MAPYA YAIBUKA SAKATA LA KUKAMATWA KWA MADADA POA/ WANAHARAKATI WAMSHUKIA DC UBUNGO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 06. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►CZcams: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Komentáře • 946

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Před 10 dny +3

    Dada pokea maua yako ❤️💐

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Před 11 dny +5

    Dada Anajua Kujieleza Kuliko Mwana Habar

    • @ridhiwankanjoe2078
      @ridhiwankanjoe2078 Před 10 dny

      Hajui kujieleza ila ni mbishi tu anasimamia itikadi zake potofu

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 Před 8 dny +2

    Ahsante sana Marry kwa kusimamia haki za wanawake wenzio👍 mkuu wa wilaya ya Ubungo ameshindwa kusimamia soko la mbogamboga pale mbezi luis ambako ajali inaweza kutokea na kuleta madhala makubwa!

  • @mohamedbarwani7548
    @mohamedbarwani7548 Před 11 dny +3

    this lady is really brave, she talked straight forward & she is absolutely right to each words she said , maongezi yake ni ukweli kabisa

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Před 12 dny +6

    Mwanaume Ananyanyaswa Na Mke Wake Akienda Kwa Hawa Dada Poa Na Elfu 5,Yake Anamaliza Upwiru Wake Maisha Yanaendelea.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Před 8 dny

      Na wewe huyo unaemuendea kwa elfu 5 pia unamnyanyasa kwa nini usimuowe ukamueka ndani kama kushaona anauwezo wa kumaliza haja zako ndio maana wanawake hatuolewi kwa kuwa mushajiwekea mukashalipa elfu 5 unakojoa ndio maana maradhi hayeshi mwanamke mmoja anatiwa na wanaume 100 kila mmoja na size yake ndio maana wanawake shida ndogo ndogo haziishi za zinaa na hiyo zinaa pekee ni ufukara

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Před 11 dny +4

    Dada upo sahihi sana

  • @stanslausmwasumbi4236
    @stanslausmwasumbi4236 Před 7 dny +4

    Ni wanafiki wasiojitambua ndo hawajamuelewa huyu dada,

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 Před 12 dny +4

    Dada upo sahihi!! Njia iliyotumika si sahihi!!

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 Před 12 dny +4

    Huyu mama kaongea jambo zito sana. Ukimsikiliza juu juu unaweza usimwelewe lakini ukituliza akili zako utagundua ni mama jasiri na mwenye uelewa mkubwa sana. Hongera sana dadangu.

  • @user-ce5mi6zc9t
    @user-ce5mi6zc9t Před 11 dny +3

    Hilo tendo linafanywa na watu wawili, so hata wanaume sisi tunashiriki kuvunja maadili, ni bora wateja wao wangekamatwa pia.

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Před 11 dny +1

    Hao ndio wanachangia kuharibika kwa mabintu weengi wakiwa katika umri mdogo na wewe dada Mungu anakuona huna huruma kwa hiyo unataka wewe ujiuze na binti yako ajiuze hii hapana bwana.mogope Mungu

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 Před 10 dny +4

    Dada kaupiga mwingi, halafu dada anajibu maswali kwa kujiamini kupita kiasi, mimi naona dada yuko sawa kabisa.

  • @GladysBaritta
    @GladysBaritta Před 11 dny +3

    Upo sahihi dada

  • @user-ir8ym5ws1f
    @user-ir8ym5ws1f Před 11 dny +3

    Dada yupo sahihi sana.

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Před 8 dny +1

    Hongera dada kwa kuatetea wanaojiuza kwa sababu ya ugumu .

  • @FatmahAnwar-fp9wq
    @FatmahAnwar-fp9wq Před 5 dny +1

    Kweli kabisa unavo sema dada haohao palace ni wateja wao na kuna watu mpaka majumbani mwao wajiuza simu tu zinafanya kazi hapo umesema dada nakupa mkono👍🏻🇰🇪

  • @yuvenalmkenda1383
    @yuvenalmkenda1383 Před 9 dny +4

    Dada uko sahihi asilimia 100

  • @user-ov3pk3wv1s
    @user-ov3pk3wv1s Před 11 dny +3

    Dada bora umeongea nakupenda bure..

