MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!!

Sdílet
Vložit

Komentáře • 312

  • @user-ke9sl3kh2b
    @user-ke9sl3kh2b Před 24 dny +21

    Msukuma wew ni kiongozi bora kama magufuli mi ningependa sana ugombee urais tutakupitisha tunaona kazi zako nzuri sana

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana Před měsícem +17

    Msukuma kama msouth africa au Mexico 🇲🇽 big up

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix Před 16 dny +7

    Tungekuwa na wabunge kama msukuma 10 nchi yetu ingepiga hatua sana sana ,msukuma mungu akuzidishie maisha marefu

  • @dainessoda1363
    @dainessoda1363 Před 9 dny +1

    Jaman uyu Msukuma bas tu jaman anasema ukwel mtupu Mungu akutunze baba yetu tunakupenda mnoo🥰

  • @user-tv8ub4fk5i
    @user-tv8ub4fk5i Před měsícem +5

    Msukuma Yuko vizuri sana taifa mtumieni huyu mfanyabiasha atatuokoa Mungu akusimamie Msukuma

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Před měsícem +5

    Asante Msukuma. Waambie BRT itumie UMEME acheni Disel. Msifunge uzalishaji wa ziada wa umeme, utumike BRT na mabasi ya mijini.

    • @stephenkalidush5446
      @stephenkalidush5446 Před 26 dny

      mmmh inatumia diesel?
      kama inatumia diesel, basi tnahitaji katiba kama China
      kiongozi akichakachua hukumu yake shaba

  • @zawadigodiwe8425
    @zawadigodiwe8425 Před měsícem +4

    Uko vizuli sana we nikiongozi bora unafanya kazi nzuli natamani ungekwa Mbunge wetu asant

  • @reylajoseph
    @reylajoseph Před 23 dny +3

    Upewe ulinzi ❤baba

  • @JeremiaholendikaMakeseni
    @JeremiaholendikaMakeseni Před měsícem +4

    Ubarikiwe sana kiogozi Bora mtetezi wa wanachi

  • @neema9027
    @neema9027 Před 27 dny +3

    Musukuma Ana uchungu na Tanzania 🇹🇿

  • @TheresiaCyprian-ky5lt
    @TheresiaCyprian-ky5lt Před 29 dny +5

    Mungu akulinde ❤ msukuma,wewe ndo magufuri wa pili mungu akupe maisha marefu

  • @NeemaShao
    @NeemaShao Před 26 dny +2

    Mungu akulinde msukuma kama alivyowalinda wana waisrael jangwani

  • @Benny46y1
    @Benny46y1 Před 26 dny +2

    Hongera sana baba yetu mpendwa 🎉🎉🎉 long live

  • @JonasiChiristian
    @JonasiChiristian Před 15 dny +1

    Wewe nikiongizi borasana mungu akulinde baba

  • @NestoryBarabara
    @NestoryBarabara Před 11 dny

    Muskuma mungu akuzidishie uripo pungukiwa naakupe maisha marefu

  • @edwardKilogeja
    @edwardKilogeja Před 21 dnem +3

    Hongera sana Mh

  • @janethrulenguka906
    @janethrulenguka906 Před měsícem +3

    Msukuma unanibarikj sana yaani barikiwa😍

  • @hidayaomary8611
    @hidayaomary8611 Před 14 dny

    Wachane wachane Msukuma. Hiv ndyo wabunge mnatakiwa muwe Siyo kumunguny maneno Mungu akuweke Mhe.Msukuma wetu

  • @badenneyz9056
    @badenneyz9056 Před měsícem +47

    kama ulipagawa na hio cover photo ukafungua hii video😂 like hapa

  • @RichardNgareu
    @RichardNgareu Před 21 hodinou

    Msukuma nakubali kwa unavyo licharua bunge

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 Před 15 dny +1

    Mchango mzuri mno kwa kweli it’s too much!

