Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 03. 2020

Komentáře • 1,4K

  • @lauraijossy7862
    @lauraijossy7862 Před 4 lety +40

    Mganga ni mwanadamu, mwafwata nni hukooo, tangu lini shetani akatoa shetani mweziwe? Wakristo Yesu ni dawa tosha, pia Waislam maombi/Sala ni tiba tosha, wachawi hawana nguvu, mtumainie Mungu ndie mweza yote

  • @aliceanyango770
    @aliceanyango770 Před 4 lety +9

    Acheni hizo alama ya mshangao, fukueni kaburi na DNA ifanywe sio eti hamja amini mpaka mtangazaji eti ameogopa 🙆. Mimi nina hakina huyo ni Jebali mwenyewe mpokee kwa njia nzuri sana, maswali mingi muachia Mungu.

  • @nsabimanaseremani1899
    @nsabimanaseremani1899 Před 3 lety +1

    Ikiwa niJafari awe Jafari daima ,na ikiwa ni kingine ambacho kinafanywa kwa namna ingine ,kitoke kisipate kudumu ktk nyumbani huko ,kbsa laakini ikiwa niJafari amerudi kwa uwezo wamwenyezimungu ,mungu amuhifadhi ,amurokowe kama anavomufufunuwa ktk kaburi ,au ikiwa walijidanganya wakamzika sio yeye basi mungu amemurejesha kwa uwezo wake.Hayaaka Allah yaa Jaafari

  • @DrMangiMfunga
    @DrMangiMfunga Před 2 lety +1

    Tafadhalini sana wazazi wa mtoto Jaafar msijichanganye haki na batwili,mtegeemeni Allah peke yake na inshallah mtoto Jaafar atapoa hayo matatizo, na mambo ya waganga- wachawi,hawana lolóte zaidi ya kubahatisha,huyo babu ghafla anataka sh 50000/- kwa msaada gani ilihali mtoto Bado anahangaishwa na hawo wanga!? watakusumbueni sana hao wachawi lakini mkifanya Ruqya na pia kufanya adhkaari za asubuhi na jioni inshallah hayo madhila yatamwondoka huyo mtoto kipenzi Chetu Jaafar.الهم امين

  • @estasage5506
    @estasage5506 Před 4 lety +7

    Oh lord! Family yote wapagani. Nenda naye kanisani yesu kristo wa Nazarethi anaponya.

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Před 4 lety +18

    Subhana Allah enyi washirikina muogopeni Allah nasiku ya mwisho dunia nimapito haya mambo yapo kiukweli mtihani hawa watu wabaya wapo na Allah atawahukumu

  • @mohammedkilembamohammedkil1289

    Jamani mbona binadamu tumekuwa na rohombaya hivi unamnyima amani mwenzio unamuangaisha usiku na mchana
    Dahhh mwenyezimungu nijaalie mwisho ulio mwema insha Allah 🙏🙏🙏

  • @peninahruth2870
    @peninahruth2870 Před 4 lety +4

    Wakriso tumuombeeni huyu kijana nawenye wako nahuu mpango wakumuangamiza mipngo yao isifanikishwe....wlcm to christianity muachane nauganga

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 Před 4 lety +12

    Kaeni naye karibu asiwatoroke, mwombeni Mungu azidi kumlinda

  • @florenceshikuku7610
    @florenceshikuku7610 Před 3 lety +8

    Pelekeni mtoto kanisani, kanisa la kiroho lenye nguvu ya Kristo. Kwani Yesu ndiye mganga wa waganga, atamponya mtoto na kumkomboa tokana na nguvu za mapepo. Kupitia maombi na kwa Imani yenu kwa Kristo Yesu na wala si mohammed wala majini. Naomba Mungu aliye hai awafunguwe macho ya rohoni mkamjuwe kristo, yeye ndiye ngome imara wenye haki wamkimbilia wakawa salama.

