GADNER AFUNGUKA MAISHA YAKE/ SIKUBAHATIKA/ NILIUMWA TB/ NILIKOSA DAWA KIBONDE AKAFA/ NDOA hahaha!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 04. 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Gadna #cloudsfm #kibonde
  • Zábava

Komentáře • 112

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Před rokem +19

    Gadner ametulia halafu yuko very humble!

  • @ibrahimurichard377
    @ibrahimurichard377 Před rokem +6

    Aise huyu presenter ni mtu mbaya sana ,he deserves something bigger

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 Před rokem +3

    Mtafute mr Joel Nanauka

  • @goodluckMethuselah
    @goodluckMethuselah Před měsícem +5

    🎉R.I.P captain nakumbka the way natoka shule jion naskilza kipind kzuri kma hicho

  • @andrewjuma2485
    @andrewjuma2485 Před rokem +4

    A very humble man. Mungu akuzidishie

  • @NoelMwendo
    @NoelMwendo Před měsícem +2

    mwenyezi Mungu amjaalie huko aendeko kaka yangh Gadna g Habash..nimesikitika kabisa.Chidi beeny

  • @modestmkali3436
    @modestmkali3436 Před rokem +23

    Napenda confidence ya Lambati as a presenter, apply BBC upate nafasi ya Salim Kikeke you’re very good very professional

  • @jescasaimon7731
    @jescasaimon7731 Před rokem +6

    Heshima Sana Kaka ghadina hua nakufatiria sana

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 Před rokem +10

    Wakwanza kucoment leo nipe like zangu😂

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 Před rokem +4

    Jamaan ana roho nyeupe kama mzungu.....

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 Před měsícem +1

    Halafu kuna vitoto vya 2000 vinasema jaiva ana sauti nzur msikilize marehemu enz za uhai wake😢

  • @zakayojeremiah6622
    @zakayojeremiah6622 Před rokem +3

    Jamaa yupo Smart sana aisee.

  • @JacksonNovatM
    @JacksonNovatM Před rokem +4

    Interview nzuri sana.

  • @benomdaile7081
    @benomdaile7081 Před rokem +2

    Hiii imeeendaaaaa👏👏👏👏👏

  • @nacophai.t2601
    @nacophai.t2601 Před rokem +1

    Nice

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 Před rokem +3

    Ule wimbo wa mbinguni hakuna bia ndiyo maana tunakunywa bia , hata ukifa leo rafiki zako tutakunywa zako bia😂 namkumbukaga Sana Kibonde nikisikiliza huu wimbo

  • @kidodosimichael349
    @kidodosimichael349 Před rokem +11

    Anae hoji Smart na anae hojiwa smart as well 😂😂

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 Před rokem +15

    Sura yake inaonyesha kuwa ni mtu wa tungi.
    Kwa kifupi ni mlevi, lakini anahitaji kusaidiwa ili kuacha.
    Yeye anaita ulevi ni starehe, anasahau pombe inaua akili, nafsi na mwili.

  • @mensahmansour9408
    @mensahmansour9408 Před rokem

    Presenter upo vzr sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před rokem +2

    Michezo ni muhimu Sanaa unaambiwa kisaikologia inakufundisha kushindana na kupambana ili ushinde maisha .

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Před rokem +21

    BABA KAREN PUNGUZA POMBE AU HACHA Kabisaa, we ni mlevi kupindukia kwa umri wako unayumba mzee baba

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Před rokem +2

      🤣🤣🤣

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 Před rokem +1

      Mlevi sanaaaa yani ukimkuta kalewa hiyo sura yake inakua ya hovyo utasema mgonjwa woiiii

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 Před rokem +2

      Umalaya sasaaaa ndio usipime hahahahaaaaa

    • @tiffanyakramJr822
      @tiffanyakramJr822 Před rokem

      @@nawechi4818 Apo kwanza ncheke 🤣🤣

    • @fadhilimsafiri216
      @fadhilimsafiri216 Před rokem +1

      Hawezi kuacha mpaka itumike nguvu Isiyo Onekana Kwa macho. Kunanguvu inayo mfanya anywe. Natamani kumsaidia bure natafuta mawasiliano yake.

  • @allyismail455
    @allyismail455 Před rokem +3

    Good interview

  • @faroukfarouk477
    @faroukfarouk477 Před rokem

    Huyu jamaa anajua muandishi best

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 Před rokem +1

    Noma

  • @janethkafuruki3058
    @janethkafuruki3058 Před rokem +1

    Jaman sijasikia vzr analipwa ngap clouds??

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Před rokem +5

    Walevi wakarimu sana

  • @alexaudax-rm8sz
    @alexaudax-rm8sz Před rokem

    Lambat unajua sana kaka nakufatilia sana tangu radio mwaka wa kwanza

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 Před měsícem

    He is very honest

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Před rokem +1

    Hapo kwenye amount mumepakata kwaiyo imebaki kuwa siri

  • @dominahalex9516
    @dominahalex9516 Před rokem

    kuuliza mshahara wa mtu publicly si sawa... 🤦‍♀️

  • @tastedigital
    @tastedigital Před rokem +3

    Yaan nyie wehu kweli sasa kama mlikuwa hamtaki tuskie anacholipwa mlikuwa mnamuuliza kwa nini?

  • @Heismasai
    @Heismasai Před rokem +16

    Kaka unajua sana kutangaza na unajua sana kuoji maswali mazuri na yenye mafunzo Kwa jamaa nakupongeza sana Kwa hilo!! KAMA HII CHANEL SIO YA KWAKO PLS PLS JITAHIDI UWE NA YA KWAKO MWENYEWE.

