Mambo Ya Kufanya Kabla Ya Saa Mbili Asubuhi - Joel Nanauka

SdĂ­let
VloĆŸit
  • čas pƙidĂĄn 4. 02. 2019
  • đŸ”„đŸ”„đŸ”„ Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co đŸ”„đŸ”„đŸ”„

Komentáƙe • 257

  • @rosadatheodothburetha6334
    @rosadatheodothburetha6334 Pƙed 5 lety +9

    Sijawahi kujuta kufuatilia vipindi vyako tangu siku ya kwanza kukujua na ulichokiacha kwenye akili yangu. "IT'S NOT ABOUT POSITION BUT VISION."🙌👏👏

  • @DanielKabenga-oscar
    @DanielKabenga-oscar Pƙed 8 měsĂ­ci +1

    Hauko mbali na ufalme wa Mungu bro,soma (Yohana 17:3)

  • @joharijuma8667
    @joharijuma8667 Pƙed 5 lety +7

    Kwakweli bila kutenga muda wa kuzungumza na Mungu utaishi maisha ya kuchanganikiwa sana nguvu ya ndani ni kila kitu Asante kaka

  • @festorymlekwas4050
    @festorymlekwas4050 Pƙed 5 lety +23

    Asnte sana hiki ni zaidi ya chakula ,Mungu akupe maisha marefu ilituweze kuvuna yaliyomema kutoka kwako,devotional

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Pƙed 5 lety +12

    Nimependa hiyo ya kujiconnect na MUNGU, NA kufanya vitu vya msingi, safi sana

  • @sarajngonyani
    @sarajngonyani Pƙed 4 lety +3

    "Mwili wa marehemu, marehemu mwenyewe hayupo" nimeipenda hii, asante mentor

  • @MwanahijaAlmasi
    @MwanahijaAlmasi Pƙed 2 měsĂ­ci

    Asante sana unanifanya nijione nina thamani sana katika hii dunia mola akupe maisha marefu

  • @frankstarstz470
    @frankstarstz470 Pƙed 2 měsĂ­ci

    Ahsante brother kwa elimu nzuri.. nitafanyia kaz hili. Ubarikiwe sana

  • @arafatidua2212
    @arafatidua2212 Pƙed 5 lety +1

    Asante sana kka

  • @emmanuelwilliam2084
    @emmanuelwilliam2084 Pƙed 2 lety

    Namshukul mungu kwakukuleta dunian yaan nakula chakula cha ubongo

  • @successmbizo3209
    @successmbizo3209 Pƙed 5 lety +11

    1.Spiritual Capital
    2.Revise Major Goals
    3.Read and feed your mind
    4.Choose Long term Goals
    5.Delegate tasks
    6.Map your day

  • @wilhardandaisaba4963
    @wilhardandaisaba4963 Pƙed 4 lety +8

    Having you in Tanzania is a blessing in itself

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  Pƙed 4 lety +3

      wilharda ndaisaba bless youđŸ™đŸ»

    • @daudijulius9460
      @daudijulius9460 Pƙed 3 lety +1

      @@joelnanauka very good brother kwa malifa unayo tupatia

    • @florabenjamin6794
      @florabenjamin6794 Pƙed 2 lety

      Aseee ume nifanya kujiona nim2 muhim sana katika dunia

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 Pƙed rokem

    Asante sana kitu kimenipanione mafanikio n ktk kupanga muda w saambili kipi nitafanua nakuaruhusu vitu vingine kuwapa wengine wafannye

  • @yasiningaoma4538
    @yasiningaoma4538 Pƙed 4 lety +1

    Umenijenga kwa kwel

  • @eveswai5501
    @eveswai5501 Pƙed 3 lety

    Shukrani sana Joel.....kuhusu ratiba naona mafanikio makubwa

  • @leoncealex7343
    @leoncealex7343 Pƙed rokem

    Kaka Joel , Hakika wewe ni mtaaramu mungu azidi kukupa akiri Zaid na zadi utuletee mengi mazuri, Asante, meng umenifundisha mpaka nimejikuta hata kwenye maongezi nadhibitisha jambo kwa ushaidi wa elimu unayo itoa

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 Pƙed 5 lety +1

    👏👏👏👏👏nilipitiaga wakati mgumu sana mpaka nikaisi dunia inanieremea lakini tangu niaze maombi na mungu naisi sasa napata majibu mungu akubali kaka kwa mafundisho uzidi kutuelimisha 🙏🙏🙏