  • @esthernasuku8203
    @esthernasuku8203 Před 4 lety +2

    Poleni Sana Mama Nitakusaidiya Kimawazo Ninaelewa Vizuri Unapenda sana mwanao Umpeleke Kanisani Akaombewe. Yesu mwenyewe Anaweza Akamufanya mwanao kuwa muzima

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida Před 4 lety +2

    Mpeleke mwanao kwa wacha Mungu aombewe hilo pepo litamsumbua kila mala pole sana kwa mtihani

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 Před 4 lety +7

    Majirani zetu watanzania...langu ni hili...tuweke tumaini na tegemeo letu kwa mwenyezi Mungu. Namambo tatakuwa sawa

  • @sharifazakayo6280
    @sharifazakayo6280 Před 4 lety +8

    Mngemtumia yule ustadhi alosoma dua ile ck ya 40,,,Ile dua ilikuwa tosha kwa kumlilia Allah,,,,Hapo ni dua saana hakuna kingine

  • @Epiread2024
    @Epiread2024 Před 4 lety +1

    Inabidi mama yake Jafari Atubu awe mcristo yaan Kama Yeye Ni muislamu Abadili dini Awe Mcristo Kamili Hilo ndo Mimi namshauri mama Jafari Asante 🙏🏼🙏🏼💗💗

    • @ilumohamed246
      @ilumohamed246 Před 3 lety

      Mmhhhhhgh ati awe mkiristo wewe hutaki kua muisl
      Amu

    • @lumark5837
      @lumark5837 Před 3 lety

      Marry Martha.... Mungu ni mwema habagui dini uwe muislamu au mkristo wote ni waja wake na anatupenda wote. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @lumark5837
      @lumark5837 Před 3 lety

      Marry Martha....... Tuwaombee sana watoto wetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @suma643
    @suma643 Před 4 lety +4

    Binaadamu kweli wanayaweza duuuh...Mungu akisema haiwezekani binaadamu hana lake daaah

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 Před 4 lety +72

    Kabla sijampa pole uyu dada nawapa pole wanao bisha kuhusu ushirikina... Haya mambo yapo kabisa kama hayaja kukuta utabisha adi ujambe lakini kama ulishawai kukutwa uwezi bishia haya mambo

    • @ezrajuma8970
      @ezrajuma8970 Před 4 lety +1

      Hao wanaobisha wanapromote dini, na ukwelii wanaujua wanaobisha kipumbavu 2 Tz hii nani hajui kwamba kuna uchawi?

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 Před 3 lety

      Uchawi upo kabisaaa wanaokataa hayajawakuta hawanawahi kuona vimbwanga huku duniani huyo japhary alichukuliwa msukule Yale maombi yaliyofanywa uck kuna Aina ya maombi yaliyofanywa Kule wanamshiñdwa

  • @captendunga1392
    @captendunga1392 Před 4 lety +50

    Uchawi upo bwana wee hata hao wanaosema haupo waongo tuu kikubwa tumuombe mungu na omba yasikukute yasikie tuu kwenye mitandao.

    • @estasage5506
      @estasage5506 Před 4 lety +1

      @Neema Myango Shida wote ni wapagani jina lake yesu kristo hawajuwi. Oh lord, they need to take him to the church

    • @just_this_way
      @just_this_way Před 4 lety +3

      @@estasage5506 Ili akazidishiwe uchawi. Hv sasa kuna ambae hajui uchawi uliopo kanisani? Kujidai wanatibu wagonjwa kumbe waigizaji tu. You won't find pastors in hospitals treating people b'se there are real sick people, all in churches are actors.

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 Před 3 lety

      Kweli omba yasikukukte kabisa

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Před 3 lety +1

      @@just_this_way Very true! Usanii umezidi sasa.

    • @samuelpaluku7246
      @samuelpaluku7246 Před 3 lety

      @@just_this_way czcams.com/video/OzGpc_tJgVo/video.html
      Ingawa una fursa ya kufanya chochote unachotaka, ila hiyo haimaanishi ufanye chochote kile.
      Ingawa unaweza kuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote unayotaka, hiyo haimaanishi ufanye yoyote inayokuja.
      Ingawa unaweza kuwa rafiki na yoyote unayetaka, hiyo haimaanishi uambatane na yoyote yule.
      Mafanikio katika maisha yamejengwa katika uwezo wako wa kuchagua UFANYE nini na kwa WAKATI gani.
      Story By Saidi_Tambwe
      Director By Tambwe_Remy
      As_Director By Ndayishimiye_Lucien
      Camera By Pops
      Editor By Pops
      Producer Tambwe_the_Great_Films
      Location By Harinoti_Bienfait
      Executive_Producer Tambwe_Remy
      For_more_contact:
      Tambwe Remy : +25768851491
      Gmail : tambweremy4@gmail.com
      Bujumbura_Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @munjalwinking
    @munjalwinking Před 3 lety +1

