ASKOFU AJINYONGA NDANI YA KANISA LAKE DODOMA, MWENYEKITI AFUNGUKA WALICHOKUTA KAANDIKA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024

Komentáře • 242

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 Před 20 dny +42

    Mimi mzazi wangu, baba yangu kipindi cha korona biashara yake iliathiriwa sana akakuta anabakia na deni karibia bilioni. Haki nilikuwa nawasi wasi sana kama hatafanya maamuzi magumu, alikonda sana akaisha, mwingine alimchukua akamtishia akamuweka gerezani. Ila hakujiuwa alijitia moyo alikuwa anasikiliza wimbo wa Christina Shusho ‘Nashusha nyavu’ anacheza anafurahi. Nadhani ulimtia moyo sana, korona ilivyoisha akaanza tena biashara yake, leo amelipa madeni yake yote hadaiwi tena. Ananitia moyo sana kuwa jasiri katika magumu

  • @user-ii1gz2it4c
    @user-ii1gz2it4c Před 20 dny +13

    Daaaa inauma sana kbs haswa kuskia kama nimu méthodiste wetu,w🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @asifiwesamson2977
    @asifiwesamson2977 Před 20 dny +26

    Millard Ayo wewe ni gwiji la mtangazaji kuwahi kutokea Tanzania aisee!! Stejini uko gado sana big up

  • @DM.2200
    @DM.2200 Před 20 dny +38

    unaweza sema kajinyonga kumbe kanyongwa ila tusi judge sio kaz yetu mbele za haki kitajulikana🙌🙌

  • @elizabethmwamakula4784
    @elizabethmwamakula4784 Před 20 dny +20

    Naye ni binadamu kama sisi ana moyo kama wengine ana maumivu kama wengine.inabidi tuwaombee sana hawa watumishi wa Mungu wanapitia vitu vingi sanaa.

    • @neemasalema1546
      @neemasalema1546 Před 20 dny

      Ni kweli kabisa inabidi tuelewe kuwa watumishi wa Mungu ni wakuombea

    • @luizamatola1341
      @luizamatola1341 Před 17 dny

      Ni kweli kabisa. Watumishi wa Mungu wa mbinguni wanapitia matatizo mengi inabidi tuwaombee. Mungu awape faraja wote washirika wa dhehebu la Methodist pamoja na familia kwa ujumla.

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 Před 20 dny +6

    Haiwezekani.Nashauri Uchunguzi ufanyike.huenda kashinikizwa nawauaji wake aandike hivyo kupoteza ushaidi.Tumieni akili.angetaka kujiua angejifungia ndani ili mtu asimsaidie, mlango kuwa wazi maana yake wauwaji waliondoka.

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Před 20 dny +3

    Lakini naomba kuuliza hivi Tanzania kuna namba /call centers ambazo mtu anaweza kupiga kama mtu akiwa na suicidal thoughts…?kwasabab damn💔…kama ipo naomba isambazwe mitandaoni itangazwe redion watu wajue wapi wana piga au kufika kama mtu ako na suicidal thoughts…case zinakuwa nyingi za watu kujiua

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Před 19 dny +1

    Kuna siri kubwa hapo kuna kunyongwa au kujinyonga baada ya kutenda dhambi na moyo wake ukamtuma ajihukumu badala ya kutubu ibilisi kafanya kazi yake ndani ya nyumba ya ibada Allah atupe mwisho mwema atupe ufahamu wa kina wa kuliendea kila jambo wala hapaswi kulaumiwa bali kuombewa tuu Mungu mwenyewe ndio ajuaye yaliomo nafsini mwetu😢😢😢

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM Před 20 dny +2

    Hapa ndipo ubinadamu hujidhihirisha. R.I.P baba askofu na mtani wangu. Yote ni njia za kuihama hii dunia.

  • @medicalamon908
    @medicalamon908 Před 20 dny +3

    Aisee hii imenipa huzuni mno kuisahau siyo rahisi. Jamani nini hii....!!!?
    R.I.P. ASKOFU JOSEPH M.BUNDALA

  • @user-qj9ig6bw2n
    @user-qj9ig6bw2n Před 18 dny +1

    Kun'lu nafsi dhaa'iqatul mauti,, sote ni waja wa Allah na kwake ndio marejeo yetu Allah atupe mwisho mwema
    Innalilahi wainnailahi rajiun

  • @estinomkinga1260
    @estinomkinga1260 Před 18 dny +1

    Huyu askofu inawezekana alikuwa na huruma sana kwa waamini wake, hakutaka kuwapelekea michango mingi ya kiimani.

