WAZIRI SILAA AKATAA RUSHWA ya MIL 300 UJENZI KITUO cha MAFUTA MIKOCHENI ALIPOLIAMSHA DUDE TIBAIJUKA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 12. 2023
  • WAZIRI SILAA AKATAA RUSHWA ya MIL 300 UJENZI KITUO cha MAFUTA MIKOCHENI ALIPOLIAMSHA DUDE TIBAIJUKA
    Waziri wa Ardhi nyumba na maemdeleo ya makazi Mhe. Jerry Silaa ameagiza kusimamishwa matumizi ya kituo cha mafuta katika eneo la mikocheni na kuwaagiza wakuu wa idara ya ardhi wafanye uhakiki wa vituo vyote vya mafuta nchini na kuwasilisha kwa waziri.
    Waziri Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara katika kituo cha mafuta kilichojengwa hivi karibuni kilichopo mikocheni Dar Es Saalaam.
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 351

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 5 měsíci +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @majurakafumu9120
      @majurakafumu9120 Před 5 měsíci

      Huyo msomali anaona nchi imekuwa yake kwa sababu ya pesa zake anyovyo zigawa

  • @jameskivelege8630
    @jameskivelege8630 Před 5 měsíci +37

    Hii imenitoa machozi Mr Slaa, kumbe nchi hii kuna watu waadilifu jamani!
    God bless you

    • @ototek8037
      @ototek8037 Před 5 měsíci +2

      Mi siamini kama serikali inawatu kama hawa, huyu watampoteza mda sio mlefu. Maana ccm wenye nguvu na vyeo ni majambazi watupu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Před 5 měsíci

      Kama alipokea na ameficha

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Před měsícem

      Had mim naogopa ila kqmq kufa hamna hatae rukq​@@ototek8037

  • @PAMA3542
    @PAMA3542 Před 2 měsíci +5

    Waziri silaa unafaa kuwa kiongozi mkubwa Tanzania simamia uzalendo wako mungu akulinde kaka

  • @fridaminja3983
    @fridaminja3983 Před 5 měsíci +6

    Una hofu ya Mungu. Ubarikiwe

  • @josephjacob6054
    @josephjacob6054 Před 2 měsíci +2

    Waziri unafaa Sana na mungu akubariki wewe na familia yako kwa kuwatetea wanyonge

  • @hilarysimiyu808
    @hilarysimiyu808 Před 5 měsíci +27

    You are young and focused leader Mr Silaa. I am a Kenyan and I happened to have worked with your late father here in Kenya around 2013 on a oil exploration project in the north eastern part near the somali border. Your late father was an accomplished helicopter pilot and I really enjoyed working with him. The news that he died in a helicopter crash was very shocking to me. You are the kind of leader we need in this region. I should say that Tanzania is lucky to have you as a minister. I am sure you've made your late father proud in heaven. Keep up the good work and may the almighty bless and protect you.

  • @amaninoi1959
    @amaninoi1959 Před 5 měsíci +3

    Keep it up Jerry simamia haki Mwenyezi Mungu akubariki

  • @gibsonlwinga5950
    @gibsonlwinga5950 Před 3 měsíci +4

    Hongela sana Waziri wa ardh❤

  • @rajenderrobert8605
    @rajenderrobert8605 Před 5 měsíci +7

    Mungu akusaidie Brother. Hao watu wa Mafuta wana Nguvu ila Mwenyezi Mungu ana Nguvu zaidi

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 Před 5 měsíci +7

    Jerry uwaziri mkuu unakufaa, utatusaidia sana aisee!

  • @user-rp8vz2yt4j
    @user-rp8vz2yt4j Před 5 měsíci +4

    Wewe Jerry slaa n hazina ya taifa...good work

  • @johnsimba
    @johnsimba Před 5 měsíci +6

    Kati ya mawaziri nimekukubaliMr. Silaa uko vizuri

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Před 2 měsíci +1

    Asante Mheshimiwa Waziri Silaa leo nimeona Dokumente mikononi mwako ya Mwaka 1955 nyakati zile Machifu walikuwa wakigawa Viwancha Sehemu yetu iko kwenye Pori na tuliweza kulima na kuvuna Vyakula vya aina mbali mbali Baba alipokuwa hai kadanganywa na na kuuza hiyo Sehemu kwa nchia ya udanganyifu kiasi cha TZS 80 zamani zile mpaka leo Sehemu haitumiki aliyemdanganya Baba Mzazi hafahamiki ile Sehemu ni mahali pazuri kujenga Shule asante

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 Před 5 měsíci +4

    kijana slaa uko vizuri mungu akulinde sana umegusa pabaya sana ,utavuka tuko pamoja na wewe.

