The Story Book : JINAMIZI ni Jini , Shetani AU Mchawi?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 404

  • @Steve.3175
    @Steve.3175 Před 21 dnem +153

    Tulio kabwa na hili jitu tujuzane kwa like😅

    • @RaphaelSiwale
      @RaphaelSiwale Před 21 dnem +4

      Pamoja

    • @ReyKatuni
      @ReyKatuni Před 21 dnem +5

      Nitalitazama kesho kheee😂😂😂 Latisha haswaaa😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Před 21 dnem +5

      ​@@ReyKatuni ukiliogopa litakufuata ucku huu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @kelvinabdallah9778
      @kelvinabdallah9778 Před 21 dnem +2

      Oyaaaaaaa😂😂😂😂 hili jitu sio poa mamaeeee

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Před 21 dnem

      @@Learning2test alafu utakuaje

  • @user-ug3dc6xc5e
    @user-ug3dc6xc5e Před 20 dny +79

    Tunae amini neema ya mungu imetuzunguka tugonge like hapa🙏

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @ramalida2547
    @ramalida2547 Před 21 dnem +86

    Wanaopenda the story book mpk wananunua bando ijumaa kama mm tujuane

  • @silvanqueen3205
    @silvanqueen3205 Před 18 dny +12

    Kama unaamini Jamal April akisimulia story inavutia naombeni like 10.

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @PaulMawira
    @PaulMawira Před 19 dny +29

    Nipeni like sijawai pata adhi moja

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @SamwelBarnabas
    @SamwelBarnabas Před 21 dnem +28

    Siku moja unaonaje ukaongelea kuhusu mkanganyiko unahusu shape ya dunia, uhalisia kuhusu firmament, ukweli au propaganda za wazungu kwenye mwezini instead kuna kipangamizi cha maji anga huko juu na mwisho zaidi kwanini kuwe na siri na vizuizi juu ya bara la Antarctica, je ni kipi kimefichwa ulinganisha na ramani ya dunia inayoonyesha uwepo wa mabara zaidi nyuma ya Antarctica?
    Mengi yakusema...... natanguliza shukran

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j Před 20 dny +18

    ❤prof April story.nashukuru kwa kutuletea story za dini na maisha kujuwa tuliko toka huku mambo ya sayansi Asante kwa zawadi hizi tunu zetu.

  • @maryonyango8102
    @maryonyango8102 Před 21 dnem +23

    Mm nahic zile the story book zilifanywa na mtiga uziregelee kuhadithia. Coz huyo mtiga sijawai kumuelewa kabisa. Yani hatakama story nitamu lkn yeye hadithii ipasavyo. Kwamfano the story book ya Osama, titanic, story ya uhuru Kenyatta wa Kenya na kadhalika😢😢😢

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 Před 20 dny +4

      Kumbe na ww unataman km Mimi, Mtiga alikuwa mpiga kelele tu Mwenye sauti nzuri,

    • @doreendsouza7809
      @doreendsouza7809 Před 19 dny

      Well said 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

    • @maryonyango8102
      @maryonyango8102 Před 19 dny

      @@johnmwandu2116 anaboa kwakweli

  • @user-zj3fy3yx9d
    @user-zj3fy3yx9d Před 14 dny +2

    Jamal april ni Genius ,. Anae bisha anletee msimulizi kama huyu kwenye hii dunia...

  • @Joyce-lm7oo
    @Joyce-lm7oo Před 21 dnem +29

    Leo nimekuwa wa kwanza malizen like zenu

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @lilfourcreatives
    @lilfourcreatives Před 12 dny +2

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with lots of love 💗

  • @HalidiMalande
    @HalidiMalande Před 15 dny +4

    Nakukubaligi sana Jamal April Allah S.W akupe nguvu Brother uzidi kutupa mambo tusoyajua.

