JAMBO TV
JAMBO TV
  • 1 902
  • 9 910 646

Video

KATIBA MPYA NI SASA, HII INA KASORO, IMEMPA RAIS MAMLAKA MAKUBWA.../ MJADALA WA TLS NA VIJANA
zhlédnutí 134Před dnem
KATIBA MPYA NI SASA, HII INA KASORO, IMEMPA RAIS MAMLAKA MAKUBWA.../ MJADALA WA TLS NA VIJANA
MTOTO WA MIAKA 14 IRINGA ALAWITIWA /WANANCHI WAFUNGUKA "TUTACHOMA NYUMBA YAKE"
zhlédnutí 3,3KPřed dnem
#JAMBOTV MKASA MZIMA WA MWANAKWAYA IRINGA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA 14 WANANCHI WAFUNGUKA "TUTACHOMA NYUMBA YAKE" ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
MAFANIKIO MAKUBWA YA LHRC YALIYOTOKANA NA MPANGO MKAKATI WA MIAKA SITA (2019-2024)...
zhlédnutí 22Před dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
LISSU AENDELEA KUIVURUGA CCM MKOANI SINGIDA
zhlédnutí 1,5KPřed dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
"KAMA HAMTAKI KUNYONYOLEWA ANZENI NA WENYEVITI WA VIJIJI"
zhlédnutí 368Před dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
DERBY YA NGUMI: MANGUNGU, ENG HERSI KUZICHAPA/ ALI KAMWE AMTAKA AHMED ALLY
zhlédnutí 81Před dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
CHADEMA WAKOSOA NAMNA WIZARA YA FEDHA INAVYOSIMAMIA UCHUMI, WATOA USHAURI BAJETI MPYA YA SERIKALI
zhlédnutí 308Před dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
ARUSHA WAZIRI MKUU ATAKA WAKURUGENZI NA VIONGOZI WOTE SERIKALI ZAMITAA KUSIMAMA KATIKA NAFASI ZAO
zhlédnutí 2,7KPřed dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
CHALAMILA AWAVAA WANAOSEMA RAIS ANAKOPA SANA ''NITAENDA KUONGEA NA NEY WA MITEGO NA DUDU BAYA''...
zhlédnutí 1,8KPřed dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
"KWA UKATILI HUU WANAOFANYIWA WANANCHI, NAFIKIRIA KURUDISHA LESENI YANGU"
zhlédnutí 1,3KPřed dnem
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►CZcams: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
RC MARA AWAITA MASHABIKI KUIMALIZA TABORA UNITED UWANJA WA KARUME.
zhlédnutí 97Před dnem
RC MARA AWAITA MASHABIKI KUIMALIZA TABORA UNITED UWANJA WA KARUME.
DOYO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI ADC, ASINDIKIZWA NA KIGOGO WA CHADEMA
zhlédnutí 316Před dnem
DOYO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI ADC, ASINDIKIZWA NA KIGOGO WA CHADEMA
TARO WAKAA KIKAO KIZITO KUJADILI UHURU WA MAWAZO KATIKA SANAA, WATOA MAONI KAZI KUFUNGIWA
zhlédnutí 82Před dnem
TARO WAKAA KIKAO KIZITO KUJADILI UHURU WA MAWAZO KATIKA SANAA, WATOA MAONI KAZI KUFUNGIWA
''UNAEMUONGELEA HUKO SINGIDA WATANZANIA WENGINE HATA HAWAMJUI NA HAWATAKI KUMJUA''STEVE NYERERE
zhlédnutí 3,4KPřed dnem
''UNAEMUONGELEA HUKO SINGIDA WATANZANIA WENGINE HATA HAWAMJUI NA HAWATAKI KUMJUA''STEVE NYERERE
RAIS SAMIA AWAPIGA SPANA WENYE HOFU YA BANDARI/TUMEWAACHA WAANDAMANE/WAKINITUKANA SIJIBU/ATOA ONYO
zhlédnutí 13KPřed dnem
RAIS SAMIA AWAPIGA SPANA WENYE HOFU YA BANDARI/TUMEWAACHA WAANDAMANE/WAKINITUKANA SIJIBU/ATOA ONYO
