PADRI KITIMA AITEGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI/AGUSIA MISIMAMO YA CHADEMA,ACT NA CCM

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 06. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►CZcams: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Komentáře • 282

  • @FilbertFissoo-pe2xm
    @FilbertFissoo-pe2xm Před 11 dny +30

    Hongera father kitima , umekuwa miongoni mwa watetezi wa nchi yetu

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 Před 10 dny +5

      >State capture na resource capture ndiyo mfumo tyr uliopo! Pasipo kusikiliza matakwa ya umma kuwezesha uchaguzi huru utakaohakikisha kupatikana viongozi bora na siyo bora viongozi taifa lipo mashakani!
      >Padre Kitima amedadavua kwa ufasaha na kueleweka vzr sana!

    • @FilbertFissoo-pe2xm
      @FilbertFissoo-pe2xm Před 10 dny

      @@albertkamala6843 hakika nchi hii bila ukombozi wa kifikra hatuta fika mbali tutazidi kuwa omba omba wa magharibi , mfano tunaardhi nzuri yenye rutuba halafu tunategemea mafuta ya kupikia na ngano na sukari nje ya nchi its so shame.

  • @CHRISTOPHERKIMWAGA
    @CHRISTOPHERKIMWAGA Před 10 dny +12

    Father kitima Kwa kweli uko makini sana nakupenda sana mungu akubaliki

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Před 10 dny +16

    Kwa kweli inatia huruma 😢 Tanzania tunalekea pabaya sana tumeuzwa kila mahali!Fr Mungu akulinde

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 Před 10 dny +17

    Father kitima Mwenyezi Mungu akubariki sana! Kwa kuwa unaona mbali kuliko waonavyo wao, wanawaza miaka mitano tuu! Ila hakika naona hata wananchi hawatajitokeza wengi Kwa sababu ya wizi wa kura! Wananchi watatafuta namna ya kujitawala kuliko kutawaliwa maana hakuna uongoz ulio na baraka na wananchi.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před 10 dny +4

      Ubaya wa kura kwa mujibu wa mfumo ni kwamba hata usiposhiriki huadhiri chochote, zaidi zaidi usipopiga kura ndio haswa umemchaguwa usiyempenda.

    • @ebenezernnko8251
      @ebenezernnko8251 Před 8 dny

      Safi sana kitima

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b Před 11 dny +10

    Padri Kitime ni mfano Bora kwa viongozi wadini. Hongera kwa hekima ya Mungu ndani yako

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Před 11 dny +1

      Hatuna haja na tume huru ya uchaguzi bali serikali isiibe kura na kunyanyasa watu

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g Před 10 dny +6

    Kitima hongera saana unafaa sana mungu akubariki sana

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Před 6 dny +1

    Asante sana Padre Kitima Mungu akubariki sana hujawahi kumung'unya maneno ila muarobain wa haya yote Katiba mpya ndo msingi

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 Před 10 dny +9

    Kwa kweli naona shida kubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa serikali inaendelea kurubuni watu kwa nini ikatae misaada ya kuboresha uelewa wa wananchi

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g Před 11 dny +36

    Tumpate wapi mtu kama padri kitime, viongozi wa dini wenye hekima tanzania kama kitime ni wachache sana ana hekima busara, anajitambua, tofauti na wanaojiita viongozi wengi wao wanan'gan'gania madaraka na uwezo wa kuongoza hawana, na ndiyo watakao leta machavuko tanzania, na mateso na mauaji wanaofanya kwa raia damu za wote waliouwawa kwa hila na ujanjaujanja ziwe juu ya vichwa vyao

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Před 10 dny +2

      Ikumbukwe huyu anazungumza akiwa mwakilishi wa taasisi inayosimamia masuala ya kiroho na ustawi wa kimwili wa mtanzania na siyo mtu binafsi. Taasisi nyingine ni ndumilakuwili na vuguvugu ambao Mungu alisema "atawatapika"

