DUH! MUME Amkana MKE WAKE MBELE ya MAKONDA, MKE AANGUA KILIO "SIKO TAYARI KUISHI NA HUYU MWANAMKE"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 05. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 519

  • @user-lm5fu5tu5z
    @user-lm5fu5tu5z Před 15 dny +12

    Daaah wanaume sisi huyu mama anaonekana anampenda sana mumewe sema hilo jamaa ni lilevi na kiburi sana
    Mama wa watu mzuri sana huyo na anaheshima nzuri tu mungu fundi sana watu wa hovyo anawapa wanawake wazuri sana na wenye upendo wa kweli sisi ambao tumetulia zetu ndio tunapata mijanamke ya hovyo.

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g Před 11 dny +1

      Tena minyang'au ya kutosha

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Před 10 dny +2

      Wanaume wa Arsh wanakiburi mnoo acha kabisa yan ukiwa na mwanaume wa arsh ujipange

    • @NehemiaLuwela-ld9zn
      @NehemiaLuwela-ld9zn Před 7 dny +1

      Uhakika

    • @user-xh3qf9xv9v
      @user-xh3qf9xv9v Před 5 dny +1

      Kabisa mdogo wangu ,, Mwanamke mzuri sana ila nimegundua huyu mwamba anasikiliza dada zake,na dada zake wanawivu na wifi Yao ,kwa uzuri wanaona kama mwamba alivyokuwa jela ,Kuna fisi alikuwa anamla huyu demu,na mwamba dada zake wanaviela wanamdanganya mwamba ukimuacha huyu mwanamke tutakusaidia ,mwamba dhaifu, wanawake wengi wanaroho mbaya sana hapa duniani,Mungu atampa maisha mazuri huyu demu na mtoto wake

    • @eslammurad540
      @eslammurad540 Před 4 dny +1

      Kabisa makonda akigombea urais kura yangu yake

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 Před měsícem +40

    I wish siku moja uwe rais my kaka

  • @mossesmichaelnzowa3378
    @mossesmichaelnzowa3378 Před měsícem +21

    Hii nimeipenda imekaa vizuri sana na Mh. Makonda MUNGU akuinue.

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Před měsícem +36

    Na alaaaniwe yeyote anaemchukia makonda

  • @AbuuSudais-wf6ns
    @AbuuSudais-wf6ns Před měsícem +51

    Huyu kajifunza kitu Kwa magufuli, makonda for president

  • @zabibuhazary6986
    @zabibuhazary6986 Před měsícem +7

    Masha'Allah Mheshimiwa Makonda maua yako huna haya❤❤❤

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Před měsícem +13

    Pole saana mwanamke mwenzangu mitihani tumeumbiwa sisi Mungu akufanyie wepesi kipenzi 😢😢

  • @user-jz6wu1ed1h
    @user-jz6wu1ed1h Před měsícem +22

    Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu, sifa na utukufu zikurudie wew Mungu wetu

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Před měsícem +73

    Aisee huyu Mwamba kwakweli Mungu amlinde, Mh Makonda anakila sababu za kupendwa na wananchi. Daaaah mama yetu akuongezee cheo wallah

    • @judiajudia3796
      @judiajudia3796 Před měsícem +2

      baba kayatimba aswaaaah

    • @user-we3mp7be4c
      @user-we3mp7be4c Před měsícem +2

      Afisa ustawi hayupo huyo arudi darasani

    • @zacharialughano3541
      @zacharialughano3541 Před měsícem

      Mmh😢😂😢😂

    • @user-my4dr5oq6v
      @user-my4dr5oq6v Před měsícem

      Cjaona chochote

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g Před měsícem

      @@user-my4dr5oq6v utaonaje na ww una wivu wa kichawi, fitina nyingi, husda kwa sana. Wale wenye husda mtabaki hivyo hivyo mnampango na shetani

  • @user-pq2sq7ov8w
    @user-pq2sq7ov8w Před měsícem +6

    Huwa natafuta kibaya Cha nakonda sikion hata kidogo lakn watu wengne hawampendi najiuliza wanachomchukia kakangu Kaka Mungu anakupenda fanya kazi Kaka tuko nyuma yako tunakuombea

