimi ni Mtanzania ninayejielewa kuhusu nchi yangu ya Tanzania. Tokea Bashiru anaanza hoja yake mimi nimemuelewa kabisa.Uchungu wa kuipeleka mbele nchi anayo kutoka moyoni mwake.Huyu ni Mtanzania haswa wala haupepesi macho. Ameongea maneno machache lakini ameongea maneno makubwa sana ambayo siyo tu ya kielimu. Kwa jinsi ninavyoipenda nchi yangu ya Tanzania natamani watu wa aina yake waiongoze nchi yetu. Eee Menyenzi Mungu upo unaona mioyo ya viongozi wetu.Nakuomba utupe kiongozi yeye Bashiru au wenye kuipenda Tanzania kama yeye.Amen!
Wenye akili nyingi wakiongea husikii minong'ono yyt kutoka kwa ilimradi liende, hapo ndipo unaona maana halisi ya uchakachuaji wa matokeo na kupitisha wawakilishi wanaoomba kikao kiishe wakale chips kwa bar ya jirani, na hapo ndipo kura zao za ndio zinapoumiza taifa, makala zao utasikia .... kalifurahisha au kalichekesha bunge. Sijui ni elimu ya wapiga kura bado haijafika vizuri kwa wananchi duni na wasioweza kung'amua vema viongozi wa kuwaongoza! Maana ma-Pweza huwa wanafanya hila nyingi ilimradi washinde wakasinzie na kupiga makerere bungeni na miongozo yenye nia ya kuficha uozo wa wanao wakumbatia ili waendelee kula bata. Akili kubwa ikiongea, husikii minong'ono wala kicheko...maana huwa hawana hoja zaidi ya kuchekesha.
Ndio maana ndugu zangu mkiambiwa mtu anaitwa Dr ndio watu kama hao wenye elimu na uwezo, sio mtu anaitwa doctor hata vyeti vya ufundi veta hana alafu anaitwa Doctor!!!!!! Duuuh aibuu hiyooooo
Kivipi wewe unalala unaamka saa nne mwenzio kaamka 11 mfanane kimaisha tafuta pesa acha kulalamika lalamika wakati wa magu mlikuwa mnasema hapa kazi fanya kazi magu si mjomba wako😅😅😅
hayo ndo matatizo ya watanzania sasa mgufuri kaingiaje hapa sikiliza point na kila maelezo au points kuna wakati maalum na mazingira yake sasa hoja ya kwanini hakumshauri magufuli ni shida hiyo watanzania tujitambue
Dr bashiru naunga hoja hapo kwenye swala la vigezo na kupewa unacho stahili nitatizo kubwa sana kwenye inchi yetu na linakatisha tamaa sana yani jambo linawezekana kufanyika ndani ya dakika tano linafanyika siku tano hadi mwenye jambo lake anakata tamaa na kuanzisha jambo lingine
Hongera Dr.Bashiru kwa mchango wako mzuri kwa Taifa, wewe ni hazina iliyojificha! Inayonyimwa nafasi katika Taifa hili kwa sasa, ila ipo siku Mungu atakupatia kibali tena! Wahuni mafisadi wamekunyima nafasi ila Mungu anakuandalia nafasi nyingine siku za usoni! Asante.
Hongera sana Mhe Bashiru M mungu akulinde na azidi kukupa afya njema na subrah ktk maisha yako yote ya hapa Duniani
🙏🏾
Jembe kabisaa mr president BASHIRU ALLY KAKULWA
Mungu akutunze Dk. Bashiru! Muda utaongea!
Hongera Mh.kwa uchambuzi huru na mzuri kwa maboresho endelevu,Salute kwako baba
Akika anahoja za msingii Sana ,salute kwako
Mungu akubariki sana Dr Bashiru na akulinde umeongea vitu mhimu sana 🤝💪🏻💪🏻🎉🎉🎉❤❤❤
Hata ukifichwa haufichiki mzee Bashiru
Kafichwa na nani mbona yupo huru
Umeongea vzr sana Dkt Bashiru, kwakweli hapo kwenye kupanda vyeo ni mtihani inakatisha tamaa... Utumishi waangalie tuweze kuwa wa kimataifa... kuandika machapisho ni kazi kubwa sana tupewe motisha
Ukiritimba tu unasumbua ,wangewezesha vyuo vikuu kujiendesha ,kisha serikali ikatenga asilimia ya fungu I support stahiki za raslimali watu ikiwepo kugharmia publications nk zitatolewa kwa wakati mambo yangekua poa sana ,
Dr Bashiru Ally Kakurwa, -he is genius real, kikundi cha wahuni hawampendi si sababu is a bad person he is smart and intelligent
I pray to the almighty God, individuals like Bashiru to take a tenure one day.
