INASHANGAZA MAFUVU ZAIDI YA 20 YALIYOKUTWA NYUMBANI KWA NYERERE "YAMEZIKWA KABURI MOJA"
Vložit
- čas přidán 14. 10. 2020
- Muongozaji wa wageni Mwitongo kwa mwalimu Julius Nyerere Gaudensia Waziri ameeleza kuwa wanajeshi waliojenga nyumba ya Baba wa Taifa walikutana na mafuvu zaidi ya 20 na blanketi ambayo yalizikwa kwenye kaburi moja dogo.
Dada uko vizuri sana ktk kuelezea! Yaani unaeleweka ! Yaani kama una andika, maelezo yako yana mikato, Nukta na vituo dah! Ungekuwa mwalimu wewe sidhani kama kuna mwanafunzi angefeli kwenye somo lako!
Kweli kabisa! Halafu ame tulia hana papara! Nime mpenda bure tu yaani 👏🏾🙏🏽
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇
czcams.com/video/mJ5_G0bF-uw/video.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
Nukta ndio vituo vyenyewe ila sio vya police 😅😅😅
Yupo vzr mempenda sana
Wewe ndio mwanamke wa kwanza kumsifia mwanamke mwenzio hongera
Hizi ndo historia za kuwafunza watoto sio mara Bilnenga mara nandy sasa tutajifunza nini!!
Olo ini olo I love it !!!
Uyu dada anafaha san kua mwanahabar anatoa simple And clear hana mamb meng point tupu ✔✔
Mashallah, hongera sana Dada kwa story hii
Hapa ss naanza kuona mawazo y Ally Kiba inabidi yafanyiwe kazi inabidi ifnyike documentary y Mwalimu cz inabidi vijna tumfahamu vzr syo tunasherehekea tu kumbukumb
Kweli kabisaa
umeonaee
Mtangazaji 102%
I am very grateful to Ms Gaudencia. She is a wonderful guide, I had wished to visit this place for 24 years and finally in September 2023, I visited. It was nostalgic
Asante kwa kutuletea simulizi ya mwl nyerere na ukoo wake.
Safi sana. Msimuliaji uko vizuri
Alisema nyumba kubwa ya nini kwani yeye Tembo??? 😂😂😂😂
Dada apewe ulinzi tafadhalii💥🔥🔥🔥
Wewe Dada jamani
Mbona una kipaji kizuri hivi?
Yaani ungekua unaandaa documentaries za histories anuai ungepata viewers wengi sana, sababu una charisma ya kueleweka na convincing voice, yaani una nguvu ya kusikilizwa.
“Ndivyo alivyo sema Nyerere mwenyewe, alipo ambiwa na serikali kuwa wana taka ku mjengea nyumba kubwa ‘aka kataa’! Aka waambia “Mna taka kuni jengea nyumba kubwa kwani mimi tembo? Nyumba ndogo tu ina nitosha! Waka shangaa! Ali kuwa kiongozi wa kweli. Uki angalia videoclip za Nyerere uta weza ku iona hiyo hotuba ya hayo maneno aliyo sema Baba wa Taifa 🙏🏽”
African chocolate huyu alikuwa rais japo alituwekea katiba ya kijinga ,,kuhs mijengo haya marais na huyu aliyoko madarakan washa jijengea mijengo kila mahal
@@edenbaraka7533 “🙏🏾”
Leo marahisi wanagawiana nyumba😂😂😂
Dada unajua kazi yako. Safiiii
Dada anaongea vizuri. Yani Kama wake wa promotions za sabuni na sawa ya mswaki kwenye mabasi
Anaelezea vzr had raha
😂😂 yaani hata sijui umefikiria nn we jamaa!
hahaha inaelekea unasafiri sana na mabasi
Hahaha umenifurahisha daah
“Kweli kabisa! Halafu ame tulia hana papara! Nime mpenda bure tu yaani 👏🏾🙏🏽”
Umeelezea vizuri sana Dada asnte
Nice Tanzania mnamambo Yesu ana waona.
🤣🤣🤣
Unamjua yesu??
