CHEKECHE: Kukutana kwa Rais Kim Jong Un na Putin ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 09. 2023
  • Macho na masikio ya mataifa ya Magharibi yalikuwa mjini Vladivostok nchini Urusi ambako mwenyeji Rais Vladimir Putin alimkaribisha mgeni wake kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
    Sehemu kubwa ya mazungumzo yao hayajawekwa wazi, hali ambayo imeibua mitazamo mbalimbali na ubashiri wa masuala ambayo pengine ni ya msingi yamezungumzwa na wawili hao.
    Wasiwasi mkubwa ni hisia za mazungumzo ya siri kwenye suala la silaha ambazo pengine zikatumika kwenye vita vya Ukraine, hilo linawezekana? Na je, kukutana kwa wawili hao ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

Komentáře • 124

  • @GeorgeUsele-kr6qk

    Urusi piga mbwa hao😂😂😂😂

  • @deusisindwa616

    Uko vzr dhabit huwa napenda kukufatilia

  • @OmarOmar-vf9dv

    Asanten sanaa kikubwa mchambuzi kwa asikimia kubwa amejitahid sanaa kutumia lugha ya taifa pasi na kuweka misamiati mingi yakigeni. Natumai wengi waliofatilia wamepata kuelewa zaid

  • @othumanomari1589

    Nitafurai sana marecan akipigwa kwani simpendi sana anaizurumu Africa bado anatuuria watuwetu kama Gaddafi sadamu husein😢😢

  • @jonfredkewe3451

    Wachambuzi mpo vizuri mkiwa hivo mtawasaidia Watanzania

  • @yassinmashautymashaury2734

    Upo vzury mchambuzi BW. Thabiti🎉🎉🎉🤝

  • @kenochieng3098
    @kenochieng3098 Před 14 dny +1

    Uko vizuri sana

  • @user-co7jf2zo2m

    Jama yuko vizuri sana

  • @chidiomari.65

    Thabith mrangi anachambua vzr sana Maua yake hayo🎉🤝🙌🇫🇮

  • @kanobayirelambert8400

    Pamoja sana

  • @msangodiesel3132

    Ni hatari mlangi salute kwako

  • @Mosessssss

    Mchambuzi

  • @farusaimon3490

    Hongera sana AZAM TV kwa kimtambua huyu Mwamba. Good job!

  • @braystuskibassa3842

    Hakuna tishio maana wao wameongea na kuungana na mataifa zaidi hamsini kupeleke siraha Ukraine na majeshi kwanini mataifa mengine wasimuunge mkono mrusi Marekani ni waoga kuingia vitani direct bali wanatumia njia za mkato kuibua migogoro ili wauze siraha, madawa, n.k kwahiyo wanaona endapo Urusi itakuwa imara sera zao zitakuwa si kitu, maberi hili swala kwao pasua kichwa ila muda utazungumza

  • @evaristbamfu7149

    Huyu jamaa ni mchambuzi kweli kweli. Lugha simple, no mbwembwe. Big up brother

  • @saidymwajeka8612

    Exarent very geneus boy🤝🇿🇦

  • @emmanuelenock6310

    Thabit mrangi ni zaidi ya mchambuziiiiiiiii.....brilliant 🎉

  • @masungadutta3823

    Huyu jamaa yuko vizuri sana kwenye uchambuzi

  • @ibba8082

    Pamoja kutoka FIZI D R Congo🎉

  • @finiasfidelis1475

    Kongore sana kwa Thabiti Mrangi mchambuzi wa mambo ya kimataifa na mikakati