  • @user-vb9ci1wl5e
    @user-vb9ci1wl5e Před 20 dny +2

    Rest in peace Joseph Bundala mbele Ako nyuma yetu.

  • @SuzanHassan-pz7gt
    @SuzanHassan-pz7gt Před 16 dny

    Mungu awasaidie wanaopitia magumu Mungu hajawai kushindwa vumilieni jitieni moyo katika kristo mtavuka salama

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 Před 19 dny +1

    Kwamba waya wa cm unaweza kuhilimi uzito wa mtu kulko shuka la kimasai!?
    Aisee pole sana kwa kanisa 😢

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 Před 19 dny +2

    Uchunguzi ufanyike. Yawezeka kauwawa

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Před 20 dny +10

    Dah Joseph Bundala rest in peace. SOTE NI WANADAMU NA MAPITO YANATUPITIA WOTEEE😢😢😢😢

  • @godisgood-iq8mt
    @godisgood-iq8mt Před 19 dny +2

    sio kauliwa kwel, kupoteza ushaid wakaweka waraka

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Před 20 dny +1

    RIP Ask BUNDALA . WAZAZI PIA POLENI, UMEACHA MAJONZI KWA JAMII HATUA HIYO YA KUONDOA UHAI IKEMEWE KABISA ISIJIRUDIE. MADENI MI MABAYA MNOO.

  • @TedyMwenda-vb6xc
    @TedyMwenda-vb6xc Před 20 dny +2

    Jamani mwali wangu na mwalimu wa mdogo wangu tangu wadogo oooh

  • @marryhewasi3070
    @marryhewasi3070 Před 20 dny +1

    Duuu mungu atuokoe namabaya

  • @ChristinaMwaluko
    @ChristinaMwaluko Před 20 dny +3

    Ni habari ambayo imetushituwa Wana ipagala wote mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

    • @lovenessfracis
      @lovenessfracis Před 20 dny +1

      Kwa dini yetu ya kikristo mtu akijitoa uhainmwenyewe huyo hawezi kwenda peponi Bali ni kotoni moja Kwa moja Wala ibaada haiwezi kufanya juu yake huyo aliyejitoa uhai mwenyewe,zaid tumwombee Mungu amusamehe na ampunguzie na adhabu ya kaburi😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

    • @ChristinaMwaluko
      @ChristinaMwaluko Před 19 dny

      Nihatari kwakweli inasikitisha sana

  • @TedyMwenda-vb6xc
    @TedyMwenda-vb6xc Před 20 dny +2

    Mtahani kwetu

  • @user-rk7mj9ze3y
    @user-rk7mj9ze3y Před 19 dny

    Background noise inasumbua

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j Před 20 dny

    😮😮😮 pole kwa familia

  • @FurahaIddySeleman-xl2id

    Hapa kuna shida mawazo yangu huyu kauwawa ila hukumu ya Mungu n haki Mungu hashindwi kitaonekana tu

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq Před 20 dny +2

    Aliipenda Kaziyake Akaamua ajiue ndaniyakanisa ambapo ndipo anapofanyia kaziyake BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINALAKE....🤲🙏

    • @FurahaPetro-ly8jc
      @FurahaPetro-ly8jc Před 20 dny +1

      Katika uaskofu wake wote wa miaka na kusoma biblia kote hakusoma andiko Hilo kuwa kujinyonga ni dhambi😢😢😢😢

    • @FurahaPetro-ly8jc
      @FurahaPetro-ly8jc Před 20 dny +1

      Katika uaskofu wake wote wa miaka na kusoma biblia kote hakusoma andiko Hilo kuwa kujinyonga ni dhambi😢😢😢😢

    • @YusufLubangula-yn6tq
      @YusufLubangula-yn6tq Před 19 dny +1

      @@FurahaPetro-ly8jc Kaamua kuvunja andiko! Jambo lakujiua Lina MENGI Wengine wanamalaziyao wanaogopa kutesekea DUNIANI

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Před 20 dny +1

    Askofu wangu aisee

  • @mammukaratu2084
    @mammukaratu2084 Před 20 dny +2

    QADARA za Allah zimeamua khatma yake !! Innallillah WA ihhna ihhlai rwajiun

  • @patrisiaMasimosya
    @patrisiaMasimosya Před 18 dny

    Poleni wanafamilia

  • @stanleymwaselela1849
    @stanleymwaselela1849 Před 20 dny

    Kiimani hii ni hatari sana alafu ndani ya kanisa hiyo Roho ya kujinyonga isibakie ndan ya kanisa BWANA YESU KRISTO
    MUNGU MKUU na aiondoe isiwafuatilie na wengine Ameeeen

