Full Interview na Mtoto Itham Mwenye Akili za Ajabu, Anajua Kila Kitu Kuanzia Siasa Mpaka Soka

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 04. 2017
  • #Mtoto #Ithan #Mahafudh, mwenye umri wa miaka miwili, ameendelea kuthibitisha #kipaji kikubwa alichonacho, akiwa na uwezo wa kuwataja karibu marais wa nchi zote duniani ambapo #Pasaka hii, alikuwa kivutio kwenye #event iliyoandaliwa na #Shilawadu ambapo alijibu maswali yote ya papo kwa hapo.
    Mtoto huyo, licha ya uwezo wake wa kutaja majina ya viongozi mbalimbali, anao uwezo mkubwa wa kukariri mambo mengi kwa wakati mmoja. Mtazame zaidi hapa... bit.ly/2oOwCko
    Maajabu mengine ya mtoto Ithan ni kuwa anafahamu kuendesha gari na pia anajua kutumia kompyuta na simu za kisasa yaani smartphones, kwani anao uwezo wa kuingia katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Visit globalpublishers.co.tz/
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1

Komentáře • 437

  • @jbdebbielish8483
    @jbdebbielish8483 Před 6 lety +6

    Genius boy
    God be with you... Kenyans in Saudi Arabia watching
    It's Only God who knows

  • @makamefoum8058
    @makamefoum8058 Před 6 lety +4

    Usimunyeshe kwenye mitandao binadamu wanaweza kumfanyia husda, mungu amlinde na amuongoze zaid

  • @maryamsinganomaryamsingano7938

    masha allah nyie wazee mpelekeni mtoto akahifadhi Q-arun ataishi kwamisingi mema hatamkifa atawaombea duwa jamani tusihangaike na dunia

  • @surayammanga8190
    @surayammanga8190 Před 6 lety +12

    Uwezo wa Mungu mtoto mdogo sana Mungu amtunze

  • @biyambaarakallahufiikshekh9198

    Mfundishe dini uyo asome Qur'an awe mwana wachuon Inshallah

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 Před 7 lety +42

    mashaa Allah mpelekeni shulea ya kiisilam mtoto wenu ili ahi fadhi Qur'an ndio azina ya kweli katka maisha yenu baada ya kufa kwenu

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 Před 7 lety +11

    mashaalah Allah amkuuze zaid ya hapo

  • @shummylove1084
    @shummylove1084 Před 5 lety +2

    Mtoto mzur Maasha Allah gonge liker apa kama angelisoma dini yake akaifadhi Cor an

  • @ayshahamsi2297
    @ayshahamsi2297 Před 6 lety +1

    mashallah mtto huyo inafaa mumpelek n madrassa pia kwan hyo ndo ilmu ya akhera dunian mapita n kwa mungu tutaregea

  • @juliusbryson2599
    @juliusbryson2599 Před 6 lety +11

    mfundishen na dini amjue mungu

  • @vanasae9823
    @vanasae9823 Před 6 lety

    Maashallah! Mola amjalie azamie kwenye swala zima la elimu.Huenda ikawa mtoto huyu akaja kuvumbua makubwa na kutatua matatizo yanayosumbua waja duniani. Inshallah! Pokeeni salam chekwa kutokea Kenya.

  • @asmakhamis498
    @asmakhamis498 Před 7 lety +3

    MASHAALAH MTOTO AITHAM INATAKIWA KWA SASA AANZE MADRASA UMRI UNARUHUSU NA PIA APEKWE CHEKE CHEKEA AKAANZE ELIMU ILI UMRI UNAPOONGEZEKA AHIFADHI VITU HIVYO MUHIMU KWA AJILI YA KUJIANDAA KATIKA MAISHA YAKE HONGERENI WAZAZI KUPATA HUYO MTOTO MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU

  • @esthermutali2563
    @esthermutali2563 Před 7 lety +1

    His memory ability is extremely high. Such personalities excell in programming where remembering queries and commands is among the most important traits which very few humans have.

  • @aishamkongo3333
    @aishamkongo3333 Před 6 lety +5

    Mashaallah

  • @shekilashekilaabudulha5038

    Masha allah ana kipaj kikubwa sana

  • @datiussemju9619
    @datiussemju9619 Před 7 lety +7

    this young boy is really genius according to is doing

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 Před 6 lety +3

    very sharp mind! congrate boy.