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 Před 10 dny +2

      Anaitwa Kitima sio Kitime

    • @user-xs3ko8pg2g
      @user-xs3ko8pg2g Před 10 dny

      @@pulikisia7963 asante kwa kunisahihisha muheshimiwa kitima, ni hazina kubwa ya taifa,, hata MUNGU siku akimchukua tutalia bila kuulizia kabila alilotoka, lakini wanaotuletea kila siku tozo MUNGU awachukue hata leo ni janga la taifa

    • @kassimhaji3238
      @kassimhaji3238 Před 10 dny +1

      Kizuri huigwa, Tanzania tukubali kujifunza kwa wenzetu wa Afrika Kusini,chaguzi zao ziko huru sana,

  • @user-wz3ne2kc3o
    @user-wz3ne2kc3o Před 10 dny +5

    Father kitima, be blessed Tz nchi yetu inaenda wapi??????

  • @vellenahfuraha6254
    @vellenahfuraha6254 Před 10 dny +7

    Father ubarikiwe sana kwa haya uliyofunuliwa kunena. Lakini ikumbukwe kwamba tangu vyama vingi kuanza 1992, nchi hii haijawahi kufanya uchaguzi huru na wa haki. Vilevile hatuna sera moja ya kitaifa. Kwa ujumla nchi hii inaendeshwa kiimla😭😭.

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 Před 10 dny +7

    Thank you father for your outstanding opinions

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d Před 10 dny +7

    Mungu akubariki sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 10 dny +4

    Dr wa ukweli ukweli wewe Tena mcha Mungu ,Asante nakupenda ktk kweli

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Před 10 dny +10

    Mbona katibu wa ccm alisema usichanganye dini na siasa mbona wanawaalika viongozi wa dini? Yaani kiongozi wa dini akiikosoa serikali ni kosa duuuu

    • @piomgeni8750
      @piomgeni8750 Před 10 dny +1

      Katibu wa CCM alisema na wewe unafikiri kuongea ukweli ni kuchanganya Dini na Siasa? Huwezi kuwahubiria watu bila kuwakomboa kifikra, kisiasa na kiuchumi Fr anaongea vizuri sana

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 Před 10 dny +9

    Hongera sana Fr.Kitima

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Před 10 dny +7

    Lakini pia police na wasimamizi waache kuibeba ccm wao wawe kama refa atakae shinda atangazwe tofauti nahapo uchaguzi umechangia vita kwe inchi za majirani tunawashukuru viongozi wa dini kuliona hili mungu akubariki padire kitima

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před 9 dny

      Hawawezi kuwacha kwa kuwa Viongozi wakubwa wa vitengo hivyo wanatoa amri kwa maslahi yao kubaki kwenye nafasi za juu.Watanzania wote tunatakiwa .tudai Katiba mpya ili madaraka yapungue kwa Rais endapo itabaki Rais kuchagua Majaji Wakuu wa Polisi na Majeshi MaDc Rc na wengine wengi hapo tusahau tume huru tusahau uchaguzi huru. Katiba iliyopo Rais ni Mungu wa nchi

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Před 10 dny +4

    Father mmeingizwa mjini. Hawa wanawadhihaki wananchi kwa maulaghai yao. Hawajawahi kuwa serious

  • @marymtemahanji2571
    @marymtemahanji2571 Před 4 dny

    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na azidi kukufunua kwa ajili ya wanyonge🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Před 11 dny +11

    Akili kubwa sana

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 Před 9 dny

    Father kitima,Mungu akubariki wewe ni kiongozi bora sana! Unaongea ukweli,asante kwa maelezo mazuri na Elimu nzuri kwa Wananchi! Wananchi tuamke elimu hii ni nzuri itupe hamasa ya kuungana tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuwakatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa,vijiji, madiwani, wabunge na Rais,msíwachague ccm ni kuangamiza Taifa letu. Na mateso kwa wananchi!