Haloooo....Bashiru, Polepole , Majaliwa, Ukichombeza na Bwana Ndugai, uje uweke vijana kina Mtatiro, Msando, Tulia, Msukuma, Boteko, KABUDI, LEMA NA MAKONDA😂😂😂😂😂😂😂Nchi itakwenda mwendo wa FERARI V12 Miaka 5 Twaweza ongoza EAST AFRICA kwa Maendeleo na Tutaishi kama Wafalme, NI MAONI YANGU TUU❤❤❤❤
@@bobjulieoneheartband
Mmmm kwenye Lima kuna ukakasi bado
@@bobjulieoneheartbandUmeongea ukweli bila kuangalia chama Wala nini, Yani umeangalia uongozi, ueweledi, na ufanisi. Ila hapa umemsahau Mh. Mpina
Kuna wote wamezaliwa kuwa viongozi ukiwasikiliza tu maneno yamenyoka,salute na heshima kwako Dr.Bashir Ally kakurwa
Hongera sana Mh. Bashiru. Tunakuelewa, God bless you
Hongera Dr KAKULWA
Mungu muumba mbingu nakila kichopo dunian akubariki wewe bashiru aly
Mungu akusaidie Bashiru Aly hakika tumekukumbuka sana
Well said brother..you reall said truth..ndio maana wangine wanaamua kufanya biashara..ila kusoma UDSM nishida sana..kuwa professor ni kitu kigum sana
Tuna hadhina kama huyo Dr lakini hawapati nafasi😢😢
Jamani sisi ni binadamu. Tuna madhaifu na tunakosea. Huyu Dr. Ni Hazina, Mama Samia akunjue roho kibinadamu hata kama kuna alichowakosea, ampe Wizara ya Elimu huyu Baba. Atamsaidia mpk atamwekea historia katika maisha yake ya uongozi. Aaache kubeba hiyo mizigo ambayo inemchomesha Kwa wananchi. This guy is an Important asset in this country.
Huyu anafaa kuwa waziri wa wizara tatzo yeye cyo Mbunge wa Jimbo ni wakuteuliwa
@@ingozescopion Wala Haijalishi Nadhani ukishakua Mbunge una haki ya kuwa Waziri bila kujali umeteuliwa au umepigiwa kura. Kabudi amekuwa Waziri kipnd Cha Magu akiwa Mbunge wa kuteuliwa, Ummy Mwalmu, Angela Kairuki. Na manaibu Waziri kibaoo
Sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda
@@dassustephen731huyu ni mtendaji mzuri sema tu nafasi ndo hapewi
@@senziashwaibu3219 Watu kama Dr Bashiru watafaa zaidi kwenye mifumo mizuri inayozingatia uwezo au weledi badala ya kuzingatia uchawa,kujipendeleza kama njia kuu ya mtu kupewa nafasi ya kuongoza
Hongera sana, endelea kulifumbua taifa.
Bashiru Kaka wew ni mkweli daima wew nikiongozi mkubwa mh Magufuli alikuona mapema alikuwa anakuandaa lkn haya ni maisha tu tutafika siku moja utakuwa kiongozi imara zaidi
Mmmh, tupe mkakati wako uliokuwa umeuandaa wakati ukiwa Mkuu wa Utumishi kuhusu kuwapandisha vyeo watumishi waliokuwa hawajapandishwa/badilishwa vyeo baada ya kupata sifa kwa muda wa miaka 6 ya kuanzia 2016-21?
@@festokemibala5832anaongea tu
Hawa ndio wamezaliwa viobgozi.
Mtu pekee mwenye sifa ya kuwa Rais wa nchi,lakn kwa nchi hii na CCM ilivyo ngumu atausikia tu wataingia wahuni wahuni tu
Huu ubongo bado upo vzr, nalazmika kuamini ulitumika vbaya kweny SG
Acxademician 👍
Inapendeza Sanaa MASHAALLAH
Great contribution
Hongera. Bashilubkb. Inawasomi
Unaona mchango kabambe huo, tuwe na imani Tanzania in watu. Mungu ibariki
Hongera Sana Baba
Hongereni sana Wabunge wetu kwa mjadala wa kuboresha elimu yetu hasa Vyuo vikuu. Naomba msifumbie macho tabia ya Wahadhiri kusumbua watoto wetu na hasa wakike kwenye swala la mapenzi japo kuna kisingizio kwamba wanaosoma chuo kikuu ni watu wazima.
Mh: DR BASHIRU Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia . Mchango wako ni Muhimu Kwa Maendeleo ya Elimu TZ.