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 Před 7 lety +2

    Mimi najua tu president wetu wa kenya na president wa Tz hawa wengi haha sifatilii God bless you more boy

  • @nuurbonzo7330
    @nuurbonzo7330 Před 6 lety +6

    Masha allah

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 Před 6 lety +2

    MashaAllah mungu amuhifadhi ningefurahi umpeleke shule nzuri MashaAllah beautiful family

  • @eddahjulius2646
    @eddahjulius2646 Před 5 lety +1

    Mungu atufichie mtoto mzuri asije akatekwa

  • @_naimali
    @_naimali Před 6 lety +3

    Aaaw, this kid though 💕💗💗💗💗

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 Před 5 lety +1

    mama maaamaaaa uyu mtoto namempenda bure nampenda sana nataman angekuwa wangu

  • @princesspee6004
    @princesspee6004 Před 7 lety +4

    mashallah Itham

  • @jumamrindoko5667
    @jumamrindoko5667 Před 6 lety +1

    vizur san axe ni genius wa ukwel

  • @laurencekb489
    @laurencekb489 Před 6 lety +1

    mtoto mzuri sana mpe kazi afundishe wenzie

  • @maryamomar2002
    @maryamomar2002 Před 6 lety +1

    Mashallah mungu amuhifathi mtoto na namuombea mungu ampe akili zaidi ya kuisoma quran inshallah l

  • @shanieshallow7887
    @shanieshallow7887 Před 6 lety

    I adore him. Gods blessings

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 Před 7 lety +31

    Ningependa sana aijue qur an ili awe katka misingi mizur ya kimaadili na aweze kwendana na maamrisho pamoja na makatazo ya MwenyezMungu.
    Alaf wasimnyoe km walivyofanya hapo..

    • @kudoja_fish_shop9592
      @kudoja_fish_shop9592 Před 7 lety +2

      akiaanza tu kuran atawaza kuchinja chinja tu na kuvaa suruali njiwa

    • @nurdinahmedi8653
      @nurdinahmedi8653 Před 7 lety

      william appolinary : unatombwa braza

    • @jackliineurio8099
      @jackliineurio8099 Před 7 lety +1

      +Nurdin Ahmedi sasa mbona unatoa tusi we jitete bans usitukane

    • @anastaziuscyriacus5415
      @anastaziuscyriacus5415 Před 7 lety +7

      nafikiri ajifunze vitu ambavyo vitamuingizia pesa...Asome elimu itakayo msaidia kuleta maendeleo ktk taifa..Mtoto n Mzalendo Tayari Huyu....Ajifunze Biblia Nafikiri

    • @hasnuhasan9577
      @hasnuhasan9577 Před 7 lety +3

      Anastazius Cyriacus ajifunze bibilia ili aingie motoni

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 Před 7 lety +2

    MashAllah...

  • @muddybmuddyb8165
    @muddybmuddyb8165 Před 5 lety +1

    allah amlinde kwa kipaji
    alichomjalia inashaallah mpeleke madrasa akaijue qu-ran tukufu pa1 na mitume wake

  • @willynkya
    @willynkya Před 7 lety +4

    dogo nomaaa!! as an adult i would just answer 4 of the first questions

  • @rukiaomary4380
    @rukiaomary4380 Před 5 lety +2

    Mashaa Allah ❤️❤️

  • @ayubudamianmwanga4329
    @ayubudamianmwanga4329 Před 6 lety +1

    Dah mtoto katisha balaa hongera nyingi sana kwake

  • @juliaphilemon4347
    @juliaphilemon4347 Před 7 lety +1

    my God bless itham mungu ambele mnonga

    • @saliutz3681
      @saliutz3681 Před 6 lety

      Nais wivu kwa uyu mtoto mana anauwezo wa kuifadh vingi dunian mungu mwepushe na mabaya

  • @mrsmrshassan7473
    @mrsmrshassan7473 Před 7 lety +23

    kubwa sana Mpeleke Madrasa ahifadhishwe Qur an kitabu chake na Muongozo wake , Azidi kuwa Mtoto bora

    • @anastaziuscyriacus5415
      @anastaziuscyriacus5415 Před 7 lety +4

      Apelekwe Best Schools....Ajifunze Kupambanua baya na Jema....Ajue Kutumia mazingira yanayo mzunguka kujiletea maendeleo....Sio kukimbilia Qur an tuu

    • @Ajira_na_biashara
      @Ajira_na_biashara Před 7 lety +1

      Anastazius Cyriacus mbona haupendi watu wakimwambia ajifunze Qur'an????

    • @burbiddy316
      @burbiddy316 Před 6 lety

      tulia kfr ww

    • @burbiddy316
      @burbiddy316 Před 6 lety +1

      qur-an ni bora

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Před 3 lety

      Wewe muhaya hawezi kujitokeaza mzamini, peleka shule.

