JINSI KUFANIKIWA SEHEMU UNAPOPIGWA VITA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 08. 2023
  • Kufanikiwa sehemu unapopigwa vita inaweza kuwa vigumu sana endapo hali hii ikikukuta, sababu mara zote utakuwa na imani ya juu sana kuwa watu wanaokuzunguka au watu wa karibu wanaweza kukupa sapoti na huenda utaamini kuwa ni wajibu wao kushirikiana na wewe kuhakikisha jambo lako linasimama.
    Lakini kwa wengi huwa kinyume kabisa, na hushangaa kwanini inakuwa vigumu kwa watu wa karibu kutoonesha ushirikiano wowote. Karibu ujifunze jambo kwenye somo hili leo hii na Ezden Jumanne.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo: 10,000 TZS tu.
    .
    OUR SPONSOR'S DETAILS:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    / @jewajua5506
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #Kufanikiwa #unapopigwa #vita

Komentáře • 31

  • @benedictonywage5461
    @benedictonywage5461 Před 11 měsíci +2

    Imani yangu inaniambia kuchagua njia yako ya tofauti ni vizuri lakini omba sana usianguke kati kati ya mchakato kabla ya matokeo unaweza kugeuka mtumwa maisha yote yaliyobaki kwa wale waliokua wanakupinga kuonekana wameshinda

  • @mohdsalehe3540
    @mohdsalehe3540 Před 11 měsíci +3

    Bro shukran kwa masomo mazuri. Najifunza mengi sana tangu nikufahamu. Masha Allah

  • @-zj2zd
    @-zj2zd Před 10 měsíci +1

    Dah yani brother ushakanifunguwa akili sana tu mungu akubariki sana🎉🎉🎉

  • @B-R-JayBonfils-kf4uu
    @B-R-JayBonfils-kf4uu Před 11 měsíci +2

    Ezden asant sana

  • @amosgodson7721
    @amosgodson7721 Před 11 měsíci +2

    success path next levels😜😜😜 video iko on fire

  • @agentx4359
    @agentx4359 Před 11 měsíci +1

    Asante sana Mr Ezden. Kwa kweli kwa elimu hii umekuwa faraja kwangu. Binafsi mahala nafanya kazi nakutana na ukinzani mkubwa ila nnachofanya ni kupuuzia na kuchapa kazi na kikubwa zaidi najitolea na muda wangu wa ziada kukamilisha kila kitu. Binafsi najua ndo changamoto zenyewe mahala pa kazi. Asante bro. Bless sana

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 Před 7 měsíci

    I appreciate you because you motivate me every morning God bless ❤

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 Před 11 měsíci +1

    Swali la kwanza: ndio nishawahi pata izo challenge ,niliondoka iyo sehemu,niliona hainifai iyo environment.
    Swali la pili: nimepuuzia na still I am on the journey of my future success.

  • @user-sv3cs7yb3y
    @user-sv3cs7yb3y Před 11 měsíci +2

    Nilichofanya nikukomaa kufanya ninachokiamini mimi.Nilikuwa masikilizaji kisha sibadili my plan

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 Před 11 měsíci +1

    I love this channel, and once I shared it with 9 people of mine, I ila sijui, if they do watch consistently like me.
    I know why I love this channel because it changed my life from low to middle zone. I love you all in a million languages ❤.
    I will keep on support this channel by watching and learning everyday

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Před 11 měsíci +1

      Thank you very much Furaha, may the Lord bless your life to be full of happiness just like your name. Ameen

    • @user-vm4ep8lw2r
      @user-vm4ep8lw2r Před 8 měsíci

      @@successpathnetworkkaka naitaji msaada wako

  • @user-qd9qt7ro6b
    @user-qd9qt7ro6b Před 11 měsíci +2

    mashaallah mung akupe afya n nguv yakuwez kutufikishia katik jamii na mungu atuwepeshia katika haya kuyazingatia na kuyatekeleza. Amin amin

  • @SalmaMsikiti-lu5eb
    @SalmaMsikiti-lu5eb Před 8 měsíci +1

    Aisee mm imenitokea nilipigwa vita na ndugu wakuzaliwa nao tena nikapewa na Nina kabisa naitwa maskini lakini kilichonisaidia nikuwa na msimamo nasijakata tamaa mpaka sasa alhamdulillaah kwanilipofikia na nimtu ambae napendwa sana na walewale maadui zangu na nazidi kuwapenda na mm

  • @user-jx7in4qk2j
    @user-jx7in4qk2j Před 11 měsíci +1

    nakubali sna kaka mkubwa

  • @user-yh3cv5ru5v
    @user-yh3cv5ru5v Před 11 měsíci +1

    Kama una muelewa ezden kama mimi shafii nipeni maua yangu

  • @jmmobilefix7588
    @jmmobilefix7588 Před 11 měsíci +3

    hii vita nishaiona yakawaida, kikubwa ni kama ulivosemauvumilivu na kutokata Tamaa

  • @romanasilvan2963
    @romanasilvan2963 Před 10 měsíci +1

    Umenisaidia kuwa mvumilivu kaka.