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Před 10 dny +6

    Imesema kweli padre

  • @user-wl5np6sv3i
    @user-wl5np6sv3i Před 9 dny +1

    Father umeongea jambo muhimu sana Mungu hawe nawe

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele Před 10 dny +3

    Anayedhani Padri kuzungumzia siasa ameingia pasipomhusu ni uthibitisho kamili wa umbumbu walio nao baadhi ya Watanganyika_siasa ya nchi inambeba kila raia aliyemo kwa njia moja au nyingine

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o Před 8 dny

    Asante Sana padri, akili kubwa Sana hii, wamasai wanatolewa ngorongoro na hawapewi elimu ya kwenda kuendesha maisha yao huko.

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Před 10 dny +3

    Pamba masikioni fikiria mtu kama Nape mwigulu makamba mataper kama hao na wengine wengi hao hawajui kitu akilini mwao wanaangalia kuongoza nchi tu haojalishi wameshinda au wameshindwa wao wanataka kuongoza tu watanzania tujiandae kisaikorojia hawa jamaa watanyang'anya tu wamejaa madhambi tupu hawa viongozi au tungewauliza hawa kina Nape tuwachangie pesa kiasi gani tuwape watuachie nchi yetu tumechoka nao sn

  • @CharlesKayungi
    @CharlesKayungi Před 3 hodinami

    Asante Father Kitima. Ubarikiwe kwa kuwa katika mengi u muwazi. Ila mtazamo wako kuhusu awamu ya 05(ya JPM). Ukweli ni kuwa unachokisinamia kuwa taifa linapaswa kujengwa katika kujiamini na kujitegemea ki maendeleo, mbona ndiyo ilikuwa SERA kuu ya awamu hiyo iliyo abort?

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Před 9 dny

    Fr.Mungu akubariki sana,pia nakupa 100%

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Před 10 dny +3

    Democrasia ya kuyalinda majiz yn ingelikua mm hata uchaguzi ni kupoteza pesa watu hawana mahtaji ya msingi

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga Před 10 dny +3

    Watanzania wamekata tamaa juuu ya mamboyanayofanyika kuhusu uchaguzi

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r Před 6 dny

    Father kitima na sheikh ponda hawa watu mungu awabariki sanaaaaaaaaaaaa wao na familia zao

  • @stephanomwile9920
    @stephanomwile9920 Před 6 dny

    Hongera sana baba Kwa kutoa maoni mazuri tunaomba wenye mamlaka waheshim maamuzi ya wananchi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před 10 dny +2

    Hongera baba Kitime kwa kuliongelea hilo.Tuendelee kupigania haki.Hawa watawala ni walaghai na walafi zaidi ya nguruwe.Mafisadi wakubwa hawa na watakufa na dhambi zao.

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 Před 9 dny +1

    mwaka huu wasifanye hvo mungu atawapiga pigo ambalo hawataamini mana walikuepo akina farao,nebukaduneza na mwanae wanajua kilichowapata na wao wawe na hofu ya mungu watende haki haki haipotei

  • @orapez
    @orapez Před 10 dny

    Akili kubwa kama hizi zinahitajika sana kwenye kuongoza serikali. Father hongera sana kwa uchambuzi ambao kila mtanzania, hata mwenye elimu ndogo anaelewa. Mungu akubariki sana.

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j Před 11 dny +4

    Well said and stay blessed.

  • @YoelLufunga
    @YoelLufunga Před 10 dny

    Nimekubali , padri uko vizuri na uko huru.
    Ukitumiwa vizuri , unaweza kuwa wa miongoni wa watanzania wachache wenye uwezo wa kukomboa nchi yetu.
    Tuna watu wa ajabu sana walio juu nchi hii.

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 Před 10 dny +2

    Baba Hawa viongozi tulionao asilimia kubwa wanaangalia matumbo Yao tu hawaangalii taifa kwanza ila tuwaombee tu kwa mungu labda kunasiku watalikumbuka taifa lao

  • @maryhando227
    @maryhando227 Před 10 dny +1

    Kweli kabisa father, Mungu aendelee kukupa hekima, labda chura na watu wake. Watakusikia.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 Před 10 dny +2

    Viongozi wa Dini wachache sana wanaojitambua ktk kusema kweli nakuikosoa serekali kwa hekima sio kwa matusi ktk uwisramu shekher Ponda nikiongozi wa kidini jasiri anaesimamia kweli yuko tayali hata kufungwa jera kwakutetea kweli