  • @GoldvanJackson
    @GoldvanJackson Před 9 hodinami

    Hahahahaha 😅😅😅😅😅😅😅 ametixha sanaaa

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 Před měsícem +8

    Msukuma hongera sana umeongea point sana tatizo la nchi hii utekelezaji. Naomba tuchukue fomu ya Urais wakuluma wenzako tutakupa kura

  • @StevenShimiyu-qu2zx
    @StevenShimiyu-qu2zx Před měsícem +4

    Msukuma huna mchango mbaya.bigup sana Mungu akulinde,Mungu akuinue,Mungu akubaliki sana.Wanyonge tunaukubali mchango wako bungeni Siku moja Mungu atatuokoa mafisadi

  • @cartersport_1362
    @cartersport_1362 Před měsícem +2

    Hakuna msukuma boya 😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelMsangi-kb3vv
    @EmmanuelMsangi-kb3vv Před měsícem +3

    Inaumiza sana sana Sasa hao wafungwa wa somalia kosa lao nikuingia nchini kinyume na utaratibu sikuwarudisha kwao kuliko kuhangaika nao

  • @Msafirimzigwa
    @Msafirimzigwa Před 4 dny

    Binge la Tanzania mi tofaut kabisa na mabunge ya nchi zengne Tanzania bdo Yuko nyuma san

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před měsícem +6

    Hahaha Eti mtoto wa kitaa msukuma oyeeeeee 😂😂

  • @MeneMhepela-hq4of
    @MeneMhepela-hq4of Před 21 dnem +1

    Mungu mwenyezi akubariki

  • @catherinekihengu2420
    @catherinekihengu2420 Před měsícem +2

    Duh umetisha msukuma 😁😁

  • @AfrikanusAlchard
    @AfrikanusAlchard Před 18 dny +1

    Nimezimiss hiz moments

  • @NaschoroChambo
    @NaschoroChambo Před 10 dny

    Msukuma bora ugombee uraisi

  • @muduramadhan4259
    @muduramadhan4259 Před 8 dny

    Good job 👍

  • @AbdallahShamte-jp1op
    @AbdallahShamte-jp1op Před 26 dny +1

    Allah akulinde 🙏🙏🙏

  • @THOMASMAYOGU-vu5ny
    @THOMASMAYOGU-vu5ny Před 13 dny +1

    Kanda ya ziwa stand up respect wanyoshe.😮😮😮😮😮😮

  • @GhatiElias-zu7oe
    @GhatiElias-zu7oe Před 3 dny

    Very good

  • @IsackFumbuka-lg3xy
    @IsackFumbuka-lg3xy Před 17 dny +1

    Sema ukwer 😂😂

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Před měsícem +9

    Msukuma nitafute nikipe soda ,au beer 😂😂

  • @user-ws3xo9dt3n
    @user-ws3xo9dt3n Před 14 dny

    Ase mimi sema ukweli uyu mzee wetu agombee urais tu 🤗🤗
    Na lazima apite

  • @DanielLucas-wq7ti
    @DanielLucas-wq7ti Před 12 dny

    Daaaah uko safi sana mzee wa kazi hurry up hurry up wizi mkubwa mimi sioni faida ya elimu wizi tu

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Před měsícem +13

    Nchi yetu kila mtu anawaza madili tu ndo maana hatuendelei. Raisi wetu jpm pumzika kwa amani

    • @funekamole6742
      @funekamole6742 Před měsícem

      Yaani tunaviongozi wa ovyoo sana!musukuma aliwanyosha tena wameibuka,mamma anakopa wanakula.😢😢😅😅

  • @faridampimbi9118
    @faridampimbi9118 Před měsícem +2

    😅msukuma i love youuuuuu

  • @juliasmusangamusanga
    @juliasmusangamusanga Před 16 dny

    Msukuma mh shimiwa hongera sana ❤❤

  • @ClaudPius
    @ClaudPius Před 20 dny

    We ndo kiongz Bora

  • @EsterMsuya-kn7tm
    @EsterMsuya-kn7tm Před měsícem +1

    Mungu akulinde unatutea masikin wenzako

  • @FrancisMkuta
    @FrancisMkuta Před 26 dny +1

    Msukuma sema utalipwa na Mungu.