Akilinya kusema ukweli inamfinya bakozi
Alikuwa mahiri sana zaidi hapa
Huyu ndo Bashilu ninayemjua
KAZI KUSIFIANA TU. EMBU ONGEENI KUHUSU REPORT YA CAG ...JE MAJIZI YAMEKAMATWA MPAKA SASAHV??
Yote majizi ndiomaana yapokimyaa
Mko kwenye ajira mnajitetea wenyewe wanaohitimu ambao hawana b wala che hamnampango nao hii nchi kweli amakweli mwenye nacho huongezewa ambae hana hata kile alicho nacho hunyangany
Point Dr MUNGU akutunze
Sauti na ujengaji wa hoja amefanana na Askofu Mkuu,Yuda Thadei Ruwaichi.. hata umakini wa kuongea
Mungu Akubariki sana Dr. BASHIRU
Dr. Bashiru umesema ukweli kabisa, hatuwezi kushindana na vyuo vikuu vingine duniani wakati ukiritimba ni mkubwa sana nchini kuhusu elkimu ya juu.
❤❤❤❤🙏🙏🙏
Very good
Presidential Material, lakn wahuni wakimsikia wanadhani na kuhofia atakuwa Rais,
Hongera sana Daktari Bashiru ❤
Very good 👍
Huwa sielewi ni kwanini hawa viumbe huwa kila neno wanapiga makofi,
Jiwe walilolikataa waashi Iko siku
Hongera
Mimi ni Mtanzania ninayejielewa kuhusu nchi yangu ya Tanzania.
Tokea Bashiru anaanza hoja yake mimi nimemuelewa kabisa.Uchungu wa kuipeleka mbele nchi anayo kutoka moyoni mwake.Huyu ni Mtanzania haswa wala haupepesi macho.
Ameongea maneno machache lakini ameongea maneno makubwa sana ambayo siyo tu ya kielimu.
Kwa jinsi ninavyoipenda nchi yangu ya Tanzania natamani watu wa aina yake waiongoze nchi yetu.
Eee Menyenzi Mungu upo unaona mioyo ya viongozi wetu.Nakuomba utupe kiongozi yeye Bashiru au wenye kuipenda Tanzania kama yeye.Amen!
Kabisa kabisa...🤝
Uwooooooongooooooo
Niko pamoja nawe
Hujakosea mimi NAMPENDA huyu Baba akiongea tuu Namkumbukaga JPM Na Machozi hufuata😢❤❤❤BASHIRU SIKU AWE TU PRESIDENT 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwa sana baba
Kichwa Cha habari halikuakisi yaliyoongelewa ndani BASHILU ALLY YUPO sawa lakini hii ni blog ya kihuni click bites za nini? sijakufurahia
Jamaa wanapiga makofi hata kwenye NEGATIVE. Au mimi tu nimeliona hili.
Uko vizuri
Wanasiasa meneno mengi mazuri ila utendaji mdogo sana
Kabisa aisee
Nimeipenda
Wenye akili nyingi wakiongea husikii minong'ono yyt kutoka kwa ilimradi liende, hapo ndipo unaona maana halisi ya uchakachuaji wa matokeo na kupitisha wawakilishi wanaoomba kikao kiishe wakale chips kwa bar ya jirani, na hapo ndipo kura zao za ndio zinapoumiza taifa, makala zao utasikia .... kalifurahisha au kalichekesha bunge. Sijui ni elimu ya wapiga kura bado haijafika vizuri kwa wananchi duni na wasioweza kung'amua vema viongozi wa kuwaongoza! Maana ma-Pweza huwa wanafanya hila nyingi ilimradi washinde wakasinzie na kupiga makerere bungeni na miongozo yenye nia ya kuficha uozo wa wanao wakumbatia ili waendelee kula bata. Akili kubwa ikiongea, husikii minong'ono wala kicheko...maana huwa hawana hoja zaidi ya kuchekesha.
Kwa kwelii ni point tupu na mifano dhahir
HAPO KWENYE VYEO BASHIRU UMENIKOSHA.WATUMISHI HATUPANDI KWA WAKATI ILA MBONA HUKUTUSAIDIA ULIPOKUWA KATIBU MKUU ENZI ZA MAGUFULI.