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g Před 10 dny +2

    Hongera father k

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Před 10 dny +2

    Hawa ndio viongozi wa dini wanaotakiwa sio wale wanaochukua hongo na kudanganya waumin kwamba wakichagua chama tofauti na ccm wataangania waache wanainchi wafanye maamuzi wakiamuwa kuendelea na mateso basi

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 Před 10 dny +2

    Mungu akubariki sana, umesema ukweli kabisa. Unastahili kua kiongozi wa nchi. Serikali yetu kipofu na haina masikio, tuna viongozi ambao hawataki kuambiwa ukweli.
    Miaka ya nyuma uchumi was China ulikua kama watanzania. Serikali ya China ikafanya mageuzi ya mitaala yao ya elimu kwenye maswala ya technologia. Serikali ya china ikawapeleka wananchi wake kusoma marekani na nchi nyingine za kiteknologia, ikiwemo kuwachukua wataalamu wa technologia wa kimarekani, kingereza n.k kuwafundisha wananchi wao nchini china. Leo hii china ni nchi yenye uchumi mzuri duniani. Sasa serikali ya TZ iamke, wananchi waamke. Uchaguzi lazima uwe wa huru na haki. Na utawala wa nchi uwe wa haki na unafuata sheria. Bunge, Polisi na Mahakama iwe mihimili huru katika kufanya kazi zao. Mtu yoyote yule akikamatwa ana hujumu rasilimali za nchi sheria ichukue mkondo wake.

  • @EsterYohana-ix7ii
    @EsterYohana-ix7ii Před 9 dny

    Hongera father kitima kwamfano form moja yamgombea urais wananchi wakawaida waumini wa chama husika wamehusishwa wakalizia

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Před 10 dny +2

    🙏🙏✔️asate nimekueliewa mkuu

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Před 10 dny +1

    Watumishi wa Mungu pazeni Sauti msiache kusema ndio Utume wenyewe

  • @RichardNkhangaa-nv9tf

    Fr,ubarikiwe sana,uko sahihi sana baba!

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 Před 10 dny +3

    Good leader

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 Před 10 dny

    Mtumishi wa Mungu. We ombea. Taifa. Liwe na watu wenyekuzingatia Sheria za Mungu Kwanza. Mana. Watu wanataka madalaka. ili wapate. Unafuu. Wa maisha binafis tunaona. nakuhalibiana. Au kutengenezeana chuki viongoz wazuri. Wapo. na hawapati nafasi .

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s Před 9 dny

    Ni kweli fatha kitima hekima kubwa Sana. Unatumia. Mungu akubariki

  • @Wakateezo
    @Wakateezo Před 10 dny +1

    Perfect 👍 🎉🎉🎉🎉

  • @nellychamba1507
    @nellychamba1507 Před 10 dny +1

    Asante sana father kitima, simameni nyie maana mmmh!

  • @user-td1mk2tk6h
    @user-td1mk2tk6h Před 10 dny +3

    Upo sahihi father na ukweli utabakia hivyo

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 Před 10 dny +1

    Laaana kwa viongozi wa ccm

  • @user-pn5gv7ix3g
    @user-pn5gv7ix3g Před 10 dny +1

    Fr Kitima approach yako ni ya mlengo wa kati yenye uelewa wa hali ya juu. Inastahili watunga sera, watafiti, wanasiasa na wadau wa maendeleo wapitie hoja zako bila kujali kwamba ziwe za itikadi kali. Ningeomba utoe ushauri wa utekelezaji wa sera na mikakati kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya jamii yetu, kwa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Na hii iguse jamii nzima ya watanzania walipa kodi

  • @yohanamdemu9232
    @yohanamdemu9232 Před 10 dny +1

    Wewe baba Padri unaiamini Hii serikali kuwa itatekeleza hizi Ahadi zake na siyo kutaka mtulie na kifanya yao

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga Před 10 dny

    Fr hongera sana

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Před 10 dny

    ASANTE Mhe Katibu Kitime Nyie ndiyo jicho letu Mungu akubariki

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Před 10 dny

    Tungepata Watu10 kama padiri kitima tanzania ingekuwa mbali. Sana. Anaongea point. Anaongea bila kumungunya maneno.

