SAKATA LA KOMANDO MUUZA MADAFU ALIYESHUKA NA HELKOPTER LAFIKA KWA RAIS LEO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 04. 2024

Komentáře • 51

  • @user-xe6jw8pt3d
    @user-xe6jw8pt3d Před 29 dny +3

    RAIA Hawezi Kuuza Chochote IKULU
    Ukimuona Mfanya BIASHARA IKULU Ujue yumo kwenye System.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Před 25 dny +3

    Kwani akiwa ni yeye shida ikon wapi

  • @samsonlucas7708
    @samsonlucas7708 Před 22 dny +1

    Hadi mpenzi nae ni Siri ddkiiii

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Před 23 dny

    Moja mbili moja mbili mhuuu ya kijeshi shoto kul...

  • @user-tw5zg7fz2v
    @user-tw5zg7fz2v Před 26 dny +1

    Huyo kijana wazee wamuoneana amauzalendo toka moyoni anatufaa lwa sisi wazalendo

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 Před 26 dny +2

    Achaneni nae inasaidia nn hata ukijua kama ni commando au la.

  • @IsmailMadrelya
    @IsmailMadrelya Před 18 dny

    Sijui unaona

  • @user-xw9wo7nh6c
    @user-xw9wo7nh6c Před 27 dny +1

    mm na binafsi nakubaliana na hilo kwanza mwonekano wake pili yupo siriasi alafu kofia anavyo vaa alafu tazama kifua chake ila sioni sababu ya kumfatilia ila ni komando

  • @murshtz4761
    @murshtz4761 Před 29 dny

    Jamaa alisema yye n mwana chuo wa NIT kwaiyo ana balance vipi muda wake wa masomo na biashara yake ya madafu kwa sababu vipindi vya chuo aviko constant vinabadilika badilika kutokana na siku za juma unaweza kukuta j3 kipindi saa 4 adi saa 7,j4 saa moja adi saa 4 siku nyingine saa 7 adi saa 10 na ukiangalia iyo biashara muda wwte anaweza akahitajika seheme apeleke hizo bidhaa inakaaje apo masomo yake na iyo biashara

  • @presidentofafrica.5038

    SIMBA MWENYE NJAA KALI BILA WINDO AWEZI KULALA, HII MISEMO NA MADAFU KWELI😁😁😁😆😆😆

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo Před 29 dny +1

    machoyake yanaobgea do yeye uyoni komando madafu ikulu weeeeee

  • @mussaagrey5679
    @mussaagrey5679 Před 29 dny +1

    Nachokishangaa jamaa kavaa kabisa kofia zile zile za makomando ila watu awasutuki wanajali muonekano tu

  • @FredNgakala
    @FredNgakala Před 22 dny

    Ya wezekana ni ndugu wasio Juana

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 Před 24 dny

    mhuuu

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Před 23 dny

    Nacho kihisi jamaa atapotea kama 2 milwili au 3 harafu arudi nakusema kwamba Jeshi lilimchukua na kumpeleka kwenye mafunzo ili kumaliza maneno yote kama ukweli ni yeye.

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo Před 28 dny +1

    Comando wewe acha kutudanganya bwana wewe mwwnyeichi bwana

  • @thehouseofprayerministry359

    Kwann haachi kichwani wazi?

  • @presidentofafrica.5038

    KUCHEZEWA AKILI TU.., MUUZA MADAFU GANI ANAONGEA KWA UTULIVU, ANASIKILIZA KWA UMAKINI, MACHO YAKE YAKO SAMBAMBA NA AKILI,