@@jumanneselemani2172toka Lin katibu mkuu akahuaika na TAMISEMI kama sio Rais na Waziri husika
@@jumanneselemani2172hawa wakitoka ndio wanajifanya watetezi wa wafanyakazi 😅😅
Pongezi sana, Allah aendelee kukupa khekima na abariki kazi ya mikono yako
Akili nyingi✍
Umeongea point Daktari
Nipo Na Ww Zaman Sana Dkt.Bashiru Ally Kakulwa
Ndio maana ndugu zangu mkiambiwa mtu anaitwa Dr ndio watu kama hao wenye elimu na uwezo, sio mtu anaitwa doctor hata vyeti vya ufundi veta hana alafu anaitwa Doctor!!!!!! Duuuh aibuu hiyooooo
Naiomba serikali ipunguze bei ya mafuta ya magari inatutesa tulio huku chini maisha magumu mno
Balozi Dr. Bashiru umeongea ukweliii kabisaa, tunapambana saana kuchapisha kwa mifuko yetu, lakn unapanda leo unakuja kupata mshahara miaka3 mbelee
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hawa watu ndo tunahitaji kutuwakilisha wananchi mbungeni tunahitaji bunge asilia 85 liwe na watu bright namna hii💪
ccm unawajua lkn
🎉
In that way , our universities are simply glorified secondary schools .
Tht is the fact.
You are damn right
Mh. BASHIRU, Nchi yetu si maskini bali ni Nchi iliyojaa watu wengi wenye kujilimbikizia mali pekee yao bila kujali mgawanyo sawa wa keki ya Taifa.
Kivipi wewe unalala unaamka saa nne mwenzio kaamka 11 mfanane kimaisha tafuta pesa acha kulalamika lalamika wakati wa magu mlikuwa mnasema hapa kazi fanya kazi magu si mjomba wako😅😅😅
Yupo makini sana
Few; but NOTED with capital letters.
Nakumbuka kausemi " nafasi hii ni nafasi ya mwisho sitaki uteuzi na Wala sitakubali kuteukiwa hahaha"
Hivi jamani Kasi ya Tanzania ya viwanda ipo?
Duuuuuh
Sijui kwanini watu kama hawa (akiwemo Polepole) kupewa uongozi wa juu katika chama. Hii ni kukidunisha chama.
Huyu mnafikitu pasi
Mpini wa JPM
Maneno magumu sana
Wazee wa kukurupuka Taarifa wamenywea maana hoja ya kum challenge daktari hawana wanaofia kudharirishwa
Bashiru ni kweli kabisa. Jana kabudi alikosea sana kusema kuwa tuna publish na perish. Sio sawa kabisa
Wakola kyoma
Kwanini hukumshauri Magufuli?
hayo ndo matatizo ya watanzania sasa mgufuri kaingiaje hapa sikiliza point na kila maelezo au points kuna wakati maalum na mazingira yake sasa hoja ya kwanini hakumshauri magufuli ni shida hiyo watanzania tujitambue
Huyu ndie aliefaa kuwa Raisi baada ya JPM. Tatzo nnchi zetu mtu akionekana ana uwezo mkubwa(intelligent) basi anawekwa kando
Kweli
Duu 0:31
Niwaulize kitu ..kama wasomi ndio nyie iweje umadkini umejaa tz ..usomi ujinga kumbe . Sioni faida ya elimu ... ni sehemu ya kuchumia tumbo LA family
U are right
Kwenye utumishi,ni shida baba.
Haya ni ma CCM ni manafiki hatari .....
Dhahabu iliyokataliwa na mafisadi ya nchi hii.
Sukuma gang mko live
hasunga anapiga tu makoffi wanambozi hatukusikii
9:40
Walikuwa wanadharau watu hawa enzi za Magufuli
Wagonga meza bhana 😅
Uyu mwamba namqubar
Sina neno maneno ya bashiru yanatosha.
NA NDIYO MAANA TUNATAKA KATIBA MPYA. TUKIWA NA KATIBA MPYA , SERIKALI ITAKUWA HAINGILII HAYO YATE. CHUO KIWE KAMA KAMPUNI CHINI YA UONGOZI WAKE .
Mheshimiwa Balozi Dr. Bashiru Ally ni Msomi mwandamizi anayetumia elimu yake sawasawa kama nyenzo.
dk bashiru ni mtu makini sana
Mimi nilikuona tangu ukiwa pale KAVAZI
Dr bashiru naunga hoja hapo kwenye swala la vigezo na kupewa unacho stahili nitatizo kubwa sana kwenye inchi yetu na linakatisha tamaa sana yani jambo linawezekana kufanyika ndani ya dakika tano linafanyika siku tano hadi mwenye jambo lake anakata tamaa na kuanzisha jambo lingine
😂😂😂😂 hawa jamaa wanaofanya editing ya hizo picha wananifurahisha sana.
Kichwa Cha habari halikuakisi yaliyoongelewa ndani BASHILU ALLY YUPO sawa lakini hii ni blog ya kihuni clickbait za nini? sijakufurahia
Na raila odinga wa kenya ni zao la chuo kikuu cha dar es salam