NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE, KABURI ALIPOZIKWA NA MAENEO MUHIMU ALIPOISHI KIPINDI CHA UHAI WAKE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 10. 2023
  • NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE, KABURI ALIPOZIKWA NA MAENEO MUHIMU ALIPOISHI KIPINDI CHA UHAI WAKE.
    Join our WhatsApp chanel to get all update 🙏⬇️
    whatsapp.com/channel/0029VaC1...
    #nyerere #maajabu #historiayanyerere #mwalimunyerere #mara #butiama #katolikimoshionlinetv #kanisakatoliki #adhimisho
  • Zábava

Komentáře • 217

  • @jamessitati7396
    @jamessitati7396 Před 7 měsíci +66

    mzee Nyerere sii baba wa watanzania peke yenye ni baba wa afrika, mimi ni mkenya lakini naheshimu viongozi wa Tanzania sana.

  • @MAKOYEJOHN-wp8jo
    @MAKOYEJOHN-wp8jo Před 2 měsíci +5

    Pumzka Kwa amani, mwenye kheri, Mwalimu J. K Nyerere. Mungu Baba atamkumbuka mtumishi wake katika patakatifu pake. Amina.

  • @mutuuramwangi1913
    @mutuuramwangi1913 Před 8 dny

    Nampenda sana marehemu mwalimu Nyerere. Yeye alikua kiongozi wa kipekee aliyependa Tanzania na watu wa Tanzania. Aliunganisha taifa na akamaliza ukabila. Pia alikataa na kupinga utajiri wa haramu na alikataa kuzitumia nguvu zake za kiserikali ili kuwanyonya Watanzania wenzake. Mungu amuweke mahali pema. Atazidi kukumbukwa na kujeshimiwa milele na milele.

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 Před 6 měsíci +7

    Asante Sana Dada uko vizuri big up Sana.

  • @EdmundKiozya-ce2bn
    @EdmundKiozya-ce2bn Před 7 měsíci +10

    Tunashukuru sana katoliki moshi online TV kwa uenjilishaji wenu mwema Mungu awabariki

  • @user-eq4ex1dh3h
    @user-eq4ex1dh3h Před 7 měsíci +5

    Hongera kwa katoliki on line TV kurusha matangazo ya kumbukizi ya mwalimu Julius kambarage Nyerere

  • @winnieavit5985
    @winnieavit5985 Před 7 měsíci +9

    Asanteni Sana Katoliki online Moshi TV na uongozi mzima wa Parokia na Jimbo letu Katoliki Moshi kwa kuthamini Hija yetu na kuhakikisha tunafanikiwa Walezi wetu Mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vya juu zaidi. Mbarikiwe Sana wote

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z Před 7 měsíci +9

    RIP JK Nyerere hukuwa na makuu na wala hukujilimbikizia mali kama hawa chawa wa sasa. Mungu akupe pumziko la milele

  • @user-sh3tr8cm1v
    @user-sh3tr8cm1v Před 3 měsíci +1

    Yani one of the best presidents from Africa

  • @pmp-255
    @pmp-255 Před 7 měsíci +6

    hongera sana kwa tv yetu pendwa ya jimbo la moshi...

  • @frontoffice8676
    @frontoffice8676 Před 7 měsíci +14

    Umeelezea vzr dada chukua mauayako🎉🎉🎉

    • @jerryshow5595
      @jerryshow5595 Před 7 měsíci

      😂😂😂

    • @salomeshongola1697
      @salomeshongola1697 Před 7 měsíci +1

      Uko sahihi ameelezea vizuri sana,anastahili kupewa maua
      ❤❤🎉🎉 barikiwa sana

  • @francismkenda
    @francismkenda Před 7 měsíci +3

    Hongereni sana Katoliki Moshi Katoliki Online kwa habari na historia nzuri tena huyu dada is very smart anahaditha vizuri mno

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Před 7 měsíci +6

    Ahsante Mwl Nyerere.

