Namkumbuka Kamanda Msika alipokuwa mkuu wa kituo cha polisi Osterbay alikuwa mtu wa msaada sana asiyependa watu kuwekwa kituoni bila sababu ya msingi. Mweledi na mtu wa kuielewa kazi yake. Mungu ampe umri zaidi.
Kwa operation yenye mafanikio nakufananisha na Rafi Eitan aliyeongoza mossad katika operation ya kumkamata Ricardo Clement. Hongera sana kwa utumishi uliotukuka.
Namkumbuka sana kamanda msika, aliwahi kuwa hapa moshi akiwa Inpector wa polisi, nakumbuka alikuwa mwendesha mashtaka katika mahakama hapa moshi alikuwa tinashari aliyekuwa anajipenda na smart,nashukuru sana mpaka sasa yuko vizuri.Hongera sana afande mstaafu, uko vizuri😂😅🎉Didime Andrew Ngowi, Moshi Tanzania.
@@akonaayako7185wee mtoto wa juzi hujui kitu aliepigwa risasi ni jeneral kombe mkuu wa usalama wa taifa siyo zangira, na mwingine ni yule komando alierukia gari la bia aluoiwatoroka mapolisi na usalama wa taifa pale kinondoni nimemsahau jina na hii ilikua kesi ya kumoindua nyerere kesi ya zanngira ilikua nyingine
Hili tukio nalikumbuka la helicopter kuanguka lilitokea tukiwa darasan tulisikia kishindo tulikimbilia kwenda kuangalia uwanja wa polis 1996 nikiwa darasa la sita.
Hiki ndio kizazi cha mwisho cha jeshi la polisi kilichojenga heshima ya taasisi ya usalama na jeshi kwa ujumla.Baada ya kizazi hiki kilichofuata kilikua ni fungu la kukosa........mpaka sasa hivi.
Asante ila kuna story iliendelea kuhusu hukumu ya Zangira kuna sehemu tuliambiwa alihukumiwa miaka 23 akakata rufaa kapunguziwa mpaka miaka 12 nadhani atakua kisha toka, la pili huyu mtu yupo vizuri kiuongozi alifaa kuwa IGP maana mwanafunzi siro kaja kuwa IGP 😅hongera kwa uvumilivu kamanda Msika
Mzee Abdalah namtafuta mwanao mmoja alisema wwe babake mdogo kama sikosei...anaitwa Mohamed Msika...aliend south Africa...mwenye taarifa zske pls..nilikutana naye Mbeya miaka ya 2000's
Tukio la Thomas Zangira ilikuwa wakati wa Utawala wa Nyerere. Nashangaa huyu Msika abazungumza kwamba Bosi wake alikuwa Adadi Rajabu na Tibaigana. Hawa ni watu wa juzi. Zangira alipigwa risasi wakati wa jaribio la kupindua serikali mwaka 1982. Mhusika Mkuu alikuwa Mabere Marando
Nilivyomuelewa mimi Adadi Rajabu na Tibaigana walienda kupekua nyumbani kwa Zangira hivyo walikua askari wa chini kivyeo,kama huyu alikua Sajenti.Walikua vijana wadogo wa jeshi la polisi wapelelezi.
@akonaayako7185 Jaribio la mapinduzi la mwaka 1982, halikumuhusisha Thomas Zangira. Hivyo basi, hakuuliwa katika sakata hilo la 1982. 1982 iliwahusisha kina Pius Lugangira, Hatibu Gandhi (McGhee), na wengine 17.
Hakuna kuconfuse labda kama unachanganya majeshi yako mbalimbali watu wengi wamekalili tu jeshi la wananchi lakini ni zaidi mfano= kuna jeshi la polisi,jeshi la magereza, jeshi la zimamoto na uokoaji
Day, miaka hiyo kumpeleleza/kumfatilia mtu hulali, hunywi, huendi, hurudi. Eeh bwana wee, si Mark Zuckerberg kaja na Facebook, iPhone na Samsung wakaja na spy cam 📷. Upo kitandani mwako na jamaa wanajua maua ya shuka na rangi ya chumba. NSA, FBI, CIA, GCHQ, MI5, MI6 ... shikamooni. Edward Snowden shikamoo.