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 Před 20 dny +1

      Ila atakuwa kajinyonga Ili msamehewe dhambi zenu wanakanisa😢

    • @stanleymwaselela1849
      @stanleymwaselela1849 Před 20 dny

      Hapana hii ni roho ya yuda iskalioti ni mbaya sana mbeba maona au kiongozi muonyesha Njia akionyesha Njia kama hii ni hatari maana yake shetan umemruhusu mwenyewe akushinde na umempa kiti chako akikalie ndio maana nimemuomba YESU KRISTO MUNGU MKUU AIFUTILIE MBALI HII ROHO isikalie Hilo kanisa ingekuwa nje na Hilo kanisa sawa sasa ndan ya kanisa maana yake kiti cha kiongozi kikaliwe na roho yamauti haitawezekana

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Před 20 dny +1

    Rip mu méthodiste wetu😢😢

  • @evakessy3282
    @evakessy3282 Před 20 dny +9

    MENTAL HEALTH IS REAL!!!!???? SIO KILA MTU YUKO SAWA HATAKAMA NIMSHAURI AU KIONGOZI WA KIDINI

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 Před 18 dny

    Watu mwanishangaza sana rest in peace wakati bible yasema do not commit suicide... Mungu atusaidie tuskfie mahal pakujinyonga maan sku ya hukumu ghadhabu ztakua 2 in 1

  • @user-lz5it9yn4q
    @user-lz5it9yn4q Před 19 dny

    Mmhh!
    Ndo kuwah mbingun au😭😭

  • @johnsemuna3670
    @johnsemuna3670 Před 19 dny +1

    Kuna magari elfu hio ndo lake😢

  • @user-gw8wv2zf2g
    @user-gw8wv2zf2g Před 20 dny +2

    Sawa maisha yana changamoto lakini huko mbali

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 Před 19 dny

    Tunashukuru kwakutujua mengi Millard, ila kelele nyingi za muziki kwenye taarifa za matukio mara nyingi hazipendezi. Muwe mnaondoa hiyo muziki , haifai kwenye taarifa kama hizi

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 Před 20 dny

    Duhh hata mie toka nizaliwe sjawak kuskia askof kajinyonga

  • @user-id8bu6lw8x
    @user-id8bu6lw8x Před 20 dny +1

    RIP

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 Před 20 dny +8

    Du ila amekufa na dhambi ya kujiua!!, 2004 ulkuwa mkubwa mbona unaonekana bado mdogo!!!

  • @BituroPaschalKazeri
    @BituroPaschalKazeri Před 20 dny +1

    waya wa simu ufungwe dirishani na unyoge mtu mpaka kufa? Haiingii akilini

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Před 20 dny

    Rip😭😭😭🙏

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 Před 20 dny

    Serikahli ichunguze hili isiishie kuwa eti ameoacha ujumbe, binadamu siku hizi tumekuwa na roho mbaya sana hili lichunguzwe, washenzi wanaweza kumnyonga na kutengenez a mazingira kuwa kajinyonga

  • @meshackmpalanga9130
    @meshackmpalanga9130 Před 20 dny +1

    Uchunguzi ufanyike tafadhari

  • @magdarenachristopher5922

    Sisi wakristo inabidi tumwamini Mwanae wa MUNGU
    Kristo peke yake hili atusaidie kuyavuka majaribu
    Na sote tujitahidi kuingia katika kanisa lake
    Makanisa ya watu hayana uwezo
    Mtu akisema ana kanisa lake hataweza kukabiliana na majaribu yanapomfikia
    Inabidi tufahamu kanisa la MUNGU na mwanae BWANA wetu Yesu Kristo kupitia Biblia
    Hili tuwe na amani moyoni na kuyashinda majaribu.

