VURUGU BUNGENI MSUKUMA, MATIKO "JANABI AJIELEWE, ASHIKE BREKI, MAZIWA YAMELALA" POMBE KALI NI BALAA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Komentáře • 229

  • @bonsondavid5756
    @bonsondavid5756 Před 21 dnem +18

    Msukuma we ni proffeser,madini unayoyatoa ni fire,sauti ya Magufuli ipo ndani tunaisikia big up

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 Před 21 dnem +21

    Msukuma Uko vizuri

  • @Lighttemba
    @Lighttemba Před 19 dny +12

    Safi sana mh. Msukuma

  • @user-wl3bg9ed1l
    @user-wl3bg9ed1l Před 21 dnem +13

    Mweshimiwa msukuma hongera na pia nakupongeza lakini jee mmepitilia kwenye vioski wamepata wapi vibali vya kuuzia pombe Kali watu Huwa wanatumia kutoka asubuhi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Před 20 dny +4

    Msukuma. Allah akulinde. Maashaallah. Unajitambua sana

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi Před 20 dny +10

    Wabheja sana nsukuma mwichane🎉🎉🎉love you 😍 ❤️ 💖

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 Před 20 dny +6

    Daktari msukuma tumesha chelewa kaka ningumu Sana kwasasa

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 Před 21 dnem +19

    Tafti ya msukuma naikubari,, sarutttti

  • @saramartine7330
    @saramartine7330 Před 15 dny +2

    Mm mwenyewe namuelewa sana kwakweli Mr Janaby

  • @user-kv4zd2mz7y
    @user-kv4zd2mz7y Před 18 dny +4

    Msukuma kwa hayo Mungu akubariki

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 Před 19 dny +4

    Allah akuzidishie

  • @jerryrugiga5157
    @jerryrugiga5157 Před 19 dny +4

    Safi sana msukuma unatuwakirisha vyema

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Před 21 dnem +5

    Ahsante sana Msukuma kwa kumwaga upupu,TBS hakuna uthibiti kazi ni kugonga mihuri.Cha msingi hapa ni sisi wananchi/wanywaji kususia hizo pombe za kigeni, acheni ulimbukeni kwa kujigamba unakunywa pombe za kutoka nje ya nchi eti utaonekana ni mtu mwenye uwezo wakati haufahamu kilichochanganywa humo.
    Kunyweni pombe zinazotengenezwa humu nchini,zipo bia zetu nzuri,pombe kali zenye ubora. Na sio uongo anachosema Msukuma hizi imported liquors nyingi sio salama mtaharibu figo,maini na kusababisha impotence kwa wanaume.

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 Před 19 dny +3

    Tusemee tusioweza kupaza sauti ikasikika.
    Mwenye Sikio na asikie
    ❤❤

  • @ChimolasiniourMagawa
    @ChimolasiniourMagawa Před 21 dnem +9

    Hongera mh kasheku mtani wangu. Huwa nakukubali sana ndio wabunge ninao wataka waaina yako

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r Před 19 dny +3

    Asnt sana ubarikiwe

  • @ramadhanabdul2297
    @ramadhanabdul2297 Před 20 dny +9

    🎉huyu ndo msomi pekeee bungeni

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 Před 21 dnem +11

    Msukuma hoyeeee

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 Před 17 dny +3

    Asante sana

  • @edsonsalvatory5121
    @edsonsalvatory5121 Před 20 dny +4

    Msukumu is very genius❤

  • @omaryshafii1284
    @omaryshafii1284 Před 13 dny

    Kiukweli wazungu wanaajenda mbaya sana kwetu tuaiposhituka tutakwisha hongera msukuma mungu azidi kukuongoza

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. Před 20 dny +6

    Prof Janabi Said it Right! If you think it is a joke, Keep ignoring it as Ignorance is expensive than Education

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 Před 20 dny +3

    Daaa! kwaupande waushoga watoto wetu wanangamia kwakweli bora hatamusukuma umesema

  • @ngosimabwai322
    @ngosimabwai322 Před 16 dny +2

    Ni kweli kaka chanjo zimezidi sanaa😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Před 20 dny +13

    Ila kwa Dr. Janabi. Anaeleweka sana anafundisha vizuri ukimsikiliza utaishi vixuri bilaya maladhi maashaallah. Janabi Allah akupe umri wenyeheri nawe❤❤

    • @judaspantaleo9779
      @judaspantaleo9779 Před 20 dny

      Ndio lkn kwa kundi frani la wenye nacho hakuna faida kwa maskini kwa maelekezo yake

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Před 17 dny

      Msukuma ameeleweka kwa wenye akili kubwa tu, mafundisho ya Dr. ni general sana na yanatia hofu hata wasio husika! Awe mahususi!

