UNAPOSIKIA HAYA UNAWAZA NINI?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 06. 2024
  • Ni kauli za Ansbert Ngurumo na Tido Mhando kuhusu mwenendo wa vyombo vya habari
  • Hudba

Komentáře • 18

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Před měsícem +3

    Hiyo spich ya mzee nimeipenda sana 😢 na nikweli jamii ipo bize na vichekesho, mipira, miziki na filamu wakati hayo ni mambo mepesi mepesi sana...😢

    • @abdallahnkrumah6237
      @abdallahnkrumah6237 Před měsícem

      Alalae Usimuamshe Ukimuamsha Utalala Wewe ndiyo kinachofanyika

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před měsícem +3

    Mifumo ni dhaifu sana na hiyo mifumo imejaa rushwa na ufisadi wa kutisha.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před měsícem +2

    Nchi hii ina mifumo dhaifu sana.yaani Taifa halina kabisa maadili.kula rushwa,ufisadi na ubadhirifu ni sifa.Watawala hawaangalii uadilifu na maadili.Ili ulambe teuzi,vyeo na tuzo mbalimbali katika serikali hii ni lazima uwe fisadi,mwizi,mla rushwa mkubwa na mbadhirifu wa mali ya umma.kwa bahati mbaya maadli mabovu katika nchi hii yanasababishwa na serikali yenyewe.

  • @daffahjuma1248
    @daffahjuma1248 Před měsícem +1

    Niaibu na Ina ashiria uwelewa wa kimaskini wa elimu ya wananchi ulivyo . Umasikini ni Maradhi mabaya sana Duniani.

  • @user-vi1ds6gw9g
    @user-vi1ds6gw9g Před měsícem +1

    Vimeshakuwa chawa, kila mwandishi anawaza kuteuliwa tu, weredi umeshuka kabisa! hata kama makosa yameonekana dhahiri bado haviwezi hata kuhabarisha uma, yaani wanaandika tu habari za kusifu na kuabudu basi!😭😭🇹🇿

  • @geraldmihimbo1542
    @geraldmihimbo1542 Před měsícem +1

    Hii ni hatari sn sijawahi kusikia kitu kama hicho na niaibu kubwa sn kwa nchi yetu.

  • @LissaJonas
    @LissaJonas Před měsícem

    Mr Ansbert tu naomba uchambuzi wa maandamano yalio tokea Kenya Jana June 21/2024 tafadhali kama utapendezwa 🙏

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Před měsícem +2

      Kipindi hiki nimekabwa na ripoti maalumu ambayo nakamilisha. Ndiyo maana unaona nipo kimya. Kuna mambo yatapita.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Před měsícem +1

    Vyombo vya habari (4th Estate) ni mhimili wenye umuhimu wa kipekee ktk kuthibibiti mihimili ya Bunge, Mahakama na Utawala kuhakikisha utawala bora lkn ubabe kutoka kwa baadhi ya viongozi umefifisha mchango wa vyombo vya habari kwa jamii!

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur Před měsícem

    Unaposema tunatengeneza vizazi vibaya unajitambuwa

  • @african_channel
    @african_channel Před měsícem

    Nashangaa afsa mkubwa mvuta bhangi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před měsícem

    👍👊✌️.

  • @fedykihombo4845
    @fedykihombo4845 Před měsícem

    Yombo msukuma

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Před měsícem

    Serikali hii kiukweli NI ya awamu ya 5

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Před měsícem

    Mnapenda mambo ya hivyo ili mpate ya kuongea. Akili za kujadili matukio ziko hivyo