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw Před 20 dny

    Daaaaa lichunguzwe hilo jambo jamani 😭😭😭

  • @user-cn8yx4mn2t
    @user-cn8yx4mn2t Před 20 dny +1

    Waya wa sim jmn mmh , niwaainagani huo

  • @rerisamba
    @rerisamba Před 20 dny

    Kwani alisahau kama kuna kuzimu ambayo mwisho wake ni jehanam jamani hivi ameanza maisha mapia kuzimu milele na milele

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Před 20 dny

    Hiyo music ya ninii inatoa ladha ya habari yenyewe

  • @justinmwenda7449
    @justinmwenda7449 Před 18 dny

    😢😢

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Před 20 dny +1

    Waya gani wa sim.ulioweza kunyonga mwanaume mzima?
    Hili suala lichunguzwe vizuri japo hata likichunguzwa hawezi kurudi ila naamini amenyongwa na kutundikwa

  • @Economically-Growth-Musicians

    😢😢😢😢😢

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 Před 20 dny +2

    Atakua kauliwa kiisha katengenezewa mazingira ya kujinyonga

  • @Gannaartist
    @Gannaartist Před 20 dny

    Ninaomba namba za Ayo TV

  • @musamusa6374
    @musamusa6374 Před 20 dny +1

    Kwahyo waya wa simu sawa

  • @GodloveMtewele
    @GodloveMtewele Před 20 dny +2

    Tupo duniani wapendwa changamoto ni nyingi

  • @vincentjameskinogo3405

    Daaaaaaaaaa

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Před 20 dny +1

    Nina maswali mengi saana.la kwanza ni kanyongwa au kajinyonga?

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před 20 dny +1

    Mmmmh mitihani

  • @naomimakawa7526
    @naomimakawa7526 Před 19 dny

    Brooo una sauti ya kipekee alafu mbna hauzeeki upo vile vike tokea 68😂😂

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d Před 18 dny

    Tuliyoko oman ni ngapi ngapi kaka

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg

    No comments

  • @chidi_don
    @chidi_don Před 20 dny +1

    Dah sio poa kabisa yani inahuzunisha sana 😭😭

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Před 20 dny +2

    Sina la kusema

  • @VeronicaBenard-xr5oy
    @VeronicaBenard-xr5oy Před 19 dny

    R.i.p dear uncle😢

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 Před 20 dny

    Duuh!

  • @renatusjeremiah
    @renatusjeremiah Před 20 dny +1

    Kama yuda eskariote Naye alipomsaliti Yesu alijinyonga hata yy Kuna alichomkosea Mungu

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 Před 19 dny

    Tatizo.Ukishirikisha utasaidiwa au utachekwa?

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Před 20 dny +5

    Wanakulaga bange kimyakimya mwingine alijitumbukiza kwe tank la maji hapo posta dar,

    • @phinaphina3201
      @phinaphina3201 Před 20 dny +1

      We jamaa umenichekesha sana

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k Před 20 dny +1

      😂😂😂😂

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Před 20 dny

      SaanaHatamieNimechekaKamaMazuriEti.kajitumbukiziKwenyeTankLAmajiKaah​@@phinaphina3201

    • @sarahwawuda5164
      @sarahwawuda5164 Před 20 dny

      Duu nimecheka kama vile mazuri 😂😂😂😂

    • @njuka3515
      @njuka3515 Před 20 dny +1

      Siku yakikukuta ya kukuta utajua kuwa si wote wanaokula bangi

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 Před 20 dny +3

    Wacheni uongo.
    Mtu ni mzito hawezi kujinyonga kwa wire wa simu.
    Huyo msadizi anapaswa kusaidia polisi.
    Wanawaua watu wanasema wamejiua.

    • @hekimanziku464
      @hekimanziku464 Před 20 dny

      Kweli kabisa waya wa simu hauwezi beba mwili wa mtu mzima inakuwaje mtu ajinyonge kwa shuka ishindikane aje ajiue kwa shuka huyo kalishwa sumu wakamtundika

    • @YusufLubangula-yn6tq
      @YusufLubangula-yn6tq Před 20 dny +1

      Kama unabisha waya wa SIMU haukabi mtu Basi usiyakuze mambo Nenda kachukue ujitumdikenao tukuone Kama haufi! Kamba ya manila inaua Isiwe huo waya!? 👺🥺🤔

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Před 20 dny +1

      ​@@YusufLubangula-yn6tq
      Naam kila apingae akajaribu kama huo waya utakataa kumnyonga..

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 Před 20 dny +1

      Jaribu waya wa ttcl uone matokeo

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 Před 20 dny +1

      Jaribu waya wa ttcl uone matokeo

  • @mcdanford5389
    @mcdanford5389 Před 20 dny

    Kuna kitu kinawafuatilia ma askofu nchi hii maana wamekuwa tofauti sana na utume walioitiwa , wengine wanakuwa wazinzi ,wengine wanajiua yaani kiongozi wa kiimani akifika hatua hii kuna kundi kubwa sana la watu wenye imani changa wanarudu nyuma ama kuanguka kabisa.

