MTEGO WAWEKWA ARUSHA, JAMAA ANASWA KAFICHA POMBE KALI FEKI JUU YA DARI, STIKA FEKI "TUNAONDOKA NAE"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 06. 2024

Komentáře • 65

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Před měsícem +7

    Kwanini msimpe Mtu Elimmpige faini na kumuachia huru...
    Mbona mafisadi wakijiuziru wanaachiwa tuuu

  • @barackbakari141
    @barackbakari141 Před měsícem +8

    Matunda ya Mh Paul Cristian makonda, Arusha inanyanyuka sasa

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Před měsícem +5

    Shetani anajua kuwageuka watu wake jamani😂

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Před měsícem +4

    Mpelekeni shule ili aweze kuzalisha kitu kwa alali na si kumfungia

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Před měsícem +2

    Wanywa pombe watanyoookaaaa😂😂

  • @trendings1293
    @trendings1293 Před měsícem +1

    Mbona huku mpakani nemanga kuna pombe feki Sana alafu hamuoni

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Před měsícem +3

    Uyo anajua Kila kitu mwanzo mwisho na akula posho kiongozi rushwa we

  • @SallyMaddy-sj7bb
    @SallyMaddy-sj7bb Před měsícem +1

    Ubunifu huo msimkamate muongeen ujuzi

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 Před měsícem +3

    Ndo maana vijana wanaotumia hizi pombe chafu. Heshima na Nizam zao hazipo sawa. Hata maongezi yao nimatusi tu. Nakuwa tengemez. Hata ukiamua kumwezesha. Nihasara tupu. Utaambulia. Chuki tu kwake. Nk

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 Před měsícem +3

    🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶😭😭😭😭😭 magonjwa ya figo hayatakaa yaishe

    • @walinaziontime7300
      @walinaziontime7300 Před měsícem

      Subili uletewe na wazungu

    • @ilakozasembumende1975
      @ilakozasembumende1975 Před měsícem

      @@walinaziontime7300 🤭🤭🤭😭😭😭 acha tuu watupige remix za wazungu na zakibongo ili tukifq tufe kwa amani

  • @AshirafuMajid
    @AshirafuMajid Před 29 dny +1

    mpeni stika za halali basi maana ata wageni awalip kod na wanatumia majina bandia

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Před měsícem +2

    Mbona ataa Moshi viwanda vipo kibaoo fekii

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 Před měsícem +1

    Hongera kwa kuwafichua wahalifu hao.Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza ktk kazi zenu.

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 Před měsícem +1

    TRA fanyeni kama ofa tuishi nayo wapwa leo weekend watu tulewe

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Před měsícem

    Daah sasa ukinywa siunakufa taratibu

  • @aureliajoseph8518
    @aureliajoseph8518 Před měsícem

    Sabaya aliyafanya hayo lakini baadae akageuziwa kibao akapewa kesi za ajabu ajabu.. Fichueni wapo wengi inavyoonekana.. 🎉🎉

  • @familytalks1
    @familytalks1 Před měsícem

    Sticker feki zinatoka wapi. Nyie mamlaka si ndo huwa mnazi import na kuziuza? Kwa makampuni?

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Před měsícem

    Pombee feki nimbayaaa sanaa jamani watu wanakufa sanaa 🤔🤔🤔

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g Před měsícem +1

    Safi hawa ni watafuta Hera hata Hana Noma

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya Před měsícem

    Kachomeshwa

  • @user-yi3jk5vd8l
    @user-yi3jk5vd8l Před měsícem

    Achen zuruma. Umechomwa kula nawatu ili mishe ziende

  • @joharikitundu
    @joharikitundu Před měsícem +1

    Asante mungu nimetoka huko
    Kumbe siyo madhara kwa binadamu Bali wanaangalia mapato

  • @richardmshiu5118
    @richardmshiu5118 Před měsícem

    Figo Figo Figo Figo figoooooooooooh uuuuwiiiiiii,, unauwa figo na maini.hizo Spirit vijana na wanywaji wengine.kulingana na takwimu matatizo ya Figo Hata Kwa vijana yameongezeka,why this happen?,.Poor regulation and management.mnasajili products zinazoangamiza kizazi hiki.After absorption when you look Metabolism of such kinds of strong alcohols has many effects in liver and kidneys.through liver there is product released,called "Acetate", this destruct kidneys, brain,lungs,and liver.Naomba izo pombe zipigwe marufuku,mnasema matatizo ya figo yameongezeka alafu mnaachia mtaani pombe kali.can you imagine how much we burn our generation?.Mimi ni kijana but after 60 years ahead ,, dialysis clinics would be every corners.Mnauwa kizazi hasa vijana.Let me emphasize you guys,, don't consider taxes as priority than health of public.

