MBUNGE KIJANA KULIKO WOTE BUNGENI AMSANUA DKT. MWIGULU, AKATAA TAARIFA YA GETERE "NI ZA KITAKWIMU"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 06. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Komentáře • 35

  • @BarakaThoas
    @BarakaThoas Před 8 dny +2

    Waoooooooh! Uyo binti ni lulu ya taifa hili kabisa mungu amsimamie asije akanunuliwa

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 Před 8 dny +1

    Mhe. Ng'wasi kamani umeongea sahihi kabisa. Big Up sana

  • @ahimidiwenanyaro5249
    @ahimidiwenanyaro5249 Před 8 dny +1

    Safi Sana mwakilishi wa vijana mkoa wa mwanza una contents

  • @DeusDaud-cs7ed
    @DeusDaud-cs7ed Před 7 dny +2

    Huyu mbunge apewe uwaziri

  • @BarakaThoas
    @BarakaThoas Před 8 dny +1

    Waoooooooh! Uyu binti ni lulu ya taifa

  • @ahimidiwenanyaro5249
    @ahimidiwenanyaro5249 Před 8 dny +2

    unaitendea haki Masters yako ya Economic law

  • @drallan6879
    @drallan6879 Před 6 dny

    our education status does match with Usa

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Před 6 dny

    Dada upo sahihi, pokea 100%

  • @mukhtarnasser6837
    @mukhtarnasser6837 Před 7 dny +1

    Parliament should make , as one Following Parliament with You tube , there is LACK OF SOUND , and sometime it is not CLEAR , blurring

  • @hamismwangwale563
    @hamismwangwale563 Před 8 dny

    Hongera Sana maadam damas kaman

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 Před 8 dny +1

    Comfort gani wakati sheria ni mbovu kuanzia upatikanaji wa pasport tuu ni shida. Mtu anapata scholarship wanataka uambatanishe passport number ndiyo wakupe na huna ukienda uhamiaji wanakudai barua ya scholarship kwanza

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Před 6 dny

    Ww unafaa kuwa waziri wa fedha. Nakuombea sana uwe wazir wa FEDHA.

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 Před 7 dny

    Good and logic speech! Congratulate Hon .kaman😢

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Před 8 dny +1

    Subutu niko pale pembeni mifumo tu kuonana sijui ni mwaka wa ngapi tuonaongea hamna kitu, ila mchango mzuri kuliko lakini????😢😢😢

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 Před 8 dny +1

    Safiii sana Binti. Tunapenda michango kama hii. Kuliko kusifia tu tu bila kushauri namna ya uboreshaji.

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Před 8 dny +1

    Shida ya nchi yetu ni kusifiana sifiana, Mambo ya kusifiana ndo yametufikisha hapa.

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 Před 7 dny +1

    Hivi ninyi wabunge, CCM na serikali-CCM mnajua vizuri SIDO ni nini???

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 Před 6 dny +1

    Binti ni kweli una Madini kichwani. Tatizo ni je Serikali IPO tayari kuufanyia kazi ushauri?

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 Před 5 dny

    SEREKALI ifanye connection ya sisi raia kufanya kazi nje ya nchi
    au dada afungue agent ya kututafutia kazi nje ya nch

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 8 dny +1

    Huyo dogo sijamuelewa, yaani mwenyekiti, eti serekali iwape uwezo wa kwenda kupambana nche, wadaiu nielewesheni hapa anamaanisha nini

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před 8 dny +1

    Halafu we binti sasa nakuomba uolewe usije ukaitwa singo Maza.

  • @eliabbanyikwa8716
    @eliabbanyikwa8716 Před 8 dny +1

    Maua yako mbunge kija

  • @alfredfaustin4441
    @alfredfaustin4441 Před 2 dny

    Huyu mbunge ni tunu ya taifa anabeba moono ya rais samia

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 8 dny

    Wewe upigaji wa wabongo utauwawa

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 8 dny

    Kazi ile ile ya wizi au?

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 8 dny

    Mapato tozo wizi mtupu ngoja mungu yupo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Před 8 dny

    Hizo pikipiki ni wizi tu madam

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 Před 8 dny

    Kuondoa fedha za makaratasi matokeo yake serekali ikiwa haikupendi utaamka asubui uta kuta 0. ndio utaelewa dhumuni la huo mfumo

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Před 8 dny

    Tupunguze sifa kwa Rais. Mambo hayako sawa, ufisadi umezidi. Kodi za watanzania zinaibiwa na wachache. Wanaoiba hawafungwi. Mała ya mwisho kusikia mtu mwenye fedha anafungwa ni wakati wa JPM, kwa Sasa kila mtu anakula kwa uregu wa kamba yake bila wasi wasi, bora tunamusifue Rais. Wanyonge wanakoma Watanzania wanateseka lakini hawalalamki kwa sauti, wananong’ongo’na.

  • @moseskita
    @moseskita Před 7 dny

    Badala ya kumuongezea dk hata tatu amemkata watanzania sijui tuna nn

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 8 dny

    Dada bajeti ipi?

  • @felcRaphael
    @felcRaphael Před 8 dny +1

    Dada unaakili kutambua hilo

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 8 dny

    Hamuna uchumi wewe mtoto sela ya ccm nikuzalisha machinga Kwa sela zenu bado waze Wana sinzia kazini

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Před 8 dny

    Watanzania hawapgopo kodi, lakini wanataka kuona kodi zawo zimefanya kazi gani.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Před 8 dny

    Binti Una madini mno ila unarusha Sana mikono!yaani kama vile unapigana