    Huyo ni msukule mpelekeni kwa kanisa yoyote ya UFUFUO NA UZIMA kwa Bishop Gwajima... Ndiyo mtajuwa kwa Yesu Kristo ni Mungu wa miungu.. Wachaneni ni waganga.. Waganga wanamtumikia shetani. Yesu anawapenda na anaweza yote... Last bus stop ni UFUFUO NA UZIMA kwa BISHOP MUHESHIMIWA GWAJIMA.

  • @youngcarlos6343
    @youngcarlos6343 Před 4 lety +5

    Ya mungu mengi asio weza mwanadamu kwa mungu yana wezekana

  • @nishimwejulienne1785
    @nishimwejulienne1785 Před 4 lety +5

    Pole dada kwakupoteya kwa mwanao acheni kupoteza mda mupelekeni kwenye maombi tena mkaziye kabisa msipofanya ivo mtampoteza mazima fanyeni ivo kabra siku hajakuwa nyingi

  • @judithcha-mushala8852
    @judithcha-mushala8852 Před 4 lety +39

    Mpeleke mtoto kwenye maombi huyo watamchukua tena, uganga hauna kitu

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if Před 4 lety

      Kweli

    • @estasage5506
      @estasage5506 Před 4 lety +4

      Hata mimi nasikitika saana kuona jamii lote huwa mapagani. Oh lord! Tafadhali wamupeleke kwenye maombi. Yesu kristo wetu anaokowa.

    • @jacksonzmganga68
      @jacksonzmganga68 Před 4 lety

      Hakika Mungu halinganishwi na nguvu za wanadamu

    • @edgarysangu218
      @edgarysangu218 Před 4 lety

      Pore Sana dada

    • @deshuaniton698
      @deshuaniton698 Před 4 lety +1

      Pole sana mama jafali ila ata laaa una maiti inatisha mungu akupe nguvu dada

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Před rokem +1

    Ss mm niulize kwan muislamu akifa anaekewa msahada myiiiiii makubwa hayo pole ddngu Allha atuepushie atulindie vizazi vyetu inshaaaallha 🙏

  • @nsabimanaseremani1899
    @nsabimanaseremani1899 Před 3 lety +1

    Assalamu alaykumu warahmatullah wabarakaatuh
    Huyo mtoto mungu anampenda ,kama mtangazaaji anasema inaonekana kama kinimacho laakini mungu alikuwapo yupo na atakuwapo ,yeye muweza wavyote ,hata ikiwa kuna kjnachojificha humo naombea familia ya Jafali mwenyezimungu awape iimaani thaabiti kwa hilo kbs, kama mtoto alivoombewa dua wakati waliisha mzika waendelee kumuombea dua baada yakufufuka kwake , nduguzanguni ktk iimani tumtwi Allah sbuhaanahu wataalaa nayoyafanya ktk miujiza nimengi huwezi hata kuyahesabuuuu!!!

  • @mimidennice205
    @mimidennice205 Před 4 lety +6

    hii story niyakweli kabisa mimi ni jirani yake wa mbezi mtaa wetu mpaka sasa unataharuki kuhusiana na tukio hili

  • @silasomondi5065
    @silasomondi5065 Před 3 lety +4

    I appreciated your work

  • @aminaseleman5147
    @aminaseleman5147 Před 2 lety +1

    Gwajima akisema Aya Mambo yapo ooonh muongo Aya mjionee
    Aya Mambo yapo jmn tumtegemee Mungu

  • @roselinemukhwana3670
    @roselinemukhwana3670 Před 4 lety +6

    Mtafuteni Yesu ni suluhisho la kudumu. waganga wa kienyeji ni wanadamu kama sisi. Ombeni kwa Jina la Yesu mtapata suluhisho bila malipo.

  • @ritahbanksug4263
    @ritahbanksug4263 Před 3 lety +4

    Labda alikutana na jini ohh mungu amusaidie... Isha allah atakua poa🙏🙏🙏

  • @winfridathomas1717
    @winfridathomas1717 Před 4 lety +16

    Jmn wachawi wapo na maneno ya mungu yanasema usimuache mchawi haishi azabu yake kifo

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 Před 4 lety +1

      Wachawi wabaya jamani, watafute dawa ya Corona kama wao wana nguvu za ajabu.