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 Před měsícem +11

    Mhe. MAKONDA wenye roho km hiyo ni wachache mno umewekeza duniani na mbinguni Mungu awe nawe jembe la kazi mema yakufuate popote uwe miaka mingi yenye amani teeeeeeeeeeele mnakupenda sana kakangu mzuri

  • @issambarak8931
    @issambarak8931 Před měsícem +8

    Anaemchukia makonda alaamiwe jamani, makonda mungu akulinde na hasadi zote

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u Před měsícem +15

    Natamani uyu baba aje kuwa rais wa nchi jamani ni mwamuzi mzuri sana Mungu akulinde mheshimiwa

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Před měsícem +30

    Dume Zima limeona aibu sasa mdada wa watu kapata lak 8 kweli Mwenyez Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo

  • @emanueldavid1241
    @emanueldavid1241 Před dnem

    Mungu akubariki sana baba kwa kazi hii nakufuata nikiwa Congo RDC,,,Pia Mungu akulinde mukuu wamukuwa

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Před měsícem +31

    Makonda nakupenda kaka barikiwa mnoooo YESU NI MKUU SANA ANAKUPIGANIA SANA

  • @VERONICALAIZER-vt3ui
    @VERONICALAIZER-vt3ui Před 20 hodinami

    Huyu dada anaonekana ana hekima sana Mungu aiongeze hiyo hela upate maisha

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Před měsícem +7

    Mwenyez mungu akulinde makonda mwenyezi mungu atakulinda wewe na familia yako

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 Před měsícem +15

    Makonda umeongea point mtoto atakiwi kujua mambo ya wazazi wake

  • @user-ve3wu5jn1l
    @user-ve3wu5jn1l Před 25 dny +2

    Mheshimiwa Makonda pole sana una kazi kubwa sana . Pole sana Mwenyezi Mungu akusimamie

  • @RuthRobert-vb8vz
    @RuthRobert-vb8vz Před měsícem +10

    Makonda umepewa kibari na mungu hii ndiyi ngao yako lsaya 54_17

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Před měsícem +32

    Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu aliye HAI kweli kweli

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Před měsícem +17

    Mheshimiwa Makonda nafurahia sana jnc uongozi wako ulivyo kwa kuckiliza kero za wananchi na kujarb kuzitatua.Ila naomba sn kiongozi, wananchi hawa waekewe ulinzi, maan kuna watu hawapendi kufichuliwa mabaya yao,wataweka kisasii daimaa.

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd Před měsícem +5

    Mashaallah kakaangu makonda Mungu akubariki sana ❤❤❤❤❤

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Před měsícem +2

    Duh!!!!! Mh Makonda wewe ni wa mungu tuuu Rais wangu mungu akupe Afya njema na akubariki sana Insha Allah

  • @user-ie5on4xy9o
    @user-ie5on4xy9o Před měsícem +8

    Kaka Makonda nakupenda sana Mungu akutunze

  • @AmaniJoseph-ij2id
    @AmaniJoseph-ij2id Před měsícem +11

    AMINI NA KUMBUKA MANENO YANGU SIKU MOJA UTAKUJA KUWA RAIS WA NCHI HII AMEN

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 Před měsícem +6

    Ila Mh ,Makonda kazi yako ni ngumu Sana ,Mungu akujalie akuinulie waombaji wa kukubebe kwenye maombi.

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba Před měsícem +5

    Mungu akulinde Makonda pia pambana sana

  • @rosebeniel
    @rosebeniel Před měsícem +8

    Mungu akubariki baba

  • @AsteriaLushanga
    @AsteriaLushanga Před měsícem +4

    Mungu akutunze Makonda uwe na roho ya hekima zaidi

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 Před měsícem +17

    Mungu amlinde makonda 👏👏👏👏

  • @MankaAlly
    @MankaAlly Před měsícem +1

    Aisee mpaka machozi yamenitoka Mungu akubariki sana muheshimiwa Makonda

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we Před měsícem +12

    Makonda uyo jamaa hamna kitu mchunguzeni iyo kz kapewa na mjomba yake hana taaluma yoyote