  • @matokeomwinami3659
    @matokeomwinami3659 Před měsícem +5

    Magufuli kwann ulikufa lakini ,, huko uliko hata ile barabara ya makambako songea mpaka leo mashimo tu, CAG huku lipoti nishoti tu magu msukuma wanamdharau bungeni eti hajasoma.

  • @maximilianmwalwe-rw4il
    @maximilianmwalwe-rw4il Před měsícem +1

    lait tukiwa na watu wa hivi kamaa 100 ingekuwa raha sana big up msukuma

  • @Saiddoti
    @Saiddoti Před 14 dny

    Ongela. Sana mh.mbunge msukima nikweli eabunge we give nieezi.pia wapo kwa ajiri ya matumbo yao tuu hawapo kwa ability yakuwatumikia watu.

  • @BlandinKalistus
    @BlandinKalistus Před 16 dny

    Uko vizuri mwakilishi wa wanyonge

  • @bolelambunda6554
    @bolelambunda6554 Před měsícem +2

    Asante msukuma JPM Rest in peace inaumiza time will tell

  • @ALPHONCEKADONDO-qs5hr

    Hiyo hatarii saanaaa

  • @OlengokolMolel
    @OlengokolMolel Před 25 dny +1

    Msukuma uko vzr

  • @lusekeloestony6744
    @lusekeloestony6744 Před 8 dny

    Hiii ichiiii

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 Před měsícem +1

    Hongera sana king msukuma

  • @SalimAbdulla-gw5rq
    @SalimAbdulla-gw5rq Před 25 dny

    Ila mungu alibariki bunge na viongozi tusonge Mbele ila hao wezi wakalime warudishe hela cc raia tunaumia sana .

  • @RashidhKasita
    @RashidhKasita Před 16 dny

    ❤msukuma

  • @JumaOmary-yg5rq
    @JumaOmary-yg5rq Před 8 dny

    Kwa kweli kama kungekuwa na wabunge kama msukuma 20 tu tz tungesonga mbele sana

  • @user-xb2mq5mz7t
    @user-xb2mq5mz7t Před 19 dny

    Mungu akulinde msukuma

  • @JohnsonNgetwa
    @JohnsonNgetwa Před 11 dny

    ❤msukuma nakukubali sana😅

  • @alichengilangwa1361
    @alichengilangwa1361 Před měsícem

    Nakukubari sana weye mheshimiwa mpina piga kazi

  • @SarahRobert-pi7rw
    @SarahRobert-pi7rw Před 20 dny

    Hongera sana msukuma,wape makavu,watu hawana woga..

  • @JohnMatara
    @JohnMatara Před měsícem +1

    Asaivi bunge la kichoko

  • @Magrethmwanga-kb2lq
    @Magrethmwanga-kb2lq Před 20 dny

    Msukuma mungu akulinde undelete kusema ukweli

  • @OmaryMdoe-hg5cq
    @OmaryMdoe-hg5cq Před dnem

    Good

  • @FELISTAREMMY
    @FELISTAREMMY Před 21 dnem

    Tunakupenda msukuma❤😂😂

  • @user-sz6yq1pj3o
    @user-sz6yq1pj3o Před 26 dny

    hongera sana broo irifaa wotee humo bungeni waigee huo mchango wako daah

  • @user-rg7tx2cc1l
    @user-rg7tx2cc1l Před měsícem +1

    Msukuma na kishimba nawapendeni🎉🎉🎉🎉

  • @lucasngulugulu9074
    @lucasngulugulu9074 Před měsícem +2

    Mheshimiwa msukuma nipo mdogo wako hadhina ya taifa nasikitika Sana kwa hilo soon tutakutanaa huko tutasomana vema ndo maana wasukuma wanatuona wakaidi but brother soon ntafka mungu ainue utukufu wake tu

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 Před měsícem +1

    Jamani kuweni na hofu ya Mungu hii nchi itabakia na hamtaondoka na kitu duniani ni mapito tuu.