  • @AnithaStiven
    @AnithaStiven Před 8 dny

    Mungu awalinde sana nyerere nawengine wote 😢😢😢

  • @davidlemooli4011
    @davidlemooli4011 Před 17 dny

    Kazi nzuri kwa baba wa bara la Africa kwa ujumla,kweli alikuwa na utu wa watu wake,pongezi pia dada kwa umakini na uwelezaji wako wa umakini sana

  • @user-jw4pq8lk3t
    @user-jw4pq8lk3t Před 5 měsíci +2

    Safii sanaaa mungu awabarii wotee mnaozidi kuendelez utamaduni wetuu

  • @HadijaFakhi-ss3bu
    @HadijaFakhi-ss3bu Před 5 měsíci +5

    In Africa only two legends Mwalimu Nyerere Tanzania and Nelson Mandela South Africa

  • @user-ri5hs9pw3q
    @user-ri5hs9pw3q Před 4 měsíci +1

    Ahxante dad Kwa maelekezo Yako historia ni nzr mungu ampumzixhe Baba ye2 wa Taifa mahali pema pepon amina

  • @CharlesMunge-fo1wv
    @CharlesMunge-fo1wv Před 7 měsíci +4

    Ahsante Kwa kuendelea kudumisha utamaduni wetu mungu awabariki sana

  • @sophiamhaiki2485
    @sophiamhaiki2485 Před 7 měsíci +3

    Asanteni sana kwa kutufamisha hayo ya kumhusu hayati wetu tumuombeee ili mchakato ufanikiwe.

  • @user-md3xx7rd9z
    @user-md3xx7rd9z Před měsícem +1

    RIP jk nyerere japo umeiacha family yako gizani pia tunajua.haukufa bado upo uwasalimie wazee wetu huko na mtulinde kwa mabaya japo ulipingana na asili yako ila najua ulifanya hivyo kwa sababu ya kimamlaka ya hapa duniani tunakuombea uwe mtakatifu wa Afrika yetu tunaimani huta fanya kosa.amen

    • @Isaya-xy2bl
      @Isaya-xy2bl Před 15 dny

      Acheni ushamba,utakatifu hauji baada yakufa biblia gani mliyo Soma kwamba utakatifu wa mtu huonekana akifa?mmelishwa matangopori,Soma,zaburi 16:3

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 Před 3 měsíci +1

    Wewe noma dada unaelezea hadi raha

  • @jerryshow5595
    @jerryshow5595 Před 7 měsíci +6

    Ahsanteni sana sikuwa nafahamu yote hayo 😢 mbarikiwe katoliki moshi online tv 🎉🎉🎉

  • @RyanModas-pl8ps
    @RyanModas-pl8ps Před 7 měsíci +12

    Baba wa Taifa letu tutakukumbuka daima uliacha alama isiyofutika katika Nchi yetu ya Tanzania na Dunia yote kwa ujumla.

  • @paulinakiria7918
    @paulinakiria7918 Před 22 dny +3

    Huyu Dada anastahili kuwa hata mtangazaji huyu ndio mwanafamilia bora kwakweli anawajua watoto wote tena kwa usahihi

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 Před 6 měsíci +6

    From Kenya & I'm enjoying the history thank you

  • @paulinakiria7918
    @paulinakiria7918 Před 22 dny +2

    Nyerere ni kati ya Maraisi wema

  • @alfredolaba9532
    @alfredolaba9532 Před 5 měsíci +2

    Baba wa uwongozi wa hekima na uwazi. Hukuwaibia watu wako wala kuruhusu familia yako waibe. Pumzika Kwa Amani Baba.

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 Před 7 měsíci +5

    Dah Rest In peace Mwalimu! Hukujilimbikizia mali kweli....

  • @IsayaMsigwa-qv3ol
    @IsayaMsigwa-qv3ol Před 18 dny

    Asante tutalitambelea kabuli la baba wa taif

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Před 7 měsíci +6

    Nyerere alikua anaishi maisha ya kawaida

  • @jullyborn81
    @jullyborn81 Před 7 měsíci +2

    Hongera kwa video timaam, love from Nairobi, ke

  • @user-vt4mh4lv6n
    @user-vt4mh4lv6n Před 3 měsíci

    Mwenyezi mungu awalaze pahala pema peponi marehemu wote waliotangulia mbele ya haki, Ameen

  • @batistamngullu9235
    @batistamngullu9235 Před 7 měsíci +11

    ❤❤Mwl JK Nyerere utakumbukwa daima, wewe ulikuwa Baba wa Taifa letu la Tanzania. Starehe kwa Amani 💪💪💪🙏

  • @godfreymuroba7973
    @godfreymuroba7973 Před 7 měsíci +3

    Wao nimefurahi kumuona Gaudensia tumecheza wote utotoni

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 Před 6 měsíci +1

    " RIP! RIP ! GALLANT SON OF AFRICA! YOU GAVE MORE AND TOOK LESS! VIONGOZI WA AFRICA NZIMA HASA KENYA; IGIZENI/ CHUKUENI MFANO WA UTU NA UONGOZI, SIO KUJITAJIRISHA KWA MALI/ KODI ZA UMMA! ACHENI ULAFI KWANI PESA NA MALI MNAZOMILIKI ZINA DAMU NA NIHARAMU!!! LONG LIVE TANZANIA!!