  • @danfordkitwana6759
    @danfordkitwana6759 Před 8 dny

    hazina ya taifa. keep it up Father.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Před 10 dny +2

    User siku zingine upo vizuri sana BIG UP

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo Před 9 dny

    Nimekuelewa vizursana father

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Před 10 dny

    Upo sawa unaongea vizuri sana muumba akubariki na awape nguvu mtetee ilo jambo mpaka haki itendeke

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 Před 8 dny

    Mngu akubariki sanaa

  • @bilid4128
    @bilid4128 Před 11 dny +5

    Mwandishi ,Father akielezea tatizo pia muambie atoe Suluhisho lake ! Kwa sababu wasomi wengi tunajua kuelezea Matatizo ila majibu hatuna !

  • @eliastlaghasinaaly-wx4jo

    Hivi hii Ina nini, mpaka tulete wawekezaji kwenye misitu yetu ? Au viongozi hawana maoni yoyote.

  • @JemeslaizerJemeslaizer

    Hong era Sana... Chama hii... CCM imekufa kifikira....

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Před 5 dny

    Father kitima unaakili sana unaongea kweli,viongozi wetu ni bule kabisa hawana mipango endelevu wanaangalia ya leo tu,ngozi nyeusi sijui tutavuka lini kazi yetu kuombaomba misaada tu kwa wazungu wakati tuna resources nyingi sana ambazo zinaibiwa na hao tunaowaomba misaada

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 Před 10 dny +3

    Natamani uwe raisi wa nchi

  • @paulkambonya8001
    @paulkambonya8001 Před 10 dny

    Padri barikiwa sana

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 Před 10 dny +2

    Mahojiano konki

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Před 9 dny

    Father piga zoezi we bado ni kijana mdogo. 😅😅piga zoezi baba hadi kitambi kiishe. We need you Father katika mapambano haya tunataka uishi mamiaka mengi baba

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx Před 10 dny

    God bless you father

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Před 10 dny +2

    Wachache ndiyo shida tuwakatae na kuwataja hadharani

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 Před 8 dny

    Kabisa katoriki mna jukumu kubwa Sana kuiokoa Tanganyika kwa sababu huwa mnaonesha msimamo unaoeleweka lakini mkijivuta ole wenu hata umaana wenu haupo

  • @gervaskileo6396
    @gervaskileo6396 Před 10 dny

    Hapo kwenye uchumi upo vizuri sana uwezi kusema unalima mbaazi zakutegemea mvua

  • @Fantsonmpango-uz3jw
    @Fantsonmpango-uz3jw Před 10 dny +1

    Msema kweli ni mpenzi wa Bwana

  • @PeterKusesa
    @PeterKusesa Před 9 dny

    Mtumishi wa mungu ni jicho la taifa

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Před 10 dny +2

    Father Kitima bila kumung’unya maneno nilijua ushalambishwa asali ya nyuki wadogo si bure . Sasa naanza kurudisha imani

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Před 7 dny +1

    Kama sio ufisadi hi ho kitambi Fr kotambi kimetokea wapi? Hebi muulizeni na yeye

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Před 10 dny +1

    Kweri kabisa unasema kabiaa

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 Před 7 dny

    Resource capture tayari ipo bado.
    Endeleeni kuhamasisha maandamano tu, CCM NI SIKIO LAKUFA.
    ALISEMA
    HAWA "WANATAWALA KWA DAMU TUWAONDOE KWA DAMU"

  • @user-ms6wc7ug6w
    @user-ms6wc7ug6w Před 10 dny

    Safi sana umeongea pointi

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Před 9 dny

    Viongozi wanapenda sana kujilimbikizia mali madaraka na ndivyo ccm walikuwa wanawaminisha watu kwamba yanayo fannyika ni sahihi. Hivi sasa hata vijijini. Wameshafika hatua ya kuzarau ccm. Hata swala la bandali hadi vijijini wamesha ondowa imani na chama tawala.

