Msiongee sana mana yakale haya achi kunukia... kwanza Sarah mzuri na pia anaheshima zake... kufikia hatua Nasibu kumuita on the stage... Alikua ana Maanisha... kwaiyo ata wakirudiana chaAjabu hakuna.....kama ilivyo...mtalaka hatongozwi...
aaaaa kumbe salama rafiki ako namjua kwa sasa sijui yukwap alikuwa anasuka nywele Mwenge walikuwa wanasuka na dada angu bisha tuone kama salama sio msusi
Jameni😂😂mniachie like ndio nikamtembelee dada yangu zuhura naskia amebeba mabegi kuenda kwao 😂😂lazma naseebu amrudie uyu ata kama ni mechi Moja ya kistaarabu
Najiuliza umri huo hadi usiku wa saa 3 ni kubadiri wiwanja….😮😮wazazi wao walikuwa wapole…. Mimi kuingia kwetu saa 3 sikuwahi labda nilipokuwa chuo ndio niliweza kuwa free
Umerudi kuangalia wimbo wa Nenda kamwambie vile umekuwa Pushed again 😂
Coz Sara km linah sanga kwa mbaliiiiii km unakubaliana ma mm gonga like
KUNA MTU ALISEMA DIDA HAWEZ KUMUACHA SARA APITE....KESHO INTVW😊
Ila uyu mdada n mzuri n pia Ako n busara snaa ❤❤
Mzuri wp
sara u look so beautiful
Sara ashakua star😂😂😂
Sarah Mtoto mzuR kumbe ivoo Sema napenda unavo Muhita Chibu Nasibu 💪🔥💯Shem LETUUUU
Katika wanawake wa mondi wotw huyu ndo anamwita jina lake halisi na analitamka vizuri sana saraa
Sarah♥️😆😆💔
Wifi sara❤❤❤❤❤
😁😁
Wifi wa saa ngapi na lini
Huyu sister ni mzuri wa sura,ana sauti nzuri, anajua kujielezea ,mstaarabu na inaonekanwa anapendwa sana na watu
Ushasema
🤣🤣 eeh
Ndo maana diamond ataki kuoa anampenda uyu dada sana
Hapa kikubwa kilichoongelewa UHUNI , UZINZI kwenda mbele. yaani ZINAA tuu
Umesema kweli kabisa
😅😅😅😂😂😂 uwii
She is so pretty
Sasa diamond awalete ma x wote tunataka kuwajua
Jaman kwn watangazaji mna nn mbn mnakata vibe aseee 🤨🤨
Saraphina❤❤❤❤
Sarah mama wa taifa
I love Sarah ❤
Msiongee sana mana yakale haya achi kunukia... kwanza Sarah mzuri na pia anaheshima zake... kufikia hatua Nasibu kumuita on the stage... Alikua ana Maanisha... kwaiyo ata wakirudiana chaAjabu hakuna.....kama ilivyo...mtalaka hatongozwi...
Nimzuri kabisa
Bure ww
Ni mm Apa mack nauza uwono pangan🥺.
Daaah hatimae sara kawa star,aiseee nyie raha kinoma
NAMFANANISHA NA MWANAMZIKI MBILIABEL WA CONGO SJUI NI MIDOMO❤❤❤❤
Wakenya
Leo sara kapendeza tofaut na juzi kaisha kua staa anaanza kupendeza 😅😅😅😅
Mimi nimependaz amefaa vizuri
😂
Uyo mark dah kama namuona akifanya yake 😂😂
Nimeipenda hii story ❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah yaaani kama Chioma Wa Davido Diamond Fanya Jambo bwana
Watangazaji tulieni bass mtu aongee pumbavu shinziii
😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂
😂
Mbona kama Queen Darleen😂
Af kweli
True
Ex wa taifa amefika😂😂😂😂😂😂
Astaghafrullah msisahau mauti tu
Shukran kwa ujumbe Allah akulipe
Uko sahihi
Kwahivyo miaka 18 left 😮
Kila anaepita na mondi au aliyepita lazima awe 🌟
Jamani mbona leo camera 📷 giza? Ddd mko juu🎉
Wanawake hukua haraka
Presenters mnazingua mnaongea sana afu kwa pa1 bila ht wenyew kusikilizana mnamfanya hadi anashindwa kueleza vzur
Diamond tunaomba tuletee mark bana Ili story iendelee
Hahaha
😂😂😂😂 kweli
😂😂😅
😂😂😂
😂😂😂😂 ila wewe khaaa
😂😂😂bonge moja la Kiki
Diàmond kama sara hajaolewa muoe, ni mzr
X wa taifa tz bwana
NASSIBU TULETEE MAC NEA TUMUONE
Itabidi Mark atafutwe atupee story
aaaaa kumbe salama rafiki ako namjua kwa sasa sijui yukwap alikuwa anasuka nywele Mwenge walikuwa wanasuka na dada angu bisha tuone kama salama sio msusi
Diamond plz amusaidiye kbs ten huyu sarah bi wife material
Hongera sana kaka yangu yaan wewe ni mwanaume mwe upendo my ukujificha ficha isiazako..!!