  • @abbaviermhangos2616
    @abbaviermhangos2616 Před 11 dny +1

    Tz Selikali ni shida sana Umalaya upo Duniani .

  • @charlesnyanga7036
    @charlesnyanga7036 Před 8 dny +1

    Mdada uko vizuri, mtetezi kwelikweli,ni uonevu tu, muwawezeshe alafu tuone km watarudia

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 Před 12 dny +3

    Makasino kwa kuwa wamiliki wana vibali wanauza miili ila kwa kuwa ni levo ya kati jambo lipo na makahaba na wanunuzi wapo na watu hawakamatwi

  • @allykwaya
    @allykwaya Před 9 dny +3

    Anatetea upuuzi, Oporation ifanyike. Hugo naye itakuwa ndio Shughuli zake

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 Před 9 dny +1

    Mungu saidia. Sana tunaangamia Kwa kukoswa maalifa

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 Před 11 dny +1

    Nakupa hongera sana dada wamekosea sana

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 Před 11 dny +3

    Dah kweli dada unaongea ukweli Mama Samia kipindi Cha mashoga aliongea kauli gani juu ya mashoga na ni mwanamke was kislam na anajua dini ilisemaje ni kiumiza wanyonge tu dah Tanzania hii mmmh

  • @peterbajuta6859
    @peterbajuta6859 Před 11 dny +3

    Mimi nakuunga mkono sana ni mtoto gani wa kiongozi ana jiuza ? Ni kwa sababu maisha yao ni mazuri lakini kwa sababu sio watoto wao hawafanyi ndio hivyo

  • @hassanibanzi9322
    @hassanibanzi9322 Před 9 dny +1

    Well said🙌

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li Před 12 dny +2

    Dada mpake huyoo chawa WA ccm mwambie ukweli wanao jiuzwa wamebalikiwa na serikali hii ya ccm maisha magumu sana Kodi nyingi ajira Amna wasomi dada zetu awana ajira hili Jambo limetengenezwa na ccm kamateni mafisadi sio hawa dada powa msidanganye watu kuwa Kuna mikopo ni uwongo wakikopa wafanye biashara gani wakati Kodi ushuru Kila Kona mnazaririsha jamii bule

  • @user-zh1no7yj7n
    @user-zh1no7yj7n Před 12 dny +4

    Huyo dada kachanganyikiw huyo naye ndo haohao tu

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 Před 11 dny +3

    Ukiwa na mihemko huwezi kumuelewa huyu dada!

  • @charlesmsemo9892
    @charlesmsemo9892 Před 11 dny +1

    Asante sana Mama uko sawa kabisa

  • @bennymkubwa6196
    @bennymkubwa6196 Před 8 dny +1

    Hata kwa YESU waliwaonea wanawake kwa sababu hawajui kukimbia sana. Jiandaeni kumlaki BWANA.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Před 12 dny +3

    Kama yule mkuu wilaya mwenzake kamfila yule mwanfunzi baada ya kudili na machoko unadili na watoa uduma ya wateja na isitoshe ata uyu mkuu wa wilaya mnunuzi

  • @timurmauga6559
    @timurmauga6559 Před 11 dny +3

    Wasomi wenu wanavyo-reason. Bora kuwa mjinga kuliko kuwa na elimu feki.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Před 12 dny +1

    Hapa Mungu wanamtafuta Zaidi hawa aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla. Ndio wanakimbushwa kuwa wabadilike sio hao tu Mungu kawasaidia wawakumbushe warudi wakumbuke. Kabla tuko mwisho tukumbuke. Wapendwa Yesu Anarudi kiama inakimbizwa kuja haraka. Tupone tujiandae.

  • @josephngowi1103
    @josephngowi1103 Před 11 dny +2

    Kujiuza ni kujidhalilisha tayari, kupigwa picha au kukamatwa ni kupinga kujidhalilisha na kama kuna udhalilishaji ni sehemu na harakati za kupinga kujidhalilisha kwa wanawake.