Mzee anaonekana ni msafi na yuko well coordinated kwenye mavazi. White shirt, blue suit, soksi, and watch. Black kofia and shoe. Kwenye lugha ya kiswahili and kiingereza na lafudhi zake nzuri. Huwezi kujua ni mzaliwa wa wapi. Anajua kujenga hoja pia. Afya yake kwa nje inaonekana nzuri. Anaonekana ni kijana kuliko mtangazaji. Ambako mtangazaji bila shaka ni mdogo sana kiumri
ITUMIKE MARA NYENGINE HELIKOPTER IKIENDA KUTUA UWANJA WA VUMBI WAMWAGE MAJI YA KUTOSHA UWANJA ULOWE NA KUZIPA TABAKA LA VUMBI. HONGERA KAMANDA, KWA UWELEDI
Huyu mzee ni mzalendo,ingekuwa watoto wa sasa wangeingia kolabo,asante sana nimependa uzalendo wako hii ndio inatakiwa.
Namkumbuka Kamanda Msika alipokuwa mkuu wa kituo cha polisi Osterbay alikuwa mtu wa msaada sana asiyependa watu kuwekwa kituoni bila sababu ya msingi. Mweledi na mtu wa kuielewa kazi yake. Mungu ampe umri zaidi.
Mzee Msika ulinitendea haki nilipotupwa lumande pale Central, nikiwa Chuo Kikuu DSM. Nakukumbuka sana sana Mzee. Mungu akubariki sana.
ISHI sana kamanda Mssika, tunajivuniakazi zako
Kwa operation yenye mafanikio nakufananisha na Rafi Eitan aliyeongoza mossad katika operation ya kumkamata Ricardo Clement. Hongera sana kwa utumishi uliotukuka.
Namkumbuka sana kamanda msika, aliwahi kuwa hapa moshi akiwa Inpector wa polisi, nakumbuka alikuwa mwendesha mashtaka katika mahakama hapa moshi alikuwa tinashari aliyekuwa anajipenda na smart,nashukuru sana mpaka sasa yuko vizuri.Hongera sana afande mstaafu, uko vizuri😂😅🎉Didime Andrew Ngowi, Moshi Tanzania.
Huu ndo uzalendo wa nchi👏👏👏
Kwa kweli nimejifunza kitu👏
Miaka 74 anonekana .muhandsome bado mwili mzur sana. Hongera pia kamanda Msika! Kwa kazi nzur
Huyu ni Mwongo. Thomas Zangira alipigwa risasi.
Eti enheee ahajahahha
Mwaka 74 anaka awa 45
@@akonaayako7185wee mtoto wa juzi hujui kitu aliepigwa risasi ni jeneral kombe mkuu wa usalama wa taifa siyo zangira, na mwingine ni yule komando alierukia gari la bia aluoiwatoroka mapolisi na usalama wa taifa pale kinondoni nimemsahau jina na hii ilikua kesi ya kumoindua nyerere kesi ya zanngira ilikua nyingine
Abdallah Msika Allah akuhifadhi sikujuwa kama upo Dar es Salaam Insha Allah nitakutafuta
Amiin
Kwanza pongezi nyingi kwa huyu Mzalendo. Jeshi la police linapaswa kujifunza mengi kupitia kwa huyu bwana
Huyo jamaa is a real champion
Safi Sana wazalendo ndio hawa,sasa sio hawa wanajitapa majukwaaani.
Well trained Police Officer with ethics and integrity, respect hero!!!!!!
Mungu akulinde mzee
Kamanda Msika mtu mwema sana kuwahi kutokea kati jeshi la polisi bila shaka now anaishi kwa furaha sana
Namjuwa vizuri uyo msika akiwa Kagera na shinyanga ,nimtata kweri kweri
Huyu jamaa ni mtu muhimu sana ktk hili taifa
Hongera zako kamanda Msika
Kwa kipindi kile technology ilikuwa ndogo lakini mwamba uliweza kufanya upelelezi....... Ulijitahidi sana
Very intelligent officer.
Kila aliyewahi kufanyanaye KaziI hawezi kumsahau msika
Anaongea pole pole sana atia uvuvi
Nimefurahi sana kusikia story hii
Namkumbuka kamanda msika alikuwa kamanda anayefanya kazi yake vizuri saana na kwa uhakika kabisa na uweledi wa hali ya juu
Kasaidia wengi sana pale shinyanga
Mzee yuko vizuri. Jargon zinamtoka pasi na shaka.