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 Před měsícem +1

      Achunguzwe nini Sheria aijaweka wazi nenda kule dawati la jinsia uone kwa nini saiz wanawake awakimbilii huko maelezo anaweza kuambulia elfu hamsini kwa mwezi mzima kama hauna kipatoa sahihi kwa kila siku elewa sawa

    • @mcutanorsonvanwillson2991
      @mcutanorsonvanwillson2991 Před 16 dny

      Sasa ndo angetoa maelezo hayo,,anajikanyaga sana anashindwa kuongea kama kiongozi​@@rabsonchisumo6640

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 Před měsícem +11

    Nani kaskia AJIRA ZA KUPEANA HIZO

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 Před měsícem +9

    Makonda kwenye hili na pongeza mno ubarikiwe mara mbili ya hili

  • @user-eu5ly2sk8w
    @user-eu5ly2sk8w Před měsícem +1

    Uko vizuri muheshimiwa mungu akulinde na akupe kibali cha kuwa rais wa tanzania.

  • @hamisisamilo
    @hamisisamilo Před 5 dny

    Mungu ampe maisha malefu makonda

  • @hirdahaule-qe8ot
    @hirdahaule-qe8ot Před 5 dny

    Ubarikiwe kumsaidia huyu mam

  • @JumaSiajaly-vt2un
    @JumaSiajaly-vt2un Před měsícem +23

    Makonda akiwa raisi atakua km magufuli piga kazi baba namuona kua raisi wa miaka ijayo

  • @filbertdamiani101
    @filbertdamiani101 Před měsícem +29

    Kwanini watu wengine wanamnyooshea kidole makonda, wakati huyu jamaa ni mpenda haki!

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we Před měsícem +1

      Wajinga na wadhurumaji Tu,

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Před měsícem +2

      Huwezi kua mzur wote huwez kua mbaya wote

    • @wazinzatv3152
      @wazinzatv3152 Před měsícem

      Vizuri ndo hupigwa vita

    • @ntangiregemfuruki5478
      @ntangiregemfuruki5478 Před měsícem

      Love you rc❤
      Shida yako.kauli yako mfano kusema . Weee kitanzania nitusi. Wewe nimwamba sana.kasoro nihiyo tu.tunampenda mnoo.lakini turekebishe kauli tu.au Tamsin lake tu.love yoo makonda.hujui tuna kubiliv mno

  • @user-gp2ue2ny6n
    @user-gp2ue2ny6n Před měsícem +8

    Makonda the best leader🎉

  • @VERONICALAIZER-vt3ui
    @VERONICALAIZER-vt3ui Před 21 hodinou

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu akutunze

  • @user-pf2cf4hp6w
    @user-pf2cf4hp6w Před měsícem +9

    Sema hamjui tuu uwezi jua jamaa anapitia nn siku wanaume tukisema tutoke tueleze mambo tunayopitia kwa wake zetuu watu watatukataaa

    • @user-dq9lf3vp8m
      @user-dq9lf3vp8m Před měsícem +1

      Hiyo kweli kabisa, jama kaongee alipopata matatizo mwanamke alimkimbia

    • @user-ir5mc7vk8b
      @user-ir5mc7vk8b Před měsícem

      Umejuaje wanaume wanisili Sana

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 Před měsícem

      Huwezi kushindana na mwanamke akijitetea hasa akiwa public

    • @HadjiMbugi
      @HadjiMbugi Před měsícem

      Kabisa aiseeh ukiona mwanaume amefika mwisho Kuna jambo

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 Před 18 dny

      @@davidsika5292 basi achana na mkeo tunza mtoto wako kaka

  • @user-un5ii1ov3m
    @user-un5ii1ov3m Před 8 dny

    Mungu akubarik saaan baba makonda

  • @GiftyMwamwezi
    @GiftyMwamwezi Před 8 dny

    Mwamba uko poa sana yaan mungu akuzidishie hekima na maongiz

  • @happyhappy-ym2su
    @happyhappy-ym2su Před 29 dny +1

    Mpaka nimetoa machozi...😢 dada Mungu akutie nguvu sana katika hatua zako za maisha. Najua ni kwa jinsi gani umepata maumivu kukataliwa mbele ya haraiki. Ila niamini mimi siku zote kisasi ni cha Mungu, huyu baba kufanikiwa kwenye kazi zake asahau kabisa mana hapo amepanda laana. Hakuna chozi la mwanamke ambalo linadondoka bure.
    MHE Makonda: Mungu akubariki mnoooo naiona roho ya magufuli ndani yako. Utunzwe na kulindwa na Mungu siku zote za maisha yako🙏