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo Před 21 dnem +7

    Mandy stavick hii story sijaielewa nahis ukiielezea my brother itakuwa nzur sana na nitaielewa sana
    Siku moja moja uwe unatujih bhas jamal

  • @murtazammbaga8714
    @murtazammbaga8714 Před 17 dny +4

    Mwamba anajua kusimulia asee🙌🙌🙌🔥🔥

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee Před 18 dny +3

    daaah !! sijapenda,hamja nishtua tena nimechelewa siku tatu. sijapenda wazee 🥲🥲🥲

  • @silencekiller9651
    @silencekiller9651 Před 20 dny +7

    Dah hii stori inaniskitisha sana😭😭😭😭mm kwakuzihesabu siku nimekabwa nahuyu kiumbe zaidi yamara40 najiulza nimm tu au kuna wengne waliokabwa maranying zaid kma mm😭😭😭😭

    • @alitante4279
      @alitante4279 Před 16 dny +1

      Soma dua ukilala na usisubutu kulala tumbo juu bali lala tumbo chini na ushahadie mara tatu , NB km ni muislam

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 Před 15 dny

      Kwa ss wapani😢

  • @PauPaulo-qf3wo
    @PauPaulo-qf3wo Před 21 dnem +14

    Jamal noma sana

  • @benjaminnickson349
    @benjaminnickson349 Před 20 dny +14

    huyu jinamizi ni jini kweli maana ukilala bila kuswali lazima tu akuijie

    • @_Miseh2
      @_Miseh2 Před 18 dny

      Wallai me nikiwa kwenye hali hiyo nikiamka nikieka quran nalala vizuri nisipoeka hiyo hali yarudia tena

  • @eliaskemboi7865
    @eliaskemboi7865 Před 21 dnem +20

    I love how this guy advertises his products💪💪

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @ErlingAlan-xj1bt
    @ErlingAlan-xj1bt Před 20 dny +4

    Jmn me nipooo presents tujuwanee kwa like ❤

  • @MkambalaKassim
    @MkambalaKassim Před 21 dnem +5

    Safi sana Jamar story nzur umenifundisha sana hap

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 Před 21 dnem +15

    Hao maboya walisha nikabaga nakumbuka lakini Kinga yangu kwa sasa ni Damu ya Yesu kwisha kabisa.No uchawi wala majini ya kipumbavu.

    • @NeemaChilimo-sr4wj
      @NeemaChilimo-sr4wj Před 17 dny

      Yesu alipaa zamani ww iyoo damu umeipata wap Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Před 17 dny

      @NeemaChilimo-sr4wj
      Kimtazamo wa kibinadamu ni ngumu saana kuelewa ila jua kwamba tumekombolewa kwa damu ya mwana kondoo. Ambayo damu hiyo ina safisha kabisa pia hutaelewa kwa maana ujafunguliwa kuyafahamu, omba saana upewe ufahamu wa kuelewa.
      1 Petro 1:18-19 Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu;
      bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo.

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Před 17 dny

      @NeemaChilimo-sr4wj
      Pia kama bado unamizigo utakufa nayo kama bado ujatengeneza njia zako .Nafasi ulio nayo ni sasa wewe ukiwa hai baada ya kifo ni hukumu tu.yaani ukifa na mizigo yake utajikuta umelala umeamka ni hukumu.
      Soma hiyo
      Mathayo 11:28-30 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
      Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
      kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

    • @Msakatonge23
      @Msakatonge23 Před 17 dny

      Unauhakika na unachokisema

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Před 17 dny

      @Msakatonge23
      Itakuwa usomi maandiko
      Waebrania 9:27-28 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
      kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.

  • @user-pk4so6gr6q
    @user-pk4so6gr6q Před 21 dnem +5

    My all time story teller🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Před 20 dny +7

    Kulala Chaliii ni tatzo maana ndoto mbaya ndio znachukua nafasii na JINAMIZII NDIO LINATUPATA HAPO😢😂😂 NI. HATARIII SANA UNAWEZA SEma FAMILIA INAKUCHEZEA

  • @JosephFredrick-ev1tw
    @JosephFredrick-ev1tw Před 21 dnem +18

    God bless Jamar April

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Před 21 dnem +5

    Noma sana the story book kwa hewa🔥💯

  • @sirdissnziku5102
    @sirdissnziku5102 Před 21 dnem +32

    wakwanza naomba likes🐯

  • @mg_og4185
    @mg_og4185 Před 21 dnem +14

    Jaml april 🔥🔥🙌🙌 professor

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @amosnyalema1645
    @amosnyalema1645 Před 20 dny +5