    • @morokichuna3527
      @morokichuna3527 Před 3 lety

      Jamani jamani mungu nisaidie namm mwanangu aludi nampenda NASRY wng jamani pia kanitoka kwenye mazingira yakutatanisha afu aliefanya ivyo namjua nayupo hai kabisa yy anaishi atakavyo daah mungu muweke mahara pema baba angu NASRY ISSA KINANA INSHAALLAH

    • @hfafjjhdfgh1545
      @hfafjjhdfgh1545 Před 3 lety

      @@morokichuna3527 Aamiin

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx Před 2 lety +1

    Duuuuuh Jafari Bado Unamaisha marefu Kaka Yangu 😭😭😭Allah Akupe Maisha Marefu Kwakweli

  • @nanadenbygreconanadenby1111

    Mpeleken mtt kweny maombi... Damu ya Yesu ni kiboko ya yote....

  • @graceadhiambo1614
    @graceadhiambo1614 Před 3 lety +3

    Imani mtoe kwa wanganga yesu ndio kimbilio peke yake

  • @vevirawailod5166
    @vevirawailod5166 Před 4 lety +2

    Pole sana baba kwa kufanya polosesi zote. Pole mama jafari Daaa ila mtazame sana Mungu pole jafari Wewe ni lulu mbele za Mungu

  • @irenenandutu5029
    @irenenandutu5029 Před 2 lety

    Pole sana mama jafari na familia ,lakin naomba mupeleke kanisani,namutajua nin shida,kimbilieni Mwenyezi MUNGU sio waganga,muganga ni mwanadamu kama wewe,naalicho taka ni pesa tu,naomba MUNGU awafungue macho kama wazazi,uyo mutoto asaidike.

  • @alhajkhatib5597
    @alhajkhatib5597 Před 4 lety +8

    Someni suratl kahfi aya ya 109 mara 71 bi idhin-llah yatakwisha tu

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 Před 4 lety +18

    hayo nikweli wachawi wanamjia mtu niwengi ALLAH amlinde huyo djafari nawooote waislam.

  • @sumaiyaomary9383
    @sumaiyaomary9383 Před 3 lety +2

    Dah inasikitisha sana mama pole sana kwa matatizo yaliokukuta muombe mungu sana akutie nguvu

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 Před 2 lety +1

    Wanadamu wamejiweka kwa mambo ya giza wanaangamiza dunia Mungu Kinga watu wako maana giza limetanda ulimwengu mzima Amani na uregesho kwa familia Mungu awaonekanie awalinde na kuwakinga na mabaya yote

  • @aminamtime143
    @aminamtime143 Před 4 lety +38

    Baba Jafari anajua kila kitu.Kwanini amuaminishe mkewe kama Jafari atarudi?UKWELI ANAO NA NDIO MUHUSIKA MKUU.

  • @niwaelymziray8646
    @niwaelymziray8646 Před 4 lety +21

    Dunia ina mengi🙌🙌🙌...Mungu arudishe ufahamu wake haraka

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 Před 4 lety +6

    Chukueni vipimo vya DNA...acheni kuangalia sura..watu wanafanana..tena waliona maiti alipokuwa mortuary..inawezekana alikuwa mtoto waaefanana tu.

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 Před 4 lety +14

    Huyo mtoto ajakua sawa kabisa ningeomba mpeleke kwa maombi ila kwa kuwa nyie ni waislamu basi ningeomba mletee huyo ustadhi asomewe zaidi kufukuza huyo mashetani hamuwezi kumlinda mkabidhini kwa Mungu amlinde

    • @mwatimasaleh423
      @mwatimasaleh423 Před 4 lety +1

      Bora afanyiwe duwa kubwa atapona kwa.nguvu.za.mungu

    • @abdallahkamau9525
      @abdallahkamau9525 Před 4 lety +1

      Katika watu wore waliocoment kwenye hili tukio nadhani wewe (happy times) umeongea busara zaidi kuliko MTU yeyote, ubarikiwe sana.

