Siku yakwanza kukusikiliza ndio sikuniliyo badilisha maisha yangu japo bado nipo kwenyekujitafuta ila umenibadilisha xan adi mwanangu nimempa jina lako
Mimi ninaamini wew unatumika kama kinywa Cha Mungu ktk kututoa ukungu ktk maisha mom binafsi najifuilnza Sana kupitia wew.. Ila tatizo umezidi kuchanganya kingereza kwenye mafundisho yako wakati wengi tunaojifunza kupitia wew hatujui kingereza tumia kiswahili tukuelewe viziri ndugu
Kaka Joel mimi naishi Dar ....ninatamani sana kukuona au kupata maelekezo fulani kutoka kwako ...naomba msaada kaka nawezaje kukuona hata kwa dakika 10 tu
Elim yako na uelewa wako katika kufafanua mambo mbali mbali umenisaidia sana umekuwa ukinipa mwanga hivyo kuwa na mtu kama wewe ni baraka kwenye maisha yetu wale ambao tunakufuatilia…! 🙏ahsante sana kwa kutusaidia kwa jins ambavyo mungu kakupatia maarifa hayo..🫡nanauka wewe ni mtu bora na mwenye uwezo mkubwa sana katika kufikisha ujumbe sahahi… safi sana na nashukuru sana
Mimi ni mtu ambae napenda sana kujifunza na ukwel ni kwamba Joel Nanauka ni the best speaker na ni mtu anaeonekana kuwa mtu bora ni kwa sabab ni mtu asiyechoka kujifunza zaidi kila siku na hii ndio real meaning ya neno msomi . Be blessed brother Joel Nanauka
Siku yangu imekuwa njema sana , mungu akubariki kaka Joel.. nakupenda adi mungu anajua... Unanisaidia sana,.. ila Kuna tabia ninayo ambayo siiipenda ninataka kuacha nifanye Nini jamni😢
Asante sana Eline, nashukuru. Kuna kitabu kinaitwa Sayansi ya Tabia nimeeleza kwa mapana, Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda. Kitafute bookshop kinapatikana, mawasiliano 0762 31 2171
Bro joel nanauka umechangiya kwa 100% kubadili maisha na fomla nzima ya maisha yangu na shukuru sana kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kuandaa hizi content na vitabu vyako vyenye Quality ya juu vinavyo nifanya niwe imara kwenye hatua za kukamilisha ndoto yangu so thank you bro. (If this knowledge I have, if I manage to penetrate and reach even a quarter of Africans, I am sure we will become strong nations or Africa very strong economically. See you at the top my brother.
All is mind,,,,,,, What you think you become What you feel you attract What you imagine you create Nashukuru mungu nimejua ukweli wa maisha bado mdogo Wengi wetu tunaishi maisha ambayo hatuyapendi bila kutambua sisi ndio wahusika wala sio mungu😂
Ubarikiwe This is real Let us impact our kids Positive things ata watavyoenda uko nje ile Positive mind iko strong Realy good and bad this mostly start in the Family Family its big industry 👏👏👏 Mungu azid kukuinua
Asante sana kaka joel kwa mafundisho , mimi kuna kitu ambacho kinanisumbuaga nikiamua kukiamini sio raisi mimi kubadilika Sasa inakuwa shida kwa watu wanao nizunguuka wanakuwa wanani shambulia kwamba nina jifanyaga nina imani sana ,ni fanyeje kwa kuwarizisha watu ao wanao ninzunguuka ao marafiki zangu na ndugu zangu
Mimi ni mschana wa miaka 22 nilipat matatzo sana katika masomo yangu hadi nikakata tamaa na kuamua kukaa nyumbani kwani nilikuwa nafeli sana…baada ya hapo nikaja kufuatilia masomo yako na nikasoma vitabu vinne miongoni mwa hvo ni #timiza malengo yako# ni kapata nguvu ya kurudi shule nikarisit mtihan baada ya kufeli mara 2 nimefaulu na nimepta division 2..na nimechaguliwa kujiunga na chuo coz ya uphamasia…Asante sana kaka Joel
Samhan kidg kiongozi jaribu kufafanua& kuelezea kiswahili zaidi tupate kuelewa maan wengn elimu zetu ni za chini na tunaitaji mafundisho yako zaidi Asante
Kaka Joel wewe umekuwa mjibu maswali yangu .. Last month.. Nilikuwa nawaza mawazo negative juu ya biashara yangu Kuhsu maeneo nilipo. Lakini nmepata wazo hapa..nifikili namna ya kufanikiwa hapa
Jaman mm nilisha ambiwa na baba wa watoto wangu kuwa siwezi biashara, na maneno ya kunivunja moyo, lkn nilipo amua kuachana nae nimefungua biashara, nasimamia mwenyewe na nimeweza kufanya mambo mengi kweli utakacho semeshwa mara kwa mara ubongo unaamin hivyo lkn kumbe sivyo see you at the top.
