MBINU ZA KUKUTOA KWENYE MADENI HARAKA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 10. 2021
  • Madeni ni kitu kinachoumiza sana kichwa sababu mara zote ukiwa unalipa huwa unajisikia kama hii pesa unaitoa bure. Na wakati mwingine huenda yakakufanya ushindwe kuendelea sababu kila pesa unayopata unataka kulipa madeni ya watu.
    .
    Sasa kitabu cha DENI LA DHAHABU - "Hatua 14 za kulipa madeni na kuanza kuwekeza" kimekuja wakati sahihi na kwa ajili yako. Unaweza kukinunua sasa kwa mwandishi mwenyewe Mr. Gastor Mtweve kupitia namba hizi hapa chini:
    - 0656 066 066
    - 0686 894 900
    BEI: Kwasasa ni 20,000 TZS kwa vile uzinguzi bado, lakini baada ya hapo bei itapanda. Kwahiyo changamka mapema.
    .
    Usiache kuniambia hapo chini kwenye comments nini umepata kwenye somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tusome.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    WHATSAPP GROUP
    Kujiunga na whatsapp group la vitabu (SPN BOOK CLUB)
    Tuma ujumbe kwenye WHATSAPP andika maneno "SPN BOOK CLUB"
    Kwenda whatsapp number: 0759191076
    (Ada: 2,000 TZS kwa wiki)
    .
    KUNUNUA VITABU:
    Tuma ujumbe wenye jina au majina ya vitabu utakavyo na mahali ulipo kwenda namba 0759191076.
    1. Biashara ndani ya ajira (20,000 TZS)
    2. Elimu ya msingi ya fedha (20,000 TZS)
    3. Elimu ya msingi ya biashara (20,000 TZS)
    4. Una nguvu ya kutenda miujiza (20,000 TZS)
    5. Epuka utumwa wa kidigitali (20,000 TZS)
    6. Mfundishe mtoto wako kuishi (30,000 TZS)
    7. Mambo 100 kwa mwanafunzi wa kiafrika (15,000 TZS)
    .
    SUBSCRIBE kwenye channel yetu ya HAMASA YA LEO
    / hamasayaleo
    .
    KWA VOICE-OVER, KUTENGENEZA MATANGAZO YA BIASHARA NA KUTANGAZA BIASHARA YAKO KWENYE CHANNEL HII
    Tuwasiliane hapa:
    0759191076
    ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #Jiondoe #Kwenye #Madeni

Komentáře • 41