  • @dillonfoya
    @dillonfoya Před 5 dny

    Kitima anachosema haswa kuwapeleka wananchi kwenda kujifunza nchi za wenzetu wanachokifanya nao wanabadilika enzi za Nyerere wananchi walikuwa wanapewa nafasi ya kwenda kujifunza kwenye nchi zilizoendelea na waliporudi walibadilika sana chukulia ufugaji wa kuku kutoka Holland ,New Zealand,nk kwa hiyo wananchi wapewe nafasi kwenda kutafuta nafasi ya kutafuta Wabia

  • @user-mh5mx1kn8j
    @user-mh5mx1kn8j Před 9 dny

    Mhh 2019 hatukuona watu wakikosoa kwenye media na inchi ilikwenda sijui Sasa iwe hivi tunavoona waswas unatoka wapi tuiamini serikari yetu tuache kuishutumu Kwa kufikiri hata jambo lenyewe halinafikia inafikirisha sana

  • @LeonardSiame
    @LeonardSiame Před 10 dny

    Ni kweli padiri

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Před 10 dny

    Nikweli kabisa hona waliovyo ziaribu barabara za kigoma mjini zinajengwa ilimradi tu ziitwe barabara lakini kiukweli wanaharibu sura ya mji mzima yaani!

  • @shadrackmijjinga9793
    @shadrackmijjinga9793 Před 11 dny +1

    Viongozi wote wa dini wangekuwa na akili kama Dr.Kitima haki ya Mungu tungepata maendeleo ya kweli .... Mungu akubariki mwandishi pamoja na Dr.kwa mahojiano mazuri

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru Před 8 dny

    Hii interview ingekuwa public ingetuelimisha wengi lakini kutokuwa na uhuru wa habari unatudumaza

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 Před 10 dny +5

    Katolic huwa wamenyoka

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 Před 10 dny +2

    Huyu ndo angetakiwa awe rais

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s Před 9 dny

    Nchi ikiharibika. Watasema upinzani wanavuruga wa wa tawala wamefanya nchi hii ni Yao wanatunyanyasa Sana. Kuuwa. Kupiga Wao sawa

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 Před 10 dny

    Safi doctor kitima

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Před 9 dny

    Wakati tunapata uhuru hata panka hakufa leo hii mumeanza kuwauwa vijana kwa sababu wanasema ukweli. Auwaye kwa upanga atakufa kwa upanga. Usije ukaona watu wana chukulia kama hadidhi. Siku mambo ya kigeuka ni vibaya.

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h Před 10 dny

    Busala nyingi sana serikali ya ccm bado inazani wa tz niwajinga tu zamani wa tz wameisha pevuka sio mazoba kama wanavyozania

  • @anathorykajwahulakajwahula5940

    Nchi zilizoendekea huwa zina utaratibu wa kuwa na watu kama Mh. Padri Kitima ili watoe maoni na mwongozo wa kiutawala wanaitwa (think tank). Kwenye nchi yetu kila maoni yanapuuzwa. Wazawa serikali haiwajali inajali watu kutoka nje tu.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Před 9 dny

    Kweli fadha kitima kama mahindi bei ya mahindi bei ya gunia moja la kilo 20 wakulima tunauza shilingi 35000..viongo wanazuwia mahindi kutoka nje. Mmkulima ananyoywa.. wakulima vijana kuweni wazarendo kupigania haki zenu wenzetu viongozi wanajinufaisha peke yao. Wanajilimbikizia mali😅

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur Před 11 dny +2

    Hakika nimekuelewa sana labda mpumbavu na mjinga pekee ndiye hawezi kukuelewa

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Před 10 dny

    Inabidi tuwe shujaa kumwambia kiongozi mkuu wa nchi. Na owe tume malalam ya kumtaka awajibike na si kumwacha Ada yako na kuacha nchi inaangamia namna hii. Inakuwa kama wote watanzania tunaafiki na huu ukukuti. Ni lazima sheria ya kumng’oa kiongozi iwapo pale tu aina nchi inaangamia.