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Před 16 dny +1

      ​@@judaspantaleo9779so kweli dada masikin hawez kosa maharage mboga za majani tena Mimi imenisaidia sanaa

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Před 16 dny

      Sanaaa

    • @MahmoudMohamed-gx1fk
      @MahmoudMohamed-gx1fk Před 16 dny

      Dr janabi anafafanuw vzr kwa kila aina za watu na kazi zao vp waishi

  • @chrismkama4889
    @chrismkama4889 Před 20 dny +2

    Kama si siansa, Bunge liombe ushahidi wa kisayansi kuhusu alichokisema janabi kiletwe tena bungeni ikibidi aje aeleze mbele ya Bunge kama waliyomkosoa hawatahaibika.Wabunge jifunzeni kunyamaza kama hamna uelewa na kile kinachozungumzwa na wataalamu waliyosoma kwa miaka mingi vyuoni na kuhitimu.

  • @MelkioryDigha-ry8nu
    @MelkioryDigha-ry8nu Před 17 dny +3

    Huyu jamaa jembe sana safi dah

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Před 21 dnem +6

    Ndio shida yetu watalamu wetu hatwatumii , wazungu hawawezi kutupenda kama munavyokuwa munazani wataraamu amukeni .

  • @AllyAllyRamadhani
    @AllyAllyRamadhani Před 20 dny +1

    Upo vizuri sana kweli

  • @johnmichael-zg6sd
    @johnmichael-zg6sd Před 16 dny +2

    Huyu mzee n daktar kabsa

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Před 16 dny +2

    Wape ukweli chpsi mjini bwana,wakulima wapi na wapi

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 Před 20 dny +3

    Unafaa kuwa waziri ❤❤

  • @barikielisulle9300
    @barikielisulle9300 Před 20 dny +3

    Mimi ni mpinzani ila msukuma kawapiga chini wasomi wa nchi hii maprofesa mpo tu mnapiga makofi bungeni.. Anahoja ya msingi.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Před 15 dny +2

    Bunge limechangamkaaa fact kama hizi ndo tunazozihitajiii mtaani pagumu wakuu watu wako na hali ngumuuu😢🫶🏿

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Před 21 dnem +7

    Tanga kuna watu bora sana,waaminifu sana,hawana tamaa, wataendelea kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi hii, ni watu sahihi. Amen

    • @thinktwice7176
      @thinktwice7176 Před 20 dny

      Hoja yako ya mahali inakujaje hapa

    • @hakihaki2154
      @hakihaki2154 Před 18 dny

      Yanga na Zanzibar tofauti yao ndoho Sana ubinafsi 😂😂😂

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc Před 13 dny

    Mwamba huyu hapaaaa❤❤❤

  • @backrissmgayamgaya749

    Safiii

  • @julyodette6945
    @julyodette6945 Před 10 dny

    Papai la njano nje ndani kugumu kama maisha ya mtanzania wa kawaida☹️
    Hatuna vyakula vya asili masoko yamejaa matakataka tu matunda holaaa nafaka ndo usiongee mifugo huko ndo full michanjo 😭😭😭 huko mbele ni taabu tupo

  • @user-qt5tx7xu8f
    @user-qt5tx7xu8f Před 10 dny

    Safi.sana msukuma

  • @jerryrugiga5157
    @jerryrugiga5157 Před 19 dny +3

    Umenigusa sana kwenye swala la chanjo na kutahiri watu

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 Před 16 dny

      Hata mimi aisee huyu jamaa ni mtu na nusu

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 Před 16 dny

      Ila watu kama hawa ni kama hawathaminiwi, ila huyu kaka ni lulu kweli. Ameongea mambo kontu

  • @user-og2hm6fk7b
    @user-og2hm6fk7b Před 20 dny +1

    Musukuma uko sawa, ila Janabi naye yuko byeee na elimu ya afya, muache atufun dishe afya

  • @joshuakobe6619
    @joshuakobe6619 Před 13 dny

    Hajamuelewa Prf. Janabi

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi Před 20 dny

    ❤❤❤❤❤

  • @flomenamvungi988
    @flomenamvungi988 Před 20 dny

    Mzee uyu yupo vzr

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 Před 20 dny

    Aisee hii nimeipendaa..

  • @lusane_village_maasai_home

    😊😊

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 Před 19 dny +1

    Naona wakevi mnakuwa wakali musuku kugusa pombe zenu.Mpaka mnamtukana,tena hizo pombe ziondolewe kabsa,hazina faida kabsa.