Hili tukio nalikumbuka la helicopter kuanguka lilitokea tukiwa darasan tulisikia kishindo tulikimbilia kwenda kuangalia uwanja wa polis 1996 nikiwa darasa la sita.
CHEZEA NCHI ZOTE DUNIANI LAKINI USIICHEZEE TANZANIA KATIKA ULINZI NA USALAMA.
Enzi zile....Sikuhizi Siri za Nchi zinavuja hovyo,,Wanaoajiriwa hawana nadhani Vigezo ni Undugu
KAMANDA UMETISHA SANA HONGERA SANA
You are the best one of the best 🫡
Hii ndo maana ya utumishi uliotukuka
Angetunga kitabu ingekuwa poa sana
Aisee hizi hazina za story zinahitajika sana kwa taifa,
Salute Kamanda
Mashaallah
❤❤❤🤝🤝🤝madini kabisa.
muhim mngetuambia yu wapi Thomas Zangila je kama alifungwa gereza gani na yuko wapi sasa! kama alikufa ni mwaka gani na alifia gereza gani na lini!
MALANGALI💥
Juma thomas zangira yuko wapi kwa sasa? Je bado yuko jela? Au alifariki?
Hongera sana abdala sasa ndio wajue CCM ni baba wa waafrika wanasiasa msichezee ccm imetoka mbali
Tunaomba Diet yako mzee,mana bado uko fit.Mimi nina 50yrs tu,lkn niko hoi.
01:30 nimecheka huyu baba mtu mzuri
😂😂😂😂...intelligence ya tanzania imekuwa sana..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Samahani wakati huo kikwete hakuwa raisi bali mkapa ndiye aliye kuwa raisi
Hapo 19:00 usimwamini mtu aliyemsaliti rafiki yake
Akufungwa.maisha.iliukumiwa.miaka.²⁰.akakata.rufaa.akapunguziwa.akafugwa.miaka.¹2
Hiki ndio kizazi cha mwisho cha jeshi la polisi kilichojenga heshima ya taasisi ya usalama na jeshi kwa ujumla.Baada ya kizazi hiki kilichofuata kilikua ni fungu la kukosa........mpaka sasa hivi.
Iringa boy
Sasa bongo movie Mbona movie Ndiyo hizi au waandika story ndiyo wanazingua? Maana watu wanaponda sana😂😂 ushauri wa bure
Bonge la story sema nd ivo apo kunaitaj investment bongo movie wanatak movie zisizo zid milion 2 budget
Hawana akili hizo boss
Liuuuu@@justinmichael768
Umenena point sana
Shida ni budget na ubunifu.
Kama movie vile
Kamanda msika nakupata sana kama wangu nilikuwa na wewe mwanza ongela sana
Asante ila kuna story iliendelea kuhusu hukumu ya Zangira kuna sehemu tuliambiwa alihukumiwa miaka 23 akakata rufaa kapunguziwa mpaka miaka 12 nadhani atakua kisha toka, la pili huyu mtu yupo vizuri kiuongozi alifaa kuwa IGP maana mwanafunzi siro kaja kuwa IGP 😅hongera kwa uvumilivu kamanda Msika
Andika Kitabu
Hyo nyimbo kwa background inaitwajwe!?
Jet Ranger mliiacha Nachingwea Bwana
Mzee yuko fit,kweli kustaafu sio mwisho wa maisha.Tutafutie na kamanda mstaafu zpaul chagonja
Alitapeliwa na deo mgasa kwamba angempa ua igp,
Hongera saaana mkuu kamanda Abdallah ulikuwa jasiri mno na wewe ni mtu muungwana saana
Huyu mwandishi anatakiwa kuwa controlled
Kama kamanda ulifikia rank gani ktk karate??
Nilimfahamu Zangira. Alikuwa karibu sana na Ikulu. Kwa kweli alikuwa ni mtu muongo sanaaa
Embu tupee Kidogo tips,Alidanganya jambo gani?