  • @user-mz9iy7zo4h
    @user-mz9iy7zo4h Před 4 měsíci +2

    Aokoae huokolewa pia Allah akujaalie kila hitajio la nafsi yako👍🙌🙌🙌

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Před 5 měsíci +3

    Umeongea vizuri sana mh, waziri tunataka viongozi wawazi na wazalendo wa kweli, siyo wachumia tumbo

  • @moshinyashebo7981
    @moshinyashebo7981 Před 2 měsíci +1

    Mungu wa mbinguni akutunze hapa duniani kwa kusimamia haki za watu na atunze kizazi chako kizazi Cha wadhari mu kitokomee kabisa popote

  • @johnmtumishi8554
    @johnmtumishi8554 Před 5 měsíci +4

    Hongera waziri kwa hekima hiyo na kwa kumweshimu Mungu .Mungu akulinde akutunze akubariki. Ndiyo maana Rais wetu Mpendwa alikuona na akakuteua .tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maamuzi yako. Isaya 33:13-16 na Amosi 5:12 nimekuona hapo kutoka 23:8 kumbukumbu la torati 10:17 na16:19 . 1samwel 8:1-3 Ayubu 15:34 .Zaburi 15:4-5 mithali 17:23 mithali 29:4 asante waziri kwa kumuwakilisha Raisi wetu vizuri na kwa kutoa Elimu nzuri hata ya kitaalamu,na ipasavyo kuishi.Mungu bariki viongozi wetu Mungu ibariki Tanzania ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina.

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 Před 5 měsíci +5

    Waziri nimekupenda, kazi nzuri mkuu!

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Před měsícem

    Welldone waziri manake hivi vituo vya mafuta karibu vitajengwa mpaka kwenye miguu yetu sasa

  • @YasniJuma-li5fp
    @YasniJuma-li5fp Před měsícem

    Dahaaa kweli wizara imempata mwenyewe hongera sana kijana bambana

  • @momylaviel
    @momylaviel Před měsícem

    Mungu akupe maisha marefuuu waziri

  • @MerickyMangula-yi6ow
    @MerickyMangula-yi6ow Před 5 měsíci +3

    Upo vizuri sana kaka Hongera sana

  • @thadeovitus3435
    @thadeovitus3435 Před 5 měsíci +11

    Excellent!!! We need such leaders!!! Be blessed Waziri Slaa!!!

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 Před 5 měsíci +3

    Hongera hongera wazili kweli umesoma dini na tena wrwe ni mzalendo hii nchi inaitaji mawazili kama wewr na.wakuu wa mikowa kama wewe hongera sana ila kuna kiongozi mmoja nilmsikiliza alikuwa ana bwabwaja maneno wewe uko sahii hawa wssimamizi wanapo fanya ziara inje hawa jifunzi wazili hongera sana

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 Před 5 měsíci +4

    MUNGU wa mbinguni akubariki sana , akuangazia Nuru ya uso wake na kukupa aman

  • @nuruabdallah809
    @nuruabdallah809 Před 5 měsíci +5

    Tunakuombea mungu muheshimiwa waziri hata ukiwa mmoja pekeyako msaidie mama sisi watanzania tunakuunga mkono tupo nyuma yako.