  • @user-wm5cm2us3f
    @user-wm5cm2us3f Před 9 dny +3

    Mbona mashoga hamuwakamati awu mashoga ndio wanamaadili

  • @MeckLukas
    @MeckLukas Před 11 dny +3

    Binafsi nimekuelewa dada

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d Před 11 dny +2

    Na si hapa tu nenda kule dodoma ujionee watunga sheria wanachokifanya kwa hao watu mkawakamate

  • @miriamumasswwmassawe9165
    @miriamumasswwmassawe9165 Před 12 dny +1

    Hata role model wangu paul makonda afanyagi huu upumbavu

  • @festusnyamhanga1315
    @festusnyamhanga1315 Před 11 dny +3

    Mbona hawajaenda kwenye makasino?

  • @zhaozlyoung
    @zhaozlyoung Před 10 dny +4

    Huyuuu dada anaakiliii sanaaaa

    • @user-jo3cs3yu3o
      @user-jo3cs3yu3o Před 10 dny

      Kila MTU kazini kwake lazma aoneshe Akili nyingi ama kujitetea.

    • @jamesshimba9005
      @jamesshimba9005 Před 10 dny

      Kama huna D mbili huwez kumuelewa huyu dada kabsa

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j Před 10 dny

      Wewe na huyo dada digrii zenu mmezipata pamoja

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 Před 11 dny +2

    Huyo dada ni noma.Muone hata yeye alivyo vaa. Ukahaba hauwezi kuisha kwa utetezi huu.

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 Před 8 dny +2

    Yesu alipoletewa mwanamke aliyefanya uzinzi walidai kwamba lazima apigwe mawe kulingana na sheria ya Musa, alisema, ambaye hana dhambi yoyote na awe wa kwanza kutupa jiwe, washitaki wote walikimbia.

  • @vuaitojo4056
    @vuaitojo4056 Před 11 dny +3

    Wewe unauza

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Před 12 dny +3

    Wewe dada yaani wewe wataka uchafu uendelee sio vizuri unavyosema hakuna udhalilishaji hapo usiseme upuuzi 😢😢😢😢😊

    • @IvanSaid-ef8tb
      @IvanSaid-ef8tb Před 12 dny

      Sio uchafu hao hawapo sawa kisaiklojia inatakiwa elimu Kambi maalum niwahanga tu na wakiwa vzur wapew mitaji kwa mkopo sawa na Teja umemkuta anavuta unga unampeleka soba sio jela

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we Před 12 dny +2

      Huyu dada nae anajiuza

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 12 dny +1

      ​@@IvanSaid-ef8tbbasi siwawapeleke huko ktk kambi zao wawape ushauri! Sio kutetea uchafu, hapa sio Marekani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před 12 dny

      ​@@GeofreyKalo-ot3weHuyo Dada anaakili nyingi kuliko zako

  • @AllyKipanga-sg4qb
    @AllyKipanga-sg4qb Před 10 dny +1

    Hongera sana sana mkuu wa wilaya ya ubungo endelea kupambana nao mwenyezi mungu atakulinda

  • @patrickmathiasnsalanga3401

    Watumishi wa Mungu amkeni, angalieni jinsi mambo maovu yanavyo simuliwa kijasiri, Alafu ninyi mnahubiri kana kwamba hamuoni hatari, nawaambia ukweli iko siku dunia hii itavunwa. Mungu nakuomba amsamehe dada huyu kwa sababu hajui anenalo. Serikali endeleeni kuifanya kazi njema ya kuwaokoa watu katika mambo yote yasiyofaa hatakama watu wanawakataza, kazi njema italipwa na Mungu. Serikali imeonyesha mfano mwema wahubiri kemeeni dhambi acheni kuhubiri mambo mepesi hamjatumwa hayo.

  • @user-uo9tq8cc7q
    @user-uo9tq8cc7q Před 12 dny +3

    Mkuu wa wilaya alikuwa anatafuta umaalufu lakini umaalufu umebuma

  • @miriamumasswwmassawe9165
    @miriamumasswwmassawe9165 Před 12 dny +3

    Dada mungu akubariki sanaaa,unatakiwa uwe mkuu wa mkoa wa dar kwa upeo wako

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o Před 10 dny +2

    Usichafue sirikali kwa sababu ya Umalaya wako . Tadhali !!!!!