  • @ojangootieno7842
    @ojangootieno7842 Před 5 měsíci +5

    Mwalimu was a true patriot. His Socialist ideology will be missed . Apart from him Kwame Nkurma, Nelson Mandela Kenneth Kaunda Samora Machel Oginga Odinga Jomo Kenyatta were indeed pan Africanists .

  • @mustorytellermullah2737
    @mustorytellermullah2737 Před 7 měsíci +1

    Asante tuli kuwa hatuyajui haya yote Mungu awabariki sana

  • @WitnessShamba-wm4tq
    @WitnessShamba-wm4tq Před 4 měsíci +1

    Aise umeelezea vizuri jamani❤❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před 4 měsíci +1

    Baba yetu Nyerere daima utaishi kweny mioyo yetu. Pumzik kwa aman Baba 🙏

  • @pastorytety3935
    @pastorytety3935 Před 7 měsíci +2

    Tumefurahia historia ya Mwl

  • @user-yn6bc1wo9i
    @user-yn6bc1wo9i Před 7 měsíci +3

    Hongera mpo vizuri

  • @user-qb4it8tl3p
    @user-qb4it8tl3p Před 4 měsíci +1

    Napenda watazania

  • @user-ig2ol6oi9k
    @user-ig2ol6oi9k Před 6 měsíci +1

    Ni kweli kabisa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni BABA WA AFRICA, na wala si kwa ndugu zetu wa Tanzania peke yao. Hata na sisi tunajivunia sera na uongozi safi alioachia bara nzima la Africa. Mungu airehemu roho mahali pema peponi.

  • @user-fq5ne3rq6r
    @user-fq5ne3rq6r Před 5 měsíci +1

    Asante kwa history

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini lala salama babayetu wa taifa letu

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 Před 7 měsíci +1

    Ww ndio ulitupenda watanganyika hakuna Rais ambaye anaweza vaa viatu vyako Baba your the best

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 Před 6 měsíci +2

    Baba yetu Nyerere , , tunakukumbuka kabisa hasa ktk wakati huu tupo ktk Moto mkali, hekima yako inaishi na itaishi, rip Nyerere

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 7 měsíci +3

    😁😁😁eti Siku moja moja unampisha mwenzako,kazi nzuri dada.Mungu amlaze mahala pema baba nyerere.

  • @user-qw5oh4dk9m
    @user-qw5oh4dk9m Před 6 měsíci +1

    Baraka za mungu baba mwenyezi ziwe nawe. Za baba mwana na roho mtakatifu, ziwe nawe baba mtumishi wa mungu;utuombee.Tyk na mbm..

  • @user-dw4zs2ot1k
    @user-dw4zs2ot1k Před 7 měsíci +2

    Hongeren kwa kutufahamisha mengi kutoka kwenye familia ya baba yetu kigogo

  • @leonardclaudio
    @leonardclaudio Před 5 měsíci +1

    Mwl JKNyerere aliishi maisha ya kifukara sana hakuwa na tamaa ya kufuja mali za taifa lake alizingatia katiba ya nchi na biblia takatifu Mungu amweke pema mbinguni

  • @PhelisterTei-ok4wj
    @PhelisterTei-ok4wj Před 5 měsíci +1

    Mungu awenaye Daima

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Před 7 měsíci +2

    Hongeraa sana dada kwa maelezo yako mazuri, Nimekupenda sana

    • @elinamethod9298
      @elinamethod9298 Před 7 měsíci

      kabisa utazani alikuwepo anavyosimulia vizuri

  • @Abdulaziz-tb1gd
    @Abdulaziz-tb1gd Před 3 měsíci

    Uk vzr dada hongera sanaa🎉

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 Před 6 měsíci +1

    Yeah he was the great leader,,I named my son Nyerere as respect for kambarage Nyerere.