Siku yakwanza kukusikiliza ndio sikuniliyo badilisha maisha yangu japo bado nipo kwenyekujitafuta ila umenibadilisha xan adi mwanangu nimempa jina lako
Ameen Ameen, nashukuru kusikia hivyo
Ukiwa bado unijitafuta bado mindset ina wasi wasi
even me my son anaitwa joel na nilimpa because of him! Amenifanya niwe Best Father to my family... MUNGU AMUWEKE OUR MENTOR
@@jovinbyserjb3532 okay kiongozi apo unanisaidiaje mdau
Hata Mimi ni baba Joe kwasababu ya huyu mwamba
Mimi ninaamini wew unatumika kama kinywa Cha Mungu ktk kututoa ukungu ktk maisha mom binafsi najifuilnza Sana kupitia wew.. Ila tatizo umezidi kuchanganya kingereza kwenye mafundisho yako wakati wengi tunaojifunza kupitia wew hatujui kingereza tumia kiswahili tukuelewe viziri ndugu
Haya ni madini ya dhahabu Barikiwa sana Joel Sasa nao ngea na wa toto wangu maneno ya kuwa jenga
We love you brother
Daaah sijakosea kutumia muda wangu asubuhi hii kumsikiliza brother Joel
Mungu akubariki sana
Nashukuru sana sanaa
Kaka Joel mimi naishi Dar ....ninatamani sana kukuona au kupata maelekezo fulani kutoka kwako ...naomba msaada kaka nawezaje kukuona hata kwa dakika 10 tu
Naumia sanaa kuona Channel kama hizi hazina wafuatiaji wengi kama kwenye Channels ambazo hazina maana yeyote katika maisha ya mtu😢😢😢😢😢
Elim yako na uelewa wako katika kufafanua mambo mbali mbali umenisaidia sana umekuwa ukinipa mwanga hivyo kuwa na mtu kama wewe ni baraka kwenye maisha yetu wale ambao tunakufuatilia…! 🙏ahsante sana kwa kutusaidia kwa jins ambavyo mungu kakupatia maarifa hayo..🫡nanauka wewe ni mtu bora na mwenye uwezo mkubwa sana katika kufikisha ujumbe sahahi… safi sana na nashukuru sana
Ameen, Ahsante sana kwa maneno haya mazito 🙏🏼🙏🏼
Mungu akutunze sana
You are My Mentor ....video zako ni ushaur tosha kwangu katika kila hatua ya Maisha yangu be blessed forever
My Mentor 🎉🎉✍️🙏🙏🙏
Naweza nikasema wewe Ni zaidi ya life coach mana kunavitu vingi Sana huwa najifunza kwako navinanipa kuendelea sana
Asante sana mwalimu
Nayapenda sana mafundisho yako MUNGU akubariki sana uendelee kutufundisha MUNGU akupe maisha marefu nafurahia uwepo wako duniani
Mimi ni mtu ambae napenda sana kujifunza na ukwel ni kwamba Joel Nanauka ni the best speaker na ni mtu anaeonekana kuwa mtu bora ni kwa sabab ni mtu asiyechoka kujifunza zaidi kila siku na hii ndio real meaning ya neno msomi .
