ALIYEUZA MADAFU IKULU ANA MAPYA, USALAMA TAIFA, BASTOLA, AJIBU, ACHANGANYIKIWA IKULU, ANASOMA CHUO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 03. 2024

Komentáře • 422

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi Před 2 měsíci +25

    Huyo ndio Mh Dr SSH, watu wauza dafu ikulu, hio ni gate pass ya mafanikio kwa hao vijana, hio ni baraka tayari👏👏👏👏

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 2 měsíci +8

    Rais wangu mungu akubaliki sana. Waone na wa chini wengine❤❤❤❤❤❤

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 Před 2 měsíci +28

    Hili ni funzo Kwa degree holder wote mliobweteka magetoni mnamsubiria mjasilia mali kama huyu aje awape ajira,kauli ni moja TU TOKA MAGETONI KAJIPAMBANIE

  • @nchimbilusda7259
    @nchimbilusda7259 Před 2 měsíci +21

    Hakika huyu Mama, aaah ,bwee acha tu, namfurahia sana Mungu amtunze 🙏🙏

  • @deusmalika164
    @deusmalika164 Před 2 měsíci +7

    Dr Samia MUNGU akujaile moyo wa upendo ulionao uendelee! Hongera sana mama

  • @user-vw1ij4xy4l
    @user-vw1ij4xy4l Před 2 měsíci +11

    Dr Samia M/Mungu akujalie Maisha marefu Inshallah

  • @shortshortsfinder
    @shortshortsfinder Před 2 měsíci +54

    Kweli MUNGU akiamua kukupa anakupa kwa wakati usiotegemea, nimefurahi sana kusikia walipewa pesa nyingi iliyoweza kulipa ada na kodi, mwenyezi MUNGU amzidishie rais wetu, ila huyu kijana kana kunamtu anaweza kumuwezesha ni heri amuwezeshe maana ni utashi mkubwa na ni juhudi kubwa sana anayoitumia hili kuipata elimu.
    Mwenyezi MUNGU amfanyie wepesi.🙏🏾

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Před 2 měsíci +12

    Watanzania kunyweni madafu na natural juices. Wacheni kunywa maji yaliyotiwa rangi na chemicals kama hayo aliyopewa muuza madafu. Hayana faida yoyote, bali madhara tu.

  • @frankmmasi
    @frankmmasi Před 2 měsíci +126

    Kama wewe ni mtoto wa mama kizi mkazi Like yako Moja tu inatosha

    • @user-qi6wy6kl4g
      @user-qi6wy6kl4g Před 2 měsíci +5

      Kama wewe ni mama ako ni wewe sisi wengine tuna mama zetu sio yatima

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 Před 2 měsíci +1

      Kwendraaaaaa labda wewea akiwa wewe

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 Před 2 měsíci +1

      Unajikweza na uyo Mama hakujui wala hata watto wake hawakujui unahis atakuteuwa uwe Rais au

    • @hawaelymaricca7602
      @hawaelymaricca7602 Před 2 měsíci +2

      Mama love you, piga kaz mama achana na watu wanaongea hovyohovyo. kazi iendelee

    • @Msafirimakini
      @Msafirimakini Před 2 měsíci +1

      Acha upumbavu sisi wengine tuna mama zetu wa kawaida tuu lakini tunawapenda muno Yule ni raisi tuu

  • @Tanznia2000s
    @Tanznia2000s Před 2 měsíci +15

    Huyu Jamaa nimesomaaa nae ADVANCE SHULE YA SECONDARY MBEKENYERA RUANGWA-LINDI

  • @ReginaMinja-G22
    @ReginaMinja-G22 Před 2 měsíci +13

    Ata wasemeje lakini mama ni mama tu mungu ampe maisha marefu

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 Před 2 měsíci +10

    Mama Atuone nasie ambao hatukupata huo mualiko WA futari Atuone tukale na watoto in shaa llah

  • @Zedi461
    @Zedi461 Před měsícem

    All the best wishes for a success future.

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Před 2 měsíci +8

    ❤❤❤❤mungu ambariki mama yetu mpendwa ❤🎉🎉🎉🎉

  • @StevenKingu-gi4pf
    @StevenKingu-gi4pf Před 2 měsíci +20

    Mimi nawaambiaga Mama ni mama. Anaupendo sana

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x Před 2 měsíci +10

    Mungu awabariki na huo ndio mwanzo mungu atawafanya kuwa watumishi siku za usoni.

