The Story Book : CHUMBA NAMBA 2805 ‘Kisa Cha Utata wa Kifo Cha Jennifer Fairgate’ (Part 01)
Vložit
- čas přidán 28. 04. 2024
- The Story Book : CHUMBA NAMBA 2805 ‘Kisa Cha Utata wa Kifo Cha Jennifer Fairgate’ (Part 01)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Kila mtu humu kama unamkubal Jamal gonga like ndio nini sasa? Like apewe Jamal anaefanya kazi kukusanya taarifa kwa kutuelimisha.
Yani wana boa na kama wanataka like si waanzishe chanel zao
True that.
Perfect said
Hahaha Nakubali afu hawa watu utawakuta kila channel… nipe likes😂😂😂
💯%🤝
Ivi izo like zinawasaidia nn jaman em achen tuenjoy na stor naomb like naomba like zinawapa nini izo like oky ukipa milion moj like zinakupa nn ushamb aisee
Nothing hurts like when you want to help your family, but you are not financially stable.. may God open all Closed doors for us this new week amen 🙏🙏
Allahumma aamin
Amen
Amen
Amen!!indeed.
Vamos
Iv n serious mnasikiliza au mnaomb like tu,,, kila mtu naona anaomb like ty😂😂
Kutoka 254 Nairobi, Naomba likes tafadhali
Utakula likes?
I wish jamal could bring the story book everyday,, but i know how hard it is to make it. Otherwise Jamal your the best
Huyu ndugu nimekubali nimsomaji wa mambo mingi Sana ,he is so much bright.
Kama unamkubali Jamal April gonna like hapa
Sanah jamal
😂😂au sio
Fan namba 1 wa Intro za #TheStorybook🔥🔥🔥
Juz jan n leo nilikuwa ntafuta njia nikuulize una drop lini mzigo thanks God umejua kunifuraisha
Big up Jamal
From Kenya .I keep on searching for new episodes za Prof Jamal...tunakupenda Jamal kazi safi.
Namkubali Jamal Maeneo ya Marekani Kusini nawapata mbashara Mbaka Kisii County Kenya 🇰🇪 Hii ni ngine utamu ulioje Mola akubariki kwa sababu unajua vile tunangojea kila toleo the Story book
Mara zote mimi husema Jamal nu zaidi ya zawadi ya watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kutoka kwa mwenyezi MUNGU
Aisee kaka wewe Ni hatari san kwa simulizi zenye kifuraisha kuelimisha na kuburudisha mungu akubariki🙏🙏
Asante sana Prof Jamal ,kwa video zako,ambazo nimekua nikizitazama,zimenifunza mengi ambayo sikua nayajua
Yeah Maumivu Yangu Nayapoza Kwenye THE STORY BOOK..
KENYA NA TANZANIA ndio nchii bora East Africa
Jaman Leo nimechelewa sana sijui kama nitapata angalau Likes 10
Upeleke wap
😂😂😂
Kweli wewe Hasara😂😂
Jamal tupe stories kila wiki tafadhali🙏big fan from Kenya +254.
Watu wanaomba like badala ya kuckiliza kisa😅😅
Wasenge sana wanazingua nakereka sana bas tu
🤣🤣
Here we go proffessol🎉🎉❤
I love what Jamal is doing I love his narrations. I'm addicted to this voice and the research..... from Kenya
I do really appreciate this guy❤❤❤
Mimi n the story book tunaomba like zetu😂😂
😂😂😂😂mmezipata
King Jamal drop your like to this Man🔥🔥
Jamani uyu Jamal anajua kusimulia ❤😊napenda anavyoeelezea 😊😊namkubali sana ❤❤❤
Dah professor we are waiting for part 2 we real love the story book indeed with wasafi media halla5
Kwakweli nimeisikiliza kwa makin noma sana jamal uko vizuriiii kwa simuliziii
Jamali nakukubali sana mungu akupe maisha marefu sanaaa
hiv ndo vitu vyangu mimi, nakubali sana story za kipelelezi na mauji ya kutatanisha...kama mwanamke wa isidali
Hii simulizi inafanana na ya mwanamke wa isdal na ni hukohuko norway,big up jamal 👏
Sure
Yap
Uko vizuri sana mzee kwa utafiti wako na simulizi zako mzee hongera kwahilo
Oy jamaa anajua mungu amuweke milele na ampe umri mrefu inshallah
Nawakubali Santa story book
Leo nimewahi na mimi naomba like yako kama unamkubali jamal april profesa
Acha ushamba😂😂
Kisha likes zakuongezea maisha Au kufuta dhambi?
welcome back Prof:Jamal April,,
Simulizi kali sana ya kijasusi nimeipenda, big up kwa jamal
Bila shaka huyo mdada alikua muhalifu lakini pia hajajiua bali aliuliwa na watu wenye ujuzi mkubwa wa kuua.