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 Před 22 dny

    Muacheni bhana

  • @user-lo6uj3wj7d
    @user-lo6uj3wj7d Před 24 dny

    Kwani anazulu watu mbona mnamsakama sana

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Před 25 dny

    😂😂😂 Tz watu wanachimbua aisee haya bana

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u Před 29 dny

    Ndo yeye

  • @jofisdory2108
    @jofisdory2108 Před 28 dny

    Ukishavaa suti sehemu spesho uwez kula dafu ovyo ovyo ,wale wale na mi yeye

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 Před 27 dny

    Kwanza nyie watu ivi mtumishi waserekali awe komando au usalama utafika kumuhoji kisenge senge ivo ? Hawezi kukubali wala kukubalika huko kazini kwake .acheni kushughulisha watu

  • @tonykungfumaster874.9K

    Bwana wanafanana kweli kweli

  • @pvoiceofficialtv7630
    @pvoiceofficialtv7630 Před 23 dny

    mbona sauti zinatafautiana

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Před 29 dny

    Ila ukiangalia vzuri ni wa2 tofaut

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 Před 24 dny

    kwani hakuna watu wanaomfahamu kufanya nao bishara za madafu???au wamefungwa kimya?

  • @FrankMwanyika
    @FrankMwanyika Před 29 dny

    Hata mmi siamini

  • @Heismasai
    @Heismasai Před 29 dny

    Sio yeye!! Ila huyu jamaa ana akili kubwa sana

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo Před 28 dny

    Niwewe acha kutuzuga

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 Před 28 dny

    Hata kama ni usalama, hawezi kusema

  • @DrRodgerlectures
    @DrRodgerlectures Před 29 dny

    Sijui unaona 😂

  • @homeboybeyondtheborders4935

    Ukija bila ya gadi nakugawa bila idadi kwa wastani

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 Před 29 dny

    Ndo huyo huyo muuza madafu

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. Před 25 dny

    Hakuna muuza madafu hapo.... Hiyo sura ni ya muuza madafu?😅😅
    Sura ya kazi na hacheki😅😅

  • @user-ds3os5qv4o
    @user-ds3os5qv4o Před 29 dny

    Sie huyo alie shuka na ndege yeye ni yule alie m beba mwanajeshi mwenzi pale kenye maonyesho

  • @mkutanocarolyne
    @mkutanocarolyne Před 26 dny

    Wakulipe sio kila siku kwa ma camera kisha wasikilipe 😂😂

  • @user-yh8ny1nf3f
    @user-yh8ny1nf3f Před 29 dny +1

    Wangapi wamesikia sijui unaona😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 23 dny

    Hakuna kitu hapa,usalama awafanyi kazi na camera wala picha huyu kutwa yupo kwene camera

  • @user-cc6ix4in5i
    @user-cc6ix4in5i Před 25 dny

    Hizi sisi wa Tanzania sijui tukoje Sasa hata kama ni ndio commando mwenyewe si mnamchoresha Sasa kwani akiwa commando si yupo kwa ajili ya kuilinda nchi yake acheni ushamba kwani huyo ndio commando wa kwanza dunian

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Před 22 dny

      Yaan mm sielew huyu atakuwa komando wa mitandao, komando kila mara kuhojiwa ili iweje sasa

  • @mchagwasolomonitv
    @mchagwasolomonitv Před 28 dny

    mtafuteni komando mwenyewe ili mutoe utata.

    • @petermuganda7322
      @petermuganda7322 Před 24 dny

      Huwezi pata ushirikino huo wakumpata mwenyewe ...ni Ngumu..
      hapo wanatafuta kupotezea kwakuwa alishashtukiwa...kwahiyo litabaki hivyo kuwa tata

  • @alphoncekazimzuri9166
    @alphoncekazimzuri9166 Před 29 dny +1

    Tutaacha lini entertaining upuuzi?? Mnafahamu ethics za komando nyie?? Mpumzisheni huyu jamaa aendelee na shughuli zake.
    Mnachukulia poa sana ukomandoo 😞

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 Před 26 dny

    Nyie wandishi wajinga

  • @FajmaHilali
    @FajmaHilali Před 26 dny

    Huyo ndie komando anachanganya watu

  • @FajmaHilali
    @FajmaHilali Před 26 dny

    Huyo ndie komando anachanganya watu