  • @deniceurassa9038
    @deniceurassa9038 Před 19 dny

    Kilimanjaro mnapatikan je

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Před 20 dny +1

    Mwanadamu ni mwanadam tu tamaa ubinafsi

  • @user-ie6hs3ul2q
    @user-ie6hs3ul2q Před 19 dny

    Waya wa simu ? Huo ni uongo wa mchana hapo maslahi yameleta shida

  • @anicethjonathan2846
    @anicethjonathan2846 Před 20 dny +4

    Punguza kelele tusikie vizuri!

  • @user-oq6sf3eh8y
    @user-oq6sf3eh8y Před 20 dny

    Duuh shetan yupo kazn jaman tusichoke kuomba

  • @celinefrancis3651
    @celinefrancis3651 Před 19 dny

    Jamani mbona inasikitisha inaeza ikawa hajaji amenyo

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk Před 20 dny +1

    Ichunguzwe lsije kuwa kanyongwa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Před 20 dny +1

    😢😢😢mbele yetu nyuma yake 💔

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta Před 20 dny

    Waya wa simu haya bwana yote kwa yote tutajua tukifika huko juu kwa Baba yetu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Před 18 dny

    Aliyeleta soda asaidie upelelezi

  • @ElizabethSumbe
    @ElizabethSumbe Před 19 dny

    Mbingu hatoiona labda azikwe kijiji cha mbingu morogoro

  • @costanciawerema8613
    @costanciawerema8613 Před 18 dny +1

    Uchunguzi zaidi ufanyike!!Si rahisi Mtumishi wa Mungu autoe uhai wake kirahisi hivyo

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc Před 19 dny

    Kaka mirad kumbe wewe ni mkubwa kuliko mimi, mi 2004 nilikuwa nina miaka 8, ila upo vizuri hauzeeki

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 Před 20 dny

    Waya wa simu hauwezi ukashikilia kilo arubaini (40kg) lazima ukatike kwa haraka, haya Askof alikuwa na kilo 30? anyway Rest in Peace

  • @davidkehogo3230
    @davidkehogo3230 Před 20 dny

    Kifo kibaya Sana... Mara nyingi hua nikiongelea Swala la Afya ya Akili lakini hakuna anayenisikia.... Mungu atusaidie 😭😭😭

    • @FurahaPetro-ly8jc
      @FurahaPetro-ly8jc Před 20 dny

      Ukiona watu kumi wamekaa pamoja wanacheka wamefurahi Kuna wtu nane sio wazima wa akili😢😢😢

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk Před 20 dny

    Ukijiukumu unaenda motoni yeni mimi nibora unifunge lakini sijitoi uhai wangu

  • @williameliaslaizer6217

    Maagizo gani

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 Před 20 dny +1

    Majipatia uaskofu kiholela, afu mnadhalilisha ukrist

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 20 dny

      Hahahahaha, karibuni kwenye uislam jaman, ushasikia wap sheikh kajinyonga

  • @user-tz8yn9uf2k
    @user-tz8yn9uf2k Před 19 dny

    Ajali,matukio kila siku kwanin

  • @charlesmayilla2926
    @charlesmayilla2926 Před 20 dny +1

    U hunguzi mhimu

  • @davidndyamukama3148
    @davidndyamukama3148 Před 19 dny

    Waya wa simu si ungekatika kabla ya mtu kufa? Mwandiko wa waraka ni wake?

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v Před 20 dny

    Stone Town Iringa

  • @umtv9224
    @umtv9224 Před 20 dny

    Ukishangaa ya Musa utaona ya firauni
    Apumzike kwa amani viongozi wanapitia mengi cha maana kuombeana tuu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před 20 dny +1

    Hatari

  • @user-ub3xh7ug6c
    @user-ub3xh7ug6c Před 19 dny

    Nilikuepo jan maeneo hayo kanisa la wakolea

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 Před 20 dny

    Innaalillahi. Mmungu amrehemu. Mbona Kimombo kingi Milliard pamoja na Kiswahili? Wengine wetu lugha ndogo. Tustawishe Kiswahili

  • @badiomary822
    @badiomary822 Před 20 dny

    Utitiri wa Makanisa nao Unachangia kuwepo jamii za ajabu ajabu Miongoni mwa Waumini wa Makanisa hayo !! Askofu wa Kanisa anajinyonga Je hao Waumini alikuwa anawaaminisha nn kabla ya hapo? Ni heri hawa Macommedy kama akina Hananja na Mgogo wana Makanisa ya Kitchen Party !!

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Před 20 dny +1

    Duuh….!!! Niatr Kweli Mchungaji Kafiya Kwa Kanis😭😭😭😭