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 Před měsícem

    Wanywaji wa pombe kuweni makini hii ni hatari kwa Afya

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Před měsícem +1

    Millard Ayo TAFUTA HABARI HI SIO HABARI UNAYUMBA SIKU HIZI TAFUTA HABARI

  • @henrymwasulama492
    @henrymwasulama492 Před měsícem

    Kwaheri mwamba

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh Před měsícem

    Sasa nyinyi mlijuaje nyumbn kwake. Mhu ama kweli selikali inamapua malefu yananusa mbali.

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Před měsícem

    Piga spana hao

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Před měsícem +1

    Umeulizwa mnafunga au no, unajibu vitu vinginee

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 Před měsícem

    Nyinyi mnawapata watu leseni zatengeneza spirt kuwa watu nanyi mshitakiwe

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 Před měsícem +1

    Wamechomana uko

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro Před měsícem +1

    Wakamatwe woteee. Kazi iendeleee

  • @user-kh1tn6yr8b
    @user-kh1tn6yr8b Před měsícem

    Mumfunge uyo miaka 30

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 Před měsícem

    Walevi acheni kulewa

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n Před měsícem

    Ndich mnajuw tyu kushik basi

  • @lucasolobiis4504
    @lucasolobiis4504 Před měsícem +4

    Nyie mnawaza mapato badala ya maisha ya watu, hizi GIN zinahatarisha maisha ya vijana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před měsícem +2

      Mno bei rahisi kwa hiyo vijana wote wamekuwa mateja wa pombe zinawaumiza kiafya .Serekali isipofungia hawa wazalishaji wa hizi pombe za bei nafuu baada ya miaka mitano ijayo hakuna tena vijana wenye nguvu za kufanya kazi.Wanapiga vita madawa ya kulevya wanaruhusu madawa mapya ya haya mapombe yasiyokuwa na kiwango Taifa linaangamia

    • @lucasolobiis4504
      @lucasolobiis4504 Před měsícem

      @@leokamil6284
      Umemaliza, yaani viroba vilipigwa marufuku vikaja kwa viplastiki, cha ajabu Hadi wanapima kabisa, kwa hiyo hata jero utakunywa Tu!

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Před měsícem

      Ni upepo wetu wa kupambanua mambo, nchi ndogo ya uswis kampuni moja ina mauzo ya pombe kwa mwaka dola bil kumi, hawa tunawamba misaada. Lakini najiuliza vijana ni walevi kama sisi. Sisi hapa tz tunasumbuliwa na mimba za utotoni, tatizo kama hilo mbona hakuna kwenye nchi zilizoendelea? Miaka ya 1990 Israel kulitokea ajali ya basi ikaua abiria wote cha kushangaza walisema ajali kama hiyo kutokea ilikuwa miaka 21. Iliyopita. Hapa tunapoteza watu wangapi kila kukicha. Piki piki je zinatua kwa nini . Sisi tunakosa kuwa na kiasi ndiyo tatizo letu. Madereva tunawawekea matuta barabarani kama hayawani. Riport za CAG kila mwaka zinaonyesha huroho, hata na sera Zetu nyingine ni huroho hivi na kutokutulia ndani. Kutembea kunaelimisha brand za wtz hazipo na hazipo sehemu za huduma au hazivuki mipaka kuleta dola tutaendelea kugawana umaskini. Kileo hata kabla Yesu. Sisi tuna kundi kubwa la watu wanao mbangaiza. Kama kijana angekuwa mfanyakazi kiwanda fulani angeogopa kwenda amelewa machine zisimkate mikono.kule ulaya na marekani , Asia watu wako kazini hivyo pombe ni kitu cha baadaye. Hapa ulipingwa mapepo na kuombewa kidogo umeukata unasubili kwenda mbinguni.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Před měsícem