    @jamal-april you are the best brother

  • @luckg12_tz_10
    @luckg12_tz_10 Před 21 dnem +8

    Leo nimecheka sanaa ety ndipo hyu mwehu 😂😂😂

  • @MusicLanguage140
    @MusicLanguage140 Před 19 dny +4

    Br Jamal natamani kupata mawasiliano yako, serious kuna mengi nayohitaji kujua

  • @destroyerban7364
    @destroyerban7364 Před 21 dnem +7

    Wa mwisho jmn naomba msi like 😅

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 Před 19 dny +2

    The Best Story Teller in 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩🇸🇸🇷🇼

  • @navilmapundi4923
    @navilmapundi4923 Před 18 dny +3

    upo vizuri mzee

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @arafatkasu
    @arafatkasu Před 21 dnem +6

    No love 💕 no MANE 🎉 tupo pamojaa jamali twende kazi

  • @BesixBallast
    @BesixBallast Před 18 dny +1

    M.Mungu akufanyie wepesi kipindi hichi kiendelee kizazi na kizazi

    • @Msakatonge23
      @Msakatonge23 Před 17 dny

      Mungu akubarick ukumbukwe vizazi na vizazi

  • @feisaldesign4156
    @feisaldesign4156 Před 17 dny +3

    Yan dah story book leo jamal umetisha sana hii hyu patner washetwan anatunyima raha kwakwel

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @raphaelissa1449
    @raphaelissa1449 Před 20 dny +6

    Dah wa mwisho km wezangu like hapa😂

  • @marlonmwakalinga2252
    @marlonmwakalinga2252 Před 9 dny

    Nakukubali sana jamal April, this is fantastic 👏 👌

  • @user-ps5co3pc3f
    @user-ps5co3pc3f Před 21 dnem +14

    Wa 11 naomba like zangu

  • @MassudBejo
    @MassudBejo Před 16 dny +3

    Oya huyuu msenge Jana alinimbmba noma😂😂😂😂

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Před 21 dnem +6

    The story book 📚📖 ijumaa 👍🏻😂🎉😊❤❤

  • @user-rf7wx7og6t
    @user-rf7wx7og6t Před 20 dny +2

    Mashalla mwalim ❤❤❤❤

  • @57_VANIBO
    @57_VANIBO Před 21 dnem +9

    😂😂😂😂vitoto vidogo 😅😅😅😅vinaturetea michezoyawo usingizini😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Před 21 dnem +1

      Wanatuweza lakini😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @user-vi9sk6xz4n
    @user-vi9sk6xz4n Před 21 dnem +13

    Tulio wahi like hapa

  • @ashrifaabdalla4712
    @ashrifaabdalla4712 Před 20 dny +4

    Jinamiz matako.yake juz limenjia kuinuka siwezzz uwii😅

  • @JosephJames-ut8tt
    @JosephJames-ut8tt Před 19 dny +4

    Jamani natumai sijaooga mwenyew duuuuu🙏🙏🙏

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @nassanmsafi4884
    @nassanmsafi4884 Před 21 dnem +13

    Nawakubali wote ndugu zangu wacomment

  • @aidansimkanga7729
    @aidansimkanga7729 Před 18 dny +2

    Makin sana kwel unasitahili kuitwa profesa ujabaatisha

    • @freenaturetv
      @freenaturetv Před dnem

      czcams.com/video/JutyaSXkbEU/video.htmlsi=x2G7Z7Ya_yf0cwm5

  • @liam_sinigar_mitangalo9619

    Nakukubali Prof.Jamal

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 Před 20 dny +5

    Hao jamaa wanaoamin jinamiz ni vitoto vinakuja kufanya michezo ya vitoto🤣🤣🤣

  • @dickomsigwa9662
    @dickomsigwa9662 Před 15 dny +1

    Kazi nzuli 😊😊

  • @HaggaiMubisa
    @HaggaiMubisa Před 21 dnem +8

    Amen

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Před 20 dny +5

    Ni hatarii
    Wanatutesa sana 😂.