  • @KafilaBulimwengu
    @KafilaBulimwengu Před 12 dny +2

    Huyo Dada ni noma.

  • @maryhando227
    @maryhando227 Před 12 dny +6

    Dada uko vizuri. Igia chadema , tuokoe nchi yetu.nchi ilishaoza hawajui cha kufanya wajinga ccm.

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d Před 12 dny +4

    Hivi wale wanaoiba huko serikalini ni maadili huwa wanakamatwa au?

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m Před 12 dny

      Na hata mm nimeuliza mbn kuna wizi w madini na gesi yetu mbn hatuwakamati wazungu

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Před 12 dny +3

    Kwanza Huyo Mwaandishi Hapo Alipo Ameshakutamani Halafu Ameshasimamisha Kampe Kimoja Chapu.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Před 12 dny +3

    Kiukweli sio vizuri kwa uyu mkuu wa wilaya sio vizuri malaya Dunia nzima wapo uyu. Mkuu wa wilaya ana kazi ya kufanya kenge

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 Před 11 dny +2

    Uko na point dada

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo Před 11 dny +2

    mmmmmh wadada bn 😂😂 mungu anawaona

  • @michaelmeela-tn4ew
    @michaelmeela-tn4ew Před 12 dny +3

    Dada nakukubali sana Kwa kuwatetea wanawake ambao nizadi ya asilimia 80 hivyo nakuomba ugombee uongozi tafuta chama chochote isipokua CCM tunakuunga mkono sana kwa ukweli usiokuws na kificho well done.

  • @oneloverasta2150
    @oneloverasta2150 Před 12 dny +3

    Wewe mama ni mshenzi sana utakubali mwanao atoe hiyo huduma ya ngono au ww ubatoa iyo huduma tukutafute Acha ujinga wewe

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Před 6 dny +1

    Dada anaongea kweli mbona kwa vigogo wanaiba na picha hawapigwi kwenye mitandao hatuwaoni na mahakamani hawafikishwi

  • @isaiahisaac7240
    @isaiahisaac7240 Před 9 dny +1

    Sister ur very smart ...

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Před 12 dny +4

    Mkuu wa wilaya ni sifa ya kijinga

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 Před 11 dny +4

    Malaya akimuuzia mzungu hotel kubwa ni halali ila Malaya akimuuzia mswahili tandale ni haramu, hakuna mkamilifu tusihukumu wanyonge

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 Před 12 dny +1

    Very good interview Naomba Jina La huyu dada yuko na MADINI kichwani

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo Před 12 dny +2

    Dada huyo yupo sahihi ,,ivi jamani kuna ajira tz ,,kama wamekubaliana wawili tatizo liko wapi ,,ivi hawa wadada kwani wanabaka,, serikali ijitafakari,, huo ni uzalilishaji kwa hawa wadada

  • @kassimawadhi4383
    @kassimawadhi4383 Před 11 dny +3

    Huyu dada yuko Sawa anaongea ukweli mtupu

    • @theonestinamutole8549
      @theonestinamutole8549 Před 11 dny

      Kabisa ni kudhalilishana

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Před 10 dny

      Huyu dada hayupo sawa usimtetea anayoongea ni ujinga tu, usitetee kosa hata kama amefanya mtoto wako au ndugu yako.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Před 9 dny

      ​@@jumamohamed3168
      Mimi namshangaa huyo dada yy kizazi chake ataridhika wakakae foleni pale wakijiuza au anaongea kwa vile wale sio ndugu zake hakuna biashara ya vile kwa siku unabadilisha vichwa vya wanaume tofauti

  • @user-vl7vt4bq8t
    @user-vl7vt4bq8t Před 9 dny +3

    Dada apo uko SawA niwazalilishaji

  • @BusokeloTV
    @BusokeloTV Před 12 dny +2

    Kazi nzuri sana @JamboTV. Well said dada Mary!