  • @scottsanga557
    @scottsanga557 Před 5 lety +1

    This is so amazing ,mm nawajua mawaziri lakini sijui kazizao,jamani heeeee uyo mtoto anifundishe mim jamaniiii.

  • @nuruwilson9081
    @nuruwilson9081 Před 3 lety

    Bwana ndiye mchungaji wake,hakika
    wema na fadhili za Bwana zitamfuata siku zote za maisha yake
    atakuwa salama kwa jina la Yesu.

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 Před 2 lety

    Maashaallaah Mimi mwenye tuu sinamoja Wala mbir hahaha mungu amuongoze kipaji chake kikue

  • @thadeuskisaka4804
    @thadeuskisaka4804 Před 5 lety +1

    yk vizuri

  • @mwangazagrace7976
    @mwangazagrace7976 Před 7 lety +4

    God bless you little boy

  • @esthermutali2563
    @esthermutali2563 Před 7 lety +1

    He can be a great teacher too.

  • @aishasalim1393
    @aishasalim1393 Před 6 lety

    Masha'Allah barakallah fikum

  • @gloriafrank737
    @gloriafrank737 Před 6 lety +1

    Mwanangu umenishangaza sana, yaani nimefurahishwa na wewe, wazazi mtoto huyo mpeni malezi bora daima ili nyota yake iendelee kung'aa..

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 Před 6 lety +2

    Mashallah

  • @godfreydignalis163
    @godfreydignalis163 Před 6 lety

    I pray for the family and the bright Boy Itham, May God bless him and become more successful for the help of the future generations in his growth.

  • @alhajimohamedi5454
    @alhajimohamedi5454 Před 6 lety +1

    nice God bless ifan

  • @asmaaliy7980
    @asmaaliy7980 Před 6 lety

    mashllah uko vzr mtt mungu akusidishie

  • @emmanueldawson4073
    @emmanueldawson4073 Před 7 lety

    Nampa hongera sana Itham na mungu azidi kumtangulia

  • @menacekatembwa6181
    @menacekatembwa6181 Před 6 lety

    appriciate.....

  • @thomasorembo6131
    @thomasorembo6131 Před 7 lety +1

    mtoto mzuri sana kwa Dunia kwa ujumla

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 Před 3 lety

    Ma Sha Allah... Allah akuekee In sha Allah

  • @gloryshayo9309
    @gloryshayo9309 Před 3 lety +1

    Good boy for studies and good memories.

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Před 3 lety

    Wowoooo honger San mtoto

  • @sumiismaelsumi8137
    @sumiismaelsumi8137 Před 6 lety +1

    Ma Shaa Allah

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 Před 5 lety +3

    Mashallah mtoto akili nzuri

  • @lathifakhamady6309
    @lathifakhamady6309 Před 7 lety +2

    Nice mtoto

  • @nautharyabubakary406
    @nautharyabubakary406 Před 5 lety +1

    mashallah

  • @vickk5225
    @vickk5225 Před 6 lety

    My God!!what a genius!

  • @rebeccatushabe
    @rebeccatushabe Před 6 lety

    Ubarikiwe sana tena uinuliwe zayidi

  • @saidothman4527
    @saidothman4527 Před 6 lety +1

    mashaallah

  • @milkametrine2670
    @milkametrine2670 Před 6 lety

    Mungu amuzidishie

  • @ABENNIPRO2565
    @ABENNIPRO2565 Před 6 lety

    Good talent God bless that baby.

  • @saramkin4055
    @saramkin4055 Před 6 lety

    só happy

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana Před 7 lety +17

    MTOTO ANA KIPAJI, FAMILIA TULIVU, MASWALI MAZURI NA YANAELIMISHA PIA. THANKS GLOBAL TV.

  • @annejoice1901
    @annejoice1901 Před 7 lety

    waooo .....

  • @paulinaelibarick6960
    @paulinaelibarick6960 Před 5 lety

    God blessing you beby boy

  • @tumainimwakasungu9145
    @tumainimwakasungu9145 Před 6 lety

    hongera sana mtot

  • @fatma2496
    @fatma2496 Před 7 lety +38

    Wazazi mfundisheni Quran ahifadhi ndio cha maana zaidi kuliko hayo kwa umri wake

    • @scottsanga557
      @scottsanga557 Před 5 lety +1

      Hata bible ipo vizuri sana💖💖

    • @scottsanga557
      @scottsanga557 Před 5 lety +1

      TWENDE NA WAKATI⏰⏰⏰💒💒💒

    • @antonymwajombe8536
      @antonymwajombe8536 Před 3 lety

      Tunaenda kidunia dogo yuko vzr unataka biblia hata rais magu angekua paloko kunamgawanyo wa lishe duniani

  • @samiyalibao7017
    @samiyalibao7017 Před 7 lety

    MashAllah

  • @Jameskaguo
    @Jameskaguo Před 7 lety

    huyo dogo anabidi akasome shule nzuri sana, dogo ni genius wa bongo, a sapotiwe na serikali atakuja fanya maendeleo mazuri.