    • @allymganga3223
      @allymganga3223 Před 5 měsíci

      Nchi yeti Ina Watu wanaostail haki na kuna wasiostaili haki kila siku majumba ya Watu yanavunjwa nawao wapo awaongei chochote blabla tuu nchi yetu aina utawala wa shelia ujanja ujanja tuu umezidi

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před měsícem

    Mungu akubariki sana. Kweli bado unakula urithi waziri wangu. Baba yako kuwa rubani kwenu mpo vizuri

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm Před 2 měsíci +1

    Huyu ndio waziri bora na kiongozi bora kuliko kiongozi mkubwa

  • @user-me5vt1xv2w
    @user-me5vt1xv2w Před 4 měsíci

    Hii inch ina watu baadh yao yao wanaakl sana kwanza hongera sana kwa kusmamia sheria Mh MUNGU akupe maisha marefu sana na baraka za kuzidi il uendelee kusmamia hak wewe n silaa yetu wa Tanzania jna lako na matendo yako vmelandana

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q Před 2 měsíci

    Mungu akupe maisha marefu jerry nagroup lako lawenye hekima kama ww unahofu yamungu baba

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 Před 5 měsíci +3

    Mbona dar kuna vituo vingi sana kwny makazi ya watu hasa kwa walalahoi lkn mnafuata kwa matajiri acheni siasa tendeni haki!

  • @sakibumakoke9197
    @sakibumakoke9197 Před měsícem

    Kutoka moyoni huyu waziri Mama Samia tunakupongeza Yuko vizuri na atafika mbali kwa uwezo wa Mungu.

  • @user-ky6hh2te7u
    @user-ky6hh2te7u Před 2 měsíci

    Alllah akuongoze ktk kuisimamia haki akuzidishie. Umri ili watanzania tuzidi kunufaika kupitia kazi nzuri na uzalendo namsimamo ulionao ktk kuisimamia haki napenda unachokifanya

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 Před 2 měsíci

    Dah Soo wise brother. Keep it up hongera sana hii wizara inakufaa sana ... Tumezidi kumsingizia hata Mungu wakati tunasababisha wenyewe...

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 Před měsícem

    Uko vizuri silwa

  • @jumaally8567
    @jumaally8567 Před 5 měsíci

    Nakuona mbali Sana katika career yako ya Uongozi may brother Ur so humble.niliwahi kufika ofcn kwako wakati ukiwa meya haikuwa shida kukuona na haja yangu ilitekelezeka🙌🏼

  • @user-wi4eq2gq8h
    @user-wi4eq2gq8h Před měsícem

    Ongera Allah akuweke zaid kwa manufaa ya watu. Chanika yongwe tunapata shida sana ya njia had pkpk zinashusha watu sehemu zngne zilivyoaribika yongwe tunatembea kwa miguu Allah akulete na huku

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Před 4 měsíci

    Jerry Slaa, Jerry slaa Jerry Slaa..nimekuita Mara tatu...wewe ni MAGUFULI +...big up sana

  • @petermgaya9693
    @petermgaya9693 Před 5 měsíci +1

    Excellent Slaa

  • @kianda973
    @kianda973 Před 5 měsíci

    Waziri Slaa umenikuna sana....❤❤. Sijui wataharibu kukuloga? Ila tunakuombea Mungu hautalogeka...nyota yako iendelee mbele kwa mapenzi ya Mungu

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 Před 5 měsíci +1

    Samia Suluhu Hassan .husomagi coment

  • @mgalami
    @mgalami Před 5 měsíci +2

    Very Good Mr.Minister.Keep it up always and may God Bless you abundantly!!!!

  • @josephgoliama8068
    @josephgoliama8068 Před 5 měsíci

    Touched by his words. Mungu akubariki mheshimiwa Waziri Slaa

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 Před 5 měsíci +1

    HONGERA SANA MHE. SILAA

  • @user-ht8xe2gt3z
    @user-ht8xe2gt3z Před 2 měsíci

    Jamani waziri mungu akubariki naomba uje Arusha uku tunaonewa wachimbaji wamawe Hulu tunanyanyashwa

  • @rajabodhuman1300
    @rajabodhuman1300 Před 5 měsíci

    Unayo Nena na unayo ficha mungu ndo mjuzi zaidi tuko safarini pamoja yetu macho mungu atuongoze sote

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Před 5 měsíci +1

    Nimefurahi sana kaka kuingilia hili maana mwanzo nilipoqngqliq sikuelewa kabisa Mungu tuhurumie 😢

  • @matiredms917
    @matiredms917 Před 2 měsíci

    Nimefurahi sana mwangu! Munhu akubariki

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp Před 5 měsíci +1

    Fanya Kazi Mhe.iliyokuleta hapo

  • @emanuelkatambi6902
    @emanuelkatambi6902 Před 5 měsíci +4

    Hongera sana yaani naiona picha ya Magufuli usoni na moyoni mwako chapa kazi chapa kazi tumecheleweshwa sana!