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 Před 7 měsíci +2

    Baba pumzika kwa amani ulikuwa jembe kwelilweli ukatuletea uhuru bila damu kumwagika. Afrika tutakukumbuka sana lala upumzike salama baba ndani ya nchi yako.Amina!!

  • @dinachiwaligo
    @dinachiwaligo Před měsícem

    Mdada mpole pia anasauti nzuri

  • @franciskatona4252
    @franciskatona4252 Před 5 měsíci +1

    From Kenya, listen the kiswahili sanifu

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Před 5 měsíci +1

    Amina

  • @user-qb2jf5mp5e
    @user-qb2jf5mp5e Před 7 měsíci +1

    Asante kwa ujumbe

  • @user-lx6ni1fy9g
    @user-lx6ni1fy9g Před 3 měsíci

    Yeeess Asante sana ddke

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Před 5 měsíci +4

    Julius Nyerere a living legend of Africa

    • @user-wl8fg8ne1f
      @user-wl8fg8ne1f Před 4 měsíci

      Very clean and very close to Tanzania, you seem to be very patriotic, congratulations

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 Před 7 měsíci +2

    Pumzika kwa amani utukomboa kutoka wakoloni🎉🎉🎉🙏

  • @user-fv1tb2yn2b
    @user-fv1tb2yn2b Před 4 měsíci +1

    Good 👍

  • @lytonmakoi
    @lytonmakoi Před 7 měsíci +3

    🎉🎉🎉 Aminaa

  • @hilderndosi1333
    @hilderndosi1333 Před 3 měsíci

    Dada upo vizuri mno❤❤

  • @muokimutuku2061
    @muokimutuku2061 Před 27 dny

    Pumzika salama mwalimu nyerere

  • @pacismasawe1341
    @pacismasawe1341 Před 7 měsíci +12

    Utakumbukwa daima na Wa Tanzania kwa busara na hekima yako. Upumzike kwa Amani Baba Yetu.

  • @luciusswai
    @luciusswai Před 7 měsíci +4

    Kazi Nzuri

  • @karimilucah2702
    @karimilucah2702 Před 5 měsíci +4

    Julius K Nyerere a true Catholic faithful.

  • @user-cm2lr5hp3u
    @user-cm2lr5hp3u Před 3 měsíci

    Asante Kwa historia

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 Před 3 měsíci

    Huyu dada nilimkuta Butiama,unaelezea vizuri

  • @PhelisterTei-ok4wj
    @PhelisterTei-ok4wj Před 5 měsíci +1

    Hakika kweli huyu alikua ni mcha mungu

  • @user-el6ec5qh6q
    @user-el6ec5qh6q Před měsícem

    Dada kaelezea vzr kuliko mwandishi

  • @dianakalimba
    @dianakalimba Před 7 měsíci +1

    Asanteni sana 🥰🥰🥰

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 Před 6 měsíci +2

    nenda kaangalie majumba ya Marais waliomfata wanamajumba kama matembo

  • @AfrikanusTuji
    @AfrikanusTuji Před 6 měsíci +3

    Baba yetu mwasisi wataifa Mchakato wa kutangazwa mwenyeheri.. Anastahili hakuwa Baba wa Taifa la Tz kwa kifupi tunaweza kusema ni Baba wa Mataifa hususani Afrika.. Ametufundisha kitu kimoja kikubwa sana.. UPENDO na MSHIKAMONO.. Tupendane waafrika natushikamane ndio silaha bora ya ushindi katika vita yoyote ile zidi ya Shetani

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Před 7 měsíci +8

    Hasnte sana kwa hiyo Historia fupi ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Shujaa wa Ukombozi wa AFRIKA..

    • @pereseKing
      @pereseKing Před 20 dny

      Sema kweli mm mwalim nyelele japo kuwa sjamkuta ila raisi ambae nafatilia sana istoria yake

    • @pereseKing
      @pereseKing Před 20 dny

      Nisome kama mispeles nipo pande hizi huku za chato

  • @TiberiousNyabuto-om1he
    @TiberiousNyabuto-om1he Před 6 měsíci +1

    Neshukuru kubwa sana

  • @user-dx5gh8me9o
    @user-dx5gh8me9o Před 6 měsíci +1

    Kwanza rais wa Tanzania anawakilisha country yake vizr aki nampenda sana rais Samia Hassan