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite Před 2 měsíci +7

    Wow alhamdullha 🙏🏾

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Před 2 měsíci +3

    Woote walio hapo na baiskeli ni askali ,magufuli pekee ndiye alikuwa sio mwoga hakuwa na Comedy alikuwa anakula na maskini kweli sio hao waigizaji

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Před 2 měsíci +17

    Mungu Akubariki Mama

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 Před 2 měsíci +48

    Mwenzako anakupa kitu natural ww unampa sumu.

  • @ccmtanga2023
    @ccmtanga2023 Před 2 měsíci +2

    Hongera Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ndoto za watu tena kwa mshangao wa hali ya juu

  • @betrandeyakuze808
    @betrandeyakuze808 Před 2 měsíci +2

    Mama anatisha,aendelee 2025-2030.Big up Mama.😮😮😮

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Před 2 měsíci +3

    Duh!!! Hadiraha mungu akuongoze upate mafanikio ccm. Oyee mi5 kwake

  • @mazoyajr.5970
    @mazoyajr.5970 Před 2 měsíci +2

    Urais ni Taasisi nyeti sana hamjui tu! Yaani Rais anywe Dafu hivi hivi tu na wewe unakubali eti ni kweli huyu ni muuza madafu....!!😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d Před 2 měsíci +1

    Mashallah samia suluhu mungu akueke maisha marefu

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Před 2 měsíci +27

    Ukitaka kujua kuwa M'Mungu hana chongo/hana hiyana,mfano halisi ni kwa hawa vjn,kila jema ktk elimu/kupambania kesho yako.

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 Před 2 měsíci +4

    Dafu ni natural ,safi ,Afiya ni sumu tupu

  • @user-im7wv1dn4w
    @user-im7wv1dn4w Před 2 měsíci +4

    Wabongo mnapigwa hao usalama

  • @MajidiNamanka
    @MajidiNamanka Před 2 měsíci

    Muheshimiwa ubarikiwe sana mungu akuzidishie sana

  • @J4UPro
    @J4UPro Před 2 měsíci +13

    Safi sana mama yetu

  • @hamisindutu
    @hamisindutu Před měsícem +1

    Mama Ana mpngo Gan Na Kijana Huyo Anayetoka familia Maskini?

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 Před 2 měsíci +17

    Hongera kijana

  • @Kadebecomedy
    @Kadebecomedy Před 2 měsíci +12

    Mmmmmhhhh kuna kitu hapo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @QueenNgai
    @QueenNgai Před 2 měsíci +1

    Mashallaah allaah akuzidishie kk inshallaah 🤲

  • @maimunamsakamali9152
    @maimunamsakamali9152 Před 2 měsíci +2

    Allah nijarie na me siku moja nikutane na mama

  • @OsmanMussa-ry6mh
    @OsmanMussa-ry6mh Před měsícem +1

    Allah sw humruzuku atakae kikubwa ni kumtegemea mola tu mungu ni mjuzi

  • @MussaEdwardMalungu
    @MussaEdwardMalungu Před 2 měsíci +4

    Safi sana Mungu atakusimamia

  • @user-cp5fp8gx8c
    @user-cp5fp8gx8c Před 2 měsíci

    Hongera san dogo, vijana wengine wakifikia hatua hiyo ya chuo huwa wanajiona hawawzi fanta vt kama hivyo , hongera san Mungu azidi kukupambania

  • @elishamwansija759
    @elishamwansija759 Před 2 měsíci +2

    Kupata nafasi kama hiyo ni point of view ya maisha

  • @user-zr8be7ep4g
    @user-zr8be7ep4g Před 2 měsíci +2

    Mama hana ubaguzi safi san twakupenda mama

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 Před 2 měsíci +1

    Alosikia "karibu wanangu" zaid ya mara tatu kwenye mazungumzo👍....sema utafika mbali kijana mwenzangu..keep pushing

  • @hekimaandindilile4000
    @hekimaandindilile4000 Před 2 měsíci +17

    Usije shangaa huuuu jamaaa usalama wa taifaa

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 2 měsíci +1

    Hongereni saana

  • @chelewapharm9827
    @chelewapharm9827 Před 2 měsíci +2

    Mungu yupo aisee na Kwa kwel tumtegemee yeye siku zote

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 Před 2 měsíci +3

    Hawa wengine usalama wa taifa wauza madafu ..wauza ndizi ..kila kona wapo hao

  • @user-ty2xd6cw9x
    @user-ty2xd6cw9x Před 2 měsíci +7

    Mbn siyo yeye aliyekuwa anauza madafu😢😢

    • @nurasam5475
      @nurasam5475 Před 2 měsíci +2

      Unazijua kamerw wewe🤣🤣haijawah kukusalit wee one day itakusalit na ukajikataa mwenyewe