Be blessed brother Joel Nanauka
Wewe ni genius, nataman niwe kama wewe jmn
Ahsante
Allah akulipe kheri
Ongera Joel Mimi nikiweka clip zako watot wangu nawasogeza wasikilize iwasaidie angalau badae nikiwa nipo au sipo,
Kaka naomba kukuona niko dar
Ahsante brother
Ubarikiwe kaka joele
🎉🎉Kaka ubarikiwe sana🎉🎉❤
Amen Amen Ameen
SoMo zuri,Ila kinanda kipunguzwe😊
Daah, Mungu akubariki sana mkuu kwa mafundisho haya mazuri sana ❤
Siku yangu imekuwa njema sana , mungu akubariki kaka Joel.. nakupenda adi mungu anajua...
Unanisaidia sana,.. ila Kuna tabia ninayo ambayo siiipenda ninataka kuacha nifanye Nini jamni😢
Asante sana Eline, nashukuru. Kuna kitabu kinaitwa Sayansi ya Tabia nimeeleza kwa mapana, Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda. Kitafute bookshop kinapatikana, mawasiliano 0762 31 2171
nanauka ni mtu makini sana
❤❤❤ ubarikiwe😊
✊✊✊💯Nanauka
Mungu akupe nguvu sana... Unatupa madini amazing
Ameen Ameen
Wa kwanza kukomment leo😂😂
Hongera sana sana
Kazi yako ni nzuri sana Mungo akubariki.
Ameen Ameen
Bro joel nanauka umechangiya kwa 100% kubadili maisha na fomla nzima ya maisha yangu na shukuru sana kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kuandaa hizi content na vitabu vyako vyenye Quality ya juu vinavyo nifanya niwe imara kwenye hatua za kukamilisha ndoto yangu so thank you bro. (If this knowledge I have, if I manage to penetrate and reach even a quarter of Africans, I am sure we will become strong nations or Africa very strong economically. See you at the top my brother.
Kama ni kiingereza ongea kingereza na kama ni kiswahili ongea kiswahili sio kuchanganya rugha kuna wengine unatuchanganya.
Asante sana kaka.Mungu akuinue
Happy to meet you today joel,from morning up to 1 pm I have been going through your videos and in need you have bring big positive impact in my life
All is mind,,,,,,,
What you think you become
What you feel you attract
What you imagine you create
Nashukuru mungu nimejua ukweli wa maisha bado mdogo
Wengi wetu tunaishi maisha ambayo hatuyapendi bila kutambua sisi ndio wahusika wala sio mungu😂
Very Trueee
That's good mzee Nanauka i like what you doing ❤
SoMo zuri hakka ✨💪💪
Bro congratulations 🎉🎉🎉 be blessed 🙏🙏🙏
Be blessed brother ur genius🙌
Wewe ni mwalimu Bora nataman niwe Kama wewe brother
Asateee bro❤❤❤❤
🙏🙏🙏kwa somo nzr limenisaidi sn
Safi sanaa
THANKS ALOT BRO JOEL
Ahsante, Barikiwa
Joel Nanauka mungu wa mbinguni akulinde sana
Ameen Ameen, endeleea kuniombea
I've added something in my mind be blessed myself brother Joel 🙏
Hasante kwa somo zuri nimejifunza sana nanitatendea kazi
I appreciate, I should build my mind set
God bless you brother for a good work to us
Ubarikiwe sana mtumishi
Hapa nisomo nzuri sana mienzi mitatu utakuwa ushashikanisha vizuri saa
Hongera sana kaka yangu, Mungu azidi kukuongoza. Fr Joseph Nkusi
Nashukuru sana sana
Shukrani sanaaa umebadilisha maisha yangu kiasi kiasi kikubwa sanaaaa❤❤❤❤
God bless you
Gratitude for your good lesson I learned how Icwn create My mind set thanks Brother J.. Nanaula since you provides good fertilizer to Us
❤️ from MALAWI 🇲🇼 home 🇧🇮 Burundi
Ubarikiwe This is real
Let us impact our kids Positive things ata watavyoenda uko nje ile Positive mind iko strong
Realy good and bad this mostly start in the Family
Family its big industry
👏👏👏 Mungu azid kukuinua
Asante Sana kwaushauri Mkubwa
You are my Mentor and My role model🙏🙏.. Nasaidika sana mafundisho yako. Yesu akutunze
Ameen Ameen
Asante sana kaka joel kwa mafundisho ,
mimi kuna kitu ambacho kinanisumbuaga nikiamua kukiamini sio raisi mimi kubadilika
Sasa inakuwa shida kwa watu wanao nizunguuka wanakuwa wanani shambulia kwamba nina jifanyaga nina imani sana ,ni fanyeje kwa kuwarizisha watu ao wanao ninzunguuka ao marafiki zangu na ndugu zangu
Napia naitaji sana kupata vitabu vya aina tofauti tofauti kwa kupata elimu zaidi
HILA NATOKEA DALLAS TEXAS MAREKANI
ubarikiwe
thanks Joel
Very powerful
Mimi ni mschana wa miaka 22 nilipat matatzo sana katika masomo yangu hadi nikakata tamaa na kuamua kukaa nyumbani kwani nilikuwa nafeli sana…baada ya hapo nikaja kufuatilia masomo yako na nikasoma vitabu vinne miongoni mwa hvo ni #timiza malengo yako# ni kapata nguvu ya kurudi shule nikarisit mtihan baada ya kufeli mara 2 nimefaulu na nimepta division 2..na nimechaguliwa kujiunga na chuo coz ya uphamasia…Asante sana kaka Joel
Hongera Sana Dada.