  • @agneskighenda3795
    @agneskighenda3795 Před 11 dny +1

    Huyu sista thinks differently… bravo!

  • @user-it7ih1it3m
    @user-it7ih1it3m Před 12 dny +3

    Huyu dada ni geneus

  • @WTC492
    @WTC492 Před 7 dny +1

    Wewe dada inaonekana na wewe ndio kazi yako. Kazi ya kipato ni jukumu lako ridhikeni na mnavyopata. Mnataka mambo makubwa. Fanyeni hata vibarua. Ukitaka kufanya mema fanya kwa kujiheshimu na kumheshimu Mungu. Usiseme sababu hakuna mwema useme huna sababu ya kutenda mema. Wamebarikiwa hao waliokamatwa, inawezekana ni fursa kwao wanapewa na Mungu kujirekebisha. Waislamu na Wakristo wote hawakubaliani. Pia hao wanajidharirisha wenyewe kwa kuvaa vibaya na kwenda barabarani.
    Yani wewe dada hata muonekano wako haupo sawa.

  • @joetemu8127
    @joetemu8127 Před 12 dny +2

    Dada uko sawa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 12 dny +2

    Huyu dada Mary ni kichwa sana

  • @cettyamandus2929
    @cettyamandus2929 Před 9 dny +2

    Uyo muhasilika wanakuwaga wabishinkahaba uyooo

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 Před 10 dny +2

    Ww mama sijakuelewq inamaana hakuna kazi za kufanya mpaka kujiuza yy amesh8ndwa kujusitili wao wamsitili nn ngoja naambao hawajashikwa wapate funzo wanachukua vijana wanaalibu nakuwapa maradhi .

  • @QueenRutta
    @QueenRutta Před 11 dny +1

    Sawa kabisaaa shda sio watyu kujiuza shda serikali imefanya nn

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa Před 12 dny +1

    Dada yuko sahihi sana,,huo ni uzalilishaji..sio sahihi,,,wanaonewa,,,,kwa ajili ya umaskini wao,,oparation fanyeni selikarini huko kwa watu wanaohujumu uchumi ,, na kutuibia mali za serikali...na hao wadada poa hawatumii siraha unaenda mwenyewe.....

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Před 11 dny +1

    Serikal ya ccm ni serikali ya kiki maisha inatengeneza maisha magumu kwa wananchi wa chini halafu wakati kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafuja fedha za umma hawachukuliwi hatua hafu wanakimbilia kukamata watu wa chini kwamba hawana maadili

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c Před 12 dny +2

    Alafu pia huyo mkuu wa wilaya ameona hicho ndo kitu kila siku anatuletea ubungo yote hicho ndo kaona pia ndo atamaliza hiyo biashara au walijaribu wenzake wameshindwa hao madada poa wana majukum amalize dawa za kulevya ma kero zingne ubungo

  • @allymtinga1692
    @allymtinga1692 Před 8 dny +1

    Mbona kuna wezi selikalin kibao tu tatizo lipo maisha magumu

  • @georgekazaula3123
    @georgekazaula3123 Před 5 dny +1

    Dada ni social analyst.

  • @mayakimani7224
    @mayakimani7224 Před 8 dny +1

    Respect my sister

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga Před 12 dny +2

    Huyo dada yupo sawa anachosema

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Před 11 dny +1

    Hongera biti

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Před 11 dny +1

    Yani mama unanipata vzr sana!
    Kauka nae huyu mwandishi.
    Kwanza mwanamka yyte hajiuzi,bali anauza huduma.

  • @monicaMihangwa
    @monicaMihangwa Před 8 dny +2

    Shida DC alitolewa vijijini akapelekwa mjini anataka kjulikana mbona CAG alitoa ripoti hazifanyiwi kazi

  • @rechomoris1325
    @rechomoris1325 Před 11 dny +1

    Kafanyeni kazi

  • @AbdulkarimAisha-ex5kp
    @AbdulkarimAisha-ex5kp Před 9 dny +2

    Wewe dada acha kutetea zinaa kazi zipo nyingi vijijini tatizo ninyi dada zetu mnakimbilia mijini mkidhani ndiyo Kuna maisha mazuri ili hali hamna vyanzo na mnaona kujiuza ndiyo mtaji. Ebu tujiulize mama zetu wangekua hivyo tungezaliwa kweli?