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 Před 4 lety +17

    Acha usanifu wako, atembezwe kwanini? Angekuwa wako ungemtembeza? Jua dunia Ina mengi, mshukuruni Mungu kwa hilo

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 Před 4 lety +126

    Mlichukua maiti ya MTU mwingine. Ombeni kibali polisi mkafukue kaburi muone kama hakuna maiti ili kujiridhisha acheni imani za waganga na kumsahau Mungu.

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Před 4 lety +11

      Bro hili swala kwa maelezo haya hili Jambo limekaa kishirikina zaid

    • @palomabaraka3991
      @palomabaraka3991 Před 4 lety +7

      Be the 1 hakika hii sio imani ni ushirikina kabisaaa

    • @ashaomary8969
      @ashaomary8969 Před 4 lety +4

      Kama anasema baba mzazi kakagua mwili na ndio wakauchukua hapo hapo na kuusafisha y wachukue mwili wa mwingine Tena na mtoto kakaa mocharw siku nyingi. Lazma wahisi Kuna kitu

    • @carolakinasha2686
      @carolakinasha2686 Před 4 lety +11

      Polisi wafukue Kaburi na DNA ya maiti ifanyike ili kujuwa mtu halisi aliyezikwa kuliko kuamini moja kwa moja ushirikina. Inawezekana aliyezikwa bado anatafutwa na.ndugu zake. I

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 Před 4 lety +2

      Mtu akifariki kwa ajali huwa anavimba vimba kwa hiyo ni rahisi kukosea kutambua mwili ilishatokea stori kama hiyo morogoro

  • @salometumainiely9455
    @salometumainiely9455 Před 2 lety +1

    Mama unatakiwa ufunge na kuomba fanya Toba kwaajili yako na mtoto wako nafamilianzima kwaujumla uvunje nguvu za giza Mungu ndio kimbilio lakila mtu na Kila amwombae kwa dhati hamuachi aangamie

  • @btsarmygirl8478
    @btsarmygirl8478 Před 4 lety +1

    Baba jafari ni mchawi na mpaka hapo nawaambieni kua baba alikua anajua kinachoendelea,baba alikula watoto wa wenyewe sasa zamu yake ilifika mungu amsaidie huyo mtoto

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 Před 4 lety +7

    Watakuwa walizika maiti ya mtu mwingine mtoto hatakuwa alipotea tyuu ndo maana kaonekana.cha msingi hapo kukazana na maombi sababu maombi hayana dini Cha msingi hapo ni uponyaji wa mwili na roho

  • @chynabongoo3563
    @chynabongoo3563 Před 4 lety +9

    Duh pole sana dada ubongo wamechukua wachaw ndio zao

    • @estasage5506
      @estasage5506 Před 4 lety

      Yani Watu wote kwa mji Huu ni mapagani hawajuwi jina lake yesu kristo wa Nazarethi

    • @just_this_way
      @just_this_way Před 4 lety

      @@estasage5506 Ww unalijua? Au na ww ndo mpagan mwnyw

  • @harrietharriet5443
    @harrietharriet5443 Před 4 lety +2

    Nimeshikilia roho nikiwatch hii daaah uoga na ni usiku mungu wee tunusuru na haya jamani...i cover my family with the blood of Jesus...satan has no power..

    • @sabatofabian6094
      @sabatofabian6094 Před 3 lety

      Pole sana dada yangu mungu atakusaidia mtt wako ataponatu chamsingi nikumuomba mungu tu

  • @bbyrey2089
    @bbyrey2089 Před 4 lety +2

    Ple sna mma jafari kikubha duwa tu Shg yng nilikuwa sijui ila nitakuja kuwaona

  • @sophianjiku6524
    @sophianjiku6524 Před 4 lety +6

    Walompeleka hospital ni akina au hiyo maiti ilipelekwa na nani na ni ajali gan kwa mujibu wa uongo wa hosptal na ni hospitali gani na ni ajali ya gar gan au pikipiki? Hayo maswali naomba

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 Před 4 lety +9

    Huyo Ni mwanao, Ila fukueni kaburi mtoe kilichopo ndani ya kaburi, pia endeleeni kuomwomba Mungu

  • @nishimwelilian462
    @nishimwelilian462 Před 4 lety +37

    Miujiza yadunia Katika jina layesu tukemea ushirikina mwahuu watatutoa roho navituko da

  • @barakagwakisa5207
    @barakagwakisa5207 Před 4 lety +1

    Jamani 93.7 naombeni Baba mzazi wa Jafari ahojiwe, yeye ndo anajua ukweli wote. Itakuwa alimuchukua mtoto kimuujiza lkn Mungu kamuumbua.Hakika Mungu ni mkuu.