Maashaallha history nzuri😘
Nyerere haku tamani dunia kwa kweli
Toka Kenya uyu Dada anapendeza katika maelezo yake hakika ameiva
Nakumbuka vizuri sana kimpindi anakufa mamaake mwalm nyerere ilinyeshaga mvua kubwa sana hadi wakaiita elimino
Kama ulikuwa hujui "chifu maana yake ni KING" ...chukua hio
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇
czcams.com/video/mJ5_G0bF-uw/video.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
Chief?
King?
Which is which??🙄🙄🙄
Chifu ni chief na king ni mfalme usitupige kamba, tofauti yao chifu ni kiongozi wa jamii fulani au kabila na king ni mtawala wa jimbo flan au taifa
@@francescorutinwa502 asante kaka maana si kwa kuchotwa hukoo
Dah unatuswaga tu kama ng'ombe
Butiama kwetu, mungu mpumzishe wajina wangu baba wa taifa mwl Julius K Nyerere😪😪😪
Huyu Dada mkalimu sana najua ulitupokea na kutuongoza vizr tulipotembelea hapo.
Daaah yaani iyo location nzuri sana
Ila hayo mafuvu zaidi ya 20, waliyokutana nayo wakati wanajenga hiyo nyumba, kuna namna hukutaka kufunguka vizuri.
Wange kuwa wanarudishwa nyerere ningemurudisha apige kazi
Short and clear thanks dada
millardayo nakushukuru nimejifunza kitu ambacho nilikua sikijui kazi njema
AISEE DADA NIMEKUELEWA SANA KATIKA UTANGAZAJI WAKO
💯💯dadaaa
Msimuliaji nimempenda sana sana
Dada mtulivu sana.
Baba wa taifa wazungu walimuua tuu baada ya kuwazidi akili nyingi. All in all Rest in paradise 🙏💔
Sio wazungu tu!! Figisu ilianzia hapa Tz, kule walienda kummalizia, watu wabaya sana, Mzee alikua mzima kabisa,
@@godsongodson6087 true kaka, yaani bora angeuguzwa hapa hapa kule walipompeleka walienda kummaliza kabisa
Kumbe jamn alikuw mzim tuu ila hawa wazungu ipo siku yawo tuu
Hongera
Nimeipenda hii historia fupi ya mwalimu na mtangazaji mmempata
Kuongea kaongea vizul tatizo kamera haimuliki sehem ya inayoongerewa ni sitofaham
Mtangazaji🤘🏿
Nataman ata ungeendelea dada ang maana nimekuelewa vzr sana
Nice
Bora asema nyumba kubwa mimi tembo,Nashangaa miji2 imejenga nyumba kubwa kupita uwezo wao,wamebakia kuishi kwenye magovu,ukiingia ndani viroboto ndo wenyeji wako,Tehetehee
Hii ndiyo afrca
Noma
Eti nyumba kubwa ya nn kwan yeye tembo
Ubarikiwe mandela
Dada Uko vizuri Sana ila wigi sjui ulikuwa unaharaka!
🤣
utasikia sikukuu ya nyerere watu hawajui wao ndio sikukuu leo mh
Duh turudi africa
Daa mie nilitamani TU kujua hayo mafuvu 20 NI ya akina Nani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila we dada!
Ety nyumba kubwa ya nini kwan ye #Temboo!!
duh
Huyu dada mpeni kazi ya utangazaji tbc
Kweli kabisa! Halafu ame tulia hana papara! Nime mpenda bure tu yaani 👏🏾🙏🏽
TBC Inatuharibia watangaz na waandshi wa habar...wanakua praise team
@@andertoneballa7656 “😂😂🤣”
🙏🙏🙏👍👍👍
17888?
.