TUHUMA NZITO KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA SIMIYU/ ADAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI/ RAIS SAMIA AMTENGUA
zhlédnutí 56KPřed dnem
TUHUMA NZITO KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA SIMIYU/ ADAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI/ RAIS SAMIA AMTENGUA
WAFANYAKAZI WA MANGE WAKIRI WALITUMIKA KUICHAFUA SERIKALI NA VIONGOZI, WATANGAZA UJIO WAO MPYA
zhlédnutí 853Před dnem
WAFANYAKAZI WA MANGE WAKIRI WALITUMIKA KUICHAFUA SERIKALI NA VIONGOZI, WATANGAZA UJIO WAO MPYA
WANANCHI KURWAKI WAANZA UJENZI WA PROF MASAMBA MEMORIAL SEKONDARI.
zhlédnutí 150Před dnem
WANANCHI KURWAKI WAANZA UJENZI WA PROF MASAMBA MEMORIAL SEKONDARI.
UTACHEKA VITUKO VYA MWIJAKU KWA BOSS WA CHOICE AWARDS AFRICA "MSIPEPESE MACHO, WALA MSIPENDELEE"
zhlédnutí 45Před dnem
UTACHEKA VITUKO VYA MWIJAKU KWA BOSS WA CHOICE AWARDS AFRICA "MSIPEPESE MACHO, WALA MSIPENDELEE"
THRDC YAZINDUA KAMATI YA KUHAMASISHA UPATIKANAJI WA RASILIMALI ILI KUIMARISHA UTETEZI HAKI
zhlédnutí 69Před dnem
THRDC YAZINDUA KAMATI YA KUHAMASISHA UPATIKANAJI WA RASILIMALI ILI KUIMARISHA UTETEZI HAKI
CHADEMA KWAFUKUTA YAMFUKUZA MWENYEKITI WAKE KWA TUHUMA ZA KUNUNULIWA, KIKAO KIZITO CHAMJADILI
zhlédnutí 2,1KPřed dnem
CHADEMA KWAFUKUTA YAMFUKUZA MWENYEKITI WAKE KWA TUHUMA ZA KUNUNULIWA, KIKAO KIZITO CHAMJADILI
ALICHOKIFANYA MMILIKI WA SAMAKI SAMAKI KALITO KWENYE UZINDUKI WA 'TUNA UWA KILA SIKU' MLIMANI CITY
zhlédnutí 164Před dnem
ALICHOKIFANYA MMILIKI WA SAMAKI SAMAKI KALITO KWENYE UZINDUKI WA 'TUNA UWA KILA SIKU' MLIMANI CITY
SHUHUDIA CHALAMILA ALIVYOFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA MBOVU YA TABATA KIMANGA''MSILETE SIASA''
zhlédnutí 378Před dnem
SHUHUDIA CHALAMILA ALIVYOFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA MBOVU YA TABATA KIMANGA''MSILETE SIASA''
WADAU WA DEMOKRASIA WASHUSHA NONDO MJADALA KUHUSU HOJA ZA UCHAGUZI.
zhlédnutí 329Před dnem
WADAU WA DEMOKRASIA WASHUSHA NONDO MJADALA KUHUSU HOJA ZA UCHAGUZI.
JUKWAA LA KATIBA TANZANIA LAJA NA HOJA SABA NZITO KUHUSU UCHAGUZI.
zhlédnutí 265Před dnem
JUKWAA LA KATIBA TANZANIA LAJA NA HOJA SABA NZITO KUHUSU UCHAGUZI.
VYAMA VYA USHIRIKA WAUZA MATUNDA NA MBOGAMBOGA MARA KUUZA KIMATAIFA.
zhlédnutí 112Před dnem
VYAMA VYA USHIRIKA WAUZA MATUNDA NA MBOGAMBOGA MARA KUUZA KIMATAIFA.
WALIA KUCHOMEWA NYUMBA ZAO, KUPIGWA WAKIDAIWA KUVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI/ DC ADAI WANANCHI WAONGO
zhlédnutí 481Před dnem
WALIA KUCHOMEWA NYUMBA ZAO, KUPIGWA WAKIDAIWA KUVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI/ DC ADAI WANANCHI WAONGO
HILI NDIO KANISA JIPYA LA MTUMISHI GODFREY
zhlédnutí 207Před dnem
HILI NDIO KANISA JIPYA LA MTUMISHI GODFREY
MASHINDANO YA BONNAH CUP 2024 YALIVYOHITIMISHWA, SHUHUDIA HAPA MABINGWA WAKIONDOKA NA MAMILIONI
zhlédnutí 48Před dnem
MASHINDANO YA BONNAH CUP 2024 YALIVYOHITIMISHWA, SHUHUDIA HAPA MABINGWA WAKIONDOKA NA MAMILIONI

