Mwanasheria Amvaa Mch. Msigwa Aitaka TAKUKURU ichunguze Tuhuma za Rushwa CHADEMA|Hawezi Kuwa Mbunge

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 06. 2024
  • Mwanasheria Baraka Jeremia Kimata ambaye aliyewahi kuwa Diwani wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa mkoani Iringa kupitia CHADEMA kabla hajajitoa kwenye chama hicho na kujiunga na CCM Mwaka 2017, ameitaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) ifanyie kazi na uchunguzi tuhuma zilizotolewa na Mch. Peter Msigwa zinazodai kuwa ndani ya CHADEMA kuna Rushwa na ubadhirifu wa fedha unaendelea jambo linalokwamisha baadhi ya mambo hasa uchaguzi kufanyika kinyume cha taratibu.
    Vile vile, Baraka amemshauri Mch. Msigwa afanye uamuzi wa kujiunga na CCM huku akisema kuwa Mch. Msigwa hawezi kupata nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA kwasababu tayari ameishaanza kuwasema wale ambao ndo wangepitisha jina lake kwenye Kamati kuu ya Chama hicho.
    Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
    Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
    Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
    #FocusDigitoTV
    ..................
    Tufuatilie Zaidi kupitia:
    INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
    Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
    Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
    We Love You | Tunakupenda
    Regards
    Team FocusDigitoTV

Komentáře • 30