GARDNER:BIFU YA RUGE NA JAYDEE/NILIPOTEZA WATU WENGI/KUSAGA AKIKATAA NISIENDE WASAFI SITAENDA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 09. 2022
  • #wasafi #millardayo #diamondplatnumz #cloudstv @Got Talent Global #harmonize #rayvanny

Komentáře • 82

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 Před 11 měsíci +10

    Ninaona kama.huyu ndg Gardner ana hofu ya Mwenyezi Mungu sana!..Safi sana..

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 Před rokem +13

    Unajua kuhoji vizuri Susan... very professional.Keep it up girl.👌👏👏

  • @annajohn175
    @annajohn175 Před měsícem

    Asante kwa maisha yako.yenye hadithi.nzuri.Gadner Pumzika.kwa Amani

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x Před měsícem

    Aisee Suzan Makenzi nilikuwa naye shule moja. Alikuwa anajua sana Kiingereza. Very good Suzan

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 Před měsícem +1

    Captain Gardner G Habash no more. This was one of his best interviews

  • @philibertshayo5010
    @philibertshayo5010 Před rokem +1

    why the word CAPTAIN🔥. That's Lit Intro🔥

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 Před rokem +5

    Jamani Gadner umenikumbusha Vivian Tilya mdogo wangu,rafk daaah!😭😭😭

    • @nin6324
      @nin6324 Před rokem +1

      My Mkwawa School Mate… she had an amazing voice. Rest Easy Vivian

  • @u61097
    @u61097 Před rokem +2

    nice i like gardner

  • @mamuumamuu7743
    @mamuumamuu7743 Před měsícem +1

    innallillahi wainaillahi rajiuun 😢

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 Před rokem +3

    Gardener una spirit kama ya kwangu naweza kukuacha nikaja kukwambia baada ya kurudia kosa

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Před rokem +7

    Huyu Dada kajaaliwa sana kuhoji vitu vya msingi na katulia sana.

  • @jacksoncharles8780
    @jacksoncharles8780 Před rokem +3

    Dada nenda wasafi you gonna be a star

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 Před měsícem

      Wasaf hawawezi kuwa na kichwa kama hicho namaanisha sio aina ya wanahabari inayo deal nao

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 Před rokem +8

    Gardener we ni mstaarabu sanaa character ulizonazo najiona Mimi kabisaa. Mme wangu tunaishi nae distance si mnajua ndoa hizi za Bluetooth nikakuta msg za mchepuko kwa simu yake nkatoa machozi usiku ule nkapiga moyo konde nkaondoka bila kumwambia niliona ngoja niwe na subra nkaondoka nikarudi baada ya wiki 2 Kila nkitaka kumwambia Kuna Kuna kitu kinaniambia acha utajua mambo mengi zaidi. Nlikuja kumwambia baada ya miaka miwili huku tunapiga story za kawaida tu namwambia huku nimerelax nacheeka Sasa ye ndo kimoyo kinamdunda anawaza nliweza vipi kukaa na hilo jambo miaka 2

  • @Haytham-ip3ou
    @Haytham-ip3ou Před měsícem +6

    Still watching 2024 now you're no more captain rest in peace bro

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 Před měsícem +2

    INNALillah wainnaa lillahi rajiun

  • @latifammbaga8560
    @latifammbaga8560 Před měsícem

    Innalilah Wainnalilah Rajiiun

  • @ShabaniHussein-if9rl
    @ShabaniHussein-if9rl Před měsícem

    Innalilah wainnalillah rajiun.