  • @samwelgabriel8379
    @samwelgabriel8379 Před 11 měsíci +2

    🙏 Appreciate Sana bro,
    Karibuni maake naona mmekawia sana, kupost masomo,
    Am much blessed on how to prosper in a hardship and A resistance environment,
    Niseme tu kwamba, vita ambavyo mara nyingi inakuwa katika eneo, ninaloishi mara nyingi, n vya kishirikina,
    Yaan mtu akikuona umefanya hili, baasss anaweza kukuronga au kukufanyia hiana ya aina yoyote ile,
    Lingne bro, ni kwamba, mbali na kwamba, ushirikina siamini lakini, kuna namna, nikishaakuwa mazingira ya hapo home, I start see myself blind, ata sioni chochote changu cha kuanzisha unless niko nje na maeneo ya home ndo ubongo unaanza kuchakata mambo, bila ya kuyaweka katika matendo na kuleta katika uhalisia,!🙏
    Nitashukuru sana kama nitaona ushauri wenu, kaka
    Kuna mtu anauliza mimi nmesoma au lah,!;?❗ Yeah nmesoma, nmemaliza diploma ya BA na sasa nko KENYA Kikazi
    Asante!

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Před 11 měsíci +4

      Hey Samwel, pole sana kwa hiyo situation brother. Wakati mwingine ili tufanikiwe zaidi ni muhimu sana kuhama eneo unaloishi na kuhamia pengine ambako utakuwa mgeni kabisa. Watu huogopa na kuhofia kwenda maeneo ambapo ni wageni kabisa lakini huko utaweza kuanzisha kitu na kikawa kikubwa...mara nyingi vita za hivyo ziko baina ya wazawa sana sana. Tazama hata jiji kama Dar es salaam...watu waliofanikiwa kabisa hapa na wenye maisha makubwa ni wageni, watu waliotoka mikoa mingine na kuja tu hapa kutafuta maisha...wenyeji wengi wao wapo tu.... Kwahiyo hata wewe, tafuta namna ya KUHAMA HARAKA

    • @samwelgabriel8379
      @samwelgabriel8379 Před 11 měsíci +1

      @@successpathnetwork Success pathnetwork Asanteni sana kwa namna mnavyowajali wadau wenu na kwa ushauri mlionipa bila kukawia,
      Ulichosema kaka ni kweli maana even on the Bible, ilibidi Ibrahim Ahamishwe kwanza na Mungu kwenda eneo jingine,. Hivyo
      Napenda tu kusema kwamba i will be a testimony later on,,,
      Kwamba Nilipokea ushaur kwenu na nikafanyia kazi na nikafanikiwa,!❗So am appreciating much for your quick response unto me..!

  • @sanyengefundibatigeita
    @sanyengefundibatigeita Před 11 měsíci +2

    Huwa najifunza mengi kupitia kwako bro 👍

  • @enoshmukama4783
    @enoshmukama4783 Před 11 měsíci +1

    Nimekuwa napitia ila nilikuwa nakata tamaa kwa sababu mda mwingine unaikuta anayekupinga ni mtu mkubwa unaemheshimu

  • @user-kj6od4zi7j
    @user-kj6od4zi7j Před 4 měsíci

    Mi nishapigwa vita sana lkn mpaka leo nanga inapaa iyo

  • @raytonnjejo8614
    @raytonnjejo8614 Před 10 měsíci +1

    MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WA MUNGU.

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 Před 11 měsíci +2

    Hii imenigusa Mimi nilikuwa nafungua biashara wakati huo huku na endelea na ujenzi Lakin wazazi wangu hawakunielewa wanataka eti nimalize kwanza nyumba ndo nifungue biashara Bas niliongea na Mama taratibu akanielewa Lakin Baba alinionesha kama amekubali Lakin mim najua hajanielewa hili nifanyeje naomba ushauri