Binafsi Nayafurahia Sana Mafanikio Yako.
Mungu akusaidie
@@WisdomForasante sana
@@happynescostat7420amyn
Thankx
Samhan kidg kiongozi jaribu kufafanua& kuelezea kiswahili zaidi tupate kuelewa maan wengn elimu zetu ni za chini na tunaitaji mafundisho yako zaidi Asante
Napenda Sana kukufatilia Kaka nanauka,,lakini jitahidi kua unatumia kiswahili zaidi,wengi tutakuelewa zaidi natutafaidika namengi,
Daaah mlemlee
Joel na mm reply nakubali elimu yako na inaaminika
Perfect speech
Asantee sana,,,
Mbegu unazopandaa kwa vichwa vyetu ni ya MILELE Kaka excellent good speech
Ahsante sanaa
Genius
God bless you,, kaka your words are so wise
Ahsante sana sana
Amina
I like it
Thank you so much
Asante sana
Acha tu nikupe maua yako, sauti inasikika vizuri sana
Thank you so Much
Be blessed mr
🎉🎉
ASANTE SANA
Maneno yote yametimia tubarikiwe sote wenye kujifunza na mafunzo ya kaka joel
This is it
Je nikitaka kuacha tabia ambayo ninayo na siipendi hiyo tabia unafanyaje
Asante sana kaka Joel
Karibu sana sana
Watching from Namibia this time, congulatulations for your lesson me i use to call you the Dr of mind set formation!!
Thank you so much kwa kuendelea kufuatilia
True
Amen
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Thank you
Karibj
🙏
You are a treasure of the nation
Ameen, remember me in your prayers
❤❤
Emu elewen vitu vingine aviongeleki kwa lukha moj lazima uchanganye so kam uwelew lakn kam kinaongelewa kitu sahihi utapat isia tuu
Statement ya mwalimu wa maths 😢😢
Kaka Joel wewe umekuwa mjibu maswali yangu ..
Last month..
Nilikuwa nawaza mawazo negative juu ya biashara yangu
Kuhsu maeneo nilipo. Lakini nmepata wazo hapa..nifikili namna ya kufanikiwa hapa
Hongera sana, namshukuru Mungu.
Naomba soft copy za vitabu vyako...core genius and Timiza malengo..no ya whatsapp..naktaftaga lakini sms hujibu najuwa unamambo meng
😮. 😅v min
Jaman mm nilisha ambiwa na baba wa watoto wangu kuwa siwezi biashara, na maneno ya kunivunja moyo, lkn nilipo amua kuachana nae nimefungua biashara, nasimamia mwenyewe na nimeweza kufanya mambo mengi kweli utakacho semeshwa mara kwa mara ubongo unaamin hivyo lkn kumbe sivyo see you at the top.
great but use simple language ili kuwafikia wengi
Nini cha kufanya sasa kama boss wako ni mtu wa kukuvunja moyo na kukukatisha tamaa??
Tafuta video yangu ya MABOSI WAKOROFI itakusaidia, nimeeleza kila aina ya bosi na namna ya kudeal naye