MZUNGU ALIYEUWA MAMBA MKUBWA DUNIANI,MBUNGE MPINA AFICHUA TUHUMA NZITO....
Vložit
- čas přidán 3. 06. 2024
- #OFFTRACKTV #offtracktv #wazirimkuu #kassimmajaliwa #bungelive #bungeni
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDF...
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv
Ila hili taifa wakat mwingine uzalendo ni mdogo asante Sana mheshimiwa mpina kaka
Mnateteana ujinga mamba angeingiza Pesa nyingi sana Kuliko pesa alio itoa Huyo jamaa hii NCH Ina viongozi wa hovyo kabisa
Yaani Africa aliyesoma na asiyesoma kuna wakati unakosa tofauti nchi hii imezidi kabisa yaani MTU anafanya upuuzi huu kweli Acha wazungu waendelee kutuzalau
Kwa afrika mashariki watanzania tupo nyuma sana kujielewa na kufuatilia rasilimali zetu
Speaker huna uchungu na nchi .....shame on you
Tulia ni mwehu tu kila chenye haki anapinga tu
hapo tumepigwa hila haya angekuwepo chuma msingeona mawindo hayo
Hicho chama kimetekwa na mafisadi hawana uchungu na taifa hili.toka huko hata kwa usalama wako
Wabunge wa ccm hawana uruma hata kwenye mambo ya hii nchi
Huyu spika sio mzalendo kabisa hatuna mtu hapa
Ivi jamani sisi Watu weusi nani ameturoga ivi hii nchi Kuna Watu kweli Wana ubongo na wakikaa wanafikilia kabisa ivi kweli sisi kweli tana akili pore Mungu anajuta kweli kutuhumba poreni Watu wenye ngozi nyeusi
Tulia mbona unakuwa kama mtetezi wa serekali badala ya kutetea mwanainchi wa kawaida.. kutoka kwenye meno ya wachumia tumbo
Huyu spika ,, ngoja ninyamaze mwenye mwanasheria aendelee kuniongelea
Spika kunamda anakua sawa kunamda anapinda pinda
Angekuwa mtanzania wakawaida Angewinda hata mjusi angesimulia huko jela
😂😂😂mtumwa ndani ya nchi yake
Washakula rushwa 😂😂😂😂 nan wakutiwa kitanzi
Huyu speaker hatufai kabisa kuwa kiongoz zaidi ya dictator tu
Mh.Mpina anatoa hoja ya haibu kwa mtu anaesifiwa kua mtalamu
Hii nchi bhana
Uyo waziri sijawai kumwerewa
Duuu!!!!!!, kazi kweli kweli
Siku zote mjadala wa mpina uwa unapigwa vita bungeni
Mimi sijawahu kujua maana ya bunge
angekuwa mubongo angekuwa jera
Mpina anaongea kitu cha maana sana alafu wengine wanaishia kucheka tu, na athabu yake ya kufukuzwa bungeni point kama izi zinachangia jama Hakiri nyingi saana
Kwani huyu SPOKU ANASHIDA GANI😂😂😂
Hamna kitu yaani nashindwa kuelewa hakili hiz
wanyama hubadilika kimaumbile kuenanda na mda haswa kutokana na changamoto za mazingira, hivyo ukisema kushakuwa na mamba wenye urefu zaidi ya 16 .2 feet wameshawindwa hiyo hoja haina uzito, kwenye ikolojia na wildlife management and conservations science, na mara nyingi jinsi mda unavyoenda ndivyo maumbile yanapungua na kuwa madogo zaidi.
Uko sawa
Hampendagi ukweli sjui mpoje
Watanzania wakikutwa tu na nyama pori....jela inawahusu....leo mamba porini
Sie ni mwabwege sana
Hao wawindaji hawana waongozaji🚮🚮🚮
Hili bunge inafaa watanzania tulichome moto,hili ni bunge la hovyo mno
All Tanzania population stand help mpina by full force change Tanzania from dictotaship to civilian tools reject such move chadema odinary Tanzania people stand behind mpina protest so that give ccm who are inside palament cames with capacity of understand they right into Tanzania Palament wekerup chadema use your capacity wekerup tanzania population difend mpina even if the ccm mp because has been difend tanzania people
Hapo spika hatuna, hana uchungu na raslimali za Tanganyika, afu mibunge mingine imekaa kimyaaaa, looh !!!
Ila tulia khaa😮
Huyo jamaa kwanini awinde huyo mwamba wa kipekee sasa mmebaki na kenge watumie sasa Kwa utalii
😂😂😂 saloot sana
Hiii sio Tanzania hawajari kabisa achainyesheeeee
Haya huyo mamba wamemzika
Humo bungeni wangetoka wote tu coz mi naona kunamatahila tu humo ndani
aliyemwoa huyu spika analo, anajua kupindisha mada
Hata waziri anaona aibu,hawa watu hawana uchungu na taifa hili.wanajali masrahi binafsi
mh spika 😢
Ningekuwa na mamlaka ningemtumbua spika
Duh b😂😢
Wabunge wanatia aibu
Sasa kwan tuna bunge 😅😅😅😅😅
Hatuna spika in hatuna wazalendo kabisa kwa taifa hili
Walimuua wa Nini mamba angetumika kma sehemu ya utalii
Mpina Anahangaika sana anachokitafuta atakipata tu..Mzee wa Negativity tu anaweza akawa na hoja ila Timing yake Mbovu..! Anyway the end will justify 🚶🚶
Acha chuki zako binafsi
Hilo ni bunge Haram na sio bunge tukufu
Tatizo nchi hii lipo kwa rais hana lolote ndo mambo kama haya yanatokeya tuna viongozi wa hovyo sana hawatufai naamini 2025 chadema watachukuwa wabunge wengi pumbavu zao hawa viongozi wa hovyo
Na wanachaka wanaona hana maana!!😢😢😢
mpina tunakutegea
Huyu kiti kikuu kinamfaa!
Mambo ya ajabu kabisa
Jamaa ana akili sana huyu,ila hicho kispika kijinga mno
Kenya, the worst Africana country in politics, human-rights , discipline, disrespect for God ect...
Hii ni spika ya kiredio labda
NILITAMANI HATA MIMI KUFANYA UTALII WA NDANI ILI NIKAMUONE MAMBA MKUBWA DUNIANI,
R. I. P CROCODILE🐊🐊
Watanzania ni maboya hakuna mfano majinga, si bdo mliwapeleka hawa bungeni wawakilishe, majinga milioni 65
Nchi hii ishakua ya kifara na Inaboa kinoma yani .Wanaangalia Matumbo yao tyu .