Komentáře

  • @ashuramahali3410
    @ashuramahali3410 Před 23 hodinami

    Muwe mnaua kabisa asifike police

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l Před dnem

    Sura sio ngeni hii jmn

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l Před dnem

    Mwizi akiiba kuku anauwawa ila.anaelawiti anapelekwa polisi

  • @CHARLESKIM-fi6qi
    @CHARLESKIM-fi6qi Před dnem

    Kamanda nyoosha maelezo, vp huzungumzii huyo mama mchina nahao wenye vibali kutoka wizara ya ardhi. Wewe unayo hati? Kiufupi jeshi hamna hati ila mmelitamani na mnataka kutumia mabavu.

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l Před dnem

    Hawa wala.msepeleke.kesi.polisi kimya kimya tu nao walawitiwe na kimya wafundisheni watoto kuwa wakiona tu dalili basement mie ningegawana nae viungo

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 Před dnem

    Jamaaaan jamaniii mkurugenzi jamani sali sala ya mwisho mwaka huu ni wako mama wa nchi anakupotcry😢😢😢😢

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 Před dnem

    UKIYAASIKILIZA MAELEZO KISAILOGIA UTAONA KUNA UKOMREDI, ANYWAY, MIE SIAMINI NA HAPO INAPOSKILIZA MAWLEZO YA WANANCHI WOTE NDO UTAJUAv KUWA BILA ELIM NI SHIDA SANA, VIPIMO VILIONESHA NBUZI ANA KORONA PAPAI LINAKORONA

  • @mr.yahzadochuno7914

    Aibu kwa police

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Před dnem

    Hebu mama Samia chukuwa watu wako kidogo Rwanda kwa Kagame akawape corse ya kukata ujinga wa rushwa kesha waje wawa funze tz ili ikatike iyo rushwa tz inawezekana mkiyataka

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Před dnem

    Jaman rushwa ni ugonjwa mbaya kunapo dhulma inakuwa haki ndomana rushwa inapigwa vikali sana dunian ila tz mumezidi hata hamuogopi yani serikali ipo tayar kumuuwa mtu ilimuradi apate rushwa hajali kabisa uhai wamtu anajali rushwa mm simtanzania ningelikuwa mtanzania nigajitahidi kukomesha ujinga kama huo

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Před dnem

    Jeshi la polisi litende Haki mpaka rushwa ndio itende Haki eti uchunguzi uchunguzi gani Huo dactar na Mtoto Kesha dhibitisha tena uchunguzi NI UPI kama sio rushwa acheni dhulma kwa watanzania nyie ma askari dawa yenu Makonda ndo kiboko yenu mtachaguwa rushwa au KAZI yaan hamna huruma Mtoto kalawituwa kwa sababu wanyonge hawajakupeni rushwa ndo uchunguzi Huo loh

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Před dnem

    Chomeni yeye pamoja na kinyumba chake

  • @wilfredmdemu611
    @wilfredmdemu611 Před dnem

    Cm nao wafanye mdahalo kama huu tutaona vioja kwa kweli

  • @user-pu9wf7zs5w
    @user-pu9wf7zs5w Před dnem

    Mzee pga kaz kk akimaliza mama kiti unakaa ww mm sio mpgji wa kula lkn now kula yangu utaipta

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 Před dnem

    Lengo lake alikuwa anataka kumzowesha ili awe anaenda mwenyewe kufanyiwa hivyo ili awe anampata kiurais, MUNGU amnyooshee kidole apewe haq yake ikiwa kafanya hili.

  • @costantenmwita5198

    Wewe ni mtakatifu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před dnem

    NENDENI KWA MKUU WA MKOA.

  • @costantenmwita5198

    Sema baba la baba wewe ni mkweli

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před dnem

    Polisi wao wanajali pesa tuu. (Rushwa).