    • @jamalamon5846
      @jamalamon5846 Před 2 lety

      Ni kweli kabisa anasumbua watu huyo baba yake

  • @ramlahamad5483
    @ramlahamad5483 Před 4 lety +8

    Wa2 mnakera labda mcomment na kinachohusiana mtu anaingiza mambo ya biashara kweny comments hampo serious nyny

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 Před 4 lety +5

    Ahaaaa kumbe sio makosa yenu ila nifamilia ya kichawi jamani kwanini usimkimbilie Mungu tu

  • @unknown-vl6tz
    @unknown-vl6tz Před 4 lety +2

    Hao wamezika mwili ambao sio wao Sasa mwenye huyo mtoto wao kazi anayo😂😂😂

  • @tahiyalukio7036
    @tahiyalukio7036 Před 4 lety +5

    Jamani! Habari hii yataka kufatiliwa kiundani zaidi. Wakaribu wa mtoto huyu wanatoa maelezo yanaotetanisha sana. Moja, polisi hawajahusishwa mpaka sasa.
    Mbili, aliezikwa bado hajatambuliwa hii inamaanisha kuna familiia inamtafuta mpendwa wao!
    Tatu, itakuaje mama mtoto asiruusiwe kuitambua mwili wa mwanawe wakati ni mama naeishi na kumjua mtoto wake kuliko mtu yeyote yule.
    Ombi langu kwa Dina Marius Tv ni, tafadhalini fanyeni uchuguzi muafaka wa habari hii kuna kutufahamu na shaka nyingi kwenye habari hii na tukio hili kwa jumla

    • @aminarashid1798
      @aminarashid1798 Před 4 lety

      Tahiya Lukio kwan polc nd nn polc haamn uchawi

    • @nasragora8188
      @nasragora8188 Před 3 lety

      Baba ake alithibitisha coz baba ake pia anamjua vzur mwanae ad alama za mwil anazfaham

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 Před 4 lety +6

    kiukweli ningekuwa mimi dah nisingemuchua huyu mtoto kiukweli dah Dunia hii inamambo mengiiiiiii

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 Před 4 lety +6

    Kwanza mlisema alipata ajali..je aliyepatikana ana majeraha?

  • @mamuuj9187
    @mamuuj9187 Před 4 lety +1

    Tujifunze kuhifadhi picha za wahuska,,mngemficha uso tu,,hio itamsaidia au itamuathiri atakapokuwa mkubwa,,,,allah aendelee kumpigania mtoto mzur

  • @youngmasamah9864
    @youngmasamah9864 Před 3 lety

    Kina mwajuma mwanahawa mwanahamisi wanaaaamin sana waganga hawamwamin alo waweka dunia huko amna ishu achen iman hzo

  • @kubwayoobedy3179
    @kubwayoobedy3179 Před 4 lety +3

    Lazima mubadilishe kanisa tena aonbewe maonbi mengine yakikristo Amen Amen

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Před 4 lety +3

    Dada nakushauri usiende kwa mganga nendeni kwenye maombi

  • @qkventertainment5828
    @qkventertainment5828 Před 3 lety +2

    Alhamdullilah Mwenyezi Mungu amerejesha mtoto wenyu .Allah Akbar 🙏🙏🙏❣️❣️❣️

    • @dullysanto1672
      @dullysanto1672 Před 3 lety

      nijambo lakushukuru allah hata ss waislam tunaiman kubwa sana

    • @hoseapkomoi1008
      @hoseapkomoi1008 Před 2 lety +1

      God bless your work Young leader of our father God

  • @sophiabenjamin525
    @sophiabenjamin525 Před 4 lety +3

    Hii story ni nzito na inasikitisha sana.
    Ila tafadhali sana wanahabari tuwe na upeo wa jinsi ya kuuliza maswali kutokana na tukio husika. Kama Mdada huyu mwandishi hana upeo na hastahili ktk kuhoji watu wenye nyakati ngumu kama hii.

