Aish hilal mbunge wa sumbawanga mjini ata achangiaji oja tumekuchoka sijui elimu huna uwanja wa ndege wanalima mchicha balabla za mitaa vumbi wewe unafanya nini bungeni😢😢😢😢😢😢😢
Yaani msukuma umeongea kweli kabisa Huyo mwigulu nae hana hana mkakati wowote na wanachi wake waliompa kura Maana maisha yao hayana wakuwatetea .Yeye katokea huko kwa hao walima alizeti kwa jembe la ng’ombe 😅
Imefikia mda naona kama Kuna bifu kati ya wasukuma wa mwanza .mwigulu nchemba na huko tunakoenda wasukuma wataikataa hii serikali na mkumbuke wasukuma ni kabila kubwa hata Tanzania kaeni makini wale uwa wanamsimamo mbaya sanq wakisema Yaya gete imeoisha hiyo kueni makini sana na hao wasukuma wale wakihama chama wanaondoka wote mpaka mbuzi maana nchi nzima wameenea mpaka Zanzibar kuweni makini sana na hili kabila ni nomq
Hongera🎉 musukuma kwa kazi 🎉 na tamani uwe Rasia ❤️🎉
Uko sahihi mbunge musukuma..nakufatilia sana namungu akulinde kwenye majukumu yako
Msukuma namkubali sana hanaga Kazi mbovu Mungu akubariki sana Msukuma , Mpambanaji, nataka I sana ungekua mbunge moshi mjini 🎉🎉
Nashukulu sana musukuma tutee ss wafugaji nzera yote tunakushukulu sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
hongera mungu akuinue uwe rais wa Tanzania uko vizur
Daah napenda sana siasa ya Tz mbunge yupo huru kutowa mawazo na kahasira kakiwemo daah Mungu aibariki Tz
Exactly we really need this kind of leader.
Very nice god bless you more in your all activity
Namkubali sana
Kaka mwenyez mungu azid kukulinda we n chumaaa 👏
Asante msukuma endelea kutusemea nasisi sikonge
Unafanya kazi nzuri sana musukuma
Nakubali sana msukuma upovzr big up sana
Hivi hizo siti hazina watu au ndo wabunge watoro
hawaendi sababu hawana shida yao yanawaendea
Daaah
Izo siti zawageni
Wanakula pesa bure walevi ushindwa kwenda kazini.
Msukuma yupo vizuri
Mwanaume Asante sana kwa oja yako
Wabunge wa kanda ya ziwa mko vizuri sana tatizo chama chao ndio tatizo
Nakubali san kiongoz
Nikweli kabisa
Umeongea vizuliiii
❤❤❤❤❤ namb 3 xaxa maheho
Karibu sana Kilimanjaro Kaka natamani Sana nikuone live sikumoja Mana mbs zangu zinaishiaga kwako, natamani uwe mbunge wa Kilimanjaro
Baba were mkeri sana
Hongera Yako msukuma unafanya kazi nzuri ❤❤❤
Mwogopeni Mungu enyi mafisadi wa nchi yetu
Kiukweli msukuma nahisi ni mnafiki sana
Asante
Hili jamaa Huwa nili nafikri sana na hakuna msimamo
Wasukuma tunajimbua sanaa😊😊
Aish hilal mbunge wa sumbawanga mjini ata achangiaji oja tumekuchoka sijui elimu huna uwanja wa ndege wanalima mchicha balabla za mitaa vumbi wewe unafanya nini bungeni😢😢😢😢😢😢😢
Bungee ni zuri, Mwenyekiti aongeze Speed ya Ujenzi Mwanza na Kahumlo Sengerema.
Au mnaonaje?
Asante msukuma kwa kusema ukweli kwaajili ya wananchi
👏👏👏👏👏👏👏👏
💪😁🔥 gombea ulaisi tunaitaji lahisi anae toa maneno sio kuyamugunya kaka magu alivo kuaga anafunguka 🙏🙏
I love this man
Acha uongo musukuma nyinyi ni wezi tu
Jamani huyu aje kua raisi
Mda mwingine elim na uelewa hua viko tofauti uyu jamaa rasaba ila pointi zake nishida
Safi sana kaka
Msukumaaaaa🙌
Yes
Huyu jamaa ni Mbunge wa kanda yaziwa sio Geita ,kilasiku anapoint ya kuitetea Mwanza yote wabunge wengine hawapo?