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před dnem

    SERIKALI HAIWEXI KUWASAIDIA NYINYI MUMSHUHULIKIYE TUU HUYO NA WENGINE WOTE.WANAOFANYA VITENDO KAMA HIVI.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Před dnem

    Njaa mbaya Sana muongo Nani kakutuma mbeya mtupu at utaki Muungano

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Před dnem

    Acha ujinga ndiyo wenye kupotosha taifa😢😢

  • @user-sd5zf6fz4v
    @user-sd5zf6fz4v Před dnem

    Kwakweli wananchi nyote mmeongea pwenty

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Před dnem

    Hili ni dili huyo bint kama hawakua na mahusiano huyo binti alikua anaenda bar kumfuata ili iwe nini😂kesi iende mahakamani malaya wa kinyemela huyo

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m Před dnem

    Mtu akilawiti uweni hukohuko mtaani mkitegemea polisi yetu hakuna kitu

  • @VeronicaMsenga
    @VeronicaMsenga Před dnem

    Mshenzi kabisa

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi Před dnem

    Tetea haki baba ushindi ni wetu ata ccm imekubali kwenda nyumbani

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Před dnem

    Fedha hutumika sana utadhani Polisi hawana watoto

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Před dnem

    Msisubiri serikali kateni kichwa tu shenzi huyu kamdhulumu mtoto jamani uchungu haswa 😢😢😢😢😢😢

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před dnem

    Mbona km anasoma

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 Před dnem

      Ni mtoto anaeleza huku akikumbuka tukio na kujieleza

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y Před dnem

    wananchi watoe maoni yao mara ngapi?? walikwenda kwy tume ya Warioba wakatoa maoni yao wanataka nini yakapuuzwa nyie TLS ingebidi muishtaki serikali kwa niaba ya wananchi kulazimisha maoni ya wananchi yaheshimiwe na mchakato uendelee mpaka mwisho badala ya kuanza tena upya kukusanya kutoa maoni yao kwani mnaingia kwy mtego wa Samia wa kuchelewesha zoezi zima la kupatikana kwa katiba mpya

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Před dnem

    Safi sana upo sawa mama anachapa kazi halafu mashoga wanamtukana

  • @meritokibaasa3268
    @meritokibaasa3268 Před dnem

    Bado mnaomba???

  • @meritokibaasa3268
    @meritokibaasa3268 Před dnem

    Wananchi mnawabembeleza hawa. Malizaneni palepale!!

  • @BonnyMwajombe-iu7hb

    Hii issue ni ya kweli kabisa. Amir jesh mkuu asinge mtengua bila uchunguz yakinifu

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima Před dnem

    Nashangaa waisilamu wote mnasema eti niuongo ilimladi tu msionekane kama mnafanya manga hiyo ndo tabia yenu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Před dnem

    Mbona jamaa huyo ovyo hivyo?

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f Před dnem

    Hivi huko Arusha haya yote ht mkurugenzi na timu yakebpesa hizo na madiwani mbunge wanafanya nin?

  • @philimonmtweve4522

    Huyo ilikuwa haki yenu kumalizana naye

  • @muduramadhan4259
    @muduramadhan4259 Před dnem

    😡😡😡😡uongo huu

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n Před dnem

    Nashangaa sana.Elimu inayotolewa juu ya ulawit na ushoga ni kubwa sana.serkal inaamasisha,sana ktk majumba ya ibada,mashulen mtaaan nk.lkn visa kila uchao,mtu anabaka kisha hakuna kinachoendelea.kwann?❤

  • @alexntegeye9583
    @alexntegeye9583 Před dnem

    Binafsi Mwaka huu na Mwakani, nimeamua kufanya kazi ya kuwasikiliza na kuwachuja

  • @PrinceHendry-hp8vv

    Mngekua mnaua kama waizi

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Před dnem

    Na wewe mama sijuwi ndo mjumbe au mwenyekiti unashida vile vile uliambiwa auwende police ukotowe maeelezo hukuona muhim haujaenda haufai wewe mama pia

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 Před dnem

      Hajaenda kwa sababu Hana uchungu na yy chungu kimoja na muhutumiwa hafai kabisa Makonda ndo anaweza washenzi kama hao wala rushwa kisha wanasema uchunguzi wapate kiongozi kama Makonda Tu yote yatskwisha uonevu dhulma

  • @user-sw7gm6ok4u
    @user-sw7gm6ok4u Před dnem

    Ueleweki

  • @kiatu
    @kiatu Před dnem

    Dif or def ?

  • @reubenmobe9294
    @reubenmobe9294 Před dnem

    Hata sie tumechoka bunda michango majosho wanakula pesa afu michango tunachango tumechoka

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS Před dnem

    Na kuhusu pikipik toa maerezo

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Před dnem

    Nikweri kabisa shelia ifatemkondowake. Maana hayamambo yamepambamotokilakona. Wangekua wanauliwa wengine wangeogopa

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Před dnem

    Inawezekana kalawit kwel lakin ilikuwa ni mtego.kwan mpaka analawitiwa alikuwa kazimia au?hakumlipa chake