#PART2

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 08. 2023
  • #PART2: ''BOSI ALINISINGIZIA NIMEMBAKA, NIKAFUNGWA MIAKA 30'' - KIJANA YASSIN...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 161

  • @salma0000

    Majaji wengi wa Tanzania watakua na sehemu yao maalum katika moto wa jahannam

  • @sovajulius3870

    Kwa Mara ya kwanza nimeshukuru huyo mama kufa.Kufa kabisa potea why umdhurumu kijana maskini Kama huyu

  • @adammjomba5814

    Hizi kesi za kubaka zina mitihani sana .sasa hivi wanawake wengi ndio silaha yao ukimuudhi kidogo tu anakufanyia mtego ema yeye mwenyewe au mtoto wake wakike au wakiume na mahakimu wengi ni wanawake hawasikilizi chochote zaidi ya kufunga watu (huzuni sana)

  • @priscamagambo5320

    Kumsingizia mtu jambo ambalo hata hajafanya daa!Mungu niepushe kwenye hii laana ambayo inaweza tafuna vizazi vyako

  • @OmanOman-dd5qk

    Hakikazuluma nikitu kibaya sana kinafupisha maisha kiliochako mungu kajibu naataendelea kajibu kwa waliotow ushahidi wa uwongo nawalio hukumu walaniwe hao

  • @josephnsabiyera6900

    Pole sana ndugu, maskini atetewa na mwenyezi bora, mimi ni Joseph nikiwa DRCongo Goma mashariki mwa congo

  • @tinnahagustinolyelu4247

    Jamani Uwiii Kuna watu wataungua Kwa Mungu acha kabisa

  • @bilihudasaidi3687

    Pole kwa mkasa Ila chozi lako halijaenda Bure yuko wp Sai Ana mengi akujibu huko akher

  • @petermboje5839

    Hukumu ya rushwa hiyo tu mahakimu wengne hawana utafiti wanahukumu tu bora mungu ana hukumu yeyote anayempenda mungu kazi yako nzuri kuliko dhuluma za watu na uonevu

  • @MOHAMMEDABDI-lb7yp

    Usijali mdogo wangu mungu yuko na ww huyo jama na mke wake ni kitu kimoja ni nia yao kukudhulumu tu

  • @nasrasalumu7005

    Kaka usidai tena Mungu atakulipia kwa njia nyingine

  • @jumatamimu6841

    Pole sana ndugu Yangu yote ni maisha tuu mungu amelipa

  • @user-bw7ve8ce3q

    Pole sana kakaangu,Allah atakulipia 😭😭🤲

  • @aminachiziamina

    😢😢😢😢mm nimesikia vibaya sana ilamungu jee yeye ndo zaidi so kaka pole sana namunguuu akupe akupe kazi nzuri sana enye kwa baada ya 2 uwe uko na kilakituuu unacho kitamannii

  • @user-uy3mm6nj2s

    Ukiapa kwenye vitabu vya mungu kizuluma utaweza pona mirere onasasa kilicho mkta mama uyo

  • @rukiauwonde7062

    Masikini pole sana 😢yaan sisi wenye watoto wa kiume aki roho juu juu

  • @AbdurazakiKisoma

    Pole Sana Wallah Mungu Yupamoja Nawe😢

  • @dinapeter4335

    Daah pole sana kijana umepitia kipind kigumu sana yoyote kwa yote muombe mungu ata kulipa

  • @nassornyanyagi5126

    Ndg Yaasin pole sana kwa yote uliyopitia ALLAH atakulipa kwa subra yako,kama huyo JAMAA hapokei simu usimfuatile tena, yeye hataki kukulipa hapa duniani laakin atakulipa mbele ya Hakimu wa Mahakimu ambae ni ALLAH "S.W.T" Pambana kupata rizqi sehemu utapata In Shaa Allah

  • @indalesiohenery6124

    Nimekusimiliza vizuri nikweli hukubaka ili mungu atakuinua Sana mpaka utashangaa