Video není dostupné.
Omlouváme se.
CARO YANGA ATOA SIRI MAHUSIANO ya HAMISA MOBETTO na AZIZI K ATOA ONYO kali wenye SHOBO na WACHEZAJi
Vložit
- čas přidán 28. 05. 2024
- _________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe CZcams channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Caro yanga nimekuoenda unashsuri vizuri sana, nimekupenda tabia yako, you’re very smart 💪🏽
Sema huwa anatukana sana kwenye comment 😂
Hongera sana dada yangu
Ndugu mtangazaji kwani Aziz na Amisa wakinyanduana kuna shida gani?
My role model sasa nqkupenda Sana Caro❤
nafurahi Sana Kumbe inaitwa, nimekuckia S ana kwa kuipenda Yanga inakupa Raha dada,
Nakukubali sana mdogoangu
Dagaa niceee youuu
Huyu dada nilikua namuelewa vibaya ila kumbe ana akili xana
Nakupenda mdg ang ujui tyu
Upo vzr Sana mpz Naomba Namba yako
Caro nakukubali sana , Nakupenda kama Mwana yanga mwenzangu
Caro samahani sana, naomba namba yako,nimekupenda bure, you are Super woman.❤❤
Safi sana wajina wangu upo vizuri sana 🎉🎉🎉🎉
Nampenda Sana mtangazaji🌹
hongera sana kwa majibu mazur
Her very clever
Namkubali sana uyu dada❤
Caro akili kubwa sana!
Tunaishia kuonana Twitter2 hatimaye nimekusikia live "Congratulations "
Caro una ongea point nzuri sana ❤❤
Nice interesting 🔥🔥🔥💕💞😍👌
Nakupenda sn mamy
Damu zimegandana sanaaaa iyo imeendaa🎉🎉
Hi my dear Caro hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Hongera dada Kuna baazi ya mashabiki wanawaita wadada chaboll waache Mara moja Sio Tabia zuri
No comment caro🔰💪
She very smart gul
Akilnyingi sana mwanchi
Usikute hata hamisa maskini Hana muda wa kutembeya na mwamba maskini Ila akili zetu zinatulisha dhambi
Umeona eeeh??? Dhana mbaya. Ht Mungu amekataza kumdhania mwenzako vibaya. Km huna hakika.
KIBIBI ..IOVE YOU SO MUCH
WELL DONE
Hakuna ukweli wwt kwenye maelezo.ya huyu Dada,Saikolojia inazungumza yenyewe...
Yes true
Uko poaa sister ❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Ana akili sanaa
Mwenyezi Mungu akupiganie ktk ahadi uloweka ya kuwa mwaminifu kimaadili🎉🎉🎉❤❤❤
Unaongea vizuri sana
Unawezaje kutuhakikishaia kuwa ni best friends tu?
💚💛💚💛💚
Heshima Kwako unajiekewa sana
Nimekuona karlo
Deus te abençoe, pelo conselho.🇲🇿
Yes caro hii ndiyo timu ya ukweee siyo ya Hawa madunduka mputempute
Ndani kipensi 😂😂😂
uweivyoivyo uwenamusimamo
Nimekuelewa sana sister hata mmi nilikua na mashaka na WWE ila Leo nimekuelewa
Acha uongo wedada watu wanatongoza ad Jini sembuse wewe kwana unakunya moto.
Naomba namba yako caro
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💛💛
+254 muvh❤
Unaujua mpila
Wadada mna sili nyie🤗🤗🤗🤗🤗
Kwa Hilo sura la kiume akutongoze nani
Mbona wewe una sura ya mama
Ndio M/Mungu kamuumba kama ww wamuona wakiume sisi twamuona wa kike mxiiuuu😂
Ww mbona una sura kama uchi wa mama ako mzazi 😂😂😂
Noo
Simba 3:12
wewe ndanda unekana unashitambuwa sana
Sura yake tu kwa sisi tulosomea quba ni muongo huyo amisa chakula y viwani na yy pia chakula
Madanga zee hili halijaolewa koo!
Unayemhoji huyo mwambie sio mpila....mpira. tena yeye ni mtangazaji aibu wakenya hapa Mombasa wanatucheka
WaTz wanajitweza sana siku hizi kwa kubananga Kiswahili. Sijui tulikosea wapi 😢
We acha tuu ni aibu kubwa mnoo 😢😢😢😢
@@MiriamAbdallah makosa ni anayemhoji angezima video akamwambia atamke R...MPIRA. Kisha akaendelea
Muongo huyo alikuwa simb na alivaa,jez,ya simba muongo hyo anaangalia maokoto
Aisee kumbe wewe dada unajitambua
Huyu dada anajitambua
Uto awajui kubrandi watu wao hy adi aje kufikia kay mziwanda Aggy
babu hao ma tom boi usiwafananishe na caro
Hao ni watoto wa caro yaan Kay na Aggy kwa Caro mbingu na ardhi
Namkubl san huyu mdada
My role model sasa nqkupenda Sana Caro❤