  • @faizaabdallah7570
    @faizaabdallah7570 Před 16 dny

    Alhamdullilah watching from Uganda ❤❤❤❤❤

  • @ridhiwankanjoe2078
    @ridhiwankanjoe2078 Před měsícem +4

    Hahahahahahahaha kumbea arusha tunaoa kwa soda 😂😂😂😂😂😂

  • @SophiaMwambalaswa
    @SophiaMwambalaswa Před měsícem +1

    Makonda wewe hunaga baya bro mungu akupe umri mrefu maisha marefu kaka chapa kazi hayo ndo ulicho itiwa maua yako nakupa

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Před měsícem +19

    Wanawake wa arusha wazurii wanaume wao km chokoraa khaa

    • @idinado-wk3lx
      @idinado-wk3lx Před měsícem +3

      Kumbe nawe umeona sijuwi tatizo nini 😂😂😂😂😂😂😂

    • @zanishirima9257
      @zanishirima9257 Před měsícem +6

      Watu wanajiita wadudu 😅 lazima waonekane kidudu dudu

    • @joyce55727
      @joyce55727 Před měsícem +3

      Mimi kidogo niseme ivo 😁 tena wanapendwa sana na wasukuma

    • @user-ne5cg4vv1h
      @user-ne5cg4vv1h Před měsícem +3

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sina mbavu

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 Před měsícem +3

      🤣🤣🤣🤣🤣kwakweli nimecheka kwa sauti eti wanajiita wadudu

  • @saidmwangasama
    @saidmwangasama Před 20 dny

    Mm Huwa nikitazama p makonda Huwa nalia sana jisi anavyo juwa kufaliji nakuombea maisha marefu ❤

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt Před měsícem +5

    Allah ajaalie mtende haki kwa uwezo wa allah ins

  • @GraceMbungu-hn7oi
    @GraceMbungu-hn7oi Před 13 dny

    Mmmmm!!! Jamani

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 Před měsícem +6

    High level of incompetence,what a shame😢

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m Před měsícem +5

    Uyo sheria hajui kabisa aise yaani baba kama hataki kuishi na mke wake na wameaza watoto au mtoto haijalishi niwangap baba lazima awajibike kwakila kitu mbaka mtoto atakapo jitambua au akifikisha umli wa miaka 18

  • @ChristinaFlorian
    @ChristinaFlorian Před 13 dny

    Daaa umefata nyendo zote za magufuli mungu akulinde sanaa

  • @MwitaMwita-ih2mx
    @MwitaMwita-ih2mx Před 6 dny

    Asante,kiongozi,kwa,ushauli,wako.

  • @RehemaEdson-ip7nk
    @RehemaEdson-ip7nk Před 2 dny

    Makonda mungu akulinde

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 Před 5 dny

    Mapenzi yana siri sana.... imagine huyu mama anamlilia huyo mwanaume 😢😢😢😢😢😢

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Před měsícem +8

    Mmoja katia ajira yakupeana hahahahahahahaa watu

  • @RuthMureithi
    @RuthMureithi Před 12 dny

    Aki Mheshimiwa njoo Kenya utuongoze jinsi hii.
    I wish we has such leaders here in Kenya! 🙏

  • @ahmadseaman3487
    @ahmadseaman3487 Před měsícem

    thanks so much

  • @getrudajustine
    @getrudajustine Před 17 dny

    MuNGu Mwenyezi akulinde kaka kwa utendaji wako wa kazi kwa wananchi.Nakuombe heri na baraka tele juu yako,Roho Mtakatifu akuzidishie Hekima uendelee kusaidia wananchi ambao ni Taifa la MuNGu.BARIKIWA KATIKA KAZI ZAKO ZOTE UZIFANYAZO.