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 Pƙed rokem

    Asante sana kaka siku zote wewe ndio hamasa yangu

  • @chikoernest1687
    @chikoernest1687 Pƙed 3 lety

    Nimependa zaid swala la kujikumbusha malengo yetu kila siku.Kiukwel kila kitu unakifanya kwa kuwa na motivation hata kujikumbusha malengo yako unajipa hamasa wew mwenyew

  • @athanaslusoko3410
    @athanaslusoko3410 Pƙed 5 lety +1

    asante sana kaka Joel mungu akupe maisha malef sana ili tuweze kuinua taifa letu na dunia kwa ujumla

  • @modestaflowin-iz9ok
    @modestaflowin-iz9ok Pƙed rokem

    Asante sana mr joel nanauka

  • @zawadimbwambo-gw8ss
    @zawadimbwambo-gw8ss Pƙed rokem

    Goood nimejifunza jamboa la msingi saaana

  • @shijanathani2209
    @shijanathani2209 Pƙed 4 lety +1

    Brother Joel uko vizuri sana

  • @user-os9nb8ub6k
    @user-os9nb8ub6k Pƙed rokem

    Asante umenip majivuno sana na naiman nitafanikiwa sana

  • @elfridajraphael2611
    @elfridajraphael2611 Pƙed 5 lety +3

    Asante kaka kwa nondo nzuri... from today naanza kufanyia kazi especially spiritual na map my day, pia ku delegate tasks from my home girls to office...be blessed brother

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 Pƙed 5 lety +1

    Jo nimependa hili somo maana umeanza kutueleza mambo ya mungu. Asante kaka. Hatuwez fanikiwa bila mungu

  • @sospeteranderson7458
    @sospeteranderson7458 Pƙed 5 lety +2

    My real real real life COACH,,, i always appreciate you worthwhile brother of mine

  • @JacklineChristopher-bg8ho
    @JacklineChristopher-bg8ho Pƙed 11 měsĂ­ci

    Asante kaka mungu akubariki sana video zako zinafundisha na kutujenga mungu aendelee kukuinua

  • @aloyceconstantino9923
    @aloyceconstantino9923 Pƙed 5 lety +1

    ubarikiwe brother

  • @paulogodfrdi7142
    @paulogodfrdi7142 Pƙed 2 lety

    Thaks god bleas u for you are work is better to teach othes in odear to buiding good society

  • @gayletete5769
    @gayletete5769 Pƙed 5 lety +1

    Asante kaka kwa ushauri

  • @shukranjs4307
    @shukranjs4307 Pƙed 5 lety +1

    Barikiwa mnoo kakaangu

  • @abubakarjuma2711
    @abubakarjuma2711 Pƙed rokem

    Nzur sanaa mwalimu

  • @sandewakachenje9536
    @sandewakachenje9536 Pƙed rokem

    Asante mungu azidi kutulinda kila wakati

  • @hassanmsuya9057
    @hassanmsuya9057 Pƙed 5 lety +2

    Asante kaka Joel mungu akubariki kaka

  • @johnjacob61
    @johnjacob61 Pƙed 5 lety

    Broo kiukweli unanibariki sana kwa jinsi unavyotumia karama yako kwa ajili ya watu na vijana ili kupata mwanga ni nn cha kufanya katika kuyaishi malengo na ndoto.
    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana Joel

  • @maggiepeter8936
    @maggiepeter8936 Pƙed 5 lety

    Asante sna sana...darasa huru hili

  • @neemaexaud8105
    @neemaexaud8105 Pƙed rokem

    Nashukurusana kutupa mwangaza kwenye maisha haya. Ila mimi nakumbwa na tatizo moja la kushindwa kusimamia ratiba zangu na mambo niliyo panga kuyafanya kwasiku kiasi kwamba nikifika jioni unakuta nimefanya asilimia ndogo sana ya niliyo yahitaji kufanya kwasiku na najikuta nimepoteza muda mwingi sana.

  • @judemazho9612
    @judemazho9612 Pƙed 5 lety +6

    I do morning devotion for couple days and then I would stop. It's a on and off thing for me. I desire to be consistent if I could!

