WEMA SEPETU AMSIFIA SARAH WA DIAMOND ALIKUWA MTU POA SANA DIAMOND ALIMPENDA SANA..

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 04. 2024
  • East African number one CZcams channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Komentáře • 32

  • @fbr5113
    @fbr5113  +12

    Ndio sara kajishiba na hana papara na maisha na inaonekana amemkinai sana Diamond na pia hana time yakumchuna Diamond. Kitendo hiki ndicho kinamuumiza sana Diamond nahis raha ya Diamond nikumrudia sana nakumpiga matukio hadi adhalilike lakini bahati mbaya Sara hampi hiyo nafasi kwakuwa tayari alishampiga matukio huko nyuma alipokuwa hana pesa nyingi je sasa ni Bilionea itakuwaje. Lakini Sara kajifunza kutoka kwa wanawake wa Diamond na baby mamas wake maana wamepigwa matukio na kudhalilishwa kila siku hivyo sara anaona bora aendelee na maisha yake tu. Hili ni funzo kuu huyu Sara ametupatia wadada kwamba ukiamua kuachana na mtu endelea kujipigania maisha yako na usimtamani kwamaana kilichowaachanisha kama bado kipo hakiwezi kuwadumisha hata mkirudiana. Big up Sara na nakunda nakuombea upate utajiri sana kupitia hili isiwe Diamond kakutumia tu lakini utajirike pia nawewe upate madili ya pesa nyingi.

  • @happinesswilliam2948

    Wema play store ndio hiyo moja Apps store acha kutuchanganya😅😅😅

  • @zuwenanduwimana7730

    Wema utabakiaga kuwa wema tu. Hata wanao kusema vibaya ni wivu tu. Wewe ni mzuri sana❤

  • @priscargodwel8333

    Nampenda wema jamn

  • @dorcas4495

    Bjb film was based in Leeds mmm nice now it's in Tanzania

  • @azizayassin3623

    Kwani kuziniwa imekuwa kama matangazo jaman weah yni adi naogopa

  • @cynthiadestiny358

    Wema alikaa aje na vile alikuwa smart

  • @memeniyonzima9343

    Karma jamani iendeleeeeeeeeeee

  • @Siasavyanda

    ❤❤❤

  • @faizaally347

    ❤❤❤ tunaisubiria

  • @user-ty9tc1cy8u

    ❤❤❤❤

  • @AbdallahMohamed-wz8lc

    Sasa Sarah kaingiaje? Kwamba mngekosa views

  • @user-tf9gh8iu5s

    Alikua kwaN sasa yuko wap

  • @neemapius3686

    Nanyie Si mkonde mubakize makomweee🤣🤣🤣🤣

  • @amosihokororo9702

    Hii kitu kimkataba baadae italeta shida Tu juu ya mkataba WA awali

  • @shangwefisima3993

    Ila bado kazuri

  • @gracekahunda

    Wema umekonda mno mpaka unatisha kichwa kimekuwa kikubwa...hupendezwi na mwili mdogo

  • @alsam4881

    Mwili wote umekwisha umebaki kichwa tu kimekuwa kikubwa.