  • @Suleysolowa
    @Suleysolowa Před 2 měsíci +1

    Mmmmh haya bwana

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Před měsícem

    Kaka hongera sanaaa utafika mbali, nakuona mbali sana

  • @twahaissa-js8tk
    @twahaissa-js8tk Před 2 měsíci +2

    Mungu awajalie

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Před 2 měsíci +2

    Huwiiii we mkaka wa nyumban kwetu kabisaaa upande kisu kyitu!!!! ❤❤ Home boy pambana kaka angu nmekupenda Bure nyaq boy

  • @gabrielkadili9463
    @gabrielkadili9463 Před 2 měsíci +5

    Dakika ya 4:47 kuna kitu kimepita kula nyuma ni balaaa 😂😅🔥

  • @saidlt5557
    @saidlt5557 Před 2 měsíci

    Hongera mpambanaji❤

  • @omarimchia6482
    @omarimchia6482 Před 2 měsíci +12

    Mbekenyera ruangwa Kwa majaliwa karibu na namungo

  • @malyondanga4635
    @malyondanga4635 Před 2 měsíci +2

    Hengera samiaa Kama vjana umewatoa kimaishaa nakama umebisha beii hadi madafuu sioo poa

  • @salumubakari1852
    @salumubakari1852 Před 2 měsíci

    Mbekenyera boy✊

  • @mohdsaid8744
    @mohdsaid8744 Před 2 měsíci

    Huyu Mama ni best Raisi duniani, sio Tanzania, wala Afica wenzetu wanaomba wapate kiongozi kama huyu ni mcha Mungu na Mtu very simple Mungu Ambarik na Amkinge na kila ya shari Ameen

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Před měsícem

    Na hawa uchunguz wao zaid walilenga wanaume na ndio maana waliuza madafu...Huyu naye kaachwa na nywele kusudi ili ajulikan mwanachuo na ndio hawa unawakuta chuo cku chache unashangaa katoweka

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 Před 2 měsíci +2

    Too emotional wallah❤

  • @aishaathuman6445
    @aishaathuman6445 Před měsícem

    😅😅ukute uyo ana nyota 5 ikuru uwezi ingia kirahisi tena kuuxa kitu cha kura😅😅😅😅

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 Před 2 měsíci +4

    Kweli maneno yako dogo ,kazi itayokuja basi ndio yatakuwa majaliwa

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l Před 2 měsíci +6

    AOOO WAOLOALIKWA WALIKUA NA FUNGA

  • @user-jj3yt1ex5c
    @user-jj3yt1ex5c Před 2 měsíci +2

    Huruma to sana wallah

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 Před 2 měsíci

    Hongera sana Mic umekwiva kwenye camafourage!

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 2 měsíci +3

    Halafu anasoma tena yuko vizur

  • @musanzowa8988
    @musanzowa8988 Před 2 měsíci +5

    Mzee wa system

  • @CalmGlassRose-oy3qv
    @CalmGlassRose-oy3qv Před 2 měsíci +7

    Mhh co huyo bhana

  • @swabrasabry2366
    @swabrasabry2366 Před 2 měsíci

    Mungu akupe hitaji lamoyo wako

  • @samirmswahili
    @samirmswahili Před 2 měsíci +3

    Mbona na picha uyu tofaut au macho yngu tu

  • @user-ih6hk5nh7v
    @user-ih6hk5nh7v Před 2 měsíci +3

    huyu jamaa sio yule kwenye picha
    huyu jamaa pia n mzee

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 Před 2 měsíci

    Anajitafutia riziki halali jamani❤❤❤❤

  • @mpindafamily1496
    @mpindafamily1496 Před 2 měsíci

    pongezi kubwa sans kwa mbu ge wangu pia wazoli wangu mkuu mh majaliwa kasimu majaliwa kws kuboleshs sekts ya elimu wilayani ruangwa hii itolia ya iyu kijana imenifunza jambo jambo kibwa ni kwamba elomu ya juu kapata kwetu mbekenyerawakati spo zymani azikuwepo izo shile

  • @TonnyMaster
    @TonnyMaster Před 2 měsíci +2

    Sifa yamwanaue ni kupambana😊😂😂😂❤

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx Před 2 měsíci +1

    Alieona kichwa Cha habari iyo bastora inausika vipi

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 Před 2 měsíci +2

    Hii nayo imekua story dahh!!! Kweli tumeishiwa habari

  • @barakamsigwa4588
    @barakamsigwa4588 Před 2 měsíci +1

    Hiyo baiskeli yake mbona kama ipo sawa na umri wake aliipata wapi?

