#TBC1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 03. 2024
  • Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka Mlandizi mkoani Pwani, ukashuhudie kongani ya kisasa ya Viwanda 202, ambapo ni uwekezaji uliofanywa na Watanzania
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

Komentáře • 7

  • @abdulpagali7476
    @abdulpagali7476 Před 4 měsíci

    Hongereni sana kwa huu udalali 'unaojiweza kipesa'. Lakini naona Mzaramo wa Disunyala hayumo katika dhana ya "local content". Mkoa wa viwanda ambao wakazi wake hawanufaiki na mitaji iliyowekezwa zaidi ya Serikali kuu ukusanyaji mapato. Mkuu wa Mkoa andaa utaratibu wa kuratibu CRS na Service Levy kwa halmashauri husika, jumuiya zilizopo na wanajamii wa mkoa Pwani.

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 Před 4 měsíci

    Mnatuharibia bando,, mnachokisema hatukioni hapo ,,tunaona vichaka vimejengewa geti la ulinzi

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 Před 4 měsíci

    Mie naona uharibifu wa ardhi hapa mmeparua mabarabara viwanda havionekani.Hii biashara ya kumshikia mtu wa nje kiwanja tunakosa maeneo ya kupanda minazi na matunda yakulisha watanzania sijapenda.

  • @spitfiremusicproducer9623
    @spitfiremusicproducer9623 Před 4 měsíci

    Hivyo viwanda viko wapi au hivyo vichaka ndo viwanda?

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Před 4 měsíci

      Serikali zote hutenga maeneo ya viwanda ili kuondoa usumbufu kwa wawekezaj na viwanda kutochangamana na makazi baada ya mda utaona mwenyewe hapo patakuwa ndo ajira kuu kwa wenyeji na wala hapata tosha