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 Před 5 měsíci

    Daa!! Hongera sana mh Slaa.Watanzania wanataka haya mambo kwa viongozi wao.Wote CCM tungekuwa hivi,tungekaa kwenye uongozi milele.Huo ndio uzalendo.

  • @chellususnkungu4333
    @chellususnkungu4333 Před 5 měsíci +1

    Safi sana mh,waziri

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Před 2 měsíci

    Tena imeandikwa rushwa huondoka haki hongera sana muheshimiwa MUNGU akutunze sana

  • @gideonlusana7288
    @gideonlusana7288 Před 5 měsíci

    Mungu akuwezeshe Mh Waziri

  • @abdulmshamu801
    @abdulmshamu801 Před 5 měsíci +12

    Kwanza ongera kwa kukataa rushwa,sasa vizuri walio taka kukupa rushwa wachukuliwa hatua,takukuru kazi hiyo hiko wazi watanzania tunasubili kuona sheria inafanya kazi yake

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Před 5 měsíci +2

      Nawewe unaamini?

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y Před 5 měsíci +3

      kutoa rushwa na kupokea rushwa ni kosa la jinai..atuambie alipewa rushwa na nani? na kwanini mhusika hajakamatwa? Jerry anajaribu kujitafutia umaarufu wa kijinga

    • @muhammadalibhaz1390
      @muhammadalibhaz1390 Před 5 měsíci +1

      anajinadi nakumbuka aliyepita pia alikuwa hivi hivi Leo

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Před 5 měsíci

      Hujajijua tu wewe ndio......angeruhusu mngesema amechukuwa rushwa au mngesema serikali haifanyi kitu hivi nyinyi mkoje hamuwezi kusifia kizuri? Kizuri mnakifanya kionekane kibaya na kibaya mnakisambaza zaidi, mlimuita Magufuli diktekta si ndio sasa kitawalamba, maana huu upuuzi kipindi chake hakijawahi tu kutokea maana akijua tu hata kama hukuchukua rushwa kibarua huna maana atakwambia umeshindwa kufanya kazi yako na huendani na speed yangu, mtu amejieleza kwamba hanyinywi pombe havuti sigara na anamke mmoja na bado anakula pesa za urithi yaani zakwake hagusi bado tu mnamchukulia poa kuna watu mbali na hofu ya Mungu ila wamelelewa kimaadili na nidhamu watu wa aina hiyo wamenyooka sana na hawapindishwi hata iwe vipi mbali ya yote mwenyewe ni mwanasheria, yeye amesema na anajua alichokisema mtu anaekutangulizia pesa kwanza si rafiki pili anajaribu kununua utu wako tatu baada ya hapo kukudharau mazima na hicho ndio alichokiona na ndio maana amesema wazi, na sheria huwezi kumkamata mtu kama ushahidi haupo, ndio maana hata takukuru wanapokamata huwa wanatumia pesa ambazo wamerikodi namba za pesa kukamilisha ushahidi ama alalamikaji awe na pesa hizo kama ushahidi sasa pesa hakuchukua maana ushahidi hakuna, na hata aliesema anauwezo wa kukana maana hakuna maandishi.​@@user-fr7jj1bo7y

    • @mohamedmbalazi748
      @mohamedmbalazi748 Před 5 měsíci

      Hizi 300 angezichukua na hawa watu akawakamata. Na hazirudi

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Před 2 měsíci +1

    We uko vizuri kuliko lukuvi .cjui ulikuwa wapi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před 5 měsíci

    Halooooo ya ccm chapa kazi baba Mungu akubariki maskini wanaonelewa sanaaaa waraabu hatuwataki jamani ndiyo wenye mabalaa hayo awamu ya nne kidogo ndiyo yanayotutesa

  • @mathiassalamba7328
    @mathiassalamba7328 Před 5 měsíci

    Mungu akusaidie Baba uendelee na moyo huohuo rushwa ni dhambi kubwa

  • @shanishani6371
    @shanishani6371 Před 5 měsíci

    Ubarikiwe sana

  • @fredybasleymrema4737
    @fredybasleymrema4737 Před 4 měsíci +1

    Safı sanaa. The way to go.