  • @user-fi5cr6up8c
    @user-fi5cr6up8c Před 2 měsíci +1

    Waandishi wa leo hawajui wanachokifanya zaid ya hayo wakati vitu vinapanda bei😊

  • @GoldvanJackson
    @GoldvanJackson Před 2 měsíci

    Well done

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 Před 2 měsíci +2

    Kwahyo leo ndevu zimeota

  • @banguha
    @banguha Před 2 měsíci +1

    Zaman Ayo nilikuwa nikiona habar zake nilikuwa nazifatilia sabbu ulikuwa unaleta Habari zenye mana ila siku hiz sijui umekwama wapi

  • @user-oq5xl6by7s
    @user-oq5xl6by7s Před 2 měsíci +6

    Aa awo waongo na hapa ipo wasitudangany sisi tushasoma mchezi😂😂😂

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Před 2 měsíci

    Narudia huwezi kujaa furaha kuitwa ikulu kama huna izoefu wowote na ofisi kuu za serikali..

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc Před 2 měsíci +1

    Nchi haitaji. Mambo madgo kamahayo nchi inaitaji kulindwA aclimalizake nausimamizi bola wa manunuzi ya uma ufsadi miundombinu bola

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Před 2 měsíci

    Uwezi kuwa na furaha kuambiwa ingia ikulu..Cha Kwanza razima ujae hofu na kujiuliza.kwahiyo bado hajatoa majibu.

  • @istudiohimo2113
    @istudiohimo2113 Před 2 měsíci +2

    Hizi habar mnatuchanganya sana. Kule kwa milard Ayo wanasema wanatokea kigoma, huku wanatokea mbeya, duu

    • @axmedcumar6196
      @axmedcumar6196 Před 2 měsíci

      Walikuwa wapo wanne jumla yao wale wa kule ni wawili wengine

  • @AmmyKurunge
    @AmmyKurunge Před 2 měsíci

    Mama Samia naomba uje mlandizi pwan jmn Nina shida jaman mama yangu kipenzi

  • @safarsafari68
    @safarsafari68 Před 2 měsíci

    Usalama kasema kwn

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 Před 2 měsíci +2

    Kwanza huyo sio yule kwenye picha na Samia acheni kufanya watu kama mazamwamwa

    • @godfreysway1732
      @godfreysway1732 Před 2 měsíci

      edric ukipata ela utasahaulika kumbe hujuy ela inabadilisha au 😅

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 Před měsícem

      Hujaelewa umeambiwa huyu ni miongoni mwa waliokuwa wakiuza madafu

  • @jaroggalatimore9490
    @jaroggalatimore9490 Před 2 měsíci +2

    Hawa tiss hawa usalama hawa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Před 2 měsíci

    Pambana mdogo wangu

  • @user-dz1lo1nx1w
    @user-dz1lo1nx1w Před 2 měsíci +1

    Sijaona mantiki kiivyo, Ayo media mnapoteza mvuto, tunahitaji taarifa muhimu zaidi.

  • @user-yz1is3fi9h
    @user-yz1is3fi9h Před 2 měsíci +2

    Mnatuonyesh afia au mahojian

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 Před 2 měsíci +14

    Uliyemleta siyo yule aliyeuza madafu

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 Před 2 měsíci

      Si walikuwa wengi

    • @Rmkh88
      @Rmkh88 Před 2 měsíci +1

      Huyu jamaa ni usalama bila shaka yoyote, muuza madafu smart, amesoma mpaka Advanced level na sasa yupo chuo mwaka wa pili. Hata majibu yake tu unaweza kujua ni mtu wa aina gani

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 Před 2 měsíci +2

    Nipo kyela now umetisha dg

  • @leotena8456
    @leotena8456 Před 2 měsíci +4

    Sio huyu bhn! Tunamtaka Yule mwenyewe

  • @user-le9hl4es2y
    @user-le9hl4es2y Před 2 měsíci +1

    ukikutana na mama na kuongea nae au akusalimie ujue umeshatoboa coz mama hana baya

  • @hajiyusuf3837
    @hajiyusuf3837 Před měsícem

    Usikute wote ni undercover😂

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Před 2 měsíci +3

    Nani Kama Mama

  • @Manyanyatv8551
    @Manyanyatv8551 Před 2 měsíci +2

    Mbona mwenzako kasema madafu 300

  • @LilianPhilemon
    @LilianPhilemon Před 2 měsíci +5

    Ako ka juice nakapenda mno Afyaaaaaaaa

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 Před 2 měsíci +1

      Ndio lazima upende kemikali kwa maana akili yako ndio hivyo tena

  • @Rmkh88
    @Rmkh88 Před 2 měsíci +1

    Nakwambieni vipi jamaa ni usalama, majibu yake tu inatosha kumjua ni nani