  • @allysaidallysaid4530
    @allysaidallysaid4530 Před 21 dnem +7

    mimi ningekuwa mbunge nanipo bungeni ningeomba kiti changu kiwe karibu na msukuma😂😂😂

  • @anthonytido
    @anthonytido Před 12 dny

    ❤❤❤❤

  • @isakaandrea5056
    @isakaandrea5056 Před 2 dny

    Duuuu

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq Před 11 dny

    We msukuma wee

  • @emmanuelsalala-xu1xj
    @emmanuelsalala-xu1xj Před 20 dny +1

    Ni kweli kabisa lakini serikali,haichukui hatua hizo chajo ni nyingi muno

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 Před 20 dny

    Wape vidongevyao

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 Před 21 dnem +8

    Hapoo chukua maua yakooo bila kificho umeongea vyema mnooo

  • @MathiasMusobi-ob9cn
    @MathiasMusobi-ob9cn Před 20 dny +1

    Yaendelee kutolewa maelezo kwa kina juu ya madhara mbalimbali ya afya

  • @HappyKiteboarder-du9th

    Wewe ni Zaidi ya wabunge wote bungeni hongera sana upo vzr nchi inahitaji iwe na wakina msukuma Kama wewe mfike 100 tutafika mbaki

  • @selemanikazingini5566
    @selemanikazingini5566 Před 20 dny

    Msukuma ni msomi kweli kweli
    Ni afadhali ya msukuma aliyesoma informal education

  • @LisunguKipigapasi
    @LisunguKipigapasi Před 17 dny

    🎉

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 Před 21 dnem +4

    wewe msukuma kweli , hujamuelewa prof. msikilize tena vizuri. sio ujazo wa chakula kula ubora wa chakula , na aina yake. haya asbh uji, mchana ugali ,usiku wali/ugali tena kula kwa mwaka huku unalima au zaidi lazima mwaka unafuata unapiga hodi MNH unabisha endelea . na unachokilima kipo gharani halafu NHIF imeota miguu

    • @yohanamkaga5230
      @yohanamkaga5230 Před 19 dny

      Ni mawazo Yake na wewe unaweza changia. Lengo la msukuma siyo kupingana na janabi ila anajaribu kuconect swala la chanjo, madawa vyakula na kinywaji vinavyoingizwa inchini vifanyiwe utafiti.. wewe ndo hujamuelewa msukuma

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Před 20 dny

    😂😂😂 Msukuma oyeeeee

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 Před 20 dny

    Viwanda bubu ni vingi sbb
    Ya urahisi wake wa kutengeneza spirit na ladha ya chakula tu tayari pombe suala la kifo watu hawana huruma siku hizi,bora umewaeleza ukweli.

  • @user-wh7gj9ug9s
    @user-wh7gj9ug9s Před 21 dnem +1

    Kweli msukuma chanzo,na na hujo janabi hapana lazima tule tushibe na chanjo

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 Před 21 dnem

    Kweli mtani wangu tunakula na kunywa vitu vya hovyo sana siku izi yani magonjwa matupu

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Před 20 dny

    Kwa magufuli cooker hazikuepo alizifuta ndo viroba na double punch hz hzo

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 Před 20 dny

    Ahsante sana maukuma.hizi chanjo zimezid balaa

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 Před 21 dnem +1

    Yaani sasahivi watu tunaumwa magonjwa hayaeleweki!inasikitisha sana!

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 Před 18 dny

    Huyo ni zaidi ya pr.

  • @jumannerajabu5288
    @jumannerajabu5288 Před 15 dny

    Wape msukuma😂

  • @aquinastera7404
    @aquinastera7404 Před 21 dnem

    Taarifa 😅😮 Pombe 🍺 🤖 mteja 😂

  • @frankkitosi732
    @frankkitosi732 Před 17 dny

    Sema msuma

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 Před 20 dny +1

    MSUKUMA HONGERA SANA. HIZI CHANJO NA POMBE ZIFANYIWE TAFITI

  • @salcle9702
    @salcle9702 Před 20 dny +2

    Kuku wa kisasa na mayai ya kisasa

    • @alexmatt9504
      @alexmatt9504 Před 20 dny

      Hilo nalo ni janga,kwa sababu dawa na sindano wanazolishwa hawa broilers na kukua kwa muda mfupi lazima mlaji utapata madhara.