      ​@@leokamil6284 sawa ndugu bei ya hizi iko chini sana. Cha msingi wazalishaji wanakiwa kuziangalia bei. Uroho wetu ndiyo changamoto. Watu wengi mamefundishwa kunywa baada ya kazi. Nchi mfano Korea tunayoomba itukopeshe rafiki mmoja alifika na kunibia kwamba vijana wanapenda kunywa na kupigana hasa baada ya kazi. Tatizo sisi hatuna kazi za kutushughulisha mda mwingi kwa siku. Unaweza kuangaliia ni kiasi gani cha spirit nchi ya SA inakiuza nchi za ulaya ili kitengeze pombe tunaziona kwenye hotel kubwa kubwa. Bahati nzuri ikiwa na kipato kidogo cha halali au la unawacheka wenzako ka vile hiyo ya ulaya aina madhara. Pombe utofautiana viungo tu. Chemikali ni moja ethanol. Pombe ni uchumi duniani, ila lazima watu wajenge nidhamu ya kutumia. Si hii unakula dagaa ugali na unakuta mtu anatamba mitaani kwamba ana uwezo wa kunywa 750ml au zaidi mara moja. Tatizo la bei na ndiyo chimboko la ugonvi wa TRA na wazalishaji. Bei hizi ndogo zinafanya biashara kuzalisha mapato mado yasiyo kidhi matakwa ya kisheria ya kodi. Kwa wachumi na. Wetu ni kusadia kukuza viwanda hivi ili vitoe ajira nzuri kama mataifa mengine tunakokwenda kuombwa misaada na mikopo. Watu kuwa na kiasi si kwa pombe tu. Viko vitu vingi sana ambayo tatizo la msingi ni uroho na choyo tu. Mimba za utotoni sehemu nyingine watoto na wanaume hûwa hawapo?. Ajali barabarani kule magari yaliko anzia vipi?. albino hawako taifa jingine? Kukwapua pesa ya umma ulaya hûwa hawana pesa ya umma?.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Před měsícem +1

    Doh mtoto kaingia matatizoni jaman kwann biashara kama hiyo unalijua kabisa kama si halali unashikishaje wtoto unamfundisha nn😢 kijana anaenda kulala polisi kwnn ufanyi ww mwenyewe ukikamatwa ukamatwe ww tuache kushikisha watt kwenye shuguli zenye madhala.

  • @user-fn6xy1ku7d
    @user-fn6xy1ku7d Před měsícem

    Hili ni taifa la ajabu sana tunalishwa sumu ila wataalamu wamekaa kimya, viwanda kama hivi viko vingi tu na wamiliki wameshatajirika kwa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Před měsícem

      Kama kuna mtu napenda kusoma kaandika nini ni pamoja na wewe. Kwanza tbs ndiyo kazi yao. Kwa upande viwango hata andazi inaweza kuwa shida kwa walaji. Ila comments nyingi zimekubusha mbali sana. Mzee mmoja sasa Alisha kufa. Alikuwa fundi na mbunifu wa kutengeza silaha za moto, alifia gerezani. Nimepata shida kwa nini hûwa tunaendelea kumpa nguvu ya kiuchumi watu walio tutawala?. Hûwa najiuliza sisi tukienda ulaya na marekani hûwa hatujiulizi wao wanafanya nini mpaka uchumi wao uwe mkubwa hivyo? . Ukweli ni kwamba sekta ya vileo ni nguzo ya uchumi wa nchi nyingine za ulaya. Huu ukweli unaeeleweka kwa watu wengi. Kama hatuamini tembelea hotel au kwenye tovuti za viwanda vikubwa duniani. Hivyo sisi tunaweza kuwa swali je uchumi wetu dhaifu una mahusiano , kutokuona fursa yetu katika soko la utandawazi kwa vileo. Kwangu jibu ni ndiyo hivyo hatuna haja wa kuchukua hatua za kufifusha juhudi za mtu anayechukua hatua ya kuvuna utajiri ulioko kwenye soko la utandawazi. Kila uchao vitu kama hivi kwa tafakuri yangu bado tunafanya kazi ya mkoloni. Ukweli ulaya Viwanda vikubwa vilianza vikiwa viwanda mchundo au vidogo kama hicho. Ili tushindane kiuchumi kwa mtu kama huyo, hatuitaji kumfunga. Tungekuwa wote tunadhubutu kufanya jambo tungemkibizia MITAMBO YA KISIASA NA MTAJI. YA UMMA Ili aweze kutengeneza bora nzuri ya kushinda na mataifa mengine. Tuulizane sisi tz tunajua tunatumia fedha za kigeni kiasi gani kuagiza pombe ambayo mjasiliamali huko anaangaika kutua mzigo? Huu upofu nani hûwa anausimika kwenye vichwa vyetu? Na hûwa analengo gani? . Kwa juu juu kavunja sheria lakini hawa ndio wakombozi wa Uchuminwetu. Kiwanda cha pombe taifa fulani kinapenda hapa tuwe soko huo ndio ukweli. Zabibu zitaoza, wine za nchi fulani zikikosa soko. Wakulima wakizidi kuwa fukara. Na kwenye nyumba za Ibada tukipungwa mapepo. Ndugu kuna watu hatambui Mungu. Mpaka Mungu aonekane kwenye umbo la mkate. Nilichangia hapo kabla. Innovators kwenye taifa ni watu muhimu sana, hii kukuru kakara inaonyesha kupyaya kwa jamii, bei za hizi pombe Ziko chini sana ndio chimbo la msuguano wa TRA na hawa wazalishaji. Hata unywaji wa vijana bila mpango ni kwa sababu bei iko chini. Kwanza kodi hapatikani na vijana wanapata kirahisi. Narudia ukizingatia maslai ya uchumi kupitia pombe duniani kumbe ofsi za biashara, viwanda na TRA. Ni kuingilia Kati kuhakisha bei zinakuwa za ushindani wa soko. Ndiyo wanavyofanya wenzetu nyuma ya pazia. Wanachosema hadharani ni kivuli cha kitu halisia. Tz tunalalamika kwamba walipa kodi ni wachache, ukweli lazima uwe na watu wenye mzalendo na wenye uelewa mkubwa na wasio na mawaa. Tatizo la viwanda hivi vya pombe ni la uelewa tu wala si kutumia nguvu kubwa. Kuhusu afya ni kweli pombe kuitumia lazima watu wawe na nidhamu. Juzi Dr mmoja niliona anatuonya wanaume kupunguza vyakula. Vyenye Calcium. Anataka tuwe na kiasi. Mwisho hûwa unafikiri ukisikia kiwanda fulani cha kileo nchi fulani tunakokwenda kina mauzo ya bil 10, 30 dollar kwa mwaka. Hawa wenzetu wanaweka misingi ya kuchuma dollar kwa ajiri ya taifa letu, tusiwakate miguu kwa sheria, sera na mtazamo. Tunywe ka kiasi baada ya tbs kusema Ziko bora.