  • @geofreybalyobalyo4538
    @geofreybalyobalyo4538 Před rokem +1

    Unastahil yako flan kuhoji..safi sana...pia gadner amesema anakula milio ngp???

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Před měsícem

    Sura yake kama baba yake masikini na ni mtu aliekuwa akimjali sana baba yake

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Před rokem +1

    Alillelewa na Tanrosse

  • @joanbaby5953
    @joanbaby5953 Před rokem

    Analipwa zaidi ya mil 10😢😢

  • @fidesphilbert9877
    @fidesphilbert9877 Před rokem

    Karibu Tumaini Counselling and Psychotherapy tuongeee

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Před měsícem

    Kwa hiyo tb alipata kwajili ya pombe au?

  • @Boaz22
    @Boaz22 Před rokem +1

    Gadner mlevi bhana, asiwadanganye hapoooo😅

  • @anthonymagambo8845
    @anthonymagambo8845 Před rokem

    Nakumbuka sana Pertner Wako Kibonde

  • @rosetenga6979
    @rosetenga6979 Před měsícem

    Rip😢😢😢

  • @helenakasanga3410
    @helenakasanga3410 Před měsícem +1

    RIP Gardner

  • @ssam3385
    @ssam3385 Před 9 měsíci

    Huyu kk anayelipa kodi ni kabila gani

  • @kelvinerick85
    @kelvinerick85 Před rokem

    Analipwa ngapi

  • @MwanaishaSalim-pg3kq
    @MwanaishaSalim-pg3kq Před měsícem

    Inna Lillahi wainna ilayhi 😢

  • @ssam3385
    @ssam3385 Před 9 měsíci

    Ndo mn alikuwacha mn pombe sn mwishowe ni marazi moyo tb na kazalika

  • @geofreybalyobalyo4538

    Maendelezo uko wapi ...

    • @Swahili360
      @Swahili360 Před rokem

      czcams.com/video/_CiUOqdfZHE/video.html

  • @nacophai.t2601
    @nacophai.t2601 Před rokem +1

    Dar24 mnajua ku interview bigup

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 Před rokem +1

    Mlevi sanaaaaaaa mpka sura imeharibika utasema mgonjwa ukimuona live mxiuuuu

  • @user-kg8ib9pp4f
    @user-kg8ib9pp4f Před měsícem +2

    Jamani chumbageni? Kwani Gadner ni Kaka yake Celina Habash? Tulisoma nae??

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 Před měsícem

      gadner ni mchaga huy sem amekuwa kwa mama yak

    • @zubedamagambo8139
      @zubedamagambo8139 Před měsícem +1

      ​@@faidhamyovela179mmmm. Waliishi na wazazi wote wawili ( familia) Tanga.

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Před rokem

    Ila watangazaj wa tz wasipopata teuz uzeen wanatia huruma sana wewe lampast sijui una miakil ming jitahd uendelee kuwa smart hata kama hutokuja kupata teuz😂

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 Před rokem +1

    Moja ya watangazaji wakubwa na wanafanya vizuri Kwa Sasa ni Lambati natamani kukuona kwenye media kubwa zaidi...

  • @neemakingdom4816
    @neemakingdom4816 Před rokem +2

    WE MKAKA MTANGAZAJI HAPO KWA SASA HAKUTOSHI INGIA MKATABA BBC HARAKA SANA TUWAKILISHE WATANZANIA

    • @upendomsuya8961
      @upendomsuya8961 Před rokem

      Jmn kwan hamtaki afanye kazi Tanzania kwa BBC ndio nani?😅 acheni kwanza ajijenge hapa nyumban 😢

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 Před rokem +4

    Mzee wetu anakiri hana nidhamu ya fedha

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 Před rokem +1

      Kukiri udhaifu wako pia ni confidence, yaan unajikibali, no one is perfect

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 Před rokem +4

    Mbona mmekata jibu la mshahara wake wakati yeye mwenyewe karidhia kuutamka????? Mmefeli

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt Před měsícem +2

    Mashavu TU yanaonyesha kua ni mlevi mm sicheki ulevi maana babaangu analewa mpaka sitaki hata kurudi nyumbani niaibu jamani mpaka najiuliza mm nitaolewa kweli naumia sana

    • @LucyLaut-ij7ev
      @LucyLaut-ij7ev Před měsícem +1

      Pole my utaolewa tu ata sisi wazazi wetu ni walevi

    • @MargarethMarealle-jn3mo
      @MargarethMarealle-jn3mo Před měsícem

      Your coment is not relevant when it's clear Gardner is no more. Choose what to write on comments. We are all human beings, and it's not right to talk a weakness of a no more person.

  • @ssam3385
    @ssam3385 Před 9 měsíci

    Na afya yako vp?

  • @ccjjm863
    @ccjjm863 Před rokem +1

    Wapili

  • @UrbanKomba
    @UrbanKomba Před měsícem

    RIp jembe

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Před rokem +4

    Umeacha kwenda seeclif na serena ulipokuwa ukiendana marehemu rossi

  • @faizahalidi7084
    @faizahalidi7084 Před rokem +1

    They will kill you

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 Před rokem

    Wewe gadna sio mnywaji wewe ni mlevi sanaa tena sio utani

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Před rokem +5

    Kumbe wasafi ni ya kusaga