  • @muniramussa1530
    @muniramussa1530 Před 6 lety

    Noma sana

  • @jofreyinosent9779
    @jofreyinosent9779 Před 6 lety +1

    mtoto uyu kweli anafaa kuendelezwa kipaji chake

  • @reginaldhhayuma6907
    @reginaldhhayuma6907 Před rokem

    Leo ndo nimemwoma muhaya myenyekevu. Saf Bro. Mtunze sana dogo

  • @samwelmaduhu8180
    @samwelmaduhu8180 Před 3 lety

    Mashallh

  • @jemakhalifa6807
    @jemakhalifa6807 Před 6 lety

    waohhhh Allah ambariki

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796

    Ilove him

  • @mdachitimamu
    @mdachitimamu Před 7 lety

    safi sana

  • @kelvinmwasafu2116
    @kelvinmwasafu2116 Před 6 lety

    Wah, haya basi

  • @niceladeus1697
    @niceladeus1697 Před 6 lety +1

    nakupendaa mwananguu

  • @allyabeid342
    @allyabeid342 Před 7 lety +10

    mtoto huyu mungu amjaliezaid ila natamani namimi nipate mtoto kamahuyu jamani.

  • @stellakimwery2024
    @stellakimwery2024 Před 6 lety

    Mshukuru Mungu baba mwanao ana IQ ya hali ya juu.Namwombea afike mbali

  • @frankmapunda6854
    @frankmapunda6854 Před 5 lety

    Cool

  • @mimahussein9314
    @mimahussein9314 Před 7 lety

    Mashaallah mungu amkuze vyema ktk maadili ya dini pia

  • @rebecasamuel6657
    @rebecasamuel6657 Před 6 lety +1

    daaaah! mpaka nimetaman na Wang angekua hvyo

  • @masukamarco1659
    @masukamarco1659 Před 6 lety +2

    Hata mm mwanangu ana kipaji km cha huyo mtoto alianza kumtambua mama yake akiwa na miezi mitatu ,kucheza mziki alipokaa tu sasa ana mwaka 1 na miezi 4 anacheza na kuimba miziki akisikia kwenye tv ,cm au redioni

  • @sechongemussa3550
    @sechongemussa3550 Před 7 lety

    Mungu kamjalia kipaji mtoto huyo hiyo inaonesha dhahiri ukimuangalia kwa umakini ...Eee Mungu Nijalie mimi nipate waoto kama hao wenye vipaji maalum.Itham kanifurahisha sana na imenifanya nimsikilize kwa umakini sana

  • @sae3dalsaifi211
    @sae3dalsaifi211 Před 6 lety

    Haleluya

  • @ayubuayubu1165
    @ayubuayubu1165 Před 6 lety +1

    pamoja sanaa

  • @faboge
    @faboge Před 6 lety

    gifted child, he should be taken to a special school

  • @funneybozzendaddy7631
    @funneybozzendaddy7631 Před 7 lety +3

    special kid

  • @mumkmamy5186
    @mumkmamy5186 Před 7 lety

    Masha Allah itakua ni bora zaidi akihifadhi Qur'ani

  • @noelahjonathan6508
    @noelahjonathan6508 Před 6 lety

    mungu amuwezeshe zaid na zaidi

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 Před 5 lety +1

    Inshallah nahona somo la quran ndio sahi kwake

  • @eliudedwin3424
    @eliudedwin3424 Před 7 lety +7

    natamani siku moja global tv muwaunganishe na yule mtto anaefundisha form one na huyu tuone hiyo interview itakua aje

  • @divarechol8657
    @divarechol8657 Před 6 lety +5

    Yuko pekee sana

  • @lalasheshop9036
    @lalasheshop9036 Před 6 lety +1

    Nyerere wa Baadaye

  • @thadeomaina7614
    @thadeomaina7614 Před 6 lety +1

    mafunzo ya dini ni lazima kwa watoto wote sio huyo tu, hata elimu dunia ni lazima kwa watoto wote...

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 Před 7 lety

    Nimempenda bule nice

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao Před 7 lety

    Hongera kwa wazazi na mtoto.