  • @EstherClement-wb4jo
    @EstherClement-wb4jo Před 16 dny

    Tunakupa pongez Sana gombea tutakupa kula 3:03

  • @ManeMsenegal
    @ManeMsenegal Před 20 dny

    Asante sn mbunge wang mtetez wa wanyonge wew na makonda mumefuat mienendo ya anko magu

    • @user-ux3it4bh7b
      @user-ux3it4bh7b Před 12 dny

      Hujui kufananisha inahitaji elim pia
      ( uskurupuke )

  • @MarcoSeneda
    @MarcoSeneda Před 13 dny

    Kweli ❤

  • @paulkulwagambishi2330
    @paulkulwagambishi2330 Před 23 dny

    Wasukuma mna misimamo inayotakiwa katika taifa hili, hongera bro

  • @RashidhKasita
    @RashidhKasita Před 16 dny

    Upo saws nakuombea kwa mungu akuongeze

  • @johnnzelashiganza8113
    @johnnzelashiganza8113 Před 22 dny

    Nice

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 Před 4 dny

    Kweli kabisa umesems

  • @JanuaryExpelius
    @JanuaryExpelius Před 11 dny

    Smagufuri lala salama musukuma omba uraisi ntakupa Kula yanguu

  • @riverlolence
    @riverlolence Před 27 dny +3

    mungu akulinde msukuma baba wewe nikama baba magufuri

  • @user-cq7tr7lt6d
    @user-cq7tr7lt6d Před měsícem +1

    Kaka hua ukiwa hapo bungeni ninakuerewa sana sana

  • @mwajumakupela7801
    @mwajumakupela7801 Před 19 dny

    Mungu akulinde

  • @REVILIANCHRISTOPHERFREDR-yc7fl

    Hapa ndo tunaelewa msomi ni Nani
    Nadhani msukuma ni msomi kamili hachana na HAO wanatafakali usomi katika karatasi Ila nje wanayoyafanya hata haya.......
    Big up grandpa!!!!!!!!

  • @MartinKimbe-kp4sb
    @MartinKimbe-kp4sb Před 29 dny

    Asante sana msukuma

  • @ISSAYAMWAKIPESILE
    @ISSAYAMWAKIPESILE Před dnem

    Wambie hao msukuma bungeni

  • @kamugaelias3754
    @kamugaelias3754 Před měsícem +2

    Hakuna mwenye machungu na inchi ila wapo kwa ajili ya masirahi yao na familia zao tu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před 21 dnem

    SI WANAIBANAEEEE

  • @salmabenardmasanja3440

    Big up sana msukuma

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 Před 19 dny

    Yuko vizuri msukuma

  • @WinifridaMgimba
    @WinifridaMgimba Před 21 dnem

    Safi msukuma

  • @SamuelJoseph-lk8xd
    @SamuelJoseph-lk8xd Před 16 dny

    Wao mbunge wetu sema

  • @ShottojumaNdakama
    @ShottojumaNdakama Před 20 dny

    Ole siza bhabha🌷🥀🌹

  • @user-hx4hg1yn6l
    @user-hx4hg1yn6l Před 15 dny

    Hongera msukuma

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Před měsícem +2

    Huyu kingmsukuma hana kura za maruhani anakura za wanainchi kias hata ikichukua chama ingine huyu hakosi kura za wanainchi maana ni mbunge wa wanainchi kwa tiketi ya ccm sio mbunge wa ccm kwenye jimbo alipo

  • @LingsonMwakayonga
    @LingsonMwakayonga Před 26 dny

    Uko vizuri

  • @KashindyeIlaguzi-ve9pn

    Mh, baadae gombea urais kura ya Kwanzaa ni yang, wasukuma hatushindwi kitu

  • @harrisntibuhera8201
    @harrisntibuhera8201 Před 21 dnem

    Msukuma uko sahihi💯💯

  • @georgendibalema9062
    @georgendibalema9062 Před měsícem

    Semasemaaaass

  • @PoulOOdira
    @PoulOOdira Před 12 dny

    Mh.Unajua

  • @ReylaMalambo-qy6ei
    @ReylaMalambo-qy6ei Před 29 dny +2

    Mzimu wa Magufuli umemuingia

  • @EndrewMwemezi
    @EndrewMwemezi Před dnem

    Unaongea ukweli mtupu Sana