Kila mtu huwa ana kipaji chake hongera jamal april tunajifunza mengi
Kama unamkubali professor jamal gonga like yako hapa.one love professor ❤
The special one and only professor jamal April
Hii simulizi inafanana simulizi nyingine ya ujasusi tena huko huko norway 🇳🇴 au ni mimi nimejichanganya
BRAVO JAMAL APRIL KWA STORY MZURI SANA 👏 🇹🇿 ❤❤❤
jamaa anafany kazi nzuur sn nakubl sn uko vzl chukua mauwa yak 🌹🌹🌹
Nakubl kak umetsh
The brain i wish one day i will be like you unatisha sana bro napenda kazi yako
Naomba nianze kwa kumtukana Jamal, mpuuzi ,katili , mwehu umetuacha wakiwa sana bwege wewe umetufanya tuwe kama mayatima mwehu wewe usirudie tena kutuacha hivi
Bravo story book 😅😅
The legend is back
Vip story ya mamadou moustapha NDALA PROFESSOR
Jamal wewe ni noma🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Saut amebalikiwa sana uyu jamaa
Kakah unajua mpk unakela.... 🙌🙌🙌
Izi Habari Kuzifuatilia Usiwe Na Njaa Wala Mawazo Utajua Umuhimu Mkubwa Wa Izi Habari Binadamu Upaswi Uishi Kwa Udanganyifu Angekua Ameweka Ukweli Angejulikana Au Alikua Na Sili Kubwa Sana Na Wenda Alikua Anaishi Kwa Maelekezo Zaidi Bila Kujua Badae Yake Akuna Binadamu Mwenye Kuijua Kesho Bila Kufa Ukifa Ndio Utaijua Kesho Ya Dunia Nyingine Lakini Kwa Apa Duniani Kamwe Akuna Aliyeweza Kuijua Kesho Naona Manabii Wa Mungu Waliotumwa Moja Kwa Moja Na Mungu Waliokua Na Uwezo Wa Kuagiza Chakula Kutoka Mbinguni Na Waliokua Wanafunikwa Na Mwavuli Wa Mawingu Kuwakinga Na Jua
Good Jamal.❤❤❤❤
jamal april,very good great historian
Ulipotea kaka, ulitunyima raha sana
Umeongea kwel mwshooo
NAMKUBALI JAMAL NAIKUBALI STORY BOOK❤ LIKE PAPO CHACHE KWANGU
I love ur well researched stories.
Thanks u always refresh our mind and enjoy the amazing stories
Sijutiii kutumia Mbs zangu kuangalia na Kusikiliza The Story Book maaana najifunza mengii mno
hii story inafanana na ya mwanamke wa isdali alaf ni hukohuko norway
Hebu tafuta story ya first president of Kenya, some information claim, he did much good for Kenyan, but after growing up am receiving other information claiming, the first president betrayal mau mau team...
Amos, Social Media Analysis.
Jamal Jamal prof 😌😍🥰
Unajuwa unajuwa unajuwa na tena
Nice
Asante kwa story nzuri JAMAL
Usiwache hata siku moja Jamal endelea kuifanya story book kabisaa hujui unavyowaelekeza wengi
Pamoja sana wajina
😮😮 jamal yupo na vuzir
Tunaomba uchambuzi kusu bohemian grove kunamengi tunaitaj skiya 🇧🇮🇷🇼
Tuandalie moja ya mazazi ya mtume muhammad s.a.w mpka kifo chake
The Story Book Jamal April nimefurahi kuona umeipiga hii story kwenye Ramada Resort Hotel
mtu asijribu kunipee likes😊
Tuna kufutilia sana Jamaal....much love za 254 frm Oman we Respect you
Mungu ampumizishe kwa amani
Jamali April respect brother
SaLutE sanaa Kwako..❤🎉
Perfect mkali wao Professor
Nakubali sana the story book
Simulizi nzuri sana
Nzuri sana da adi raha yn 🎉
Umetisha san broo😂😂😂😂😂😂😂😂
First mimi hapa😂
Good story jamal
Brilliant professor 💯
Onga like na huku
Great video
I really like your job
Kama unaamini MB ZAKO HAZIJA ENDA BURE GONGA LIKE MOJA❤❤❤
Wonderful
Keep up brother
twende sawa kaka❤❤❤
✌️Brother uko fiti sana katika hizi story bigapu sana
Hii ndio story Sasa 🤝
Jamaal can you please search Pig Killer ? Hii story ya serial killer. Very interesting story
Jamaal ......... 👉👉👉👉👉👉👉Like
U are the best Jamal❤❤
Bravo pr. 🎉
Ni 🔥🔥🔥