  • @maliyawatukim5912
    @maliyawatukim5912 Před 6 dny

    Genius Jamal,keep it up brother 👏👏

  • @user-hp3nd5vw2l
    @user-hp3nd5vw2l Před 20 dny +7

    Nisiwe muongo nikilala mchana sa Saba hivi au sa nane lijamaa linanijia mpaka Sasa silali mchana shenzi kabisa😅😅😅

    • @JessiePoul
      @JessiePoul Před 19 dny

      Kumbe tupo wengi jamani nilzani peke angu

    • @user-yk8os2ms5o
      @user-yk8os2ms5o Před 7 dny

      Usione ni kawaida ukiona ivyo ujue roho wa Mungu hayupo ndani yako..Haki, ukiwa katika ubora wa Imani yako km ni mkristo ivyo Vitu utaviskia tu

  • @mg_og4185
    @mg_og4185 Před 21 dnem +13

    Jamal april 🔥🔥🙌🙌 professor

  • @GarusianMkedege-ej4be
    @GarusianMkedege-ej4be Před 18 dny +1

    Saiv mnazingua kumamake Kat kati ya stor mnaweka tangazoo

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g Před 19 dny +3

    ww jamari kah yaani jamani hadi moyo unataka kuntoka mdomoni naangalia usiku wamanane ujue ndugu yangu tena nmezima taa😱😨🥶

  • @Shaban-om9jl
    @Shaban-om9jl Před 16 dny +1

    Kuna siku hii situation ilishawahi kunitokea nikiwa na miaaka 13 wallah nilihisi ni mtoa Roho amefika na yangu yametimia😢

  • @user-nm2db7gg2x
    @user-nm2db7gg2x Před 20 dny +2

    Nice professor 👏👏👏

  • @khadijamwita4571
    @khadijamwita4571 Před 17 dny +1

    Professor tujuze bas tumjue sir. Isack newton

  • @RonnyKipkirui
    @RonnyKipkirui Před 10 dny +1

    Watching from 🇰🇪

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 Před 21 dnem +1

    🎉🎉🎉 much love ❤ from kenya 🇰🇪

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo Před 19 dny +2

    Nikweli kbs nilikuwaka nalala chale nikaisi mtu afu ni mwanamke ananipandia kifuani akaanza ni kaba shingoni nusu nife 😢

  • @user-xc3yl1dk8k
    @user-xc3yl1dk8k Před 20 dny +1

    Génial ❤❤

  • @jospine1channel874
    @jospine1channel874 Před 20 dny +1

    asante kwa stori mpya, ila ukipata muda tunaomba utupe mkasa wa 2pac na big full

  • @awadhbuya9649
    @awadhbuya9649 Před 17 dny

    Natazama sana story zako Naomba utusumulie ya genghis khan

    • @freezy-jx7eo
      @freezy-jx7eo Před 15 dny

      Wa kwnye tamthiliya ya ottoman au 😂😂

  • @nelsonassenga5927
    @nelsonassenga5927 Před 19 dny +1

    Yaani Mimi kila nilalapo mchana lazima nimpate jinamizi naombeni mnisaidie jamani

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Před 21 dnem +6

    Mamae hili lishenzi juzi tu lilinikaba alafu kila nikisoma ayatu qursiyu ctoboi yan ata haitoki asa sauti 😂

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 Před 20 dny +2

    Hapo kwenye tafiti za kisayansi hoja zao hazina mashiko kabisaa lakini sishangai kwasababu wana sayance hawaamini uumbaji kwahivyo hawezi kukubaliana kwamba kukabwa usingizini ni husababishwa na jini mbaya ( shetani )

  • @erickjackson8147
    @erickjackson8147 Před 17 dny +1

    Nikwer yamenitokeaga sana kaka

  • @shebbysadiki
    @shebbysadiki Před 20 dny +3

    Me mwisho leo hili jinamizi limenikamata kumanina zake

  • @user-rz5rk8xi4b
    @user-rz5rk8xi4b Před 19 dny +2

    Wanasayansi na wenyewe wana nenoo 🤔🤔🤔🤔🤔 kama nawaelewa iviiii😮

  • @naftalikahare9068
    @naftalikahare9068 Před 14 dny +1

    Hello ...the story book can you please do a documentary for the lost Malaysian airline

