Huyu mtoto yuko vizuri sana. Yuko mature sana.Hongera sana ndugu Msuya kwa moyo wako wa huruma. Yaani bila wewe tungempoteza huyu mtoto. Ni potential. Mungu akubariki sana. Tungepara watu kama wewe pengine watoto wengi wasingepotea.Mungu aendelee kukutunza.
Mr Msuya, Mungu akubariki sana kwa kumsaidia mtoto huyu.Mungu aukumbuke uzao wako na asikosekane wakukusaidia wakati wa uhitaji wako wewe pamoja na uzao wako.
Mtangazaji pia unaupendo Sana, Unajitaidi kumfatilia Mungu akubariki Sana, Pia Anaye msomesha Mungu amzidi shie kipato🙏.
Baba unayemfadhili MUNGU wa Bwana wetu YESU KRISTO wa NAZARETI akuinue Sana sana
Naomba like za Mtumishi wa Mungu Msuya
Trust me....... siku moka atakuwa rais katika hili taifa naomba hii comment ipigwe lamination
Baba isack ni Mungu tu atakulipa kwa hili ulo mtendea huyu mtoto
Nilikuwa naisubiri hii interview, Hongera na ubarikiwe sana uliyejitolea kumsomesha huyo mtoto🙏
Kweli pesa za huyo baba kumsomesha dogo hazipotea mtoto ana kichwa Sana Mungu akubariki baba etu kujitolea
Hongera sana Antony, Mwenyezi Mungu aendelee kukuneemesha, Ee Mungu Endelea kumbariki Huyu mfadhili uliyemuinulia Antony katika maisha yake.
Msuya umechagua fungu lililo jemaa kumsomesha huyu mtoto mungu hatakuacha buree,,..
🙏🙏🙏🙏tunamuona magufuli wa miaka ijayo mungu azidi kumpa nguvu na maisha marefu Ameen ❤️❤️❤️❤️❤️
ANTONY is growing, he's intelligent he will save the society big up Musuya
Uyu baba mungu ampe ktu kikubwa sana chenye baraka
Huyu mtoto yuko vizuri sana. Yuko mature sana.Hongera sana ndugu Msuya kwa moyo wako wa huruma. Yaani bila wewe tungempoteza huyu mtoto. Ni potential. Mungu akubariki sana. Tungepara watu kama wewe pengine watoto wengi wasingepotea.Mungu aendelee kukutunza.
Mr Msuya, Mungu akubariki sana kwa kumsaidia mtoto huyu.Mungu aukumbuke uzao wako na asikosekane wakukusaidia wakati wa uhitaji wako wewe pamoja na uzao wako.
Highly appreciated to MR MSUYA and very big up to Anthony may God fulfill your dreams young man..
MashaAllah mtoto amekuwa mfadhili mungu akubariki baba
Mr. Isaac Msuya, Mungu akutunze sana wewe na wa nyumbani kwako. Asikupungukie kabisa😢
Waalimu wa huyu mtoto wanajitahid sana. This school is doing a great job
Huyu jamaa wa shule mungu akubariki sana sana 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Msuya MUNGU Akubariki Sana na wote wanaonyesha Nia njema