  • @user-mh5wj1vs7v
    @user-mh5wj1vs7v Před 15 dny

    Hiii nikweli kbs

  • @kuzenzamasule1281
    @kuzenzamasule1281 Před 20 dny

    Maziwa ndala😂😂😂😂

  • @JoshuaLaiza-ze7ge
    @JoshuaLaiza-ze7ge Před 21 dnem

    uuuwi na mbona Kuna sehemu zingine tunalipishwa mpaka mjamzito analipishwa kadi mtoto mfogo tunalipishwa

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 Před 20 dny +1

    Hakika msukuma wewe ni mbunge wa taifa hakuna siku uliyofeli kwenye hoja za msingi, hongera kiongozi

  • @matthewmichaelsylvester5612

    akili kubwa

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 Před 20 dny

    Kizazi cha sasa kimefunikwa uwezo wa kifikra kuweza kuchambua mambo ya kuambiwa..hivyo basi Miongozo iliyo bora inahitajika sana..

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 Před 20 dny

    Msukuma yuko sawa! Misaada ya mabeberu ni ya kuogopa kama ukoma. Mingi ina masharti nyuma ya pazia inalenga matakwa yao ya kipepo!

  • @LukaLazaro-fd1kr
    @LukaLazaro-fd1kr Před 12 dny

    sukuma 1

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před 21 dnem

    Musukuma na DP world oyeeeee

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t Před 20 dny

    Huyu jamaa namkubali sasa

  • @user-rt1wd2le6n
    @user-rt1wd2le6n Před 19 dny

    Ila huyu kaka jaman yuko vzur atafka mbali jaman kumbe dunia imekwsha hyo jaman TBS tusaidien tunakwsha😭😭

  • @emanuellukwaro1032
    @emanuellukwaro1032 Před 20 dny

    Hata mm nimekuwa na mashaka na hizi chanjo dawa ni sumu ndio maana unapewa kwa doz iweje chanjo inatolewa kwa msaragambo?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před 21 dnem +1

    Hapo prof Janabi aliongelea hasa watu wa mjini lakini MTU WA kijijini .nchi za kiafrica tunaangalia fedha hao watakuja maliza watu eti wafadhili watu wa serikali wakisikia mradi wa Una fedha wapombele kukimbilia miradi u jinga

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 Před 21 dnem +6

    Acha kupoteza maana wewe prof:Janab anaeleza vitu vya ukweli.

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 Před 20 dny

    Msukuma mbunge kula tano iyo ✊👊

  • @user-bo2mx9dy6v
    @user-bo2mx9dy6v Před 20 dny

    Uyu msukuma siangekua President

  • @33rmajaliwa
    @33rmajaliwa Před 16 dny

    Hizo ni agenda za utekezaji wa vizazi vyetu
    Viongozi tunaomba msimamie uchunguzi ikiwezekana kuzuia kabisa

  • @modrikabdallah
    @modrikabdallah Před 17 dny

    Kweli msukum ata rais samia mchaane,

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 Před 20 dny

    Hv hawa sijui huwa wanajadili nn

  • @user-gn1io8tu8h
    @user-gn1io8tu8h Před 19 dny

    Safi matiko

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Před 20 dny

    Wewe ndo progesq msukumq

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 Před 17 dny

    Wazalendo wa taifa lao

  • @kwangahudispensary7238

    Kadi zisipokuwepo hospital ,, watuwaandikiwe wapi huduma hizo? Kwani tunaziagiza haziji, mnatuhukum watoa huduma bure serikali Ilete kadi tukiagiza msd.

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 Před 12 dny

    Chanjo zimezid

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose Před 20 dny

    Msukuma mtani wangu Ukosawa. na hayo unayosema. Tatizo tunalo kubwa ni asilimia kubwa ya hao viongozi ni wanachama wa chama cha nchi za magharibi. Kwa hio wana tekeleza walio kubaliana ndani ya mikataba yao! Ujue msukuma hayo yanayo fanyika ni kwa rithaa ya mtu m'tu mmoja sio rithaa ya umma! Na utambue msukuma ni Mkoloni wa nchi za africa ni viongozi wa nchi za Africa!

  • @kusinayusuph2294
    @kusinayusuph2294 Před dnem

    Musukuma wewe nimtu muhimu sana kwenye hii nchi

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Před 20 dny +3

    Utafiti ni kitu muhimu na ukisubiri serikali ikutafitie utangoja sana na huenda utapitwa na wakati Kula kidogo hakuna madhara na kuna faida kubwa kiafya (one mill a day )na tutumie chakula kama dawa mboga mizizi na nafaka.

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Před 20 dny

    Mheshimiwa msukuma umegusa kipengele muhimu sana.