#TBC1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 10. 2024
  • Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania kinakupeleka Site ukashuhudie uwekezaji mkubwa uliofanywa katika Bandari za Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

Komentáře • 8

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před 6 měsíci +1

    Kigoma moja

  • @smallscaleminingsupplies9670

    Tbc hao wadau wa unga wa mahindi tunaweza wapataje

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Před 6 měsíci +2

    Huu ndio unafiki wa wazi kabisa. Uwekezaji umezama kwa ujenzi wa hivyo ovyo uliofanyika,
    Hiyo video mliirekod mwaka jana kiangazi.
    Toeni taarifa za kweli na uhakika kama ilivyo kauli mbiu yenu.
    Bandari zimezama zote zimemezwa na maji ya ziwa. Inaweza walioweka michoro hawajui kazi yao vizuri au walikwepa gharama ndio maana bandari zimezama

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb Před 2 měsíci

    Acheni ujinga asilimia 98,,% ahen upumbavu wajinga ninyi kigoma ndo chimbuko langu naijua vizuli machawa tu ninyi

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Před 6 měsíci

    Halafu wanapewa waarabu?. Ethiopian airlines miaka mingi ina CEO MZUNGU,NDEGE ZA WAARABU ZINASIMAMIWA N A WAZUNGU. TUJIFUNZE

    • @hoseastephen4508
      @hoseastephen4508 Před 6 měsíci

      unakataa waarabu unataka wazungu mzee? Mi nikajua unataka tuendeshe wenyewe hahahaha!

    • @sanyolee1396
      @sanyolee1396 Před 6 měsíci

      Iliyopewa tenda ni kampuni ya waarabu lakin wafanyakazi kama mameneja na wakurugenzi wanaweza kuwa wahindi ama wazungu

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 Před 6 měsíci

      @@hoseastephen4508 Siwataki waarabu kwa kuwa kila walipo wsnalalamikiwa.Kaa fanya kazi na wazungu halafu urudi baada ya mwaka moja utuambie ulichofundishwa