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Pƙed rokem

    BARIKIWA, MUNGU Akuinue zaidi

  • @judithmbwilo7470
    @judithmbwilo7470 Pƙed 5 lety +1

    Asante sana!

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 Pƙed 2 lety +3

    Ayubu 7:14-16,33:14-16,38:12-13 Kutoka 23:20-27, Zaburi 118:1-29,23:1-6 & Ufunuo 12:7-16.EMMANUEL , EL-SHADDAI, JEHOVA JIRE, EL-OHIM, EL-ROI, EL-GIBBOR, LION OF YUDAH.JOEL NAKUPENDA SANA Zawadi yako Ni (WAFILIPI 4:1-23, ISAYA 45:1-25.Halleluyah

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa Pƙed 5 lety

    Asante sana kwa kunifunza hayo mambo niko tayari kwenye mazowezi

  • @lamackmwalwanda1004
    @lamackmwalwanda1004 Pƙed rokem

    Nmeipenda sana hatua ya revise your major goal and feed your mind hiyoo itan saidia sana kutambua fursa Asante kaka joel kwa darasa lako

  • @EnockMichael-ip1kb
    @EnockMichael-ip1kb Pƙed 3 měsĂ­ci

    Barkiwa sana rafk

  • @alquinmadoro6090
    @alquinmadoro6090 Pƙed 5 lety +1

    Ahsante sana brother kwa kuendelea kutupa njia za kupambna kufikia malengo ,Mungu akubariki

  • @RamadhanMtaki-sw1gx
    @RamadhanMtaki-sw1gx Pƙed 9 měsĂ­ci

    Asante Sana kaka Kwa somo lako zuri

  • @davierobert5563
    @davierobert5563 Pƙed 5 lety +1

    Ameen jn umenipa somo zuri sana God bless you Joel

  • @daudisakala8649
    @daudisakala8649 Pƙed 3 lety

    Asante Sana kaka Joel kwa mafundisho

  • @user-xt5vs7cm2k
    @user-xt5vs7cm2k Pƙed 5 měsĂ­ci

    Kaka J tarent uriyo nayo 💝

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 Pƙed rokem +2

    Hii video ni ya miaka minne iliyopita lakini inaishi kama vile ndiyo kwanza imetolewa leo hii asubuhi ya tarehe 03 April 2023.đŸ˜Šâ€

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 Pƙed 3 lety

    Ahsante sana brother Joel mm nashindwa ku-map my day

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Pƙed rokem +1

    BARIKIWA MR.JOEL

  • @noelsiay6062
    @noelsiay6062 Pƙed 5 lety +6

    Nataman kusikia unaongelea DAY ROAD MAP inconection with PRIORITY and Its Logic on arrangement.

  • @gabinusraymond3287
    @gabinusraymond3287 Pƙed 2 lety

    Kaka mi nakuelewa Sana mungu azidi kukuongoza na kukubariki utufundishe zaidi

  • @wahomemartin
    @wahomemartin Pƙed 3 lety

    Maarifa yaliyoandaliwa kwenye sauti zuri tu. !

  • @ndeke_154
    @ndeke_154 Pƙed 5 lety +5

    Waking up to this,thank you my brother.#seeyouatthetop

  • @zainashaha2935
    @zainashaha2935 Pƙed 4 lety

    Kujiunganisha na mungu

  • @dominamaganga164
    @dominamaganga164 Pƙed 4 lety

    Sawasawa thanks

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 Pƙed 5 lety +4

    Always you Make Me more Better, Be Blessed Brother

  • @JulieAmos-to5po
    @JulieAmos-to5po Pƙed 21 dnem

    Umeidanya akili yangu kuwa mpya thanks

  • @beatricemkilya1296
    @beatricemkilya1296 Pƙed rokem

    Asante kaka ubarikiwe sana somo zuri mno

  • @sikudhankhamis8402
    @sikudhankhamis8402 Pƙed rokem

    Asante saana

  • @faustaraymond3303
    @faustaraymond3303 Pƙed 5 lety +1

    Asante kaka joel

  • @nasrakassimusuleiman689
    @nasrakassimusuleiman689 Pƙed 8 měsĂ­ci

    Asante sana aisée.