  • @Siasia209
    @Siasia209 Před 4 lety +46

    Tawakali kwa Allah nae atawafanyia wepesi mambo ya waganga niyakuyaacha mtoto amerudi kwa uwezo wa Allah

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 Před 4 lety +1

      Kabisa sijui kwanini watu wanaamini waganga kuliko m/zimungu

    • @meisme7540
      @meisme7540 Před 4 lety

      Mlitaka wafanyeje?

    • @meisme7540
      @meisme7540 Před 4 lety +1

      Sikieni kwa jirani tu. Yasikukute. Unaweza kuwa chizi aisee

    • @ibrahimchediel4867
      @ibrahimchediel4867 Před 4 lety +5

      Mpeleke kwa mwanaume yesu kristo atamfungua

    • @just_this_way
      @just_this_way Před 4 lety +2

      @@ibrahimchediel4867 Yesu anakaa mtaa gani niende?

  • @hamadbamu850
    @hamadbamu850 Před 4 lety +9

    Ampeleke kwa Yesu ayapona kabisaa toka lini jini likamtoa jini mwenzie mpeleke mtongani kwa mchungaji katunzi atapona kabisaa

    • @evamumia1788
      @evamumia1788 Před 4 lety

      True giza haiwezitoa giza ,ni mwangaza utoe giza

    • @nassabtransportation7024
      @nassabtransportation7024 Před 4 lety

      ww Dada Habari nakuomba hiyo namba yahuyo mama nimtumie hata pole Du sio mchezo

    • @saidntisi5994
      @saidntisi5994 Před 4 lety

      Jini babaako

    • @hijathomary9548
      @hijathomary9548 Před 4 lety

      Mbna kwa maombi ya hao majini ndo amerud??

    • @hamadbamu850
      @hamadbamu850 Před 4 lety

      Na ndoo maana hajawa sw mpk xx Bd wanamfata but kwa Yesu ukienda hawawezi kuja tena na hawatakuona maana kazi ya Yesu Kristo nikunfunika mtu kwa damu yake ili shetani asimwone

  • @galluschikawe8464
    @galluschikawe8464 Před 4 lety +22

    maandiko yanaamini nguvu za giza wewe ni nani usieamini subiri yakukute alafu utusimulie uibahatika kuwa salama

  • @fistonkazimili4890
    @fistonkazimili4890 Před 3 lety +7

    Merci bcp pour votre musique.

  • @tktv8617
    @tktv8617 Před 4 lety +26

    Kwa maoni yangu mchezo umechezeka hapo hospitali alitakiwa mama mzazi ndio akague mwili na atoe go ahed.

  • @johnsonnchimbi7795
    @johnsonnchimbi7795 Před 4 lety +2

    Hapo anahitaji maombi mazito katika Roho Mtakatifu mpelekeni kanisa la kiroho

  • @alicejackson1081
    @alicejackson1081 Před 3 lety +1

    Acha kuamini ushirikina muamini mungu yeye ndo anaweza kila jambo

  • @virginiahpeter9406
    @virginiahpeter9406 Před 4 lety +4

    Yesu anaweza yote. Kimbilia Kwake uwe salama

  • @emmanuelmacumi3160
    @emmanuelmacumi3160 Před 4 lety +27

    Yesu ndiye kiboko wakumfanya awe mzima okokeni wapendwa

    • @ramseyhusseinkhamis8258
      @ramseyhusseinkhamis8258 Před 4 lety

      Nyie wafanya biashara

    • @ebisollili6646
      @ebisollili6646 Před 4 lety

      Yesu angekuwa kiboko agekamatwa na kuuliwa na watu

    • @user-pw1ix4fl9g
      @user-pw1ix4fl9g Před 4 lety +2

      Ebi Sollili : Mungu akusamehe kwa tamshi hilo maana hujielewi hata kidogo na ndie utakaemsujudia mbele za kiti cha enzi maana kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua Yesu ni Bwana .

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 Před 4 lety +2

      @@user-pw1ix4fl9g, Goti hata wazee unapigia. Sujudu ndio heshima ya Mungu.