  • @godlovemalekela17
    @godlovemalekela17 Před měsícem

    Dada Chukua 🎉🎉 yako

  • @josephat66
    @josephat66 Před 6 měsíci +1

    Asant Mungu kwa kutupa nyerere asnt kuwa mzawa wa Tanzania na Mara.. ila sasa kaone stend ya mara km zizi la ng'ombe au kaulize stend ya Butiama km ipo..
    Nzega, Igunga, Manyoni, Tarime, serengeti, Bunda, na baazi ya wilaya ndogo kuna stendi nzuri ila Butiama na makao makuu ya mkoa ni kituko... Nenda simiu mkoa mpya una stendi nzuri aibuuuuu

  • @user-hq8gt5uj3p
    @user-hq8gt5uj3p Před 7 měsíci +1

    Safi

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Před 4 měsíci +2

    SASA TUMWOMBEE DUA YA NINI WAKATI MANASEMA ZAMBI ZAKE KABEBA YESU KWAJIRI YA WANA KONDOO

  • @prosperdunia2242
    @prosperdunia2242 Před měsícem

    Oh waafrica wawaze kama tanzania ni vema kuwa na historia

  • @salesiomweda1747
    @salesiomweda1747 Před 7 měsíci +4

    Agradeço
    Uma boa história

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok Před 7 měsíci +2

    Emuu maua ayo apo kujielezea nayo kipajiii

  • @LilianNyagali-zu5ex
    @LilianNyagali-zu5ex Před 5 měsíci +2

    Unajua kuelezea we dada

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 Před 7 měsíci +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔💔💔Mwalimu Nyerere mwanga wa milela. Umwangazie weeeee bwana 😢😢😢na rakha ya milele umpe .eeeeeh bwana😢😢😢😢

  • @wakembetajaphary6006
    @wakembetajaphary6006 Před 7 měsíci +1

    Nmekumbuka sana haya maeneo i wsh nirud tena hakika ukienda hapo kwny makumbusho hutajutia, kuna vtu ving vya kujfunza

  • @user-dt6yu1cu4g
    @user-dt6yu1cu4g Před 3 měsíci

    Safi sana

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 Před 7 měsíci +1

    Inavutia sn mdada yupo vzr nani Baba wa Taifa imebaki story jamani Mungu azidi kumrehemu alipendwa hadi akang'atuka sijui kwa sisi wengine tutang'atuliwa au tuta ng'atwa mmhh

  • @salomemsafiri1087
    @salomemsafiri1087 Před 7 měsíci +2

    Ulikuwa mtu mhadirifu na uliangalia mbele daima ulia cha alama kwetu bila. Wewe tungekuwa na khari ya namna gani

  • @severimkatomutegeki6930
    @severimkatomutegeki6930 Před 7 měsíci +2

    Mwl Baba wa Watanzania tunamuombea afike daraja la kuitwa Mtakatifu. Pia alipendwa na wasanii ona ile picha ya ubao alichonga Msanii wa Maswa _Rushengo.Baba yetu alipenda Utamaduni.,fuatilia UNATA.

  • @haggairaywer7002
    @haggairaywer7002 Před 7 měsíci +5

    I Think(When young), was ahead of my time.I loved the way Mwalimu Nyerere was uniting his country by preaching to his people about siasa safi na uongozi mwema.

    • @voronicashaban3478
      @voronicashaban3478 Před 7 měsíci +1

      Ndo penyewe kabisaaaa

    • @reubeinmmary
      @reubeinmmary Před 5 měsíci

      Baba Nyerere mungu akupe pumziko la amani milele yote. Mioyo yetu daima historian yoko matendo yako Roha nzuri na uzalendo wa dhati baba moyo wangu unkulilia maana nilikuwa kija mzalendo ulietpeleka msmbiji Kwa ajili ukombozi. Wa ndugu zetu. Natamani siku Moja mungu akinips neema nije kuziru ziara lako naamini nitapokea baraka. Asante.

  • @KeneddySimoni
    @KeneddySimoni Před 5 měsíci +2

    Vp

  • @user-ko7pv1fh7d
    @user-ko7pv1fh7d Před 5 měsíci +1

    Hakika baba tutakuenzi daima

  • @athumankaswaga605
    @athumankaswaga605 Před 6 měsíci +1

    Duh!

  • @tato8979
    @tato8979 Před 7 měsíci +1

    Asanten