Hongeraa kiongoz wet
❤Tunakupenda Sana rais wetu miaaka ijayo
Msukuma ww nikichwa sana sema unakosa tu sapati saruti kwako msukuma fact
Yaani msukuma umeongea kweli kabisa Huyo mwigulu nae hana hana mkakati wowote na wanachi wake waliompa kura Maana maisha yao hayana wakuwatetea .Yeye katokea huko kwa hao walima alizeti kwa jembe la ng’ombe 😅
Msukula one love
Msukuma ❤❤❤❤❤
🎉
Asante kiongozi
Imefikia mda naona kama Kuna bifu kati ya wasukuma wa mwanza .mwigulu nchemba na huko tunakoenda wasukuma wataikataa hii serikali na mkumbuke wasukuma ni kabila kubwa hata Tanzania kaeni makini wale uwa wanamsimamo mbaya sanq wakisema Yaya gete imeoisha hiyo kueni makini sana na hao wasukuma wale wakihama chama wanaondoka wote mpaka mbuzi maana nchi nzima wameenea mpaka Zanzibar kuweni makini sana na hili kabila ni nomq
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
😅😅😅😅
Tutaanzisha nchi yetu ya Kanda ya ziwa
Kweli msukuma unawenza umeongea vizuri sana
Hatari
Msukuma noma
Safisana msukuma mungu akulinde ukosawa
Namkubari sana msukuma
Sema baba semaa
The 🤴 king
Kweli
Mungu atusaidie sana tupende vyakwetu
Tunakupata vyema msukuma Wetu tutetee sisi wanyonge😭😭
Ni kweli
❤❤
Hongera Sana mkuu
nakukubari sana msukuma
Mungu akulinde msukuma big up
MSukuma
Msukumaaa ogera kwa kusema ukweli❤❤❤❤
Mungu akubarik msukuma
Edson sanga nakukubali sana mwamba
Jpm. Mungu amsaidie xana
Msukuma bungen upo vizuri sana tungekuwa na wabunge 20 kama msukuma ungekuwa tanzania ipo mbali sana
Kweli kaka mungu akubariki upate hata urasi uwa tumbue Kama Jon
Safi sana mheshimiwa nakukubali sana, tunataka nchi hii inataka wabunge kama wewe,
Hongera sana msukuma ❤
Salute kwako
Hallelujah
Ndotozangu kwako Ili niendelee kuwa na amani gombea urais mh miwa mbona upo vizur sana kwaza unajikubari unaujasiri Yani mungu akulinde
Huwa nampenda sana mtu jasili asiye ogopa ila tatizo huwa awadumu mungu akupiganie msukuma
❤
Kubali Sanaa msukuma
😊
Hangers sana mbunge unawakilisha vema
Safiii sana
Safi sana msukuma tutete sisi wanyoge
Veeeeergoooood msukums
hongela mkuu
Kweli mwamba
Safi
Baba bwama yesu asifiwe naoma msaada wako
Hongera xana msukumaaa
I wish you
🙏🙏🙏❤❤❤
pastor dominic kiboko ya uchawi
Jembe le2 la kisukuma love xana
Kweliiii
Kweliii
Nikweli
Umetuma kazi nawananch wako napenda kukufuatiria nikiwa na mb namalizia kwako
Msukuma hongera sana ebu mwsmbie jafari wa rorya nae asem
Sikupingi kiongoz Wang,
Sawa tunakuelewa mkuu
Chama kilekile watu ni walewale na akili zile zile haziwezi kubadili chochote ktk nchi hii
Ukiwa nahofu ya Mungu moyoni,huwezi kukaza usowako bila aibu kufagilia bandari,angalieni wote mnaofagilia Jambo hili,hasira ya Mungu ipo juu yenu
Milado ayo Great