😅😅😅😂😂😂
Zangira alikua na Kamba nyingi Sana sitamsahau uyu jamaaa 😅
😂
Çha kujiuliza sasa hivi je bado yupo ndani au kashatoka maàna mmmh
Hayupo tena
Lazima anakua anatumika
Je mna undugu na Abdalah Waziri Msika au ndio we mwenyewe , mwaka 1973 alikuwa CCP Moshi akiwa na lank ya Cpl
Ndio yy
Mzee Abdalah namtafuta mwanao mmoja alisema wwe babake mdogo kama sikosei...anaitwa Mohamed Msika...aliend south Africa...mwenye taarifa zske pls..nilikutana naye Mbeya miaka ya 2000's
Mohammed msika ni mwanae haswa,Sio babake mdogo,na hayupo Africa kusini.
@@princematumbo duh...yuko wapi?? nisaidie namba zake...
Mohamed msika ni mwanae wa kumzaa
@@user-ct4vj9gg6w yuko wap?
Usaliti haujaanza leo
Tukio la Thomas Zangira ilikuwa wakati wa Utawala wa Nyerere. Nashangaa huyu Msika abazungumza kwamba Bosi wake alikuwa Adadi Rajabu na Tibaigana. Hawa ni watu wa juzi. Zangira alipigwa risasi wakati wa jaribio la kupindua serikali mwaka 1982. Mhusika Mkuu alikuwa Mabere Marando
Huyuni Mwongo
Nilivyomuelewa mimi Adadi Rajabu na Tibaigana walienda kupekua nyumbani kwa Zangira hivyo walikua askari wa chini kivyeo,kama huyu alikua Sajenti.Walikua vijana wadogo wa jeshi la polisi wapelelezi.
Msikilize vzr utamuelewa
@akonaayako7185
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1982, halikumuhusisha Thomas Zangira. Hivyo basi, hakuuliwa katika sakata hilo la 1982.
1982 iliwahusisha kina Pius Lugangira, Hatibu Gandhi (McGhee), na wengine 17.
Nakumbuka sana tukio ili la ajali ya ndege nachingwea
Mbona inafahamika Zangira alifariki kwa kupigwa Risasi?
Utakuwa umechanganya na taarifa ya mtu mwingine.
Mbona shati imeloa na jasho, alikuwa anatembea kuja kwenye kipindi?
Hilo ni shati la light blur, na hapo ni nyumbani kwake, sebleni kwake na ni full AC... kwahiyo ni aina ya shati na sio jasho 😊
Jeshi la polisi ?? Polisi ni polisi jeshi ni jeshi mbona mna-confuse watu
Hakuna kuconfuse labda kama unachanganya majeshi yako mbalimbali watu wengi wamekalili tu jeshi la wananchi lakini ni zaidi mfano= kuna jeshi la polisi,jeshi la magereza, jeshi la zimamoto na uokoaji
Sasa hapo inabidi na Zangira mwenyewe ahojiwe
ahojiwe akiwa jela au
Tena atafutwe, aelezee..Wenzetu kule Nchi zilizoendelea, Siri za namna hiyo baada ya miaka kadhaa, inakuwa sio siri
@@ramsojimmykelly3379 waandishi wanajua namna ya kufanya na sharia zinasemaje
Day, miaka hiyo kumpeleleza/kumfatilia mtu hulali, hunywi, huendi, hurudi. Eeh bwana wee, si Mark Zuckerberg kaja na Facebook, iPhone na Samsung wakaja na spy cam 📷. Upo kitandani mwako na jamaa wanajua maua ya shuka na rangi ya chumba. NSA, FBI, CIA, GCHQ, MI5, MI6 ... shikamooni.
Edward Snowden shikamoo.
Umewasahau MOSSAD
Mzee anaonekana ni msafi na yuko well coordinated kwenye mavazi. White shirt, blue suit, soksi, and watch. Black kofia and shoe.
Kwenye lugha ya kiswahili and kiingereza na lafudhi zake nzuri. Huwezi kujua ni mzaliwa wa wapi.
Anajua kujenga hoja pia.
Afya yake kwa nje inaonekana nzuri. Anaonekana ni kijana kuliko mtangazaji. Ambako mtangazaji bila shaka ni mdogo sana kiumri
Ana miaka 74
ITUMIKE MARA NYENGINE HELIKOPTER IKIENDA KUTUA UWANJA WA VUMBI WAMWAGE MAJI YA KUTOSHA UWANJA ULOWE NA KUZIPA TABAKA LA VUMBI.
HONGERA KAMANDA, KWA UWELEDI