Iyo tittle jau
Muhimu sana kujua utalii wa ndani kupata historia kama izo
Nawapata
Duh
Dada nimempend, na sikiliz simchoki
Nyumba iyo ndio waliodhurumiwa wanajeshi nakumbuka kulikua na majirani zetu wanajeshi walikua wakilalamika sana juu ya dhulma waliyofanyiwa japo propaganda ilienezwa wametaka wenyewe
mhhh jamn wake 22 na watoto 26 he was not good at reproducing
Aiseee
Mandela kalipa fadhila
Na unakalia kaburi kimakusudi hivyo
Mafuvu yako wapi Millard huyu alie toa hii post mtumbue hana hata uelewa wa kiswahili
😀😀😀
Ndugu zangu naombeni support zenu kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu🙏
R I P
Dada anasema zaman mambo ya dini hayakuwepo ....afu uyu ndk ana aminikia kua anaijua history 😂😂 huu n mtihan
Ndugu ni ukweli kabisa dini zililetwa barani Afrika Mara baada ya Vita ya pili ya dunia
Apo unakua unazungumzia historia na nukui za wazung au ata kama sio wazungu ni binadam kama wew walifanya makadirio wakaandika..... Ila mim napo soma kitab alicho kiandika Mungu na sio mwanadam hakinifunz ivo
Si kweli kabisa, dini zetu za asili zilikuwepo na zilikuwa organized vizuri sana, wakoloni walipokuja wakatuletea kitu kinaitwa christianity, ambacho si dini za kiafrika. Hata hivyo hata waislamu walivyokuja kuleta dini walikuta waafrika tuna dini zetu, ni lazima tukubali Islam na Christianity ni dini mpya barani Afrika na kuwepo kwake kumetokana na mababu zetu tuwaamini hao na kukana utamaduni wao ama kwa kutishwa au kurubuniwa. Period.
Toa maana ya dini ...utaacha kupingana na kile anachokisema mwanadada hapo.
@@kambamazig02024 Embu nithibitishe ata kwa kitab au sehem tu dini za kiafrica zilikua ni zipi nipe ata jina tu
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇
czcams.com/video/mJ5_G0bF-uw/video.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
Ina maana tamaduni zetu na imani siyo dini? Unasema zamani hakukuwepo na dini? Inasikitisha sana unaposema hivyo, waafrika tumekuwa na dini zetu za asili hata kabla ya wakoloni kuja kwenye bara letu. Nenda Bujora utakuta historia nzuri tu na utashangaa sana. Unaposema mafuvu 20 yalikutwa nyumbani, mbona utaleta utata? Simulia vizuri kuhusu mortuary practices za wazanaki badala ya kutoa tafsiri ambazo zinaleta utata!
Hayo mafuvu ni ya viongozi wa Zanzibar alio kuwa akiwauwa kwa siri huku iliapata kiuteka nakuifanya yake na kafsnikiwa hilo kuifanya Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika mungu atamlipa aliyo yatenda
Kichaa wewe unakurupuka kama ngiri katoka kwenye shimo ! Una uthibitisho gan boya wewe Zanzibar ina nn ? Kila kitu mnategemea kutoka bara mpaka unga wa ugali mnategemea kutoka huku ardhi yenyewe ndogo hamtoshi mmejazana huku bara !
@@damianmakala2913 sasa aliekwambia mm nabishana na majitu yasio jelewa na hayajui hata yana zungumza nn ninani?
Nyumba kubwa ya nn Kwan yy tembo? Dada khaa😂😂😂😂😂😂😂😂
“Ndivyo alivyo sema Nyerere mwenyewe, alipo ambiwa na serikali kuwa wana taka ku mjengea nyumba kubwa ‘aka kataa’! Aka waambia “Mna taka kuni jengea nyumba kubwa kwani mimi tembo? Nyumba ndogo tu ina nitosha! Waka shangaa! Ali kuwa kiongozi wa kweli. Uki angalia videoclip za Nyerere uta weza ku iona hiyo hotuba ya hayo maneno aliyo sema Baba wa Taifa 🙏🏽”
Khadija ahaa Mandege mengi ya nin kwan cc tunaenda ulaya
@@edenbaraka7533 😂😂😂
@@KhadijaKhadija-cv9db niambiee my b
Nipeni nyumba hiyo nikae na KABURI la nyeyere
Vinzuri inapendeza sana
@@asteriambwei3349 😅😅😅😅😅😅😅😅Utakuja kunitembelea
Nyeyere ndo nani?
😅😅😅😅 Akikutokea usiku utamueleza nini?
@@HASASON Mie mjukuu wake
😅😅😅😅
Nzuri