FAMILIA YA MBWANA KOMBO YAELEZEA JINSI KIJANA WAO ALIVYOTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA

Sdílet
Vložit

Komentáře • 4

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Před 6 dny

    Chadema hawana uwezo wowote wa kukusaidieni zaid ya kukupotezeeni mda zaid, Nenda kwa mkuu wa mkowa wa mahala husika usikike kero yako hilo ndio agizo la MheRais dkt Samia.CCM Oyeeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @barakamwamasage-hy2jo

    Viongozi wachama toeni tangazo kwa wananchi wawe wapiga picha gari maana wimbi limekuwa kubwa kila mwanchi tukio likitokea wakiulizwa mnaijua namba ya gari wasema hawajui Kuna tatizo kwa wananchi somo la thahadhari hawana

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd Před 7 dny

    Sisi vijana tunaomba tanganzo tusimame barabrani samia ameshindwa kuliongoza taifaletu la TANGANYIKA