  • @albertmaneno
    @albertmaneno Před 5 měsíci

    Super.... wise Mh. Jerry

  • @godwimmkolomi8988
    @godwimmkolomi8988 Před 5 měsíci +3

    Mama Tibaijuka nae aliwai kuwa waziri wa Ardhi,yapo anayoyajua kama aya awa jamaa uwa awakulupuki chalamila alikua sahihi ukiingia kichwa kichwa utakujakuwalipa maana vibali vingi uwa vipo clean wamevipataje ndio swali linaanzia apo

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Před 3 měsíci

    ❤❤❤❤ tusaidie baba mimi nilinunua eneo miaka 10 iliyopota akaja jirani yangu akangoa nguzo zangu ktk mipaka na anapamiliki mpaka leo aliwahi kutakA KUNIKATA PANGA WATU WAKAMZUI akasema mm niwNamke sitamuwexa nisaidie jamNi ee Mungu wa haki 😢

  • @nurdinkassim
    @nurdinkassim Před 5 měsíci

    Hongera slaa tupia macho na nzuguni dodoma

  • @evodiuskalema2123
    @evodiuskalema2123 Před 5 měsíci

    Mungu akulinde waziri

  • @muganyiziluharara9668
    @muganyiziluharara9668 Před 5 měsíci

    Waziri nzuri sana

  • @gastonseme4524
    @gastonseme4524 Před 5 měsíci +1

    Ukipata viongozi kumi kama hawa Taifa litafika mbali Exllence

  • @DanielYae-kw6dr
    @DanielYae-kw6dr Před 4 měsíci

    Nakupenda sanaaaaa wazirii wangu

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv Před 2 měsíci +1

    Nikweli mheshimiwa upomakini

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 Před 5 měsíci +8

    Da tangu magu amekufa,huyu jamaa ndo naweza kumsikuliza mpaka mwisho,Mungu akuongoze muheshimiwa

    • @Henryson-beats
      @Henryson-beats Před 5 měsíci +1

      Umeanza kumskiliza chawa. Huyu ni chawa wa samia hamna anachofanya

  • @urasaanold2851
    @urasaanold2851 Před 5 měsíci

    Mweshimiwa tembelea Barabara yetu ya tabata to mbezi ujionee mwenyewe karibu sana.

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Před 2 měsíci

    Aisee Kenya 🇰🇪 tungepata waziri mmoja tu kama huyu,Kenya nzima ingenyooka 😢

  • @dollyjohn6811
    @dollyjohn6811 Před 4 měsíci

    Safi sana muheshimiwa

  • @user-fj6je3gq9x
    @user-fj6je3gq9x Před 5 měsíci

    Safi sana mhe waziri

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 Před 5 měsíci

    Hongera sana Wazir kwa kua mnjoofu na mtetea wanyonge na pesa hatutaondoka nazo tutaondoka watupu utu una thaman kuliko kitu mungu aendelee kukusimamia na kukulinda

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 Před 5 měsíci

      Watanzania wengi nivipofu hawawezi kuwa na wanyonge hivi kituo kikifungwa hamuoni kuwa niwalizisha wenye nazo kuwatia hasala wanyongee niwatu wangapi wanazulumiwa alidhi zao silaha ameshindwa kuwapa Hali zao

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 Před 5 měsíci

      Ninani aliyewaloga mkawa gipofu vizuwi msione hasala anayo pata kwenye kituo hivi tokankijengwe tibaijukwa Yuko wapi jee hiyo alidhi Miyake oazumiwa Nani hapo mi roho mbaya tu rushwa ziko nyingi silaha Kala lushwa ya sifa kujipendekeza lushwa ya ubaguzi huyu ubunge alipataje ulipita Bila lushwa uwonevu unamtia mtu hasala kwakuwa umepewa shamans yauwazili munguwa mbinguni anakuona hiyo mtu unayefungia hajabmdhulumu mtu unamtia hasalabkwakulewa sifa wanyonge wanadhimiwa alizi zao na vigogo sikusikii ukiwasaidia sijafurahi hutoshi maondoa hiyo hatoshi