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli Před 4 lety

      Acheni ubishi wanao mjuwa mamauyo wa mshauri apelekwe kwenye maombi atapona

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 Před 4 lety +4

    Hicho kichwa cha habari kilivyoandikwa 🤣🤣🤣 dah jamani hizi kazi mnasomea lakini au mnakurupuka tu

  • @asnatmlewa1354
    @asnatmlewa1354 Před 4 lety +9

    Subhannallah yarab kwanini wachawi wasife tu

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio Před 4 lety +11

    Ukweli utajulikana wakifukua kaburi, yaweza kuwa walizika mtu mwingine!

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 Před 3 lety +1

    Kupona kwake kanisani kweny maombi atkuwa mzimaaa na ataishi miaka mingi yesu ndio kila kitu

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 Před 2 lety +1

    Huyokijana munguamusaidie

  • @attukadege6014
    @attukadege6014 Před 4 lety +5

    Jaman mckurupuke,,, huwenda aliyezikwa cyo man mtoto alishazoea kupoteapotea,,, dunian watu 7

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 Před 3 lety +4

    Mpelekeni akaombewe kanisani mungu anaweza yote

  • @mamapendo2630
    @mamapendo2630 Před 2 lety

    Mungu awaepushe na majaribu ya kila namn mkazane kumuomba mungu ni majarib ya shetan hayo msikubali awashindwe

  • @welcome-qk6ps
    @welcome-qk6ps Před 3 lety +2

    Duh mtangazaji una jicho zuri sana masha allah

  • @divajuniss173
    @divajuniss173 Před 4 lety +6

    Baba Jafari anaujua ukweli wote kwanini aseme mtoto atarudi?

  • @alphonsinesingirankabo6274

    Mungu alinde mtoto wenu amupatiye maisha marefu sana Mungu asifiwe sana

  • @hijarajab5449
    @hijarajab5449 Před 4 lety +1

    Hv vi2 vipo hata ktk kipindi cha khalifa umar aliwahi kutekwa mtu na majini miaka minne na ushee Mimi naamini aliezikwa c jafari kabisa ila kutokana na ajali mtu anakua vibaya wamechanganya tu wafukue kaburi tu wamalize utata

  • @hamadhamis1576
    @hamadhamis1576 Před 3 lety

    Duuuuh... pole sana dada yangu huon ni mtihan mkubwa san ila allah atakupa wepes

  • @princesschatila3448
    @princesschatila3448 Před 4 lety +22

    Jaman hiyo hiyo family ikaombe kibali police ili wafukue kabuli lijulikane kuna nn

  • @mwajabually2773
    @mwajabually2773 Před 4 lety +5

    Inatishaaaa!!ALLAH tunusuru na shirk

  • @zolfanaser8116
    @zolfanaser8116 Před 4 lety +9

    Subhanallah . Jitahidin kumsomea Qur'an .ila kwa uwezo wa Allah atakaa saw hao watu waliofanya hivyo Allah atawahukum

    • @dullysanto1672
      @dullysanto1672 Před 3 lety

      kabisa hakuna wakumuafu ila ni allah pekeake kikubwa dua inshallah

  • @janealoice9104
    @janealoice9104 Před 4 lety +8

    Pole ya Mama jafari, naomba naba ya hi tv

  • @jimmykabila4163
    @jimmykabila4163 Před 4 lety +3

    Jamani yanatisha mimi mpaka nione ambacho walicho zika mimi sikubali dhuu

  • @victoriakapela8163
    @victoriakapela8163 Před 4 lety +1

    Wachawi kweli wanamazingaombwe wamezika gomba kuwaaminisha watu ni mtu mtoto alikuwa hai kabisa duwa zimesaifia kurudi...kweli mungu ni mwema

  • @esthernasuku8203
    @esthernasuku8203 Před 4 lety +1

    Samahani Ndugu najuwa vizuri kiswahili naandika siyo nzuri sana kwani mimi ni Mtu wa Congo nimesikiliza vizuri Hii video

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 Před 4 lety +11

    Alichuliwa mda ndomaana alikuwa anatoroka alikuwa na pepo wachawi siwazuri niwakuraniwa

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 Před 4 lety +7

    Wachawi si mngezuia corona kuliko kumuadhibu huyo mtoto kiumbe cha Mungu

  • @paulinemtalima5311
    @paulinemtalima5311 Před 3 lety +1

    Ili ijulikane kua uyo ninani mumuombee kwa imani Kali ataonekana kwa jina LA yesu

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 Před 4 lety +27

    Uchawi upo ila wasimame na Mungu wakaze maombi