SEHEMU YA 2 : UKWELI KUHUSU MAISHA YA GADNER / NILIUMWA TB / NILIKOSA DAWA
Vložit
- čas přidán 19. 04. 2024
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#r.i.pgadner #tutaonanatena #clouds
Best interview ever ,.. I didn’t see before 🥲Majority tupo hapa coz G ametutoka
Every Strong And Positive Man! Real Open Love It! RIP Brother.
Booooonge la interview, Mtangazaji katulia, maswali yanaeleweka, yanaulizwa kwa urahisi,na G, ametulia anajibu simple na straight, safi saaana.
Huyu mtangazaji huwa anaitwa nani..?anajitambua sana ......r.i.p G
Mungu akupumzishe mahala salama kaka Captain Gardner G Habashi ❤
Hongera kwako mtangazani, unauliza maswali ya msingi. Wote ni wa Mungu
Dunian bado kuna watu wazur,Tuzidi kumuomba Mungu atukutanishe nao, Nimependa interview and Rip Gadnar😢
Gardner alikuwa mtu mwema sana.,, pumzika Kwa Amani bro.. Kuna mambo mengi nimejifunza kutoka katika hii interview.
Host ametulia sana na Gadner anajibu vizuri sana hihi ndio maana halisi ya interview and professionalism, media na watangazaji wengine tujifunze kitu hapa smart mind,smart answer, smart move,perfect answer and kubwa zaidi utulivu
Jamaa anajua sana apumzike kwa Amani. Sio utaskia No comment 😏 ulikubali interview ya nini..?😅
Wale celebrities uchwala wa no comments...jioni mjifunze kujibu hata kama swali unataka likwepa kuna the right way ya kukwepa inakuwa haiboi...SIMPLE AND CLEAR.
Kabisa
Stanslaus Lambert my favourite media pesonality..... Keep it up
Yes very good journalist!
Best interview 🎉.R.I.P Captain
this interview was amezing
Hii interview ipelekwee makta R.I.P babu G😢
Rip Captain
Dunia mapito kabisaa
Yaani
Mtangazaji uko vizuri🎉
One of the best interview i watched
Rest in peace...
Nime enjoy sana, bonge la interview
Mtangazaji uko vizuri
Kazi nzuri ksana kwa captain na mtangazaji
Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani
Interview Kali kinomaaa
Bonge ya interview
Kweli kabsaaaa
Big memory🙏🙏🙏🙏🙏
Mtu safi
Stanslaus Lambert & Skywalker S&S - nawafatilia sana ,Emphraem Kibonde video yake ya mwisho msibani kwa Ruge nnayo hadi leo , Ruge nilisililiza sana vipindi vyake ,Gardner interview hii imetoka kama true story, 😢RIP Captain 🧢
Pumzika kwa amani bro.
Daaaah Pumzika kwa Amani Gadna
Pole Sana Caren
Lov u Champion
your authoritative voice will be missed ! R.I. P brother
Aisee kweli life is too short.Mungu tupe mwisho mwema.
Mtangazaji anajielewa sana aiseee ametulia anauliza maswali kisomi saaan hakurupuki
Jamaa voice yake kama salim k
Smart man rest easy
Hii interview nimejifunza mengi 💔.R.I.P captain G
😢😢😢😢
Duh Inauma sana jamani
Nani asieee 😅😅 na ajitokezee, RIP Captain Gardner G
😂😂😂
R i p captain ulikuwa mtu poa sana my brother 🎉😢
R I P captain G habashi nimejifunza kityu
Innalllilah wainnalilah rajirun
RIP Legend 🕊️
Lala salama Gadner 😭😭 pumzika kwa amani
Nafurahi sana mtu km wewe ulikua wa pekee sanaaa.
Rip bro
RIP brother G.
Mbona kwenye risala walisema ameacha mtoto mmoja na mjukuu mmoja. Kumbe ye mwenyewe kasema ana watoto 2?
R.I.P brother
R.I.P G
R.I.P
Hio harusi jamani simungedumu kabisa mpaka mkawa na watoto
Rest in peace Captain Habash.
R.I.P 😢
RIP Gardner
Duh we host sio powa
Gadner nitakukumbuka mnooo
😢😢😢😢
R.I P Gadner😭😭😭😭😭😭😭😭
Uko km mimi
R.i.p Captaaain 😢😢
Rest in peace gardner😢
Rest in peace ✌️ champion