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 Před 5 měsíci

    Hongeera sanaaa Waziri

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Před 5 měsíci

    Hongera sana Kiongozi 👏

  • @jeniffermageto8952
    @jeniffermageto8952 Před 5 měsíci

    Hapo sawa

  • @AntonySalvatory
    @AntonySalvatory Před 5 měsíci

    Mungu akubariki sana mh waziri Doctor siraha kwa kazi yako njema yenye uhaminifu hakika wewe ni mwenye haki

  • @faustinekf4952
    @faustinekf4952 Před 4 měsíci

    Huyu jamaa yupo smart sana,

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Před 5 měsíci +1

    Mungu akutunze kaka Mungu akutunze ulinzi wa kristu yesu uwe ndani yko tunakuombea tunakupenda kaka

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Před 2 měsíci

    Lo Mungu akusimamie akinde
    Mama Samia mpe ulinzi huyu baba jamani Mungu akusimamie. Ardhi itanyooka tu.

  • @ahmedbasaleh4528
    @ahmedbasaleh4528 Před 5 měsíci +1

    HUU ni uongo habari ya rushwa ya milion 300 sio kweli hii ni kiki kituo kipo kisheria document zote jamaa anazo na mwisho wa siku utaona kituo kinafanya kazi ni swala la muda tu lasivyo watafungwa watu hapo kamishna na watu wake NEMC na watu wake plus EWURA kituo cha mafuta ni mchakato unahusisha wizara tatu ambazo ni Ardhi Nishat pamoja na Mzingira

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Před 5 měsíci

    Hongera mama kwa kumwona huyu mwamba...

  • @fredrickmakapo5255
    @fredrickmakapo5255 Před 5 měsíci +4

    Tungepata watu 10 tu kama wewe mheshimiwa TZ ingebadilika ndani ya mda mfupi.Hongera sana.

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 Před 5 měsíci +1

    Kumbe slaa ni muadilifu hivi siamini aisee😢

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 Před 5 měsíci +2

    Mwamba wa kituo hiki simfahamu ila kapambana sana na majungu, hatari sanaa!. Mwacheni mpambanaji aendelee na biashara banaa
    Vituo vingapi vinajengwa nchi hii huku mitaani kwetu, ukubwa wa kina tibaijuka usimnyime mpambanaji benefit of doubt

    • @faridsawad5442
      @faridsawad5442 Před 5 měsíci

      Huyo mama nuksi anatumia influence yake.
      Mimi nahisi alitaka apewe hela ya mboga..

    • @JacksonLiberius-pp4nz
      @JacksonLiberius-pp4nz Před 5 měsíci

      Waziri uko vzr uongozi sio elimu bali ni hekima ata mm naweza kuwa kiongozi pamoja elimu yangu ya msingi sema2 mama ajanipa nafasi.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 5 měsíci +1

    Kumbe viongozi bado wapo

  • @chackym4416
    @chackym4416 Před 5 měsíci +2

    Acha kutudanganyaaa

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 Před 5 měsíci +5

    Sawa ulikataa mil 300 je kwann ulikaa kimya mpaka kinafikia atua hiyo

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe Před 2 měsíci

    Jamani njoo kinyamwezi tumetapeliwa viwanja vyetu pungu kinyamwezi

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry Před 3 měsíci

    Safi sana

  • @mshindotv
    @mshindotv Před 5 měsíci

    TAKUKURU IANZIE HAPO,........!!!!

  • @yahyaali1181
    @yahyaali1181 Před měsícem

    Siku moja uje uwe raisi wa nchi hii

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni Před 5 měsíci

    Jah bless u Mr waziri

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Před 5 měsíci

    Mungu akujaliye unaweza ukawa waziri mkuu mwaka 2025..mama muweke kwenye notebook yako usije msaha huyo silaa ni kijana hata kama ccm mimi nim r mpenda hakika mutaona

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Před 5 měsíci

    Wewe bwana mdogo. Unafaa kuwa waziri unayo sema sawa sana..

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Před 5 měsíci +1

    Pga kazi kaka

  • @josephatkimondo6275
    @josephatkimondo6275 Před 2 měsíci

    Hiyo kama ingekuwa hivyo muda mrefu viwanja vilivyotengwa kwa ajili shule za serikali visingeuzwa.Waziri tembelea Manispa na miji za mikoa yote,gear ya urasimishaji inatumiwa vibaya utashangaa zaidi.