  • @peterdani6244
    @peterdani6244 Pƙed 5 lety

    ubarikiwe sana mwalimu bora

  • @hassanjamal5227
    @hassanjamal5227 Pƙed 2 měsĂ­ci

    Alhamdulillah 🙏

  • @emmyfurenho1663
    @emmyfurenho1663 Pƙed 5 lety +1

    Ubarikiwe xaaaaaan my braza

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 Pƙed 3 lety

    Asante kaka.Mungu akujalie

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 Pƙed 5 lety +2

    mungu aku baliki sana my brother.

  • @ErickChrispin
    @ErickChrispin Pƙed 5 lety +1

    Asante kaka, umenikumbusha kweli.

  • @lameckchahoa3410
    @lameckchahoa3410 Pƙed rokem

    Ahsante Sana Mtu wa Mungu

  • @venisiuslyombo5286
    @venisiuslyombo5286 Pƙed rokem

    Shukran sana kaka tangia nimeanza kukusikiliza kweli naenjoy sana akili yangu inaingia madini mengi

  • @nagunwashadrack7658
    @nagunwashadrack7658 Pƙed 5 lety

    Nimebarikiwa sana leo, somo lipo simple ila lina ujenzi wa kutosha katika ubongo hakika hiki ni chakula cha ubongo chakwanza nishafanya kusali

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 Pƙed 5 lety +1

    Matatu kati ya hayo huwa nafanya uneniongezea 3, thanx a lot

  • @rechowilliam4423
    @rechowilliam4423 Pƙed rokem

    Nashukuru sana umenifungua kabisa

  • @lilianwilfred3271
    @lilianwilfred3271 Pƙed 8 měsĂ­ci

    Asanteni

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 Pƙed 3 lety

    Asante kaka.kwanza ntaanza na Mungu

  • @elizabethmachumu2748
    @elizabethmachumu2748 Pƙed 5 lety

    I love yöu And l aprishate u

  • @amemeabdulrazak1397
    @amemeabdulrazak1397 Pƙed 3 lety

    Leo ntk kuanza kuandika kila nilichokipata kwako na kukifanyia kazi shukran

  • @barakakapele421
    @barakakapele421 Pƙed 5 lety +1

    Asante sana brother

  • @user-ro5qm1lh8g
    @user-ro5qm1lh8g Pƙed 3 měsĂ­ci

    The Miracle Morning ❀

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Pƙed 2 lety

    Be blessed brother

  • @chekabasifuntv6801
    @chekabasifuntv6801 Pƙed 2 lety

    Nzur hii

  • @boscoshama6390
    @boscoshama6390 Pƙed rokem

    Nakukubali broo

  • @Olacity357
    @Olacity357 Pƙed 3 lety

    Asante kwa motivation

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 Pƙed 5 lety +1

    Asante saana kaka

  • @annaglorykabuni6890
    @annaglorykabuni6890 Pƙed 4 lety +1

    May GOD bless u

  • @rabanmpinzile7939
    @rabanmpinzile7939 Pƙed 5 lety +2

    real munch interesting inasaidia sana Chief. God bless you and give more power and strength in educating people.

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 Pƙed 5 lety

    Asante sana kaka Joel Mungu akuongezee maarifa

  • @vailetsamwel523
    @vailetsamwel523 Pƙed 5 lety +1

    Thaxs brother

  • @evastesheni8024
    @evastesheni8024 Pƙed 3 lety

    hongera nakufuatilia na kufanyia kazi ushauri wako

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 Pƙed 5 lety

    Asante sana kwa mafundisho mazuri sana. Mungu akubariki sana kaka Joel.

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 Pƙed 2 lety

    Upo vzr sana kaka,big up Sana,najuta kutokukujua mapema maana nngejuw mbali sana an

  • @mg.general7710
    @mg.general7710 Pƙed 5 lety +1

    nice broooo

  • @vailetmapunda106
    @vailetmapunda106 Pƙed 5 lety +2

    Kaka ww ni đŸ”„đŸ”„đŸ”„

  • @kwawajanjaclassicwear
    @kwawajanjaclassicwear Pƙed 4 lety

    Nimekupata vizuri mkuu somo zuri sana,Ubarikiwe

  • @Woundedbuffalo-sm2zs
    @Woundedbuffalo-sm2zs Pƙed 3 lety

    Like so much your your advise

  • @philipomsesamakalamsesa8380

    Nakuelew bro

  • @jeremiamussa7910
    @jeremiamussa7910 Pƙed 5 lety +1

    Asantee kwa ujumbe mzur Joel