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 Před měsícem +1

    Bado kwangu naomba mungu akupe nafasi kubwa zaidi hii ndogo,mama samia angalia hili jembe

  • @familytalks1
    @familytalks1 Před měsícem +4

    Point mtoto atakiwi kuambiwa mabaya ma wazazi. mama pambana mtaji ndo huo sasa.

  • @user-ok2yw7cq7k
    @user-ok2yw7cq7k Před 8 dny

    Mungu akupe maisha malefu,,,hakika makufuli alifua chuma.....

  • @BeatriceAdolf-gj6lr
    @BeatriceAdolf-gj6lr Před měsícem +12

    Hakuna ustawi wa jamii hapo,,wa mchongoo,,halijui kitu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Před měsícem +4

    Kama mtu huna elimu na kitu, achana nacho ustuletee aibu mkutanoni! Unakaa tu unatulia!

  • @Erickkweka05
    @Erickkweka05 Před 17 dny

    Well!you are a leader but also an educator

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Před měsícem +6

    Mi sipendi ccm Ila makonda nimekukubali Sanaa Arusha tumepata kiongozi

  • @AliceLaizer
    @AliceLaizer Před 20 dny

    Hii mhe makonda uko vizur mungu akulinde wakomeshe hao wanaume wanao zalisha watot wawatu

  • @user-ui4qg2kl4f
    @user-ui4qg2kl4f Před měsícem +8

    Huyo afisa ustawi yupo sawa, ila ni presha, ya kuitwa na mkuu wa mkoa.

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 Před měsícem

      Sipenda alivyomdhalilisha

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy Před měsícem +1

      Kutokujiamini 2

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 Před měsícem

      Umeona eeh Sheria aijasema ila inaangalia kipato chako kwa unaingizaje kama hauna kazi ni ungaunga kina cha chini huwa wanakadiria elfu 50

    • @josephinelauwo4947
      @josephinelauwo4947 Před měsícem

      Makonda hajabisha ila ametaka ajibu kisomi kwamba kifungu flan no.fln kwa mujib wa sheria ndio aseme

  • @lubavacastory1831
    @lubavacastory1831 Před měsícem +2

    Ukiona mwanamke kamuita mwanaume aliyemzalisha Jina tofauti na Jina lake au baba flani au Mme wangu...Jua apo tatizo lipo Kwa mwanamke....Mwanamke anayempenda mwanaume aliyemzalisha hawezi kumuita ..(HUYU BABA)

    • @Marlin-pb1ru
      @Marlin-pb1ru Před 16 dny +1

      We huna akili nini hujasikia huyo shetani na yeye alivyosema mimi siwezi kuishi na huyu mwanamke si bora haya yeye kasema baba...unajua maumivu ya kutelekezwa na mtoto wewe wanaume wakiachiwa watoto wanapiga kelele mpak mbingu zinatingishika na sisi mjue sio mawe tuna mioyo na tunaumia pia huwezi kumpenda mtu aliyekuacha na mtoto na ndugu zake wanakufukuza nyumbani huwezi broo put your self in her shoes ndo uongee unless na wewe ni shetani kama yeye...

  • @VenitaRugemalila
    @VenitaRugemalila Před 10 dny

    Hongera mheshimiwa Makonda

  • @manasecharles894
    @manasecharles894 Před měsícem +1

    Ee Mungu tusaidie siku moja Makonda aje kuwa Rais wetu🙏🙏🙏🙏

  • @patrickmmary
    @patrickmmary Před 17 dny

    Makonda mungu akupe nguvu

  • @user-jf6cr3ce9i
    @user-jf6cr3ce9i Před 16 dny

    Mungu akulinde siku moja uwee rais

  • @JonasMjema
    @JonasMjema Před 14 dny

    Makonda mungu akuzidishie umri ufikie uraisi

  • @user-qu1mq2ik2e
    @user-qu1mq2ik2e Před 18 dny

    Kiongozi shupavu mungu akuongezee hekima na maisha marefu

  • @waviwangotv1924
    @waviwangotv1924 Před 17 dny +1

    Aisee Hakuna Afisa maendeleo ya Jamii hapa..Yani Bure kabisa..Na hawa ukiwakuta ofisin ndio wanapindisha pindisha tu Sheria