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Před 5 dny +1

    Huyu mdada mwana harakati ana point. Lazima asikilizwe. The truth ni kwamba Mwizi wa mali ya umma, fisadi, waongo, wanyanyasaji raia, wabakaji, mashoga nk. Wote wapo kwenye kapo moja la kutokuwa na maadili. 1 corithians 6:9. Sijawahi kuona maadili ktk taifa letu. Theres non. Tunamhitaji sana mungu kama taifa na sio tuu madada poa

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g Před 4 dny +2

    Huyu dada anachambua kisomi halafu kijamii zaidi njia inayotumika kuwasaka siyo yakusitiliana kabisa

  • @bushsutimeline766
    @bushsutimeline766 Před 12 dny +1

    This ladies is very intelligent 👌 prostitution is everywhere but practiced differently they just target poor people......

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Před 11 dny +2

    Wewe mama acha umalaya tubu kwa Mwenyezi Mungu uzinzi ni moja ya dhambi mbya sana, zinaa ni uchafu na njia iliyo mbaya sana, wewe pampja na wanawake wenzako heshima ya mwanamke ni ndoa na ikikosekana ndoa fuata misingi ya dini lkn sio uzinzi, jee heshima ya mwanamke ni kujidhalilisha kwa kuanika uchi wake kuufunua mwili wake kwa kila mwanaume, mwanamke anatakiwa kufunua uchi wake kwa anayestahiki yaani kwa mume wake, hakuna biashara halali kwenye uzinzi, wewe mwanamke uzinzi, acha kushjiisha wanawake wenzako wafanye uzinzi kwa kisingizio cha maisha, unatoa kisingizio cha utu hivi hujui kuwa mwanamke kujifunua kwa kila mwanaume huko ni kujiondoa ktk utu, acha kutetea uchafu zinaa ni uchafu na njia iliyo mbaya, wewe mwanamke unayehojiwa ktk video clip hii acha kutetea uchafu wa zinaa kwa kisingizio cha utu

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 Před 11 dny

    Kuna hoja hapa ya udhalilishaji wa watu masikini huku maeneo ya matajiri kwenye mahoteli makubwa malaya wamejaa,na wanajiuza hadharani.
    Huko mitaani hapa Dar wanaojiuza,ni maelfu, na jamii na serekali inajua ,na inapaswa ,kutafuta namna Bora ya kuwaondoa mapema, kabla ya kujikuta,kwenye maisha haya ya kujiuza.
    Hebu wale mlio wasafi, semeni tufanye nini, kuwasadia ndugu zetu Hawa.

  • @ngwandukadama4229
    @ngwandukadama4229 Před 12 dny +1

    Dada unaongea fact sana

  • @Subi-bh5jq
    @Subi-bh5jq Před 11 dny +2

    Well said 👏 serikali ya tz iache kunyanyasa watu 😢 hiyo ni kazi ya mtu na mwili wake ni halali yake hata walio kwenye ndoa wamenunuana ila kwa punguzo la bei 😂 ila lejaleja ni hiyo ya madada poa na hata kwenye mpenzi akikumiliki lazima atoe hela ila pia kwa punguzo la bei ..wawaache watu wafanye yao wakakamate magay huko na wezi wa serikali.

  • @user-cz4pu9py5s
    @user-cz4pu9py5s Před 12 dny +1

    Dada nimekupenda mno .uko sahihi sana .kama hapa ni kinyume na maadili je wizi ni maadili yetu?

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l Před 11 dny +1

    Wewe dada nawe ni muuzaji mungu anakuona ushasema ngono he ni wapi mungu anaaalalisha binadamu kujiuzaa

  • @athumanhatibumkombolaguha

    Ila huyo dada ni wa hovyo sana, kamati ya maadili imwite imhoji,

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz Před 11 dny +1

    Wewe ni mmoja wao