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd Před měsícem

    Pumzika kwa aman bro

  • @lusseraymond5449
    @lusseraymond5449 Před měsícem +1

    RIP BR

  • @janecolleter
    @janecolleter Před měsícem

    Mungu ampumzishe kwa aman 😢

  • @neddohmtui
    @neddohmtui Před měsícem +2

    RIP

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 Před měsícem

    Pumzika Kwa amani KAZI umemaliza Gardina Capeten 😢

  • @nangatv7258
    @nangatv7258 Před rokem +5

    Gardena ananenepa mashavu kwaajir ya pombe kali😢😢😢

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 Před rokem +1

      Daaah!wewe jamn????amenenepa Nini eti???!acha izo bana

  • @edefridalivigha6049
    @edefridalivigha6049 Před měsícem +1

    Pumnzika kwa amani mpendwa

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 Před rokem +1

    Naona ushawapiga chini dizzim online

  • @yama_virginhairthequeen1065

    Omg he is gone😢 JAHAZI is gone

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm Před měsícem

    Mmewabania wengi kwenye sanaa Mungu kaanza kazi yake amina

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před rokem

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 Před rokem +1

    Kapiteeeeeen

  • @user-xz8xu1is3f
    @user-xz8xu1is3f Před měsícem

    Ttz lko ww ni mwaka 2000 ss wa 90 mpk harusi tukaudhuria

  • @raphaeljohnrobert7476
    @raphaeljohnrobert7476 Před měsícem

    Yametimia

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Před rokem +4

    Hv huyu dada katoka dizzim tv???

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před měsícem

    ALICHOSEMA GADNER WANAUME WENGI WA KARNE TUKO IVYO,,HATUSEMI TU,, NA HATUOI KWA KUPENDA,,NI KWAKUWA WAJIBU TU TOKA KWA MUNGU,,,,KUKOSA IVYO........

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Před rokem +3

    🙄

  • @salimakida95
    @salimakida95 Před měsícem

    Kwani wewe mwandishi hujui kiswahili?

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Před rokem +1

    We outta time ehh

  • @abbasjuma64
    @abbasjuma64 Před měsícem

    Hiki kipindi mbona sikioni tena

  • @Boaz22
    @Boaz22 Před rokem +5

    Mi leo ndo najua lady Jaydee alikua na mahusiano na Gardner😂😂kweli Kuna watu wasiri wallah😂😂😂

    • @mastidiadionis3335
      @mastidiadionis3335 Před rokem +4

      Mbona walifunga na ndoa kabisa.

    • @blandinamyinga9489
      @blandinamyinga9489 Před rokem +10

      usijali ni umri wako

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Před rokem +6

      Kha!🤣🤣🤣🤣 siri hiyo vipi? Ndoa ilitetemesha Dar,kweli tumezeeka😅

    • @blandinamyinga9489
      @blandinamyinga9489 Před rokem +1

      @@neemayatosha1618 dada weee a beach wedding at kunduchi** jamaniii🤣🤣🤣 haya mambo tungekuwa tunaonyeshwa mbele wala tusingekuwa tunatoka jashooo kuyaandaa tungefanya vitu simple,vidogo kwishnehii wallah""wengi ni wahanga wa talaka huku mtaani SEMA tuu ndiyo matukio yetu yanaishia mtaani kwa vile siyo maarufu ndo nafuu yetu.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Před rokem +1

      @@blandinamyinga9489 🤣🤣 umejua kunichekesha ni kweli,wengine wanabaki na madeni ya kutosha alafu baada ya mwaka mkiwa bado mnadaiwa mnaachana.

  • @kipigapasilisungu2581

    .

  • @raymondmuga7542
    @raymondmuga7542 Před rokem +3

    Nobody drink coffee at night tho

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před rokem +3

    Huyo kusaga clouds ni ya urithi kifamilia na wasafi ndiyo yake halisi

  • @Boaz22
    @Boaz22 Před rokem +3

    Kwani malkia Karen ni mtoto wa lady jaydee na Gardner?? Mi nahisi Kuna maswali mengi hujauliza😂😂😂unakatisha uhondo..nahisi hii interview angefanya Millard ayo tungejua mengi kweli,.dada jitaidi kujifunza namna ya kuuliza maswali in sequence, itakusaudia media yako kukua,ni ushauri tuu😔

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x Před měsícem

    Aisee Suzan Makenzi nilikuwa naye shule moja. Alikuwa anajua sana Kiingereza. Very good Suzan