  • @Joycekaaya-ie5wl
    @Joycekaaya-ie5wl Před 10 dny

    Makonda mungu akulinde sana mimi mwenyewe mwaume kuniachia pacha hapa nateseka sana ila mungu anajuwa

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 Před měsícem +10

    Arusha watu wanapeana kazi kindugu,Rushwa zimetawala Doh

  • @StarMode-sd5ko
    @StarMode-sd5ko Před 7 dny

    Namkubali sana makonda

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 Před měsícem

    Yes very good huyo ndio anajuwa haki ya raiya very good god bless you 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻💪🏻💪🏻 na kuombea sana

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g Před 11 dny

    Eti tulia kwanza na wewe. Daaa makonda bana nimecheka kweli😂😂😂😂😂😂

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Před měsícem

    Mungu akulinde Makonda akukinge na kila Hila za adui na akukinge na Maadui waliopanga kukuangusha.

  • @WardaKangezi
    @WardaKangezi Před měsícem +1

    Safi sana kaka ungekua rais wanyonge tungepona

  • @RuthRobert-vb8vz
    @RuthRobert-vb8vz Před měsícem +4

    Makonda umepewa kibari na Mungu lsaya 54 -1

  • @user-xo3vy7lx5s
    @user-xo3vy7lx5s Před měsícem

    Safi sana muheshimiwa Paul Makonda Kwa kuwajibika wanaume mjifunze mnapowaacha wanawake mliowazalisha mnawatesa watoto, na MUNGU hapendi kabisa,watoto wanateseka sana

  • @geraldngumbi8415
    @geraldngumbi8415 Před 27 dny

    Mungu aendelee kukuongoza ili watanzania woooote wakiri kuwa ni Mungu tu ndiye aliye kusimika kuwa ķiongozi wawatanzania kwa uweza wa Jina la Yesu amen.

  • @user-go4ec5ex4m
    @user-go4ec5ex4m Před 12 dny

    Mungu akulinde kaka angu makonda

  • @user-zm2ce2ux5n
    @user-zm2ce2ux5n Před 19 dny

    Mungu amubariki kwakumsaidia uyu dada

  • @SophiaNgua
    @SophiaNgua Před měsícem +1

    Elisante huba lilipo kuwa tamu alitoa siri ya shamba😂😂😂😂 huba limeisha anamkana

  • @josephinebuxay3392
    @josephinebuxay3392 Před měsícem

    Mh. Makonda Mungu akulinde akuepushe na kila kibaya, uwe Rais wa nchi, kweli unangalia haki.

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Před měsícem

    God bless you sir ❤

  • @user-jl5zh6qi2w
    @user-jl5zh6qi2w Před měsícem +4

    Atakae mtukana makonda tutakunyosha natutakushughulikia

  • @user-my5nb9jn2d
    @user-my5nb9jn2d Před měsícem +3

    Mwamba hajasikilizwa.. Ndivyo wanaume tunavyoangamia mbele ya macho ya Watu.. Ameshutumiwa moja kwa moja bila kujitetea. 😢

    • @user-lm5fu5tu5z
      @user-lm5fu5tu5z Před 15 dny

      Anitetee na nini wakati amefanya upumbavu mkubwa hv huyo mwanamke unavyomuona anaweza kuwa tofauti na anachokisema.

    • @user-jz3hk5ry4o
      @user-jz3hk5ry4o Před 9 dny

      Sure iyo isnhu haina balance mwanaume imekandamizwa

  • @GraceSambula
    @GraceSambula Před měsícem

    Mungu Akulinde na kuongezea baraka

  • @user-dl8rd8jr1o
    @user-dl8rd8jr1o Před měsícem

    Yaan mungu akulind kwa kazi nzur maan wanaume awataki kelea watt wao