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana Před měsícem

    Sio poa africa jela 8 yeah shelia zadunia na fain dollars 15000

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft Před měsícem

    Kumbe ndo mana akili zao haziko sawa kumbe wanakula vt fake

  • @truth5551
    @truth5551 Před měsícem

    Tanzania bidha nyingi fake

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 Před 28 dny

    Hii sio sawa wakuu cz znakuja mtaani kuuwa vjana na pombe zote sio nzur Ila at list wazngatie ubora bc hii ndio znauwa watu

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Před měsícem

    Hawo siowatuu wakuwaachaa wanauwa vijana wetuuuu dungu zetu na wametapakaa TANZANIA nzima 😊😊😊😊

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před měsícem

    Jamani vijana arusha wanaharibika. Arusha vilevi ni vingi

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Před měsícem

    Serekali tunaomba mfungie hawa watengeneze hizi pombe. Vijana wengi wamekuwa walevi wakutupwa kuanzia asubuhi utakuta wamelewa .Asilimia kubwa Wanawake ndio wanajishughulisha ila wanaumme wamekuwa walevi watupu .Hizi Pombe zimekuwa kama madawa ya kulevya kwa vijana pombe ni fake bei nafuu pia zinamadhara kwa afya zao.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Před měsícem +1

      Wanajua haya mapombe makali ya bei rahisi uafungiwe kama ilivokuwa kwenye viroba saiv wanatumia chupa nyingine sitika nyingine wanajaza pombe feki na hawa viongozi ndio chanzo wanapenda rushwa sana 😏😏😏kwahyo huyo angekuwa na lesen angeendelea tu kutengeneza hizo takataka

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Před měsícem

      Ukitaka kujua wanaume bado injini ya Dunia angalia ujenzi, au zaidi angalia ukraine na Russia

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před měsícem +1

      @@GodfreyOsward Sasa wewe ndio mawazo yako yamekomea hapo haya ngoja tuendelee

  • @faa9842
    @faa9842 Před měsícem

    Allah awalani wote wanao kunywa pombe na kuvuta bangi wakike na kiume

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Před měsícem

    Vijana wa siku hiz nguvu za kiume zinaisha haraka sababu ya haya mapombe makali. yaani watu hawajali uhai wa mtu wao wanachokijua ni pesa tuu.