BABA AVUTA BANGI na KUANZA KUMPIGA MKEWE na KUMTISHIA KUMUUA KISA MAHARI - WATOTO 5 WATELEKEZWA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 05. 2024
  • BABA AVUTA BANGI na KUANZA KUMPIGA MKEWE na KUMTISHIA KUMUUA KISA MAHARI - WATOTO 5 WATELEKEZWA!
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 37

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před 23 dny +2

    Hongera sana dada zariam❤❤❤

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 Před 22 dny +3

    Nimelia saana jamanii uwiiiiii hivi watoto walikuwa na kazi zao wazazi watakuja kweli kudaiwa wasaidiwe?

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Před 24 dny +2

    Daah jamani jamani nyie maisha haya nimeumia sana dah eeh mungu simama na watoto hawa ukafanye njia pasipo na njia

  • @Dafetty
    @Dafetty Před 24 dny +2

    Subhannallah inauma sana 😭😭😭 Elia apelekwe hospital

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Před 23 dny +1

    Poleni sana wanangu Mungu atafanya njia pasipo na njia 🙏🙏🥰💕

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Před 24 dny +2

    Subuhanallah😢 Allahu akibarr. Jamani haowazazi. Wqpo hai kweli😢 Allah awqtunze kwa Rehmazake watoto hao

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Před 24 dny +3

    Mungu simama mwenyewe

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Před 24 dny +2

    Huyu binti mungu amlindee masikini nahayo mazingira haya wale wabunge wapiga meza walio sema kuusu watt wakiume ns wakike wana kz ya kuchambana bungeni tu

  • @user-zw6xv1vt1p
    @user-zw6xv1vt1p Před 24 dny +2

    Nimelilia sana

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před 23 dny +1

    Chalesi maraya na ni mlezi sana nilisha wah kumsikia stori yake mimi na shamba langu jirani na uko makazi mapya na uyo mwanamke nae ndo wale wale Mungu asaidie inshallah 😢😢

  • @reginakatele8829
    @reginakatele8829 Před 17 dny

    Mungu mwenye uruma simama mwenyewe

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 Před 21 dnem +1

    Mungu wasaidie hawa watt huyo Mama hafai hadi nimelia jaman

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Před 24 dny +1

    Hilo baba Lenu bora lingefia lindoni,majambaxi yangetakiwa yamvamie lindoni yaliuwe.

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg Před 21 dnem +1

    Watoto ni mama jamani hawa wanaume hawana huruma na watoto sasa mama Ukiacha watoto wako utajua hujui

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 Před 21 dnem +1

    Hii Dunia jamani 😢

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Před 24 dny

    Jamani daaah

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Před 24 dny +2

    Mwanamke kaa mbali na huyo jamaa ukomae na wanao MUNGU atakusimamia wanawake kulea watoto mwenyewe btunaweza

  • @sikujuadee3031
    @sikujuadee3031 Před 24 dny

    Daah...uzuni sana😢😢😢

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 Před 24 dny

    So sad..

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Před 24 dny

    Wah mwijaku alisema mume tuzidi kwa kila kitu nao ni kweli 🇰🇪 duh

  • @ShabaniHaruna-ul6yu
    @ShabaniHaruna-ul6yu Před 19 dny

    Majaribu Kwa mwanadam sio kwamba kafanya dhambi n wakat tu unapita na aliowachana mdomo ndy atawapa kula

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni Před 24 dny

    Shida Kweli Kweli mummm

  • @user-sd5zf6fz4v
    @user-sd5zf6fz4v Před 20 dny

    Wewe ndio umtafute waziri mtapata sawabu

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Před 24 dny

    Ekeni namba basi

  • @user-ml3zf7mw1y
    @user-ml3zf7mw1y Před 19 dny

    HAWA WA HAKI ZA BINADAM MUKO WAP I HAMJAONA HILI?

  • @dolawaudi9959
    @dolawaudi9959 Před 22 dny

    Hawo watoto japomoja nileteyeni mm nimsomeshe huku zanzibsr

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Před 24 dny

    😂😂😂 tanzania inchi inayo vutiya sana ila visanga vilivyomo kama marekani yaani kuna vitu havieleweki.

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Před 23 dny

    Mmmmmh MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo saidia hii familia wape faraja😂😂😂

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 Před 24 dny

    Tunataka mwendelezo wake

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 Před 22 dny

    Zari mpenzi tb sio shida ndogo halafu kazi nzito wakati anaumwa njaa

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 Před 22 dny

    Hawa watoto wako wapi jamaniii

  • @uriostanley2331
    @uriostanley2331 Před 24 dny +1

    EE MUNGU MUUMBA MBINGU NA DUNIA ANGALIA FAMILIA HII INAYOPITIA MAGUMU, NAAMNI WEWE UNA MITIHANI YAKO BABA, ILA KWA UWEZA WAKO NAAMNI UMEWAANDALIA KESHO ILIYO BORA, GUSA MIOYO YA WATU WAKAWASAIDIE HII FAMILIA

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Před 24 dny +1

    Mungu simama mwenyewe