  • @mimarsalehe9315
    @mimarsalehe9315 Před 21 dnem +2

    Mmh jamal nimeiwatch usiku nimejuta. Inatisha jmn. Picha zinatisha😢

  • @josejosia3024
    @josejosia3024 Před 16 dny +1

    WAMESHINDWA KUTOA MAJIBU WANA SAYANSI JIBU NI WATU KUMWAMINI YESU KRISTO NA MA NENO YAKE KWASABABU 1 WAMESHINDWA KUJIBU YULE UNAYE KUWA UNAMUONA MDA MCHACHE KABRA YA KUKABWA NINANI NA NININI HAWANAJIBU BIBADAM HUWA WANAJITAHIDI SANA KUJITEGEMEA BIRA YA MUNGU RAKINI WAMESHINDWA YESU NIMWANA WA MUNGU KWELI KWELI KILA ANAYE MWAMINI YEYE NI NJIA KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KWANJIA YA MWANA YANI YESU KRISTO

  • @piscaskazingufu9848
    @piscaskazingufu9848 Před 20 dny +3

    Nipeni ata liké mbili

  • @SarahNyambura-co4hv
    @SarahNyambura-co4hv Před 10 dny +1

    I have experienced this kusindwa kupumua

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 Před 14 dny +1

    Kwa upande wangu mimi kila ninapo lala Chari Chari basi hilo jambo ni la kila siku ila nililala kiubavu bavu hainitokei hali hiyo

  • @user-ps5co3pc3f
    @user-ps5co3pc3f Před 20 dny +2

    Jinamizinon on top like man city🤩🤩

  • @SubiraWilfred
    @SubiraWilfred Před 19 dny +1

    Numeerewa 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @hilaliabousalim2715
    @hilaliabousalim2715 Před 20 dny +2

    Mara nyingi ukilala chali ndo tatizo suluhisho moja wapo likikutokea ni ayatul qursiyyu hata kimoyomoyo

  • @user-ff9si6ey2h
    @user-ff9si6ey2h Před 21 dnem +5

    Utuletee na yajini bahaba

  • @shemnjeri2972
    @shemnjeri2972 Před 13 dny +1

    Nimepatwa nayo Leo

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u Před 11 dny +1

    nakupata nikiwa🇰🇪

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 Před 20 dny +2

    Huyu mwamba noma Tena noma si kidogo anakaba mpaka penat😅😅

  • @betting.freetps
    @betting.freetps Před 20 dny

    This is the best story

  • @soniahassan6769
    @soniahassan6769 Před 14 dny +1

    Hili dude lilinipiga bao nikiwa mdogo mpaka leo siwezi isahau ile siku nikamkomalia dadaangu kwann kanipiga kibao😅😅😅

  • @ReyKatuni
    @ReyKatuni Před 21 dnem +3

    Wa 18😂😂😂from Saud Arabia❤❤❤ila nta tazama kesho huu uwoga nilionao hauniruhusu kutazama usiku😂😂😂😂😂😂

  • @AzizaMerere
    @AzizaMerere Před 21 dnem +2

    Mbn hivyo Usk huyu jmn Jamal April uwiiii

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Před 20 dny +3

    Mm linanishika asubuh jmn nakua nasikia mtu anatembea ila nikitaka kuamka siwezi mpka nitumie nguvu na ufaham nakua nao ila kufumbua hata macho nakua cwez😢

    • @elsabio11
      @elsabio11 Před 20 dny +2

      Ukilala soma ayatul kursiyu mara 7

  • @brianb9459
    @brianb9459 Před 20 dny +1

    Smart jamal

  • @Tarimoblog
    @Tarimoblog Před 21 dnem +3

    Wa kwanza

  • @ShafiiBushiri-tg1zr
    @ShafiiBushiri-tg1zr Před 11 dny +1

    Mi na jinamizi ndio tunakabana mpaka tushazoeana..

  • @EzraMfuse
    @EzraMfuse Před 21 dnem

    Fantastic 💥

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 Před 20 dny +3

    Mm nililala mchana na nikakabwa hivyo niliamka nikashindwa yan mpka nilishindwa kuongea kwa mda

  • @richardkatamu6757
    @richardkatamu6757 Před 21 dnem

    asant kaka kwa story

  • @MariaLenny-fg6nv
    @MariaLenny-fg6nv Před 9 dny +1

    Tunazuiaje kukabwa na jinamizi la kisayansi

  • @GamesimulatorSpinho
    @GamesimulatorSpinho Před 21 dnem +2

    Kweli hiyo hali inatusumbuwa sana hatujuwi ni kwanini