Ndio maana bi dada kanuna😂 yeye alijipeleka😢
Manzethe😊
😂😂😂😂😂
Watz mna balaaa 😂😂ashakuwa staa tayari 😂😂
Mleteni Mack ajibu haya
Please someone to explain what she's trying to say in English please 😢😢
Hawa kina diamond walikua nahasira na mademu kumbe kitambo dagh kumbe sio wakushangaa hawa kina diamond wanayo ya fanya
Jameni😂😂mniachie like ndio nikamtembelee dada yangu zuhura naskia amebeba mabegi kuenda kwao 😂😂lazma naseebu amrudie uyu ata kama ni mechi Moja ya kistaarabu
🤭
Yaan kusikiliza interview ya wasaf wanakuw wanamakelele halaf wanaongea sn
🔥🔥🔥🔥🔥
Nimejisikia kulia Leo 😭😭😭🙏😔
Mmh
Tuleteeni mwamba mark tumsikie na yy
Sarah bwana ❤
Diamond nae kaanza mizagamuo zamani jamani.miaka hiyo tena kanauza Pete ya mama yake kanaenda kuhongea.😂😂
Dar zamani sana mungu akupe maisha marefu dada
I'm looking for this mark naona ni type yangu 😂
😂😂
Watu mnapenda umbea
Haya tuangalie kama mwisho yatafikia au laa😮
Jamanii dida udaku nao watanafasi😂😂😂😂
MAC huyo. I WANTED 😅😅😅
😂
Tanzania tinapenda umbea jmn
Mmmmh kila muda😅😅😅😅
❤❤❤❤
WAKWANZA MIMIAPA LEO NIPENI LIKE ZANGU
Unazipeleka wapi!!
😅😅
Unataka uzile au😢
Kumbe diamond mzee wa magoma ya manzese
Asa mbn shemeji yu2 anapua kama ya babalevo
Hhhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂
Ex wa taifa
❤❤❤😮😮😊😊
Zuchu typing deletee😂😂😂😂
Usjar zuchu kutesa kwa zam
KA ulvompora Aaliyaah nawe subir labda uwahi kumroga dai😂😂😂😂 Yan simba ni mpiraaaa
Mack ni mkuu
Najiuliza umri huo hadi usiku wa saa 3 ni kubadiri wiwanja….😮😮wazazi wao walikuwa wapole…. Mimi kuingia kwetu saa 3 sikuwahi labda nilipokuwa chuo ndio niliweza kuwa free
Yani huyu sarah na ninna msani kisura kimbali nawafanaanisha hadi lips
Et ex wa taifa fala nyinyi 😅
Daah Juma🤲🤣🤣
Unatafuta kiki mda wote ulikuwa wap wasenge nyie
Ukipenda Mara ya kwanza,ndo imetoka hivyo.kama hii story imekufanya usikilize tena wimbo wa kamwambie, twende party 2
Media ya familia
Hiyo sidiria vip
Nacheka kama mazur sarahwangu nimekumbuka mbali 😂😂
Hivi Zuchu kawakosea nn Hawa watangazaji maana ?
Hzo ni kiki, Diamond anasema ulimkataa, ww unasema ulimkubalia
Si mwazo alimkataaa
Atali
haya tuleteeni huyu mark
Ameshapataga umaaruf gafla,sema atapotea kama zuwena t
Zuwena hajapotea anaigza huko mpendwa anapata maokoto.
Hiv Zuchu atakua amesumbua kama alivyo sumbua SARAH??😂😂😂
Watanania watanzani kweli content ndio hamna daa yani vitu vya kitambo mumekita mizizi kweli hamna kazii
Mi napenda macho yake sasa kafunika jamn
Anaona aibu
Hapo Sasa mind alikuwa na umri gan jaman
Sasa leo umevaa mawig haupendezi
Marck ni mcheshi tu alikuwa hatongozi kumaanisha
One can only be this accurate on a ex when they still have feelings for the ex. I thought she was married
No she isn't married but has a kid
Diamond ni mimi kabisa alooo nikimwelewa manzi napambania ya hela ote
Zuchu uko atakuwa anachoma picha tu mnazd kumvuruga na uyo sara😂😂😂
Hahahahahhahahaaaaaaaaaaa aaaassalaaamu X Wa Taifaaaaaaaaaaa
Tunataka kumjua mack ni nan kama ako ai
Hahahahahhahahaaaaaaaaaaa v Wa Taifaaaaaaaaa